Polisi wawahoji wasimamizi na wagonjwa katika hospitali ya Kenyatta
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Polisi wamewahoji wahudumu wa afya na wagonjwa katika hospitali ya furaa ya Kenyatta kufuatia kuuwawa kwa mgonjwa aliyekuwa amelezwa ndani ya wodi hospitalini humo hapo jana. Aidha wasimazmisi wa KNH wamehojiwa pia na kuagizwa kutowaruhusu wagonjw akwenda nyumbani kabla ya kuhojiwa na uchunguzi w akamera za cctv kukamilika. Franklin Wallah alizungumza na familia ya Gilbert Kinyua ambayo sasa imejipata na masuali mengui kuliko majibu baada ya kifo cha jamaa yao.
So sad😢
Twonyeshwe nanii aliingia ndani 😢😢😢😢 because ata watu wataongopa
KNH inafaa iangaliwe vizuri😢. My cousin is admitted there and I'm more than disappointed.
Those nurses and doctors should be made responsible at least...... They are there to take care of the patients.
The only thing they take serious is on people not getting to the wards when it's not visiting hours. Too bad💔
So sad,may God strengthen you mama
Wauaji 😢😢😢
Imagine mtu akiuwa mgonjwa😢..
Hata daktari anaeza lipwa afanye hicho kitendo
Nikama ni family issues
Hapo kuna family issues kama kuna mtu anataka akufe myb abaki na shamba
lets wait for the police file be presented to court sir
Hiyo sio family issue. Madakitari wa adamwe nawalinzi kwa ni kuku.hata kuku hupiga ma yoyo
First to comment
Unataka kikombe!?
Burkenge ww
Second to comment