Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mungu ni mwema sana🙏 wimbo huu haubagui Imani ya mtu Bali unampa Mungu utukufu
Hakika ujumbe wa huu wimbo umetulia mnoo
Hakika wimbo ujumbe wake umetulia
Wow wow video safii, tulivu na wameimba kwa utulivu na ujumbe wa wimbo unaeleweka ni wakujinyenyekeza mbele za Mungu. Big up GGK
Beautiful song 👏🏽👏🏽
Vile nilivyokuwa nasubiri huu wimbo kwa hamu kubwaa hatimaye Mungu awabariki sana sana Ggk Msonge mbele kwa ushindi mkuu nawapenda nawapenda tenaa❤❤❤
That's good song bless to God
Mbarikiwe sanaa ....nawapenda ❤
Tunazidi kubarikiwa kwakweli❤❤
Hakika wa kuabudiwa ni Mungu pekee, barikiweni kwa wimbo mzuri, wenye kutupa tafakuri njema na kutusogeza karibu na Mungu.
Barikiwen Sana kwa Kaz nzur
Woohoo,Majembe ya Baba,safi sana,wimbo unagusa sana, mbarikiwe GGK
Barkiwen sana
🙏Amen
M/Mungu awabariki watoto wa mfalme kwa kazi kubwa ya utume muifanyayo 🙏🏻
Barikiweni sanaaa vijana wangu
My favorite song ❤ what a song Praise the lord 👏👏🙌
Amina Mwenyezi Mungu awabariki,awajalie mema mnapo wabariki wengine kwa nyimbo kazi nzuri
Ameen
Amen
Safii sana wimbo mzuri sana utulivu wa kipekee mziki safii , mbarikiwe sana GGK
Amen,the song is well harmonised and melodious,,keep it up GGK ❤
Sifa utukufu enzi ni kwako bwana Asante GGK
Mbarikiwe sanaaa Mungu azid kuwatumia kwa kazi yake
Mnaimba kii za juu ambazo zinafanya wimbo na uimbaji upendeze. Barikiweni sana
Amen,...Bwana awabariki sana na kuwainua juu Zaid, mzid kuwa Baraka kwa wengi, wimbo mzur sana.
Big Amen 👏
Mungu akawabariki msipungukiwe chochote katika kuitendakazi yake, Magonjwa yakakome juu yenu.
Amen mbarikiwe sana wana GGK
Wow! Nzuri mno.
Huu wimbo umenibariki sanaaa
Nyimbo zenu zinakuwa na mguso kwa msikilizaji barikiwen sana
Barikiweni na Mungu mpo good
Mbarikiwe sanaaa
I'm following you From Dagoreti Conner Nairobi Kenya .
Congratulations!! Na mungu awabariki🙏🙏
Mungu awabariki sana
All love from Jetview
🔥
Barikiweni sana

Amina
Mwenyezi Mungu awabariki,awajalie mema mnapo wabariki wengine kwa nyimbo kazi nzuri