BREAKING: JENERALI WA UKRAINE AKIRI KUSHINDWA KWA VIKOSI VYAKE KUKABILIANA NA URUSI UKO KURSK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Check more here: bit.ly/3yrpH70
    If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

КОМЕНТАРІ • 87

  • @habari-24
    @habari-24  20 днів тому +2

    bit.ly/3MmKNGL

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 20 днів тому +7

    Kuingia kwenye ardhi ya Nchi kubwa hivo ni hatari maana uwe na hesabu kubwa.... Unatokaje ukizidiwa .unapataje. Silaha ukiishiwa, unapataje matibabu ukijeruhiwa, mnaweza kufa wote msaada ukikatwa.....

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p 20 днів тому +13

    Mjuze General kuwa bado hatujaanza vita tupo kwenye operation maalum,asubiri mziki

  • @Jean-marieNiyonzima-f3e
    @Jean-marieNiyonzima-f3e 20 днів тому +3

    hongereni sana kwahabarizenu nzuri🎉

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky 20 днів тому +7

    Huyo joti kwanini asiachane na vita

    • @IshipalemyPasko
      @IshipalemyPasko 20 днів тому +1

      Hawezi huyu anasukumwa kwa nyuma na fimbo

  • @masoudkashato1378
    @masoudkashato1378 20 днів тому +5

    Sisi Warusi tunafurah 2

  • @DodomaTanzania-r5z
    @DodomaTanzania-r5z 20 днів тому +6

    Tulijua tu lazima watachapwa

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 20 днів тому +3

    Bado hawajashindwa maana wao ni wakala wanaamrishwa

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q 20 днів тому +4

    Kwani jubu la kushindwa si lilikuwa wazi, mtu kashachukuliwa ardhi yake 25% ataweza chukua mkoa wa urusi

  • @RajabuHussein-to7jz
    @RajabuHussein-to7jz 20 днів тому +3

    Hongera Russian enderea kutandika hao mashoga

  • @DodomaTanzania-r5z
    @DodomaTanzania-r5z 20 днів тому +5

    Urusi piga mbwa hao kursk😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MahadSatar
    @MahadSatar 19 днів тому +1

    Nipo hapaaa

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 20 днів тому +4

    Wacha wapigike tuu hakuna namna

  • @NshimirimanaSeleman-u5y
    @NshimirimanaSeleman-u5y 20 днів тому +2

    Mrusi kasema atawauwa taratibu ili wafe namaumivu makali😂

  • @domingosjohnraissemaikomai7930
    @domingosjohnraissemaikomai7930 19 днів тому +1

    Aombe waise sioujinga

  • @ClaraLyimo-g8s
    @ClaraLyimo-g8s 20 днів тому +2

    Warusi hawapotezi kabisa hizi habari anapigana na hakuna nini au anapigana na upepo mana urusi hapotezi

    • @bonifasiemanueli21
      @bonifasiemanueli21 20 днів тому

      Niko na wewe, yaani Urusi añapigana na kuku

    • @TeddyDickson-w5p
      @TeddyDickson-w5p 20 днів тому

      Hata Israel wanajeshi wake wanauwawa pamoja na kuwa hamas hawana vifaru wala ndege

  • @samwelipima3795
    @samwelipima3795 20 днів тому +3

    Kichapo hicho bado urusi hajaanza vita nakua nacheka tu ni operation akianza vita kamili itakuaje!!!!!!

    • @IshipalemyPasko
      @IshipalemyPasko 20 днів тому

      Kuna wapuuzi wanasema mrrusi keshachemka eti miaka 2bado anasumbuka na ukraine

    • @TeddyDickson-w5p
      @TeddyDickson-w5p 20 днів тому

      Kwa hiyo ilitakiwa NATO ipigwe kwa muda mfupi ?hata hivyo urusi kajitahidi kufika zaidi ya miaka 2

    • @salminisaleh9249
      @salminisaleh9249 19 днів тому

      ​@@TeddyDickson-w5p Usisahau Kuwa Urusi Ndo Nchi Pekee Ilishapigana Miaka 20 Bila Kuchoka

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 19 днів тому +1

    Vita sio mchezo huyu zelencky kawa na mvi wakati juzi alikuwa mvulana tuuu😂😂😂😂😂😂😂

  • @Jackxon_tz1
    @Jackxon_tz1 20 днів тому +1

    Aluta continue

  • @abuukajembe-to6sd
    @abuukajembe-to6sd 20 днів тому +1

    Mda utaongea 2 uuuuuuraaaaaa

  • @cassianyapesa5406
    @cassianyapesa5406 20 днів тому +3

    Putin unawachele we sha mashoga hao

  • @suleimani-k6f
    @suleimani-k6f 16 днів тому

    Mkiwa mna toa habari izi za kweli bc tupo pamoja

  • @hamisimwinzagu6624
    @hamisimwinzagu6624 20 днів тому +3

    Taratiiiiiibu naona coment za upande wa pili sizioni

  • @user-vv6ox9xh9k
    @user-vv6ox9xh9k 19 днів тому

    Hapa ni kujaribu tu, 🔥🔥kamili bado, Tena hapo ni huruma tunayo😂😂

  • @alubhalabenjoz6335
    @alubhalabenjoz6335 18 днів тому

    Matagazo yenyu nimazuri.lakini watu wengi niwerevu sana.tunajuwa vilekuko. pande ya vita.tunafuatililia kupitia kwa mitandao.akuna aaja mutudanganye.achakabisa😎

  • @PetroMpunga-rt7hv
    @PetroMpunga-rt7hv 20 днів тому

    Tutapambana mpaka tone la mwisho la damu, hatuwezi kukata tamaa

  • @NASSORMUYUGUMBI
    @NASSORMUYUGUMBI 20 днів тому +3

    Uuurrraaaaa

  • @SergeJames-g1i
    @SergeJames-g1i 20 днів тому

    Miye ni serge nikiwa south Africa nawa fata sana ila habari za congo

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 19 днів тому

    Uyo rais anawaza nini nchi inaaribiwa watu wanakufa au mpaka aone nchi ipo ukiwa?.

  • @geraldmbengwa6381
    @geraldmbengwa6381 19 днів тому

    Nyiewapumbavu hamna mnachokijua bali mnazungumza kama mashabiki

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti 20 днів тому

    Urusi nje wangapi

  • @ahmadmahmoud6139
    @ahmadmahmoud6139 19 днів тому

    ❤❤❤🇷🇺💪💪💪💪👏👏👏👏

  • @hassanjongo4309
    @hassanjongo4309 20 днів тому

    I dadi ya Urus mbona hazitolewi

  • @ClavryElisha
    @ClavryElisha 18 днів тому

    hongera mungu muinue putin kua malaika gabu awachakaze hadi bc

  • @maliyamungujohn2469
    @maliyamungujohn2469 20 днів тому

    Kwahiyo yukurein yenyewe haishambulii imefungwa mikono

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 20 днів тому

    Kodi za wamarwkani

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 20 днів тому

    Kwani mrrusi ana nini hasa mpaka asipigike kirahisi hebu naomba mniambie wandugu

    • @TeddyDickson-w5p
      @TeddyDickson-w5p 20 днів тому

      TSAR bomu

    • @bonifacesembuche2295
      @bonifacesembuche2295 20 днів тому

      Waulize NATO na Marekani wao kwanini Hawaii vita Kati ya NATO na Marekani dhidi ya urusi,ukipata Hilo jibu ,utakuwa umekula kwanini Urusi haipigiki

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 19 днів тому

    Mungu azidi kumbariki putin ❤
    Wacha awamalize manyangauuu 😅😅😅

  • @EdwardSanga-mt8du
    @EdwardSanga-mt8du 19 днів тому

    Nauwakika putin akitowa namba yake ili achangiwe wapo watu watachanga kwa kiwango cha juu kabisa😂😂,,watu wanampenda sana putin

  • @babuuosama8752
    @babuuosama8752 17 днів тому

    Kaka Putin chokochoko za masenge na wasagaji wa Nato na EU Manduli waribifu wa mila na dasturi za kijinsia Wanangamizwa kila uchao ni mtu wa mungu kaka putin milele Nato na EU Mtatwangwa hadi muangamizwe .

  • @justicebridge
    @justicebridge 17 днів тому

    Warusi wataalamu wa propaganda.nchi za kijamaa zone propaganda lakini putin ayesha shindig mzee mgonjwa huto

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 19 днів тому

    Russia special forces😂😂😂

  • @justicebridge
    @justicebridge 17 днів тому

    Haha uongo wewe ee na hiyo putin went mgonjwa wa hakiri

  • @LuganoAmwamsojo
    @LuganoAmwamsojo 20 днів тому

    😂😂😂😂

  • @hassanimeja4344
    @hassanimeja4344 19 днів тому

    Wee mwana abali auko vizuli kwa abali ukajifuze ulusi ndoo nani mbona hii vita amalizi

    • @EzromMkambati
      @EzromMkambati 19 днів тому

      Zwazwa wewe hujielewi siku ukijielewa utasema

    • @jumakambaya2979
      @jumakambaya2979 13 днів тому

      Hujuwi historia kasome utapata jibu naona bado mtotomdogo

  • @clifordalusiola3783
    @clifordalusiola3783 20 днів тому

    Unapiga udomo Tanzania 🇹🇿 mukowapi kijeshi😂😂

  • @kitaaofficial4119
    @kitaaofficial4119 20 днів тому

    Mbona unapendelea Urusi.. Toa habari za kweli banaa Urusi anapigwa Balaa huko❤️‍🔥🔥

    • @Awatee
      @Awatee 20 днів тому +2

      😂😂😂😂Kwani ulifikiri vikosi vya kadrov kama vya mabwana zako wamagharib wale wanaume Rijal

    • @HamadJuma-kj5td
      @HamadJuma-kj5td 20 днів тому +3

      W unaetaka za ukrein ci wende zako BBC shoga w😂

    • @IshipalemyPasko
      @IshipalemyPasko 20 днів тому +1

      Labda unapigwa mkundu wako balaa huko❤️‍🔥🔥

    • @TeddyDickson-w5p
      @TeddyDickson-w5p 20 днів тому

      Kama anapigwa,mbona anayempiga ndie anayelia ,au anapiga huku analia

    • @bonifacewanyonyi3555
      @bonifacewanyonyi3555 20 днів тому

      😂😂hawezi sema ukweli