South Africa ndio maana uhalifu upo juu jela ni kama shule ukitoka lazima uwe na nidhamu wabongo wana kwama sana kwa kuiga upuuzi unasifia huko lkn umerudi bongo empty hands 😂😂😂
Sheria za uhamiaji,mtu anarudishwa kutoka nchi nyengine ni za kijinga sana,wanaosafiri wengi wao hawaendi kutalii ila wanaenda kutafuta kurudisha nyumbani.Sasa mtu akirudishwa kimantiki hatakiwi kurudishwa kwa kupelekwa jela sio sahihi.
Pamoja sana, hii imekuwa kero kubwa kwa Wasafiri wote, ambao hawakubahatika kupata walichokifuatilia, lkn tuzidi kukemea IPO siku watakuja kuelewa.. Asante sana kwa comment yako usichoke
Jitahidi sana kwenye sauti
Shukrani.. Nitalifanyia kazi sheikh wangu..🙏🤲🔥
Baharia kitambo.. 🎉🎉😂😂
Baharia amekataliwa mtaani
Kaz nzuri
Pamoja Sana ndugu
South Africa ndio maana uhalifu upo juu jela ni kama shule ukitoka lazima uwe na nidhamu wabongo wana kwama sana kwa kuiga upuuzi unasifia huko lkn umerudi bongo empty hands 😂😂😂
😂😂😂 Siunajua tena , sio wote wanaoenda kazini.. Huwa wanarudi na chakula.. Wengine hukosa kabisa na wengine hurudi na ziada ya juu..
Bro umerud bongo au umekuja
one time?@kazikazitvboda2boda
Tupo kila mahali kaka.. Endelea kutufuatili utaona mengi mazuri yanakujia
Temporary passport elfu 50 1994 ?!! Bro ulitapeliwa !
😂😂😂😂
Sheria za uhamiaji,mtu anarudishwa kutoka nchi nyengine ni za kijinga sana,wanaosafiri wengi wao hawaendi kutalii ila wanaenda kutafuta kurudisha nyumbani.Sasa mtu akirudishwa kimantiki hatakiwi kurudishwa kwa kupelekwa jela sio sahihi.
Pamoja sana, hii imekuwa kero kubwa kwa Wasafiri wote, ambao hawakubahatika kupata walichokifuatilia, lkn tuzidi kukemea IPO siku watakuja kuelewa.. Asante sana kwa comment yako usichoke
😂😂😂😂
Tunajifunza vingi sana kwenye kipindi chako bro.