Thamani ya Kitambulisho Cha Nida Miaka 5 Ijayo | Fireside Chat Podcast

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @godlema6104
    @godlema6104 7 днів тому

    🎉🎉

  • @cryptoisourlife
    @cryptoisourlife 5 днів тому

    Aisee asante sana mengi Nime yajua leo.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 5 днів тому

    👊✌👍.

  • @allymaulid9391
    @allymaulid9391 5 днів тому

    wangetakiwa kufanya hivo kwenye vyeti vya kuzaliwa hii ingesaidia sana

  • @EliezaRichard
    @EliezaRichard 5 днів тому

    Vitambulisho havina ubora maandishi yanachubuka

  • @allymaulid9391
    @allymaulid9391 5 днів тому

    Hivi kwanini rita wasiweke ofisi zao kwenye kila hospital

  • @duniakidogo8516
    @duniakidogo8516 4 дні тому

    Nina kitambulisho changu nilikipata mwezi May, 2024. Miezi 3 baadae hakisomeki, maandishi yote yamechubuka. Hii si sawa maana kitambulisho hicho ni matokeo ya fedha za mlipakodi. Ieleweke kuwa products inferior ni mwendelezo wa maumivu kwa mlipakodi. Zaidi ni ubadhirifu wa fedha za mlipakodi.
    Kuna shida gani hadi leo zoezi la NIDA kutokamilika? Hakuna haja ya kutumia gharama kubwa kuandaa daftari la mpiga kura wakati NIDA na RITA zinarahisisha vilivyo.
    Kuzunguka na daftari la mpiga kura ni upotevu wa gharama na sababu zisizofaa😂😂😂