JOSHUA KYANDO :HUWEZI MWENYEWE(AUDIO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лип 2021
  • UNAMPENDA YESU? Kama ndiyo basi SUBSCRIBE injili iendelee duniani kote.
    JOSHUA KYANDO ameokoka na anampenda Yesu.Wimbo huu ameutunga kwa hisia kali zilizoambatana na Uwepo wa MUNGU alie hai ambae amempa kipawa cha kuimba.
    HUWEZI MWENYEWE ni wimbo mojawapo wa Joshua kyando kutoka Jiji la waimbaji lijulikanalo kama MBEYACITY.
    JOSHUA KYANDO na wimbo huu wa huwezi mwenyewe aliutunga baada ya kutafakari ukuu na utendaji wa YEHOVA na kujua dhahiri kwamba kiuhakika mwanadamu bila MUNGU hauwezi kitu.
    JOSHUA KYANDO ni mtoto wa kwanza wa mchungaji JOEL KYANDO anaehudumu katika kanisa la T.A.G.
    Kumbuka kwamba mchungaji huyu ndie mlezi pia wa mwimbaji chipukizi JUMA KYANDO maarufu kama KIBONGE WA YESU.
    Ndugu mfuatiliaji wa JESUS GOSPEL UNITY usikose kusubscribe channel hii kama unampenda Yesu.

КОМЕНТАРІ •