Familia eneo la Makuyu inamtafuta binti Lucy Wamaitha wao aliyepotea

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • Serikali ya Kenya imewatuma wazee wa kimbari kutoka jamii zinazopakana na somalia kufanya mazungumzo ya kuwaokoa machifu waliotekwa nyara na wanamgambo wa alshabaab. Ripoti za upelelezi zikiarifu kuwa wazee hao wamefika eneo la jilib, nchini somalia kunakofanyika mazungumzo hayo

КОМЕНТАРІ • 6