Mimi nasema mandonga ana mashabiki wengi Sana kwa domo lake hata mimi napenda domo lake huwa mafurai dula hella nje nje usmgeze mwakinyo.mapromota ukumbi lazima utapike hahaha
Jamaa ni bondia wakupewa moyo asikate tamaa coz anakitu ndani yake.Ulimwengu wa masumbwi ulimiss sana bondia anaeweza kutamba na jasiri kama mandonga.Wamtengeneze kwa kumpa boxers wa viwango vyake na sio wamkomoe kwa kumpitisha njia ngumu kama hizo za kina Dula
Gonga👍👍like hapa kama na wewe unamkubali mandonga🤛👊🤜 mtu kazi,Bendera ya kuzimu,Mtumbwi wa vibwengo ukiuingia lazima upotee💫💫
Mandoka wataka kufa sasa huyu Dulla Mbabe mpiganaji wa kimataifa Tumechoka kusema RIP Mtu Kazi 😃😃😃😃
Nakukubari Sana ndongaa
ebana tunatangaza ndonga duniani kote😃😃😃😃😃
Karim ngumi bado sana
Nakubali saan broo kwa kuongea tu unaweza
Mandonga we unaweza mkuu we ni moto wa kuotea mbala ..ata kama shindano ulipoteza....
Uyujamaa hamna kitu anaongea sana
Utakufa broo achana na vijisifa vya walimwengu
Am new fan of mandonga
Mandonga Bondia mzuli sema kosa lake mmoja Hafungi gard
Mbeya moja hii namkubali sanaa uyu jamaa
na sisi mashabiki wako hatuchoki hadi wakuue kwenye ulingo
Ndonga Kama ndonga
Dula anamuogopa ban
Ndonga mtu kaz
Dulla mbabe kamuogopa mandonga ndio champion wa Tz nzima promoter nipo hapa wakazichape
Ndonga mtu kazii
Mimi nasema mandonga ana mashabiki wengi Sana kwa domo lake hata mimi napenda domo lake huwa mafurai dula hella nje nje usmgeze mwakinyo.mapromota ukumbi lazima utapike hahaha
ua-cam.com/video/Pla6c5WGotA/v-deo.html
Mangonga mtu kazi
Dulla mbabe kamdharau sana Mandonga
😃😃😃😃over confident from karimu mandonga🔥
Mandonga mtu pori kutoka Shamba nakukubali mtu wangu pande za Moro Msanvu majumba ya mawe
Dah" ucmjaribu dulla ata kuangushia hacra za kiduku ukuuwe mm ckushaur ujipendekeze kwake
Dah kuna watu wanzarau sana
Uyu atapigwa siku mpaka atafia uwanjaniii
ua-cam.com/video/Pla6c5WGotA/v-deo.html
Ana,bwe bwe uyuuuuuuu😄😄😄😄😄
Mwambie aache misumari 😁😁😁
Anafanya mabondia wote waonekane wachumba,😁😁😁😁
Sema mandonga ukionekana kama mwamba unatuaminisha kumbe kukaza uwezi
dulla mbabe amekukataaa mandonga
Madonga nampenda
Mtu kazi ndonga
mandonga mtu kazi
aah hamna mandonga apo hujiwez bro kwa dulla mbabe piga tiz cheza na watoto bro
Mandoga BAHNA. Yaani kushindwa kule bado upo na maneno mengi
😂😂😂😂mandonga Mtu Kazi katrend sanaa😂😂katrend kuliko hata aliempiga😂😂😂ana nyota karii
Hahahaha mandonga mtu kazi
mandonga hatar hata mi nakupenda
Nakukubali kaka
Bendera ya kuzimu😂🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣
Mandonga namkubali sana
Mandonga dula mbabe atakuwaa kubabako wew sarange tu mpiga debe.
😄😄😄😄😄😄😄
Hahahaha karim Mandonga😁😁😁
HUWEZI KUPAMBANA NA MANDOGA....MANDOGA CHAMPION
Mandonga Mimi nakuelewa xana ila wewe ni fala utauwawa ulingoni
Mandonga ni Julio mpya kwenye ngumi
Hahahahahaaaa
Mbona kama mtangazaji anafosi
Dula anaogop kupanda mtungi wa kibwengo 🤣🤣🤣
Wanaogopa kumpiga
Usivunjike moyo mandonga
Kaz Kaz bro 😅
Jamani mabondi kama hawa wanao jiamini kama huyu ni wakuungwa mikono
ua-cam.com/video/Pla6c5WGotA/v-deo.html
🤣🤣🤣jamaa fani sana
Huyu ni Julio kijana
Clouds au Kitenge Tv.
Daaa! Mandonga unanifurahisha
Hata Mimi nataka pambano na mandogo.
Watanzania hao maneno mengi vitendokidogo
Kwa hiyo Dulla atadandia MTUMBWI wa VIBWENGO kweli..?
Jamaa ameshakua maalufu kushinda Hata mabondia wengine
Mandonga aaa
Atakupiga mpaka unye
Hahaaaaa mandonga na dulla hahaaaaaaa huyu mandonga anatafuta pakufia jaman 🥱
Huyu kavuta Bangi
uyu atakufaa asaivii
Alichoongea sahihii sanaa
ktk sports kuna kushnda kushndwa kuwadrow
ua-cam.com/video/Pla6c5WGotA/v-deo.html
Mandongaaaa🔥🔥
Kiukweli mandoga akipigwa dar inachangamka ILa sijui akishinda itakuwaje😂😂
ua-cam.com/video/Pla6c5WGotA/v-deo.html
ua-cam.com/video/Pla6c5WGotA/v-deo.html
nmecheka sana
simjui !!!!!!!!
Mandonga namfananisha na jamaa yangu nilisoma nae primary. Anadundwa kila kukicha lakn haachi ukorofi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hatari na robo
😂😂😂
Bangi
Bangi cio nzuri
Mandonga alivyoambiwa hajulikani uso umeshuka ghafla😁
Inauma lakini ndio poa,
🤣🤣🤣🤣🤣 full zarau sijapenda kwakweli mpaka Reporte Ataka mkatia simu.
dula anazalau ndomana washinda wanamkandaa ila mandoka anapendwa
Mpe pambano mandonga tuone kweli mtu kazi
ua-cam.com/video/Pla6c5WGotA/v-deo.html
Mandonga hamna kitu
ebana arudie kwanza na magambo Christopher
Mandox mtukazi
Humjui wp achazarau ww kama hutaki sema siohumjui, huo ushamba bro
Mnafiki uyo,anachoya na mandoka kaona,ana trendi
ila huyu mkaka anatia hurum maneno mengi masikin 🇦🇪🇦🇪
Mandonga shabiki kutoka 🇸🇦
ua-cam.com/video/Pla6c5WGotA/v-deo.html
😁😁😁😁😁
Mandonga mandonga mandonga
Team mandonga
Sasa wewe nae mandoga ukipigwa ukafa tutamchekelea nani
Hahahaha madonga bado
Wewe mweu
Mwiko
Maneno yanakuponza
Mtu kazi..
..Bendera ya kuzimu
🥊🥊🥊
Mandonga 😂😂😂😂😂
Shabiki number moja wa mandonga
Sawasawa
Jamaa ni bondia wakupewa moyo asikate tamaa coz anakitu ndani yake.Ulimwengu wa masumbwi ulimiss sana bondia anaeweza kutamba na jasiri kama mandonga.Wamtengeneze kwa kumpa boxers wa viwango vyake na sio wamkomoe kwa kumpitisha njia ngumu kama hizo za kina Dula
Tuko nawewe Hadi kifo
Dulla Ameogopa..
ua-cam.com/video/Pla6c5WGotA/v-deo.html
Sitaki chanel ya simba nataka chanel ya yanga sc.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
Huyu mandonga audiane na yule alo mchapa k0
🤣 🤣
Home boy Mandonga 😂😂
ua-cam.com/video/Pla6c5WGotA/v-deo.html