BREAKING: ZELENSKY AOMBA SILAA ZA MAANGAMIZI ZA KUISHAMBULIA URUSI, MAREKANI ITAMPA SILAA?
Вставка
- Опубліковано 3 лис 2024
- Check more here: bit.ly/3yrpH70
If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.
Watatoa sana msaada
Acha uruss iwatandike hao mashoga
Urusi sio somalia
😂
ZELENSKY HAJIELEWI KISA ANAWAFURAHISHA MABEBERU.
Yeye baada kuomba suluhu vita iishe yeye anaomba silaha amakweli akili ni mali
No comment!
Mpeni pesa atandikwe vzr
Bado hamjqsemq!
vita imeshamshinda zelesky maana kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2022 Feb Eu wamekuwa wakimpinga mrusi Lakini mwaka Eu wamerudi nyuma na kurudi kununua nishati ..baada ya kuona wanapata hasara kwa kununua nishati ya marekani kwani wana nunua bei kubwa mara 3 zaidi ya ile ya urusi
Ili jamaa jinga sana maana halishuki sungura kumpiga tembo
Wanachofanya washirika wa marekani ni ujinga
Ichi iyo Haina rais na raiya wa ukreb wapo tu ata Kenya wanawashinda Putin ana chelewa tu tia nyukria moja tusiendelee kumaliza bando
Yeye anaomba silaha.ilaa mwezake yeye anatengeza
Achana na vita
Anachokitaka sio mdaa atakipata huyu joti
zelensky anataka kuangamizwa na putin
huwezi kushinda vita kwamsada
Huyo ugeruman ashagawa na urusi atawez kwel