Kwaya ya Mt Mikael Malaika Mkuu, Mhandu Mwanza
Kwaya ya Mt Mikael Malaika Mkuu, Mhandu Mwanza
  • 8
  • 1 102 688
MLANGO MWEMBAMBA _MTUNZI:SADOCK MODEST
Kwaya ya Mt. Mikael Malaika Mkuu kutoka Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mtume - Mhandu , Mwanza, Jimbo kuu katoliki la Mwanza wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu unaoitwa MLANGO MWEMBAMBA .
Song Description
Wimbo: MLANGO MWEMBAMBA
Mtunzi:SADOCK MODEST
Audio:RAJO PRODUCTIONS
Video:MOZEN PRODUCTIONS
MawasilianoKwaya: +255 686 131 305 | +255 766 656 631
kwayayamtakatifumikaelmalaika@gmail.com
Studios
MOZEN Productions:+255 746 775 116
RAJO Productions :+255 758 988 827
"Onyesha upendo kwa ku "subscribe, share, like and comment" nawe utakua umeshiriki katika utume huu na Mungu atakubariki maradufu"#MOZEN Productions #Moyo Mtakatifu wa Yesu #Kwaya Katoliki #Kwaya Mikael Malaika Mkuu#Hekima #Mhandu
Переглядів: 2 114

Відео

UNANIKIRIMIA | F.C. MABOGO | Kwaya ya Mt. Mikael Malaika Mkuu - Mhandu Mwanza.
Переглядів 28 тис.10 місяців тому
Kwaya ya Mt. Mikael Malaika Mkuu kutoka Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mtume - Mhandu , Mwanza, Jimbo kuu katoliki la Mwanza wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu unaoitwa UNANIKIRIMIA. Kupitia wimbo huu Wanamshukuru Mungu kwa kumaliza Mwaka Salama pia wanamuomba Mungu waanze Mwaka salama. Song Description Wimbo: UNANIKIRIMIA Mtunzi:FREDRICK C. MABOGO Audio:RAJO PRODUCTIONS Video:MOZEN ...
YATENGENEZENI MAPITO ( Official video) Mtunzi:M C MABOGO
Переглядів 14 тис.Рік тому
kwaya ya Mtakatifu mikael Malaika mkuu kutoka parokia ya Mtakatifu Yakobo mtume -Mhandu,Mwanza ,Jimbo kuu katoliki la Mwanza Wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu unaoitwa YATENGENEZENI MAPITO Song Description wimbo: YATENGENEZENI MAPITO Mtunzi:M.C.MABOGO Audio: RAJO PRODUCTIONS Video:MOZEN PRODUCTIONS Mawasiliano kwaya 255686131305/ 255766656631 kwayayamtakatifumikaelmalaika@gmail.c...
MFALME MKUU (Official Video HD) - Mtunzi:M.C.MABOGO
Переглядів 21 тис.Рік тому
Kwaya ya Mt. Mikael Malaika Mkuu kutoka Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mtume - Mhandu , Mwanza, Jimbo kuu katoliki la Mwanza wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu unaoitwa MFALME MKUU. Song Description Wimbo: MFALME MKUU Mtunzi:M.C.MABOGO Audio:RAJO PRODUCTIONS Video production:MOZEN PRODUCTIONS MawasilianoKwaya: 255 686 131 305 | 255 766 656 631kwayayamtakatifumikaelmalaika@gmail.com S...
HEKIMA Official Video | Thomas Joseph | Kwaya ya Mt. Mikael Malaika Mkuu - Mhandu.
Переглядів 56 тис.Рік тому
Kwaya ya Mt. Mikael Malaika Mkuu kutoka Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mtume - Mhandu , Mwanza, Jimbo kuu katoliki la Mwanza wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu unaoitwa HEKIMA . Song Description Wimbo: HEKIMA Mtunzi:Thomas Joseph Audio:RAJO PRODUCTIONS Video:MOZEN PRODUCTIONS Soloist: Edwin Kamala Mawasiliano Kwaya: 255 686 131 305 | 255 766 656 631 kwayayamtakatifumikaelmalaika@gmai...
TWAKUSIFU MARIA -Ray Ufunguo |Kwaya ya Mt Malaika Mkuu Mhandu| (official video)
Переглядів 142 тис.Рік тому
Twakusifu Maria Mama yetu uliyebarikiwa sana mwombezi wetu nyakati zote Wimbo:Twakusifu Maria Mtunzi: Ray Ufunguo Waimbaji: Kwaya ya Mt Malaika Mkuu Mhandu Audio Pro: RAJO Pro Video Pro: MOZEN Pro
RAFIKI-Dr Kelvin B Bongole (Kwaya ya Mt Mikael Malaika Mkuu ft Edwin Kamala)-(official Video)
Переглядів 19 тис.Рік тому
Rafiki mwaminifu ni kinga imara ampataye rafiki huyo amepata hazina. Wimbo: RAFIKI Mtunzi: Dr Kelvin B Bongole Instrumentation: Dr Kelvin B Bongole Waimbaji:Kwaya ya Mt Mikael Malaika Mkuu Soloist:Edwin Kamala Audio Production:RAJO Pro Video production: MOZEN Pro Kwa neema ya Mungu kama rafiki wa kweli karibu utuunge mkono katika kazi yetu ya Utume. Shiriki katika uzinduzi wa Albamu yetu tarehe...
MOYO WA YESU (Official Video HD) - Mtunzi:Gilbert Anthony
Переглядів 821 тис.Рік тому
Kwaya ya Mt. Mikael Malaika Mkuu kutoka Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mtume - Mhandu , Mwanza, Jimbo kuu katoliki la Mwanza wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu unaoitwa MOYO WA YESU.Katika Moyo mtakatifu wa Yesu yamo mapendo yote ya Mungu anayo tupenda nayo sisi wanadamu.Kwahiyo kwetu sisi moyo huu u wazi na ni chemichemi ya neema kwa maisha yetu. Song Description Wimbo: MOYO WA YESU...

КОМЕНТАРІ

  • @EvaristoMbilinyi-d8s
    @EvaristoMbilinyi-d8s День тому

    Very blessed me

  • @JumaMwinamila-j1h
    @JumaMwinamila-j1h 5 днів тому

    Hongereni sana. Sauti ni nzur mno. Naomba nota ya huu wimbo

  • @SurprisedCells-dy7ws
    @SurprisedCells-dy7ws 6 днів тому

    Naomba koppy

  • @SesiliaMathias-g4b
    @SesiliaMathias-g4b 11 днів тому

    Naipenda sn kwaya hii na nyimbo zake,hongeren sn na mungu awabariki,

  • @RitaErnesto-y8j
    @RitaErnesto-y8j 21 день тому

    Ni ongera sana kwa kwaya hii kwa nyimbo za kumuabudo Mungu.

  • @Jumuiyacecilia1
    @Jumuiyacecilia1 Місяць тому

    Safi sana❤

  • @Lvenex
    @Lvenex Місяць тому

    Hongreni xana kwa utume wa uimbaji

  • @frolencesimchile4719
    @frolencesimchile4719 Місяць тому

    amina saaana

  • @SalomeBupule
    @SalomeBupule Місяць тому

    ❤❤❤

  • @SalomeBupule
    @SalomeBupule 2 місяці тому

    hongeleni sana ❤❤❤

  • @SalomeBupule
    @SalomeBupule 2 місяці тому

    Napenda uimbaji wao❤❤❤❤

  • @RutaMagendeka
    @RutaMagendeka 2 місяці тому

    Safisanaaaa

  • @RutaMagendeka
    @RutaMagendeka 2 місяці тому

    Sa

  • @RoseKavugho-u3z
    @RoseKavugho-u3z 2 місяці тому

    Ggh

  • @tempochoir
    @tempochoir 2 місяці тому

    ❤❤❤

  • @tituskivia
    @tituskivia 2 місяці тому

    ninabarikiwa sana kwa huu wimbo. na siuchoki

  • @assumptajeptum443
    @assumptajeptum443 3 місяці тому

    Kazi safi sana 🎉❤❤❤

  • @PaulMadundo
    @PaulMadundo 3 місяці тому

    Nawapenda buree wimbo huu kwakweri unanikosha sana mungu awabariki sanaa 4:39

  • @PaulMadundo
    @PaulMadundo 3 місяці тому

    Nawapenda buree wimbo huu kwakweri unanikosha sana mungu awabariki sanaa

  • @PaulMadundo
    @PaulMadundo 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @victoriajoseph-k3c
    @victoriajoseph-k3c 3 місяці тому

    Mungu awabariki katika utume huu wa kwaya

  • @JescaLobey
    @JescaLobey 3 місяці тому

    Shukurani kwa kutukuza moyo mtakatifu wa yesu

  • @marionmarish9934
    @marionmarish9934 3 місяці тому

    Wimbo unaonivutia siku zote,kazi safi sana

  • @piusmaiyo1118
    @piusmaiyo1118 3 місяці тому

    Asante kwa kutumia talanta zenu kumsifu mungu, mungu awazidishie baraka mara Mia.

  • @rosekareru9850
    @rosekareru9850 3 місяці тому

    The song is really touching my soul.Be blessed and be filled with Holy spirit as you spread gospel through songs.

  • @wesleyrogito8326
    @wesleyrogito8326 4 місяці тому

    may the the loving lord be upon you as continue composing more songs as we pray and believe the loving lord will guide and strengthen as you continue praising the living lord its through this songs which the catholic church more lively when we hear your new songs being composed by our fellow catholic members

  • @augustanyaoko6379
    @augustanyaoko6379 4 місяці тому

    Hongera wanakwaya Wimbo unanipa matumaini Msichoke kuinjilisha Kwa kuimba.Heri Na Baraka tele

  • @onyx8606
    @onyx8606 4 місяці тому

    Yesu pronunciation is the same as that of Korea

  • @mgolemakubi8288
    @mgolemakubi8288 4 місяці тому

  • @mgolemakubi8288
    @mgolemakubi8288 4 місяці тому

  • @HermanKijangwa
    @HermanKijangwa 5 місяців тому

    Wimbo mzuri sana well done 👍👍

  • @TinaSamwel-x8h
    @TinaSamwel-x8h 5 місяців тому

    Moyo mtakatifu WA Yesu utuhurumie

  • @EMMANUELDeusMadale
    @EMMANUELDeusMadale 5 місяців тому

    Penda sana huu wimbo

  • @StivinSapi-eg7kr
    @StivinSapi-eg7kr 5 місяців тому

    Hongereni sana Atukuzwe MUNGU.

  • @SeniorWanillah
    @SeniorWanillah 5 місяців тому

    Edwin Kamala apewe tuzo! hii ni zaidi ya kazi na ni zaidi ya uinjilishaji, pia ni zaidi ya burudani

  • @masozeraqueen
    @masozeraqueen 5 місяців тому

    Very nice song! Well done🎉

  • @MaryMushi-s6o
    @MaryMushi-s6o 6 місяців тому

    Ongera sana mtoto wa ufunguo wimbo nzuri sana

  • @SYLVESTEROCHIENG-q2d
    @SYLVESTEROCHIENG-q2d 6 місяців тому

    I heard this song in Radio Waumini, I had to download it straight away!!!

  • @SYLVESTEROCHIENG-q2d
    @SYLVESTEROCHIENG-q2d 6 місяців тому

    Hii imeweza saaana!!!!

  • @FabianMbungani
    @FabianMbungani 6 місяців тому

    Naipenda wakovizuri❤

  • @EdwardKimario
    @EdwardKimario 6 місяців тому

    Nzuri

  • @timothyolomy2729
    @timothyolomy2729 6 місяців тому

    Tumsifu Yesu Kristo. Naweza kupata vipi mawasiliano ya viongozi wa kwaya hii? Msaada tafadhali.

  • @MagdalenaSimon-jh1pn
    @MagdalenaSimon-jh1pn 6 місяців тому

    Umenibarik san mtunz baba angu kaz nzur bab glibert antony

  • @antonysabuso
    @antonysabuso 6 місяців тому

    Mungu aendelee kukuinua

  • @antonysabuso
    @antonysabuso 6 місяців тому

  • @Scalletfay-zt4km
    @Scalletfay-zt4km 7 місяців тому

    Wow ❤ my best song big up

  • @ScolastikaMasongo
    @ScolastikaMasongo 7 місяців тому

    Ni nzuri sana wanaimba vizur

  • @DevotaAlfred
    @DevotaAlfred 7 місяців тому

    Hongeren sana kwa utume wa kutuinjilisha kwa wimbo mzuli

  • @DevotaAlfred
    @DevotaAlfred 7 місяців тому

    Napanda sana nyimbo za moyo mtakatifu wa yesu maana napata faraja mungu awabariki sana

  • @KulwaElisha-jd4pf
    @KulwaElisha-jd4pf 7 місяців тому

    Naugana nanyi kwa uibaji wenu muzuli