Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Ruto na wandani wake wamjibu Rais Uhuru Kenyatta baada ya Sagana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 лют 2022
  • Ruto na wendani wake wamrushia makombora ya kisiasa Rais Uhuru kuhusu hatua alizopiga kama kiongozi ila zaidi azimio lake la kumchagua Raila kuwa mrithi wake
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

КОМЕНТАРІ • 130

  • @lincemuiga2306
    @lincemuiga2306 2 роки тому +30

    Ruto is so wise, just listen to his reply, oh how l salute this man.

  • @omwami9071
    @omwami9071 2 роки тому +4

    Kenya 🇰🇪 Kwanza 😍

  • @azoozalshamri1670
    @azoozalshamri1670 2 роки тому +26

    Nko nyuma ya Ruto,na tuko wengi

    • @rosemarymusanga9575
      @rosemarymusanga9575 2 роки тому +3

      Kura kwa debe itakuaje wezako wamevotia Ruto
      Iyo ni siri ya mtu

    • @lucymwai8074
      @lucymwai8074 2 роки тому

      Kabiza

    • @bestialjaraf9735
      @bestialjaraf9735 2 роки тому

      I think u don't understand politics well...trust me you will vote for raila yourself. Pang'ang'a nyingi mko wengi wewe na nani

    • @rosemarymusanga9575
      @rosemarymusanga9575 2 роки тому +1

      @@bestialjaraf9735 l wonder

    • @andimureithi1778
      @andimureithi1778 2 роки тому

      Yap wewe na watoi!!

  • @edwingichobi1657
    @edwingichobi1657 2 роки тому +14

    Ruto must be a very clever man,many waited to hear him reply to his boss sentiments that he made at Sagana about him.But he hasn't. This is what we call upright political maturity.

    • @geogeatela1376
      @geogeatela1376 2 роки тому +1

      Ruto is just a democracy rapist.

    • @suzanotieno5091
      @suzanotieno5091 2 роки тому

      He is not clever, he has taken a short break from abusing Uhuru Kenyatta...very soon utaona how he will abuse Uhuru.... Ruto is Running Relay race in the opposite direction... no wonder Uhuru is supporting Raila

    • @charleschacha6876
      @charleschacha6876 2 роки тому

      He replied almost immediately. It's just that you didn't know because you live under a rock..😁😁😁

    • @barbariansoviet
      @barbariansoviet 2 роки тому

      Dont say many say UDaku supporters

    • @suzanotieno5091
      @suzanotieno5091 2 роки тому

      Just putting à brave face, thé clever Ruto knows very well what Uhuru can do

  • @joycenjogu8715
    @joycenjogu8715 2 роки тому +3

    Rao the 5th

  • @gracenjeri3897
    @gracenjeri3897 2 роки тому +4

    Am choosing Raila

  • @joemaina7338
    @joemaina7338 2 роки тому +7

    Kabisaa tunaumia sana,

  • @gladyswaweru9889
    @gladyswaweru9889 2 роки тому +12

    Wacha nichague raila what ruto Did not do while in the government will never do it differently when elected..atleast let's try baba this time

    • @alexnjenga8184
      @alexnjenga8184 2 роки тому +1

      😂 what did raila do

    • @omwami360
      @omwami360 2 роки тому

      Safi

    • @omwami360
      @omwami360 2 роки тому

      @@alexnjenga8184 alileta ugatuzi yenye mlipinga mkitisha watu aati ni majimbo

    • @joashwanyonyi7361
      @joashwanyonyi7361 2 роки тому

      Mwenyewe macho haambiwi tazama,

    • @lucymathenge6327
      @lucymathenge6327 2 роки тому +1

      @@alexnjenga8184 ask again, kama c fitina tu, na kufanya watu kuliwa July 1982,na vita singine wakati wa uchagusi

  • @bentenkale280
    @bentenkale280 2 роки тому +13

    Acha hasira izo bilioni usilaumu uhuru ata wewe Bado uko serikalini,, mbona unasema kuna madeni, ukora wako ushafika ukingoni

  • @lucygichiru9138
    @lucygichiru9138 2 роки тому +19

    Ruto first , rudisha pesa za dams na maize, and stop killing people…. Ruto is a devil in a sheeps skiin… Aka Judas Escariot..!!

  • @Prophetess_JB
    @Prophetess_JB 2 роки тому +7

    Wawache kurushia Rais Kombora. Just pray for him. Hata Mimi Niko na makombora but sitaki Ku attack Rais.

  • @woodvale7357
    @woodvale7357 2 роки тому +8

    Kimani, why are you so proud to the extent of insulting president? Kulipwa peza za arror ndio imekufanya ujiamini kiasi hiki. Ulikua wapi miaka mitano hapo nyumae? Ngojea tu hapo...

  • @alexanderknox2263
    @alexanderknox2263 2 роки тому

    Yes to NTV

  • @nyapetegath409
    @nyapetegath409 2 роки тому +2

    KWANI LAZIMA RAISI A SUPPORT RUTO. ACHENI UTOTO

  • @rosemuniu1171
    @rosemuniu1171 2 роки тому +7

    Ruto haoni state, ata hii Vita yuda haitaiweza. , Raila State house 5 presso

    • @maureenstuvel6205
      @maureenstuvel6205 2 роки тому +1

      mimi sipendi kuogalia utuba ya ruto ju hasemi atafanyia nini wakenya napia bado yuko serekalini nahajafanyia wakenya kazi yake nikapwni 24hr so ruto atsrukwa na hakili alifikiria pesa diyo kila kitu atapata uwogozi mwizi mwizi hatutaki

  • @lornahmulitani2798
    @lornahmulitani2798 2 роки тому +6

    Mnabweka tu buree raoooo juuu

  • @haronmworia7680
    @haronmworia7680 2 роки тому +1

    If uhuru has disown ruto God has not disown ruto

  • @charlesjkyallo5835
    @charlesjkyallo5835 2 роки тому +6

    Wakenya wanafanya nini ??? You are the mps, who sit down to decide where the money is taken and where it's spent

    • @catherineikovwa3401
      @catherineikovwa3401 2 роки тому

      When i hear some kenyans protecting Ruto i wonder Ruto was against uhuru doing development in the acounty that never voted for him 2017 and 2013 thats someone who who say he can change kenya and he has triblism and all he did when he was elected was to campaign from day one

  • @humphreymbathi6760
    @humphreymbathi6760 2 роки тому

    Ground iko Rutonated 💯💯

  • @jemimahtirindi5656
    @jemimahtirindi5656 2 роки тому +2

    Uhuru should not tell us who to elect as a president 2022.Hapa ground ni Ruto.May God hear our prayer.

  • @alexanderknox2263
    @alexanderknox2263 2 роки тому

    Ntv no 1 kenya station

  • @philipmungai8631
    @philipmungai8631 2 роки тому +1

    Sisi wakikuyu tushaamua Ruto ni kijana wetu na hakuna mtu atabadilisha hiyo

  • @patrickjohn4086
    @patrickjohn4086 2 роки тому +1

    Kenya kwanza uganga baadae

  • @philipmungai8631
    @philipmungai8631 2 роки тому +2

    I WILL NEVER VOTE FOR RAILA EVEN AT GUN POINT

  • @Jamax3comedy
    @Jamax3comedy 2 роки тому +1

    Sugoi loading

  • @emanuelmanucho8309
    @emanuelmanucho8309 2 роки тому +3

    mwiziiiiiiiiii kwenda kabxa mpka rais anajua ww n mwizi

  • @suzicaleb4390
    @suzicaleb4390 2 роки тому +7

    Madeni china,Tala , branch equity food prices uncontrollable na unatushow how he good enough kutuletea raila,,,aende hom

    • @johnosebe1316
      @johnosebe1316 2 роки тому

      Mwanamke mjinga also ruto should be part of

    • @kariukigeorge6060
      @kariukigeorge6060 2 роки тому

      Kwani ataenda home kwako?nyani wewe

    • @andimureithi1778
      @andimureithi1778 2 роки тому

      Najua unatamani wheelbarrow, utaipata tu,mkirudisha vitu sugoi!!

  • @MtemiBadravasha6434
    @MtemiBadravasha6434 2 роки тому +7

    Uhuru you done well, forget about pele pele party ya hasira nation, hao tutawanyosha proper kwa debe na tuapishe baba

  • @daudidaudi3106
    @daudidaudi3106 2 роки тому +3

    Ruto HAWEZI KUWA rais hata siku moja

    • @judyjebaskwony505
      @judyjebaskwony505 2 роки тому

      😂😂wait and see..vitu mingi ilisemwa haiwezi timia ..na zote zimetimia

    • @Mitchellekyle
      @Mitchellekyle 2 роки тому

      Kma handshake ya uhuru ndio itafanya raila aingia ikulu kwani bbi imekufa hta akaongea na makasiriko ni kazi bure malengo ya bbi yeye na raila ya mebuma na hta hivi raila jitayarisha kujiapisha

  • @dankago8668
    @dankago8668 2 роки тому +5

    Kenya kwisha !! Wezi tupu yawa wote🙄

  • @beatriceshivachi5187
    @beatriceshivachi5187 2 роки тому +1

    Hata wewe ruto uko kwa serikali so if you say rais uhuru ana sema uongo pia wewe ni Muongo hufai kua Prezi coz Kila kitu kita worsen

  • @lisaogembo473
    @lisaogembo473 2 роки тому +2

    Hehehe....the art of double speak, "Raila is uhurus project!" And now today, "Raila anasumbuwa Rais! Raila anadanganya rais!"

    • @lucymathenge6327
      @lucymathenge6327 2 роки тому

      Mzee mwenye kupeda uongosi kwa nguvu, God is watching, na God hawesi kubari waganga watawale watu wake,ana fikilia vile amefanyia wachache confusion, wa mufwate, watu wote ati wataanguka kwa huyo mtego yake, atalilia kwa choo

  • @Prophetess_JB
    @Prophetess_JB 2 роки тому +3

    DP is smart.

  • @awadhjamal3430
    @awadhjamal3430 2 роки тому +1

    Uhuru anatuambia ruto hafai na walituambia before TUKO PAMOJA na wakati ule raila alikuwa mbaya,hapa tutie akili kama hawa wanasiasa wote ni waongo na wezi

  • @sofiwangari9169
    @sofiwangari9169 2 роки тому +1

    Wa wa wa wa haaiya 🤔🤔🤔kikulacho ki nguoni mwako....

  • @omarbachu1074
    @omarbachu1074 2 роки тому +2

    Baba aende afuge kuku Bondo

  • @annedonge4093
    @annedonge4093 2 роки тому +1

    Kimani heshima sio utumwa ... why are you so proud?? That's the beginning of your fall

  • @user-gj1km6jz1s
    @user-gj1km6jz1s 2 роки тому +3

    Bardi imeeingi ukweli ashasema alkuwa mwenza na wewe kwa serikali umeiba wakenya kuweni na akili mnapo piga kura jamaa ni mwizi na pesa hizo anajaribu kusafisha kanisani this is babas moment the only regret is he was never president before inawezekana na baba the next Dubai of AFRICA 🌍

  • @lornahmulitani2798
    @lornahmulitani2798 2 роки тому +7

    Hayo matusi ndo itafanya ukose kua raisi

    • @judyjebaskwony505
      @judyjebaskwony505 2 роки тому

      What of Azimio ..hao si umtusi Ruto kuanzia Raila adi ule wa D-

  • @alicewamaithamusic6098
    @alicewamaithamusic6098 2 роки тому +1

    RAILA tosha

  • @gladylukslinda5983
    @gladylukslinda5983 2 роки тому

    If you could have heard your boss advise you couldn't be jumping this way he said let's work for the people of Kenya first campaign will came later but because you though you were wiser than him utakaa kwa lami round hii Kalonzo ako Azimio nyinyi ni opppsition

  • @andimureithi1778
    @andimureithi1778 2 роки тому +1

    To be honest these always have something to say when Uhuru or raila talks, they barely adds anything beneficial! That's a bad sign of heading to the opposition!!

  • @stevemutua5364
    @stevemutua5364 2 роки тому +1

    Ruto u are just a folk you know everything behind the scenes kwanini huongelelei insurersnces juu ni mmoja wa investors bure kabisa gas ya kupikia pia huongelelei

  • @kelvinmwangi7431
    @kelvinmwangi7431 2 роки тому +1

    Ichungwa kíhíí gíkí

  • @qrankmw.
    @qrankmw. 2 роки тому +3

    bonyeza ruto..upate skiza uongo
    bonyeza uda...upate skiza matusi.
    ....now exporting chuki to drc...
    ..yote yawezekana bila mwizi..
    ..yote yawezekana bila hasira...
    ..yote yawezekana bila chuki....

  • @enterpreneur9738
    @enterpreneur9738 2 роки тому

    Ma youth wameingizwa box kama dame na huyu jamaa. Wacha arusi iishe 🤣

  • @robertkariuki3066
    @robertkariuki3066 2 роки тому

    Ati hiyo ndio ilikuwa earthquake 🤣🤣🤣🤣

  • @motivatedfitnesscentreyoga
    @motivatedfitnesscentreyoga 2 роки тому +1

    Sasa huyu machungwa anajaribu kusema nini uhuru amemaliza yote ichugwa ni traitor for wise kikuyu people

  • @erenestawanjiru1935
    @erenestawanjiru1935 2 роки тому

    In Politricks There Are No Permanent Friends Or Enemies..At The End Of The Day It's Just Politics.

  • @d.o.m6004
    @d.o.m6004 2 роки тому

    If ruto had said Gedion moi tosha,,,,tapeli uhuru angekua rafiki yake mkubwa,,,,,,,,this is how our future kids will be going through their political life if we can't stop this matrix which has failed this country since independence. Kibaki came from nowhere and tried to overturn the tables,,,,but mkoloni mambo leo took us back to Egypt. But we ought to stop this nonsense.....we need to elect brains. Kibaki really tried to transform this country for the better

  • @shimza7484
    @shimza7484 2 роки тому

    Makasiriko Yann blalibkin

  • @jimmykagombe7164
    @jimmykagombe7164 2 роки тому +1

    Haha,Who has been disturbing the President for 4years now,matusi na hasira na Propaganda??
    Hi Kenya,vituko tupu!

  • @oyayatimothy1290
    @oyayatimothy1290 2 роки тому

    U cannot use the president the way mdvd and weta are being used by UDA

  • @dennislingotti9548
    @dennislingotti9548 2 роки тому

    I wonder why Ruto is heckling his "competitors against misusing the president"

  • @marionnyaleso1102
    @marionnyaleso1102 2 роки тому

    Lakini leo hajatukana mtu

  • @selinakaramana9225
    @selinakaramana9225 2 роки тому +1

    wacha chuki baba...wee kwako hauna deni??

  • @janemoraa2180
    @janemoraa2180 2 роки тому

    You are really angry, because what you needed, you have missed it

  • @premierleaguenews4438
    @premierleaguenews4438 2 роки тому

    Kimani ichungwa shame on you

  • @felixowino1333
    @felixowino1333 2 роки тому

    Mr Alibaba what i know raila is not uhuru's advicer or spokesperson bado uko kwa serekali na umehiba more than 4 trillion lipeni madeni cz wewe ndio umeleta shida hapa Kenya ufisadi democracy alliance UDA Kenya kwisha alliance

  • @geogeatela1376
    @geogeatela1376 2 роки тому

    Uhuru has disown you Mr mwizi so even if you give him your daughter the answer will be No paka wewe.

  • @suzanotieno5091
    @suzanotieno5091 2 роки тому +3

    Vote Azimio for unity and peace...Protect mai forest, protect devolution... vote out thieves and fraudsters

  • @johnikhemwita5078
    @johnikhemwita5078 2 роки тому

    Ichungwa anaishi dunia gani? Amesahau kuwa madeni haya mengine na pesa nyingi amechukuwa Ruto kwa kukuza bei ya huduma kama arror na kimorer dams.
    Wakenya sio wajinga.
    Sheeenzi sana.

  • @nyumba3219
    @nyumba3219 2 роки тому +1

    Tangatangas are a bunch of hypocrites

  • @living_water-
    @living_water- 2 роки тому +3

    Hatupangwingwi

  • @godrickomari8319
    @godrickomari8319 2 роки тому

    Ruto is nothing but a thief,mshahara unaokula unafanyia wakanda kazi gani,why earn what you are not working for it?