URUSI IMEVAMIWA NA NATO INAJIBU MAPIGO KUJILINDA, BILA SULUHU URUSI ITAIAANGAMIZA UKRAINE, LISSU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • ©TUNAKUPA HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA DUNIANI KOTE
    ---------------------------------------------------------------------------------
    JIUNGE NA CHANNEL YETU APA: t.me/habari24tv
    TEMBELEA WEBSITE YETU HAPA; bit.ly/2UBBAQf
    -----------------------------------------------------------------------------------
    REPORT TO US
    If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright, email us assengablogtz@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 87

  • @hossanaassanemdulumdulu6731
    @hossanaassanemdulumdulu6731 Рік тому +10

    Very good, uko sahihi Kwa Hilo 5/5 uko sahihi

  • @hajimaruzuku6583
    @hajimaruzuku6583 Рік тому +7

    Lisu upo sawa kabisa

  • @yohanamasebo3478
    @yohanamasebo3478 Рік тому +1

    Habari nzuri mh lissu umefafanua vizuri sana viva Russia

  • @keiferuz4869
    @keiferuz4869 Рік тому +8

    Dar lisu umeongea fact sipendagi kukusikiliza lkn leo nitaendelea kukusikiliza mungu akuondoe kati ya wanafiki Amina

    • @ramadhanishabani1644
      @ramadhanishabani1644 Рік тому +1

      Lisu tangu uzaliwe leo umeongea point kabisa uwa sipendi kukusikia ila leo nimekuskia na nimefurai ulivyo ongea

  • @ramadhanimbulu4941
    @ramadhanimbulu4941 Рік тому +8

    Mungu ana makusudio mema na huyu MTU!! ameongea ukweli unaoshindwa kusemwa na marais wengi wa Afrika.Urusi imesimama kwenye haki

  • @timothymoshi5800
    @timothymoshi5800 Рік тому +4

    MKUU, umeongea vizuri. Hongera Na ASANTE. Mabeberu hawafai.Urusi ana haki ya kujilinda.

  • @rclufyega9186
    @rclufyega9186 Рік тому +6

    Tundu lisu umeogea vizuri Sana nimekuunga mkono

  • @tichamawani6953
    @tichamawani6953 Рік тому +6

    Kumbe hapa Mheshimiwa hapa Tundalisu umepata kabisa

  • @hassankinamahassan6945
    @hassankinamahassan6945 Рік тому +14

    Tundu lisu ameongea ukweli mtupu kabisa ndivyo ilivyo

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 5 місяців тому

    Hapo sawa lazima urusi ajilinde nchi za magaribi sio mataifa mazuri sio wakweli

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Рік тому +5

    Lisu oyeeeeeeeeeeee unaakili kubwa

  • @HamisiGatuso
    @HamisiGatuso 2 місяці тому

    Upo sawa unajua sana

  • @paulojames5977
    @paulojames5977 Рік тому +6

    Viva putin

  • @saidymwajeka8612
    @saidymwajeka8612 Рік тому +1

    Hapo lissu umetishaa big up

  • @nsolachalo
    @nsolachalo Рік тому +3

    Tundu lisu yupo sahihi kwa hili

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 Рік тому +6

    Urusi lazima ishinde la sivyo ulaya iwe majivu

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +6

    Pasipo mazungumzo ile nchi ya Ukraine itateketea kabisa

  • @mashakaalfred7827
    @mashakaalfred7827 Рік тому +2

    Nimependa Sana hii ungekua hivi kila cku watanzania tungekuelewa sana

  • @kaimuallyulongo9300
    @kaimuallyulongo9300 Рік тому +1

    Nakukubali San Mr lissu

  • @hasreeyasini
    @hasreeyasini Рік тому +2

    Nakukubali nilikupigia kura ila wanyanga'nyi waliiba na kujipa madaraka

  • @petersikazwe1867
    @petersikazwe1867 Рік тому +4

    Perfect lisu👍

  • @evaristminja1784
    @evaristminja1784 Рік тому +1

    Kwa kweli ndugu Tundu Lisu ksongea ukweli kabisa. Tatizo, watu wengi hawajui historia ya kwanini Urusi inapigana na Ukreiin. Tundu Lisu ameelezea vizuri sana.

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 Рік тому +5

    Tundu Antipas lissu aways stand on the Truth and God knows.

  • @vrk7602
    @vrk7602 Рік тому +2

    Very excellent assessment! Bravo mr Lissu! Nimependa sana objective approach safi sana!

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 Рік тому +6

    Tundu wewe usiogope bwana Puni nimkombozi wawa Afrika wote. Wote manyangao wata tafuta pakukimbiliya. Ndowakatiwa manyangao kua kimbiza huu. Tundu usiogope mbwa ongera ukweli tu.

  • @raymwaihaki7496
    @raymwaihaki7496 Рік тому

    Sawa

  • @davidlaidoson4038
    @davidlaidoson4038 Рік тому +1

    You are so right

  • @paulojames5977
    @paulojames5977 Рік тому +7

    Ukiona mtu anaunga mkono ukrein ujue uyo shoga

    • @aliabdallah8456
      @aliabdallah8456 Рік тому

      Hiyo nikweli kabisa wanaoshabikia NATO na Marekani wengi wao ni mashoga sugu

    • @jumanassoro1552
      @jumanassoro1552 Рік тому

      Kweri kabisaaaa tena la kutupwa

    • @jumanassoro1552
      @jumanassoro1552 Рік тому

      Haswaaaa yani nyorodo ng'eeeee

    • @rashidyshemkande8099
      @rashidyshemkande8099 Рік тому

      Nato wanata nchi zote duniani zisapoti ushoga ila kwa urusi hatokubari kabisaa ushoga. Allah bless Putin.

    • @AmadiIssa-iw8sy
      @AmadiIssa-iw8sy 26 днів тому

      umepigaje apo

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Рік тому +3

    Lisu ukiendelea hivohivo Dunia itakuelewa natutakuombea upewe nafasi kisiasa

  • @nicksonngaamanya1946
    @nicksonngaamanya1946 Рік тому

    Tundu liso ongera sana starting from today nime kwelewa big up

  • @amirymdee4259
    @amirymdee4259 Рік тому +8

    ***Ungekuwa siku zote unaongea hivi siku zote ungekuwa rafiki yangu***

    • @gonanzaro5580
      @gonanzaro5580 Рік тому +1

      Bro ameongea Kama watu 💯

    • @imankyamba4424
      @imankyamba4424 Рік тому +1

      Tatizo lenu wana CCM mpo hivyo hamjawahi kuwapenda wapinzani na hoja zao si mnasema hawana hoja?? Ndio hoja hizo

  • @charlesjoseph4596
    @charlesjoseph4596 Рік тому +1

    Mimi binafsi yangu marekani siwapendi Putin mungu akutangulie nakukubali sana kama itatokea uje Tanzania nitajiunga nawewe kwajili yako ushinde

  • @ndizindeleti761
    @ndizindeleti761 Рік тому +2

    Jamaa leo umeongea point sana nyooka hivyo hivyo utapata kula lakini uendelee hivi kw miaka mitano mbele

  • @charlesjoseph4596
    @charlesjoseph4596 Рік тому +1

    Urusi mungu akutangulie inshallah uwa yoyote atakae kuja

  • @mhinahalfan2694
    @mhinahalfan2694 Рік тому +2

    Ndio sababu msimamo wa Tanzania kuhusu hii vita hawakupiga kura ya kuipinga Russia

  • @user-kq5si5pv9n
    @user-kq5si5pv9n 3 місяці тому

    Lieu nishogatu hatakuzungumia mambo mengine ya nchi nyingine anaganya uwenda wazim gana akili

  • @hamisinyanga4579
    @hamisinyanga4579 Рік тому +2

    hapo dundu lisu umesema ukweli.kwahilo la urusi na nato.sio ukran.ilishaisha.

  • @mariamabass5621
    @mariamabass5621 Рік тому +3

    Wewe ismailshanya unajua mkataba wa ukrein na urusi wa mwaka tisini na moja ukrein akaukiuka kwa kurubuniwa na wamagharibi au mnaongea unazi mnangaria sehemu moja ata wewe unafahamu ukikiuka masharti ya mkataba razima ushugurikiwe

  • @user-pi4et2cc7s
    @user-pi4et2cc7s 5 місяців тому

    URUSI NI MKOMBOZI WA BARA LA AFRICA TENA NA SEMA VIVA VIVA VIVA PUTIN.

  • @nsabimanasuleyman2008
    @nsabimanasuleyman2008 Рік тому

    Leo kabisa kaongea la uzima

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 2 місяці тому

    Lisu Asie kuelewa Uyo Nimbishi Awez Elewa Ata Awe Nani

  • @ramadhanikalungwana6809
    @ramadhanikalungwana6809 Рік тому +1

    Kwa Mara ya kwanza mkuu nimekuelewa kwa hili!! Wengi hawajui kabisa mgogoro huu!!! Na wanashabikia wasichokijua!!! Hilo taifa siyo Libya au Iraq!!! Tena hata hao NATO na kilanja wao wanajua sema kwa kuwa wameishiwa kabisa maarifa!!!

  • @nathanasige806
    @nathanasige806 Рік тому +1

    Russia forever

  • @prophetjohnmasso186
    @prophetjohnmasso186 Рік тому +1

    Tundu Lisu nakupenda sana ila kwa hili nakataa kabisa Urusi inaangamiza watu ambao hawana hatia .. watoto,wazee,wanawake anafuliza kupiga bila huruma badala ya kukemea unyama wa Putin unasema mazungumzo.Mnashangilia watu wanakufa kwa mabomu!Kwa ufupi Urusi imeivamia Ukraine kijeshi na kuuwa watu

    • @joshuagaspary5561
      @joshuagaspary5561 Рік тому

      Huna akili soma mikataba ya kimataifa na history ya haya mataifa uondoe ujinga kichwani

    • @prophetjohnmasso186
      @prophetjohnmasso186 Рік тому

      @@joshuagaspary5561 we ndiyo mjinga kabisa na huna akili kwanini Putin hakutafuta mazungumzo awali anafanya ubabe wa kupeleka majeshi na kufanya uvamizi wa kijeshi?Warusi wao wanadhani hawatapata hasara wanayo sana tyuu na hawezi kushinda

    • @prophetjohnmasso186
      @prophetjohnmasso186 Рік тому

      Kwani mikataba ndiyo inawapa uhalali wa kuvamia Ukraine kijeshi ? Shika adabu yako

  • @yasiniswedi8835
    @yasiniswedi8835 Рік тому +2

    Nendahuko mnyamsanga

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 Рік тому

    Msimamo. Wa. Lodi. Kuhusu. Ukrein. Ni. Butu

  • @shau78
    @shau78 Рік тому +3

    suluhu inawezekana vipi wakati Urusi ameshaweka masharti yake mezani, ikiwemo kuimega Ukraine, kutaka Ukraine ivunje jeshi lake? masharti ya Urussi hayawezi kukubalika. Urussi imeweka masharti ambayo hayatekelezeki. wewe ungekuwa Ukraine unawezaje kukubali nchi imegwe na uvunje jeshi lako? kuna serikali ya namna hiyo kweli? kama tatizo ni Ukraine kutaka kujiunga na NATO, kama Urusi ikiimeza Ukraine tayari itakuwa jirani na Poland ambayo tayari ni mwanachama wa NATO. mimi narikiri Ukraine wajitahidi mpaka watakapoishia basi. masharti ya Putin hayatekelezeki.

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 9 місяців тому

    Putin ononge mashambulizi makali huko ulaya mpaka wawe majivu

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 Рік тому +2

    Hachana nayo ayo mwachie Ngoswe

  • @rogerioathumani9084
    @rogerioathumani9084 Рік тому +2

    Lisu nani bana katika vita ya urusi ndio ile kauli ya kusema utachangia nini wewe.

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 Рік тому +1

    Hapo umeongea vizuri umejionea mwenyewe maghalibi na marekani zinavyoyumba kiuchumi ata wewe mwenyewe awakujali tena umerudi kisingizio mikutano ya adhara kumbe mnakimbia maisha magumu uko ushogani urussi anavyowapelekea moto ila usibadilike tena usimame na jemedali putin

  • @joycemoraa2346
    @joycemoraa2346 Рік тому +1

    Mambo ya Ukweli kabisa no misery 💘 💘 😂 😂.. Dear leaders worldwide please avoid that conflict and negotiate with Putin for peace and forgiveness. Jesus Christ is the best answer no misery 💘 ➕➕🅰🅰🅰➕➕
    🍀🍀😊😊😊🍀🍀
    📖📖🙏🙏🙏📖📖

  • @omarothman6608
    @omarothman6608 Рік тому

    Hapo nimeukubali sana tenasana Russia oyeeeee MH Putin endelea kukandamiza

  • @isaacndashuka5959
    @isaacndashuka5959 Рік тому +1

    Russia ndio ilianza vita bw.acheni hizo propaganda

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 Рік тому +5

    Hapana putini kwa kukosa hekima na busara ndie Alie sababisha Ukraine 2008 kutangaza kujiunga na nato sababu alivamia crimea 2004 na kuinyakua pili kuwachokoza majirani zake hasa ukraine kuanzisha makundi ya uasi ndani ya ukrane Leo anaivamia nchi nzima Putini ovyo kabisa.

    • @khalfanmlala5093
      @khalfanmlala5093 Рік тому +3

      Wewe jamaa posti zako huwa sizielewi kabisa

    • @lakelake1776
      @lakelake1776 Рік тому +4

      Tunajua unatetea haki yako ya ushoga,hujui chochote juu ya mgogoro huu

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 Рік тому +3

      Mbona ww shoga ulivamia Libya na Iraq Afghanistan na mnchi zingine bila kumuogopa mungu, ndomana tunasemaga kwamba uongo ukizid basi cku zingine unajikuta unasemaga ukweli

    • @omarhababuu3159
      @omarhababuu3159 Рік тому +2

      Mkundu wako kwanza usafishe mavu kwanza sio 2004 kuinyakuwa crimea ni 2014

    • @allymangosongo5570
      @allymangosongo5570 Рік тому +3

      Bonge la pointi

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Рік тому +1

    Nilikua nampenda sana lisu kwenye hili lisu nijinga kabisa Tena jinga kubwa