TWAHA KIDUKU: SIKUBALI KUACHA MKANDA NYUMBANI/NACHEKA MDOMONI ROHONI NI KAMA SIMBA/ SHOO SHOO
Вставка
- Опубліковано 25 бер 2022
- Leo Machi 26 Mpenja Tv Ipo Mkoani Morogoro kukuletea matukio yote yanayoendelea kuelekea Pambano la Mtanzania Twaha Kiduku Dhidi ya Mcongo Alex Kabangu.
.
Fungua Video hii kupata habari kamili.
.
#twahakiduku #alexkabangu #mpenjatv - Спорт
Mastaa wa Moro wapo real sana hawana ubababishaji
Nakubal sana
Shoo shoo, Mungu akutangulie mwamba Naamini utashinda tu.
Allah akujaaalie Kila la kher utashindaaa
Asante xn umetuheshimisha home boy
Mungu akujaalie home boy 🙏
‘’Tabasamu mdomoni moyoni simba’’ shoo shoow 🔥🔥
Twaha nampenda Sana ila umechafua sana mwili
Kila kheri bw.Mdogo Twaa!
Dula mm nakuku bali sana
Show show baba
Nimefurahi ushindi wako mpaka Nina lia
Wewe si muislam kaka kujichora hivyo ndio nini sikukubali kabisa uwo ni ushamba
Sio lazima mkubali mzee