Tumia majani ya maboga ...utapendwa na kutunzwa Kama kote

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 501

  • @gerudafesto7353
    @gerudafesto7353 3 роки тому +26

    Jmn video iko powa dada jitahid kupunguza maelezo ni mengi , jaribu kupunguza maelezo ongea in short unawachosha hazira

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 2 роки тому +5

    MashaAllah Jazakhallahu kheiri 👏

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 10 днів тому

    Mimi ni Mungu mwenye wivu usiwe na miungu mingine Ila Mimi, tumepewa jina la Yesu kristo, ili kuleta miujiza katika maisha Yetu,

  • @alesiakayoka9121
    @alesiakayoka9121 2 роки тому +27

    Kila mtu alipewa nyota yake na Mungu, hata majani nayo yalipewe Radha tofauti tofauti. Hapo Mimi kama Mimi naamini Kuwa Mungu kama amepanga iwe ni amepanga tu hakuna tofau na hapo,, Dawa ni Mungu pekee

  • @nasramohamed8575
    @nasramohamed8575 2 роки тому +6

    asante sana mpenzi wang mungu akulipe

  • @fatmakiruwasha2378
    @fatmakiruwasha2378 3 роки тому +13

    Hehehehe haro mungu watu km hakupendi hata utumie majani ya vitungu

    • @gressjoseph5615
      @gressjoseph5615 3 роки тому

      HahaaaAaaaaaaaaa umeona eh

    • @esternkulikiye9893
      @esternkulikiye9893 3 роки тому

      Kabisa kama Mungu hajapanga hata utumie pilipili utafeli atakupenda kwamda ila mwisho ataludi kwa mwenyewe

    • @fatmakiruwasha2378
      @fatmakiruwasha2378 3 роки тому +2

      @@esternkulikiye9893 ndungu yangu kwanza mapenzi ya kufsi siku zote haya faida utaambulia kulia wewe kila siku kisa nn mm niacheni nimtengeme mungu mafuta niache kupaka nikawana ngozi nzuri nitengeneze ili nipendwa sifanya upumbavu haka pepo ya wasiyo pendwa na wanaopendwa wate nja nimoja tumuamini mungu jamani

  • @pendosiame-ns2de
    @pendosiame-ns2de Рік тому +2

    Mungu akupe maisha malefu

  • @kepeswai153
    @kepeswai153 2 роки тому +5

    Unastory nyingi dada 🥲😶😒😑 go straight to thy point

  • @YusufuChinunga
    @YusufuChinunga 10 місяців тому +1

    Ahsante...Kwa elimu hii

  • @SuzanaKereti
    @SuzanaKereti 4 місяці тому +1

    Nimeipenda asante sana

  • @zawadiombeni749
    @zawadiombeni749 Рік тому +2

    very nice

  • @AthumanSimba-h9p
    @AthumanSimba-h9p Місяць тому +1

    Nimeipenda san

  • @mashamashamashah1878
    @mashamashamashah1878 Рік тому +2

    Wow thank you cute

  • @kalengaomarbudget8206
    @kalengaomarbudget8206 2 роки тому +6

    Asante dada yangu ila unipe namba yako ya Whatsapp yako ajili tuwasiliane nipo congo drc

  • @subiraothman6166
    @subiraothman6166 2 роки тому +2

    Nimeipenda

  • @queenkanutijohn
    @queenkanutijohn 10 днів тому

    sawa nimeeelewa

  • @lydiaswai8967
    @lydiaswai8967 3 роки тому +8

    Sasa dada wengine tunarud majumban uusiku tufanyeje na unatengeneza kila wakat au ndio hiohio siku 7?

  • @patrickmbanya1411
    @patrickmbanya1411 2 роки тому +1

    thenk you mungu akusifizie megi

  • @j.takhurmia1743
    @j.takhurmia1743 3 роки тому +3

    Wow hakika uko vizuri my dear unaeleweka mnoo hongera

  • @user-iu8jo8bq1j
    @user-iu8jo8bq1j Місяць тому

    Asante kwa elim nzur

  • @officialkafyu1952
    @officialkafyu1952 2 роки тому +9

    Ila dada mm nmekupenda unabidii sana ya kuonyesha uchawi wako hadharani hata huna hofu ya mungu your confortable kudanganya cardamnance

    • @evelynmagogwa9161
      @evelynmagogwa9161 2 роки тому +1

      Sio uchawi huu dear ni spell tu za nguvu za universe hakuna uchawi hapo dear.

    • @ruthyohanesy3739
      @ruthyohanesy3739 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yupo vzr afu haogopi

  • @maryberege3093
    @maryberege3093 Рік тому +1

    Mungu ndio kila kitu hiyo ni mboga ya kula acha kumdanganya watu na uchawi wako kweupe tena kwenye umati wa watu. Mboga hiyo inaongeza damu tumeambiwa tule tusitumie kwa vitu vya kijinga

  • @masungamasungajoseph9822
    @masungamasungajoseph9822 Рік тому

    Kwaio Dr huwezi kunuia vyote kwa pamoja

  • @mercyobare5306
    @mercyobare5306 2 роки тому +1

    Ni nice one 👍

  • @fadhilamunisi1061
    @fadhilamunisi1061 3 роки тому +4

    Asante sana Cute flora

  • @rashidakhamis7332
    @rashidakhamis7332 2 роки тому +1

    Her haya majani kilasiku mengine kwa siku Sana au Yale Yale naomba jibu

  • @ziadasalum7345
    @ziadasalum7345 3 роки тому +10

    Vizuri sana.lkn punguza kuzunguka sana kimaelezo.

  • @amosmwalungokenyalekenyale7694
    @amosmwalungokenyalekenyale7694 2 роки тому +2

    Asante sana cute ...lakini hata kama mm nakupenda naweza kukutaja kutumia hii dawa. Mm n mkenya napenda mawaida tako,shida n majina ya vitu haya fanani kabisa.

  • @lydiampayo597
    @lydiampayo597 2 роки тому +2

    Hata shetani atatukataa kwa hali hii 🙈😴😴mapenz shikamooo 😂😂😂😂

  • @ShabbyJuma
    @ShabbyJuma 8 днів тому

    Nataka anipende xana

  • @LucianaNgowi-se4sr
    @LucianaNgowi-se4sr Рік тому +3

    Mm ctaki hiyo majan ya maboga....nilidhan nafundishwa kupika mlenda for sure kama unapendwa unapendwa tuu....mtu asiwaze hela akuwaze wew akuuu chitaki hii mamboo.....kama wako ni wako tuuu akii mbona wazee wetu hawakufanya hiz mamboo aseee....pls do for yr self usitupoteze kiiman shindwa pepo utafika mbinguni umechokaaa.....

    • @user-tm4ll6zz9c
      @user-tm4ll6zz9c 5 місяців тому

      😂et unafundishwa kupika mlenda😅😂😂

    • @LucianaNgowi-se4sr
      @LucianaNgowi-se4sr 5 місяців тому

      @@user-tm4ll6zz9c wacha gabisa best ang

  • @vickylaizer4287
    @vickylaizer4287 2 роки тому +1

    Asante kwa somo zuri

  • @grollyjoseph5383
    @grollyjoseph5383 3 роки тому +6

    Acha uongoo Mungu akusaidie

  • @walizanasiri4963
    @walizanasiri4963 2 роки тому +3

    Dada akuna ya kupunguza maziwa yani nyonyo?

  • @vickilenad1406
    @vickilenad1406 3 роки тому +6

    Dada tujbu unaoga haho hayo muda wa skusaba au unatngnez mengne

  • @evamussa4409
    @evamussa4409 2 роки тому +1

    Asante kwa somo zury

  • @halimamfinanga8461
    @halimamfinanga8461 3 роки тому +8

    Mhh mtengemee Mungu pekee yake atafanya yootee hayo

  • @irenenyangasi9227
    @irenenyangasi9227 2 роки тому +3

    I love it

  • @vumisungwe7405
    @vumisungwe7405 2 роки тому +1

    Asante kutufundisha dada tunashukuru

  • @boscojamaljamal1600
    @boscojamaljamal1600 2 роки тому +1

    Nzur san

  • @naomnyaboke6475
    @naomnyaboke6475 2 роки тому +3

    Am ready for the universe to surprise me as its surprising others.. in Jesus Name.. Amen

    • @akasunday4786
      @akasunday4786 Рік тому

      My ex came back to me few days ago ❤️ i got help from a Relationship Restorer Dr Ben who was able to mend back my broken relationship and make my ex to come back and beg. For a second chance. He can bring your ex back, and he also do a lot of work also like financial problem, and court case,

    • @akasunday4786
      @akasunday4786 Рік тому

      W-hatsap him⏬⏬::::::::W-hatsap him⏬⏬::::::::

  • @FilomenaEfremu
    @FilomenaEfremu 2 місяці тому

    Unaitwa nani mimi nataka nikutengenezee wew uniwaze

  • @simonkariuki8174
    @simonkariuki8174 2 роки тому

    Asante sana nakama yule mtu ako bali napia haupayani nifanyenje

  • @jamesmburu2954
    @jamesmburu2954 Рік тому

    Iyo n mboga acheni zenu,,sasa mnataja mungu hapa kwa izo uongo zote?na watu wamejaribu wamechoka,bona mkipigiwa msisaidie mtu ivyo

  • @MartinKongo-g7h
    @MartinKongo-g7h Місяць тому

    Kuna hile mm naitaji, sio hiyo ya maboga, naomba inbox tafazali

  • @linahmbelwa8756
    @linahmbelwa8756 3 роки тому +1

    Unarudia rudia vituu bnaa nenda straight

  • @SamidaKhamis-vm7od
    @SamidaKhamis-vm7od Рік тому

    shukran cute flora WACHA tujitibu

  • @imeldawenceslaus288
    @imeldawenceslaus288 3 роки тому +6

    Inamaana nitakuwa napasha hayo hayo mpk Sik Saba au mpk nitengeneze nyingine

  • @athmanbushra2639
    @athmanbushra2639 2 роки тому +1

    Majani haya maboga ni matango ama ni maboga yapi coz mimi Niko Kenya mti huu huzaa matango Je kule tz mti huu ndio

  • @magrethngowi6544
    @magrethngowi6544 3 роки тому +1

    unatumia hayo uliochemsha siku hiyo au unachemsha kila siku

  • @mutebigodblessyou2956
    @mutebigodblessyou2956 3 роки тому +5

    Can I prepare another receip when it gets over before seven days?

  • @sophiajulius24
    @sophiajulius24 Рік тому +4

    Dada acha kuwapotesha wanawake wenzio, haipo dawa ya ivyo! Na nyie wanawake wenzangu mnamsapoti huyo aliye potea! Ili upendwe na mwanaume ni ukalimu tu kwa mwenza wako na kumuombea kwa Mungu.

  • @halimasaid9044
    @halimasaid9044 3 роки тому +2

    mungu akuwekke uzidi kutusaidia

    • @mpmp3195
      @mpmp3195 3 роки тому

      À senti wabongo🎤💃💃🎤💃

  • @oderamoses3166
    @oderamoses3166 2 роки тому +1

    Thanks alot may God bless you and you keep it up.

  • @MasalulukasEma
    @MasalulukasEma 9 місяців тому

    Maji vugu vugu au ya alidi

  • @firstborncalvin2545
    @firstborncalvin2545 3 роки тому +5

    Huo n uchawi

  • @adelajohn87
    @adelajohn87 2 роки тому +1

    Hayo maji uliyo kwisha kuyaandaa unayatumia kila siku ukitaka kuoga au mpaka utengeneze upya?

  • @euniceboniphace5483
    @euniceboniphace5483 2 роки тому +1

    Ahsante dada

  • @nonogustave-oq3nq
    @nonogustave-oq3nq Рік тому +1

    Asante san

  • @user-cl8qg8ge8n
    @user-cl8qg8ge8n Рік тому

    😮unakunywa au unakogea tuuu

  • @neemamabiki4496
    @neemamabiki4496 3 роки тому +3

    Hivi wewe dada vya kufundisha vimeisha umeamua kuwa mganga wa kienyeji🤣🤣🤣🤣jamani mbona mnadanganya Sana watu duuh!!

    • @gressjoseph5615
      @gressjoseph5615 3 роки тому

      😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆umeona eh

  • @BeatriceJulias
    @BeatriceJulias 16 днів тому

    Kama sina asali naganyaje

  • @yawekajomela
    @yawekajomela Рік тому

    Asant mamy

  • @furahavanessa7812
    @furahavanessa7812 2 роки тому

    Mambagahiyo nimbagagani sikuerewa kama nimajanigani niambiye

  • @vnkenyanv3697
    @vnkenyanv3697 2 роки тому +1

    Asante

    • @akasunday4786
      @akasunday4786 Рік тому

      My ex came back to me few days ago ❤️ i got help from a Relationship Restorer Dr Ben who was able to mend back my broken relationship and make my ex to come back and beg. For a second chance. He can bring your ex back, and he also do a lot of work also like financial problem, and court case,

    • @akasunday4786
      @akasunday4786 Рік тому

      W-hatsap him⏬⏬::::::::W-hatsap him⏬⏬::::::::

    • @akasunday4786
      @akasunday4786 Рік тому

      *@✛2349061308010⏯⏯❤️눈‸눈*(⌐■-■)

  • @nuruemmymkayula861
    @nuruemmymkayula861 Рік тому

    Pesa mvuto wa kupata pesa kwanza

  • @thelighttv2376
    @thelighttv2376 Рік тому

    Hili jani moja litumike mara3 au kila siku utatengeneza nyingine

  • @safiaazizi6598
    @safiaazizi6598 3 роки тому +3

    Fresh sana mwalim

  • @jeniphermallya3358
    @jeniphermallya3358 3 роки тому +2

    Kweli uganga hadi humu duuuuh!

  • @ashurakabura7268
    @ashurakabura7268 2 роки тому +2

    asante saana kwa ushauri yako,sasa ikiwa ntapika hayo maji je ntaoga yote lwa mara 1 ili kseho nipike mengine ao ntacukua madogo madogo kwa yale ntakua nimepika?

  • @jilloadam
    @jilloadam Місяць тому

    Ni majani ya mti gani hayo

  • @fatemafatema1169
    @fatemafatema1169 3 роки тому +1

    Haya alotumia aje kutupa mrejesho hapa

  • @mohamedkahindi9327
    @mohamedkahindi9327 2 роки тому

    Asante Kwa elimu Yako.

  • @neemachales9643
    @neemachales9643 Рік тому

    Nikifanikiw ntafurah san

  • @maulidnyonyi4459
    @maulidnyonyi4459 2 роки тому

    Naomba xhuhuda mmoja ajitokeze

  • @LinetClementina
    @LinetClementina 18 годин тому

    ❤❤❤

  • @emillyzeeh1173
    @emillyzeeh1173 3 роки тому +5

    Asante sana dada cute Flora naweza kutumiea mboga yoyote kama Spinat ? Asante kwa ujumbi naiona kutoka ujeremani 🙏🙏🙏🙏🇩🇪

  • @irenemoraa8818
    @irenemoraa8818 2 роки тому +4

    That's imagination

  • @saraouma8163
    @saraouma8163 2 роки тому

    Napenda San mafundisho yako mmy

  • @fatumaibrahim1410
    @fatumaibrahim1410 2 роки тому

    OK nampeda somo

  • @aksady0015
    @aksady0015 Рік тому

    Sawanimekuelewa

  • @cattythebandtz3781
    @cattythebandtz3781 2 роки тому

    Mfyuu maelezo mengi mpaka hueleweki

  • @lightnessmasanja9821
    @lightnessmasanja9821 2 роки тому

    No please

  • @ponsisewando7538
    @ponsisewando7538 Рік тому

    Ushuhuda kwa watumia 🤭😉

  • @LilianLupituko-bn2fj
    @LilianLupituko-bn2fj Рік тому

    Je Kama huna chumvi yamawe na axalia ambayo haijapikwa unafanyeje

  • @inehaji9661
    @inehaji9661 2 роки тому

    Unaogea ckungap

  • @maureenmassawe8547
    @maureenmassawe8547 Рік тому

    Punguza malezo

  • @maggiekelimishajamiishow6670
    @maggiekelimishajamiishow6670 2 роки тому

    You mean ww ni mtanzania?waaah

  • @rashidsaidi8101
    @rashidsaidi8101 Рік тому

    Hayo maji nitayatengeneza kila siku au ni hayo tu niliyotengeneza kwa siku ya kwanza

  • @hawajuma7170
    @hawajuma7170 2 роки тому

    Dawa bado cjaifahamu ma a na Nina shida Sana

  • @helenakinyi9485
    @helenakinyi9485 Рік тому

    na kama hauko kwa uhusiano na mtu yeyeto na unataka kupendwa juu unasema mtu asiwe na bwana ama make wa mtu

  • @edinahellena7295
    @edinahellena7295 2 роки тому

    Saw mm je Ameniacha

  • @leylashabaan5730
    @leylashabaan5730 3 роки тому +2

    Kama tupo katika ndoa lakn tupo mbali mbali kikazi ikatokea ugonvi je nikifa ya hivyo itafaa na je kila sku unachemsha majan mengine au unaongezea tu please naomba jibu mitihan ipo KATKA maisha

  • @fatmaidi8650
    @fatmaidi8650 Рік тому

    Mashallah baraqallahu kheir

  • @danielmwakatuma1438
    @danielmwakatuma1438 3 роки тому +1

    Thanx for her suggestions

  • @OthumanJuma-rp4pf
    @OthumanJuma-rp4pf 11 місяців тому

    Good

  • @user-re9vv1su7f
    @user-re9vv1su7f Рік тому

    Nakutakia maisha mema

  • @janohdubed4413
    @janohdubed4413 2 роки тому

    Wewe mganga au what

  • @happycharles6886
    @happycharles6886 2 роки тому +2

    Nimependa ushauli wako

  • @fidelkuka4500
    @fidelkuka4500 2 роки тому

    Uongoo hakunaaaa uongo kabisa