Ustadh Hafidh Amsomea Qasida Live Ndugu Yake Holini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 270

  • @aminaibraheemkimbolezaa8544
    @aminaibraheemkimbolezaa8544 4 роки тому +12

    Innalillahi wainnailaih rajiun ikowap sasa barak y ndoa kwa shubha iyo. Wanawake wanajiachia tena kwa kupayusha saut mbele z wanaume tumche allah waislam. Madume mazima yacheza n wakezawatu, huu uislam au ukafili

  • @fatmabakar8888
    @fatmabakar8888 3 роки тому +3

    Asante ustadh hafidh mungu akulipe kila la kheri

  • @thammaratalwy1705
    @thammaratalwy1705 4 роки тому +8

    MashaAllah Sheikh Hafidh nae haachwi nyuma,, Allah amzidishie Amiin

  • @mwanaishasuwes9292
    @mwanaishasuwes9292 4 роки тому +8

    MashaAllah, nakuelewa mno na kaswida zako ustadh Hafidh

  • @asyaomar8226
    @asyaomar8226 4 роки тому +13

    Napenda snaa Nasheed za ahlulmadina mungu awape maskzno.Ameen mungu akuwekee ustadh hafidh

    • @ahmadabdalla619
      @ahmadabdalla619 4 роки тому

      Zuka ww hinikaswida ama nitarabu kesho mwaenda jubu kwa allah

  • @leylayusuf435
    @leylayusuf435 4 роки тому +6

    Ka hafidh kahaunamke nioe mm nnakupenda bure mashallah Allah aibariki baraka tele ndoa yenu mpate vizazi vilivyobora In shaa Allah Amin

  • @ibrahimjuma2587
    @ibrahimjuma2587 4 роки тому +12

    Mm cna coment sana kwa fundi wa qaswaida ww hodar km unamkubali like hapa please

  • @aliomar255
    @aliomar255 4 роки тому +8

    ماشاءاللہ Shekh Hafidh pamoja na Ahlul~madina kwa ujumla mko vzuri na mmejipanga

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 роки тому +3

    Mashallahu mashallahu shehe hafdh nakupe sana mungu akulinde NA husda

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 4 роки тому +13

    Mashaa allah . Hongereren sana , mwenyez Mungu akutuzie ndoa yako

  • @sabriyasuluh6254
    @sabriyasuluh6254 4 роки тому +2

    Mashaallah pambeee💃💃💃💃💃💃💃yafurahia yako familia 😙😙😙😙😙wako wazazi .....furaha zimewajaaa💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @sadabkari5532
    @sadabkari5532 3 роки тому +1

    Mashallh mungu aikuze ahlullmadina ila nami napenda kusoma kaswid

  • @farhanmakboul1833
    @farhanmakboul1833 4 роки тому +5

    Chorass ipo Maashaallah sana vizur sana duh wee shekh Hafidh hatar sna

  • @mwanamisimwavidzo4594
    @mwanamisimwavidzo4594 4 роки тому +1

    Asiya mwaguni 2 month ago shekh hafidh hongera kwa kaswida yenu nzuri mashallakh

  • @kwastembayetu7649
    @kwastembayetu7649 4 роки тому +7

    Ust Hafidh lazima acheze kidogo.
    Nimeona👀👀👀👏👏👏👍👍👍

  • @khamisally6924
    @khamisally6924 4 роки тому +11

    Hongera sana kiongozi upo sawa nimeipenda hii kazi

  • @fatumakassim716
    @fatumakassim716 3 роки тому +1

    Mashallah mashallah jamani qaswida zenu nazipenda zote wallah huwa silali mpaka nisikilize

  • @Nasha-y8v
    @Nasha-y8v Рік тому

    MASHA-ALLAH MASHA-ALLAH nazpenda sana Allah awajaaliye kla la kher INSHA-ALLAH

  • @othmanshaib9089
    @othmanshaib9089 4 роки тому +12

    Nimeipenda jamaaa yangu kazi yako IPO poa sanaaa

    • @fahadyhbplus8713
      @fahadyhbplus8713 4 роки тому +2

      Allah akuepusheni na dhambi zenu , uzuri wa mwanamke anatakiwa anyone mumewa2 sio mitandaoni

  • @المنشدالقديرعبدالرحمن

    💯💯ustath hafith mashaaaa allah hii nashiidii umeitokea tena sana 💯💯

  • @salimalsinani4413
    @salimalsinani4413 4 роки тому +5

    Mashaallah Allah bless siku hii tulifurahi sana tu mashaallah nakukubali

  • @maryammarika4152
    @maryammarika4152 4 роки тому +17

    Subhanallah .wanawake tulionekana wengi motoni kwa hli hii 😭😭😭

  • @masturaghalib9209
    @masturaghalib9209 3 роки тому +3

    Hongeren mungu awaepushie jicho la husda amin

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 роки тому +9

    MASHAALLAH SHEIKHE HAFIDHI UPO VZR PAMOJA KOO YAKO MZIMA YA MADRASA ALLAH AKUZIDISHIENI UMRI NA AFYA NJEMA MUZIDI KUENDELEA VZR KWENYE KIPAJI CHENU HICHO 👍🤝

  • @hindumohammed5550
    @hindumohammed5550 4 роки тому +1

    Hongera sheikh hafidh utafanya nije zanzibar...

  • @kijonalusay
    @kijonalusay 3 роки тому +2

    Ma Shaa Allah Hafidh kapita vzr sana humu

  • @khadijaomar6708
    @khadijaomar6708 4 роки тому +4

    Mashallah muko poa Allah awazidishie

  • @mwajumaramadhani5723
    @mwajumaramadhani5723 3 роки тому +2

    Qaswida Kinaendele

  • @thureiyahally3422
    @thureiyahally3422 3 роки тому +2

    Ila hawa wakaka ni wazur duuh

  • @ismailmohammed5557
    @ismailmohammed5557 4 роки тому +14

    Dah mashaallah nilitamani sana kuwepo hii siku

  • @zuhurasalim8283
    @zuhurasalim8283 Рік тому

    Mashallah pongezi kwako ustadh hafidh

  • @mustafaalloo81
    @mustafaalloo81 4 роки тому +2

    Mashallah,,shamra shamra za harusi, wote wanapendeza na furaha

  • @emmyrojah5372
    @emmyrojah5372 3 роки тому +1

    Allah akupewepes katika mafanikio yako love xana

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 4 роки тому +12

    Masha Allah shekhe hafidh uko sawa

  • @fatmaramadhan6909
    @fatmaramadhan6909 4 роки тому +4

    Mashallah Mungu awajaze kheri ktk ndoa yenu

  • @fatumaally3444
    @fatumaally3444 4 роки тому +3

    Mashallah Allah awape ndoa ya kher Inshallah 🙏

  • @sabriyasuluh6254
    @sabriyasuluh6254 4 роки тому +1

    Makaka vipenziii.......furaha zimewajaa💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @AzizaAzizaa-tk3lu
    @AzizaAzizaa-tk3lu 4 місяці тому

    Mashallah kazi nzuri sana

  • @suleimansaid6222
    @suleimansaid6222 4 роки тому +5

    Ni vyema tukatafakari tuache kumchezea mungu uislam haujaruhusu ujinga huu

    • @hasinahabibu946
      @hasinahabibu946 4 роки тому

      Mm naww hatujui kitu tunyamaze tu tuyaangalie

    • @salmaadil7122
      @salmaadil7122 4 роки тому +1

      Hatutakiwi kunyamaza icho icho unachokijua kifikishe hakika tutaenda kuulizwa kwani kazi yakufikisha ujumbe wa kheir sio wa masheikh tu .kwakweli hii nidhambi naniharamu music tuendako hatukujui nisafar kubwa inahitaji matayarisho mema.ni ukumbusho tu fadhakkir

    • @mohamedmohemed6459
      @mohamedmohemed6459 4 роки тому

      Asante kwa kuliona hilo

    • @parkdmdea4572
      @parkdmdea4572 3 роки тому

      @@salmaadil7122 exactly..sio kla kitu mpk mashekh na ww unaeangalia utakuwa na dhima cku ya mwisho kwa kuangalia2 upotovu bila kuusia mana inawezekana m2 amepitikiwa but kutokana na usia wako akabadilika sio kla sehemu mashekh wako

  • @nasmayassin469
    @nasmayassin469 3 роки тому +1

    Mashaaall nakukubali balaa sheikh hafidh

  • @saumbakar4188
    @saumbakar4188 4 роки тому +3

    Iyo qaswida shekh hafith umeipatia sana

  • @nasturamasawe6880
    @nasturamasawe6880 3 роки тому +1

    Hafidhi mola akuhifadhi

  • @salmaahmad4249
    @salmaahmad4249 4 роки тому +3

    Mashallah Allah aidumishe milele ndoa yenu idumu

    • @maryammarika4152
      @maryammarika4152 4 роки тому

      Kwahali hii ndoa haiwezi kudumu mana hasad nimewapata

    • @seifmohammed1463
      @seifmohammed1463 3 роки тому

      @@maryammarika4152 Nashukuru mungu bado nipo ndoani n duwa zako mbaya izo

  • @zuleikhahemedhemed6377
    @zuleikhahemedhemed6377 3 роки тому +4

    Keep it up sheikh hafidh nice to hear this

  • @aminamafita848
    @aminamafita848 3 роки тому +1

    Mashallah habibtu

  • @khadijamakame2596
    @khadijamakame2596 4 роки тому +5

    Mashallah shehe upo vizuri na tem yako lkn munajali hali za matajiri masikini munawapigia za zamani mukiaalikwa kwann,shehe ulijigawa na qadiria ili uoneshe kipaji chako upo vizuri bigup

  • @MesalimRashid
    @MesalimRashid Рік тому

    Hamna Sheikh wala ustadhi aimbae n wanawake huku wakikatika dansi huu n mtiani wenu nyote holini cc n umma bora twaamrishana mema n kukataza na maovu SS haya n maovu mno.

  • @abufatmah9055
    @abufatmah9055 3 роки тому +1

    MASHAALLAH MASHAALLAH 😻😻
    Ndugu zangunAllah awazidishie insa Allah ,kwa hiii qaswida nzuri 👌👌

  • @aliysalhina2699
    @aliysalhina2699 4 роки тому +6

    Ah uyu jama anajua kwl mashallah

  • @saidalii9073
    @saidalii9073 4 роки тому +3

    Maashaa AllAh
    Harusi NJEMA ndugu zetu

  • @mariamissa4486
    @mariamissa4486 2 роки тому

    Shekhe napenda Sana qaswida zako

  • @fatmazinga5310
    @fatmazinga5310 4 роки тому +11

    Masha Allah please nataka jina la Muimbaji na number yake nataka kupeana kazi yangu please

  • @tuubaby5896
    @tuubaby5896 4 роки тому +6

    Paaambee mashaallah holi gn hili

    • @abdulhalym
      @abdulhalym 4 роки тому +5

      Saccos Meli nne

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 4 роки тому +1

      Upumbavu tu

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 4 роки тому +2

      @@hasinahabibu946 kabla ya mimi kukupa aya naomba unioneshe iyo aya au hadidhi,ilioruhusu hilo,na inayoonesha huu wajibu kama unavodai,pia nipe uhalali wa hizo kwapa vivundo tunavooneshwa,kama huna basi usishadidie mambo ambayo huyajui mamaa eti tu kwasababu unafurahisha nafsi yako

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 4 роки тому +1

      @@hasinahabibu946 unajina zuri lkn inaonekana hujuji wala hujitambui.

    • @sabraissamajid9922
      @sabraissamajid9922 4 роки тому +1

      @@ismailjuma3692 ww unajielewa wapi na vp unauhakika ya ww unajielewa Tuache ghuruur za kidunia dini ina mipaka haijaturuhusu hy ht km mtu ana uwezo wa kumiliki dunia

  • @husnaissa7190
    @husnaissa7190 4 роки тому +8

    Masha Allah
    Masha Allah
    Hongera kaka yetu

  • @farahatiissa1195
    @farahatiissa1195 3 роки тому +1

    Hongera mungu ajalie ndoa njema

  • @munababy1385
    @munababy1385 4 роки тому +8

    Mabruk arfu mabrouk 🇰🇪🇰🇪💯💯

  • @rukiambwana5189
    @rukiambwana5189 3 роки тому +2

    Naomba contact za Ahlul madina kwa ajili ya booking

  • @amourflamin2092
    @amourflamin2092 4 роки тому +10

    Sheh hafidh nakukubali

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 4 роки тому +15

    Haraam Izo zambi hapo
    Subhanallah

  • @zuhurahassan8605
    @zuhurahassan8605 3 роки тому +1

    Maxhalla nimependa

  • @kimuratv255
    @kimuratv255 4 роки тому +7

    Aaaaaa baba ii ni kali ya mwakaaaaaaa

  • @fatmamussa1161
    @fatmamussa1161 4 роки тому +5

    One day inshallah

  • @kimuratv255
    @kimuratv255 4 роки тому +10

    Nakubali Ahlulmadina ipo juuuuuuuuu

  • @thuwaybah5679
    @thuwaybah5679 4 роки тому +9

    Mashallah nimeipenda😘😘

  • @kassim2hemedi534
    @kassim2hemedi534 4 роки тому +1

    Mashallh brother hafidh

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 роки тому +1

    Mnao imba wote mnachakueleza mbele ya allah

  • @Nanahshubayra
    @Nanahshubayra 10 місяців тому

    Mashallah ❤️ very nice 🥰❣️🌹

  • @mgeniomary8017
    @mgeniomary8017 4 роки тому +2

    Mashallah Allah Swanson

  • @OmarMohamed-bp9ix
    @OmarMohamed-bp9ix 4 роки тому +9

    Vinatanda ivyò uharamu na pia wanawake wanavyocheza sio katika ndoa za kiislamu apo ndoa inaingizwa na ushetani,,,,Hebu tujiulize Rasullah (S a w) alifanyiwa kama hivi 😭 wakati anamuoa mama etu bi Khadija,,,,sasa apo tunaiga mila na desturi na Mayahudi,,,Ndoa ya kiislamu sio kama ivyo kabisa haifai ivyo,,,,tunafuata mila ya Mayahudi

  • @rahmamipasho7212
    @rahmamipasho7212 2 роки тому

    Mashaallah nimependa hii

  • @didarishad3999
    @didarishad3999 3 роки тому +2

    I really like dis nasheed

  • @hindumohammed5550
    @hindumohammed5550 4 роки тому +6

    Congratulation ...😍😍😍

  • @just.elhadji__7148
    @just.elhadji__7148 3 роки тому +3

    "Huo ubaya wenu haushindi kuduraaa...Hii ni Dunia kufanyiwa wema dharuraaa" napenda Hui✔

  • @abbyramsay3971
    @abbyramsay3971 4 роки тому +2

    Masha Allah kapendeza san

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 роки тому +4

    Man shall ah jmn naomben jina la nyimbo please

  • @fatumasaid1165
    @fatumasaid1165 2 роки тому

    Mashaallah,sheikh hafidh.

  • @teacherney6651
    @teacherney6651 4 роки тому +12

    Hafidh rudi kwa Allah unabeba jukumu kwa Allah

    • @hassanhajihamdan993
      @hassanhajihamdan993 4 роки тому +1

      Nikweli kabisa arud kwa allah imuhadae pumzi

    • @salmazahor5882
      @salmazahor5882 4 роки тому

      Kwann

    • @hawa4968
      @hawa4968 3 роки тому

      @@salmazahor5882 kwani hujuw chochot kinacho shaghabiyan na vinanda ni kharam na sisi wanawake jins tunavyo kaaa na kuchanganyik

  • @FauziaAbubakar
    @FauziaAbubakar Рік тому

    Wambia ustadh wee-wee 💯💯🔥🔥❤️❤️❤️👌

  • @majidbakar8766
    @majidbakar8766 2 роки тому

    Hongeraaaaa kwa wimbo mzuriii

  • @dulahafari9182
    @dulahafari9182 4 роки тому +4

    💯💯 nakubali kazi

  • @haythamjuma1508
    @haythamjuma1508 3 роки тому +2

    Ustadh hafiidh maashaalah

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 роки тому +2

    Jamani mimi nikija kuolewa sitaki maonyesho yani ninaaibu na sipendi nataka niolewe kimnya kimnya

  • @munababy1385
    @munababy1385 4 роки тому +6

    Mashallah Mashallah Allhamdulillha 👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏💟💟💟💝😍🤩👩‍❤️‍👨👩‍❤️‍👨

  • @abdillahmechanic7828
    @abdillahmechanic7828 4 роки тому +3

    Original yake ntapatajee hii kaswidaa

  • @mahmoudsalum204
    @mahmoudsalum204 4 роки тому +5

    Ungemshirikisha Mbosso lingekua bonge la ngoma

  • @fatmabakari6624
    @fatmabakari6624 4 роки тому +5

    Mashallah mashallah pambe sana

  • @fatimahsaide5543
    @fatimahsaide5543 4 роки тому +3

    Raha sana🤝

  • @arafampore8262
    @arafampore8262 4 роки тому +6

    Mashallah nzur

  • @idirisakhamis2127
    @idirisakhamis2127 4 роки тому +2

    Inatofauti gani tarabu?

  • @mabebibablii3056
    @mabebibablii3056 4 роки тому +6

    Hongera sanaa kijanaa

  • @hafithhamad2254
    @hafithhamad2254 3 роки тому +1

    Safii sana

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 4 роки тому +5

    Mashaa Allah

  • @riahaji1976
    @riahaji1976 4 роки тому +4

    Asante shehe

  • @shifaauonlinetv4836
    @shifaauonlinetv4836 4 роки тому +4

    Maasha Allah

  • @aishaabdala4961
    @aishaabdala4961 4 роки тому +2

    nikweli hii kwaswida nikama mziki mtihani

  • @ahmedmbarouk2807
    @ahmedmbarouk2807 4 роки тому +4

    Muogopeni Allah

    • @Zazezoo
      @Zazezoo 3 роки тому

      Wako ignorant sana na hizi harusi Zak!
      Mixing with non mahrams and music

  • @suleimanalkindy6502
    @suleimanalkindy6502 4 роки тому +4

    Naikubali sanaaaaa

  • @asia1124
    @asia1124 4 роки тому +6

    Mashaaallah

  • @fatmaaliy9401
    @fatmaaliy9401 3 роки тому +1

    Congratulation

  • @shufaasleiman455
    @shufaasleiman455 4 роки тому +6

    Mashallah