- 31
- 286 562
Gethsemane Group Kinondoni SDA
Приєднався 1 жов 2019
Gethsemane Group Kinondoni (GGK)SDA - Ni siku yetu
Gethsemane Group Kinondoni (GGK) SDA choir tunakaribisha mwaka kwa kukuletea wimbo mpya uitwayo Ni siku yetu, ungana nasi kwa kulike na kusubscribe tuwe pamoja pale tutakapo achia wimbo mpya. Karibuni sana.
#NiSikuYetu#Gospel#Sherehe #Harusi #Africa #tanzania#SDAsongs #Nyimbozakisabato#Swahiligospel#Nyimbozadini#NyimboZaInjili
#NiSikuYetu#Gospel#Sherehe #Harusi #Africa #tanzania#SDAsongs #Nyimbozakisabato#Swahiligospel#Nyimbozadini#NyimboZaInjili
Переглядів: 4 156
Відео
GETHSEMANE GROUP KINONDON (GGK) SDA . KIPINDI CHA UIMBAJI CHA KBC HAPA NAIROBI (KENYA)
Переглядів 1 тис.5 місяців тому
Gethsemane Group Kinondoni (GGK) SDA choir tunakuletea kipindi cha uimbaji cha KBC hapa Nairobi Kenya, ungana nasi kwa kulike na kusubscribe tuwe pamoja pale tutakapo achia wimbo mpya. Karibuni sana. #gospel #jesus #god #bible #love #christian #faith #church #o #jesuschrist #worship #music #gospelmusic #christ #prayer #christianity #deus #holyspirit #godisgood #bibleverse #p...
Gethsemane Group Kinondoni (GGK)SDA - Petro
Переглядів 17 тис.6 місяців тому
Gethsemane Group Kinondoni (GGK) SDA choir tunakuletea wimbo mpya uitwayo Petro, ungana nasi kwa kulike na kusubscribe tuwe pamoja pale tutakapo achia wimbo mpya. Karibuni sana. #gospel #jesus #god #bible #love #christian #faith #church #o #jesuschrist #worship #music #gospelmusic #christ #prayer #christianity #deus #holyspirit #godisgood #bibleverse #pray #hope #blessed #truth #grace #scriptur...
Gethsemane Group Kinondoni (GGK)SDA - Kifo
Переглядів 4,9 тис.6 місяців тому
Gethsemane Church SDA choir tunakuletea wimbo uitwayo Kifo, ungana nasi kwa kulike na kusubscribe tuwe pamoja pale tutakapo achia wimbo mpya. Karibuni sana. #gospel #jesus #god #bible #love #christian #faith #church #grief #jesuschrist #worship #music #gospelmusic #christ #prayer #christianity #msiba #holyspirit #godisgood #bibleverse #pray #hope #blessed #funeral #swahili #scripture #amen #bel...
Gethsemane Group Kinondoni (GGK)SDA - Bwana Wastahili
Переглядів 8 тис.10 місяців тому
Gethsemane Church SDA choir tunakuletea wimbo mpya uitwayo Bwana Wastahili, ungana nasi kwa kulike na kusubscribe tuwe pamoja pale tutakapo achia wimbo mpya. Karibuni sana. #gospel #jesus #god #bible #love #christian #faith #church #o #jesuschrist #worship #music #gospelmusic #christ #prayer #christianity #deus #holyspirit #godisgood #bibleverse #pray #hope #blessed #truth #grace #scripture #am...
Gethsemane Group Kinondoni (GGK)SDA - Dunia Hiii
Переглядів 13 тис.Рік тому
Wimbo mpya kutoka kwaya ya Gethsemane Group Konondoni SDA. Karibu
GETHSEMANE GROUP KINONDONI (GGK) SDA - Nifinyange Upya Bwana
Переглядів 17 тис.2 роки тому
Gethsemane Church SDA choir tunakuletea wimbo wao mpya uitwayo Nifinyange, ungana nasi kwa kulike na kusubscribe tuwe pamoja pale tutakapo achia wimbo mpya. Karibuni sana. #gospel #jesus #god #bible #love #christian #faith #church #o #jesuschrist #worship #music #gospelmusic #christ #prayer #christianity #deus #holyspirit #godisgood #bibleverse #pray #hope #blessed #truth #grace #scripture #ame...
GETHSEMANE GROUP KINONDONI (GGK) SDA - Bado Kitambo
Переглядів 51 тис.2 роки тому
GETHSEMANE GROUP KINONDONI (GGK) SDA choir tunakuletea wimbo mpya uitwayo Bado kitambo, ungana nasi kwa kulike na kusubscribe tuwe pamoja pale tutakapo achia wimbo mpya. Karibuni sana. #gospel #jesus #god #bible #love #christian #faith #church #o #jesuschrist #worship #music #gospelmusic #christ #prayer #christianity #deus #holyspirit #godisgood #bibleverse #pray #hope #blessed #truth #grace #s...
GETHSEMANE GROUP KINONDONI (GGK) SDA - JINA LA YESU
Переглядів 34 тис.2 роки тому
GETHSEMANE GROUP KINONDONI (GGK) SDA choir tunakuletea wimbo mpya uitwayo JINA LA YESU, ungana nasi kwa kulike na kusubscribe tuwe pamoja pale tutakapo achia wimbo mpya. Karibuni sana. #gospel #jesus #god #bible #love #christian #faith #church #o #jesuschrist #worship #music #gospelmusic #christ #prayer #christianity #deus #holyspirit #godisgood #bibleverse #pray #hope #blessed #truth #grace #s...
GETHSEMANE GROUP KINONDONI (GGK) SDA - TUONANE TENA
Переглядів 32 тис.3 роки тому
GETHSEMANE GROUP KINONDONI (GGK) SDA choir tunakuletea wimbo mpya uitwayo Tuonane tena, ungana nasi kwa kulike na kusubscribe tuwe pamoja pale tutakapo achia wimbo mpya. Karibuni sana. #gospel #jesus #god #bible #love #christian #faith #church #o #jesuschrist #worship #music #gospelmusic #christ #prayer #christianity #deus #holyspirit #godisgood #bibleverse #pray #hope #blessed #truth #grace #s...
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Mawimbi
Переглядів 7 тис.4 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Mawimbi
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Amani
Переглядів 3,9 тис.4 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Amani
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Msamaria
Переглядів 6 тис.4 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Msamaria
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Tutakutana Juu
Переглядів 3,3 тис.4 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Tutakutana Juu
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Tutapataje Kupona
Переглядів 3,1 тис.4 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Tutapataje Kupona
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Pambano
Переглядів 18 тис.4 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Pambano
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) -Yonah
Переглядів 7 тис.4 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) -Yonah
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Shika Mkono
Переглядів 8 тис.4 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Shika Mkono
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Nina Matumaini
Переглядів 8 тис.4 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Nina Matumaini
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Nabii Elia
Переглядів 6 тис.4 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Nabii Elia
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) wakiimba kanisani
Переглядів 7464 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) wakiimba kanisani
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - WAPIGA DEBE
Переглядів 9 тис.4 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - WAPIGA DEBE
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) wakipokea zawadi ya kinanda cha kwaya
Переглядів 1,5 тис.4 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) wakipokea zawadi ya kinanda cha kwaya
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - GETHSEMANE
Переглядів 11 тис.4 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - GETHSEMANE
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Tanzania
Переглядів 2,1 тис.4 роки тому
Gethsemane Group Kinondoni SDA (GGK) - Tanzania
Gethsemane group kinondoni siku Ya changizo
Переглядів 2535 років тому
Gethsemane group kinondoni siku Ya changizo
Msamaria - Gethsemane Group Kinondoni SDA
Переглядів 1,8 тис.5 років тому
Msamaria - Gethsemane Group Kinondoni SDA
Nimeonja pendo - Gethsemane Group Kinondoni SDA
Переглядів 6 тис.5 років тому
Nimeonja pendo - Gethsemane Group Kinondoni SDA
But you dance too much
😭😭😭
Hadi raha jaman
Hongeraa saaana ❤❤❤ ggk
Mbona mnacheza sana
Barikiweni ssnaaa
Huyo bi harusi wa kweli ??
Safi kabisa nimebarikiwa Amina?
Amen
Amina🙏 kwa kazi njema, muende mbali ila msipotee
NIMEBARIKIWA SANA SANA NA HUU WIMBO NA NAONA UTASABABISHA UVUNJIFU MKUBWA WA CHAMA CHA MABAHARIA NA MABACHELAR KWA KURUDISHA KADI ZA UANACHAMA NA KUINGIA NDANI YA "Ni siku yetu..."
Mbarikiwe sana
Your songs are always 🔥
🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
I love this song God bless
❤
Wimbo nimepata Bado mme tu😂
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Bonge la kipande. Nimewamiss Tutakutana tena siku moja. Salamu zangu kwaa team 10 days of prayers 2021.
Aiseeee mbarikiwe sana watu wa MUNGU wimbo Bora sana❤
Mbarikiwe sana sana
❤❤
Amen
Wimbo mzur xana jaman nimebarikiwa
Hongeren GGK
OK GGK
Mibaraka tele kwenu GGK❤
Kawimbo kazur ❤🎉jmn Mung awajalie maisha marefu yenye UPENDO FURAH na AMANI TELE 🙏
Ndoa yalin?
Amen
Hongereni sana
Hongera sanaaa wimbo uko pw 🎉
Kazi nzuri sana mbarikiwe sana
Hongereni sana
Hongereni sana mbarikiwe
Mnatubariki sana GGK big famili ,Mungu azidi kuwabariki msirudi nyumaa,,songen mbelee
mbarikiwe sana GGK kwa wimbo mzuri, kwakweli hii ni siku muhimu sana katika maisha ya kila mwanadamu hapa duniani. Mungu azidi kuwa pamoja na ambao tayari wameifurahia siku hii , pia ambao bado na ni matamanio yao Bwana akawaongoze pia siku moja wakafurahie siku hii.
To God be all the glory wana GGK.A nice song
Wimbo tayari nimepata🎉😊 nisiku yetu
🎉🎉🎉 hongera sana GGK kwa wimbo mtamuuu mnoo pia mmevaa vzuri ujumbe tumeupata, 🙌🙌
Binafsi nimebalikiwa sana na huu wimbo, naamini 2030 utanibaliki sana, MUNGU awafikishe viwango vya juu sana
Kwamba 2030 ndio utaolewa😂😂😂😂
🎉🎉🎉😂😂😂Aminaaaaaaaaa
Hatimae mwendoo wa kuimbianaa2
MUNGU balik kazi hii watu wengi wakakuone ww hasa wanandoa
Ila mko vizuri tuache wivu
Amaina na Amina!! MUNGU awafanye kama Isaka na Rebeka
Hongereni sana GGK mmbarikiwe
🎉🎉🎉love u people
Hakika GGK tuwape mau yenu🎉🎉🎉🎉 wimbo Ni mzuri sanaaa MUNGU azidi kuwatumia katika kuhubiri injili Kwa njia Ya uimbaji
Wimbo nishapata tayar Bado tuu😂😂😂😂😂 anyway Mungu awabariki sanaa ggk
Aminaaaa ..ubarikiwe kumbuka kushare
Hongereni SANA watu wangu wa nguvu... 🎉🎉🎉
Amennn..barikiwa
Hongereni sana GGK hakika mko juu,MMBARIKIWE sanaa