JAMAA ALIYEJIREKODI AKICHOMA PICHA YA RAIS SAMIA NA KUMTUKANA, RC AAGIZA "NATOA MASAA 24 ASAKWE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 175

  • @mudrickkisinda1515
    @mudrickkisinda1515 3 місяці тому +14

    Mimi najua watanzania wengi tunatamani kufanya hivi sema uoga tu😂

    • @Sahlomon-jp4jr
      @Sahlomon-jp4jr 2 місяці тому

      @@mudrickkisinda1515 walinda legacy na haters wa mama mbona wachache sana.....toa neno wengi.

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 3 місяці тому +26

    Mwenyezi Mungu anatukanwa mchana kweupe hatujawahi kuona kiongozi yyte wa serikal akitoa kauli km hii au Samia na Mungu Samia ni Bora kuliko Muumba

    • @RamadhaniMadanga-ne7jk
      @RamadhaniMadanga-ne7jk 3 місяці тому +3

      Bongo Kuna uhuru wakusifu tuuu kupinga nakukashifu hakuna

    • @MwanahamisHassan
      @MwanahamisHassan 3 місяці тому +1

      ​@@RamadhaniMadanga-ne7jkmbona mungu alitukanwa

  • @CharlesMajahasy
    @CharlesMajahasy 3 місяці тому +13

    Hawatusaidii Sisi ndo tunawasaidia, tunawalipa mshahara, mnakula bule, mnajisaidia bule hizo zote ni nguvu zetu, mnakula jasho letu na bado mnaiba jasho letu, inauma Sana.

    • @MPOYOLAFILMS
      @MPOYOLAFILMS 3 місяці тому

      Hahahaha kudadeki wew huogopi...

  • @thomasgabriel588
    @thomasgabriel588 3 місяці тому +24

    Acha kujipendekeza kila raia ana uhuru WA kutoa maoni yake
    Muulize ruto
    Sioni kosa lake natamani ungemwita muulize kwnn ulichoma picha naje unahisi serikali ifanye nnn sio kumkamata

  • @MwanahamisHassan
    @MwanahamisHassan 3 місяці тому +6

    Alitukanwa mungu na aliyetukana ni afande sele mbona serikali hamkufanya kitu Kwa sababu ni mungu ndio maana hamsemi lkn samia ndio mwajiona Kimbelembele kusema huyo MTU ashikiliwe hii sio Hakii kabisa na huu ni ukatili wa kiimani kabisa serikali mnavyofanya sio haki mwacheni MTU aseme anachokitaka. ( Every citizen has a right to do what he or she wants at any time or any place)

  • @SelemaniEmail
    @SelemaniEmail 3 місяці тому +5

    Kumamae zenu na serikali yenu ya mama samia ya kikuma

    • @Sahlomon-jp4jr
      @Sahlomon-jp4jr 2 місяці тому

      @@SelemaniEmail haters stress zitawaua mamamamamamamae zenu!!

  • @ElishaZachariaEmmanuel
    @ElishaZachariaEmmanuel 3 місяці тому +2

    Mama mzazi nchi hii😂😢😢

  • @commandorsrlo175
    @commandorsrlo175 3 місяці тому +9

    Asakwe kivp haliyakua ana ongea ukweli

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 3 місяці тому +10

    Acha ujinga samai mama kwa wanae sio Mimi Wala ww ndio hata ww ukipata tatizo huwezi kumuona au kuja kukuona kwakua ww sio mama ako

  • @KinggureyAlii
    @KinggureyAlii 3 місяці тому +2

    This guys hutuambia eti kenya.. ooh.. kenya.. eehh 😂

  • @johnonyango6069
    @johnonyango6069 3 місяці тому +2

    Freedom of speech and expression my friend. Wewee ndio ukona umbeya

  • @CharlesMasila-nn3kg
    @CharlesMasila-nn3kg 3 місяці тому +2

    Nyinyi mko nyuma sana,,😂😂😂 yaani mtu hawezi akatofautiana na rahisi wenu

  • @StanyOfficiol
    @StanyOfficiol 3 місяці тому +2

    Kwani. Mama samia ni mungu mama sio mungu ni mtu tu na ukisema kakashf basi ameshindwa kuongea kilichokera kuhusu mama ndo maana kafanya action hiyo sasa mfanyakazi wangu hawezi kuogopwa akikera anaambiwa je ni wapi sauti za maskini zitamfikia au ni shobo we mkuu ambaye nawe unalipwa mshahara kwa kupitia kodi zetu

  • @RashidiHassani-b6z
    @RashidiHassani-b6z 3 місяці тому +2

    Mnamuonea tu kumkamata picha kitu Gani nanyie serekali mnayoo tufanyia Yana uzur gan bwana ,mtu anaongea ukweli tu nyie vipi mnazingua tz Bora tuwe kama Kenya tu

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 3 місяці тому +2

    Muwasake hata wanao uuza lasilimali za inchi yetu na wanaovunja katiba

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 3 місяці тому +4

    Mim binafsi samia sio mama yangu wala sio shangazi yangu.....huyo mchoma picha ameonesha jinsi gani raia wamemchoka huyo mama yenu

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 3 місяці тому +2

    Kutunwa jambo ra kawaida Kuna kazi nyingi za kutusaidia wananchi anatukanwa mungu hamuongei kwakua mungu hatoi ajira na pesa

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 3 місяці тому +2

    Acha ushamba mama hajaanza kusemwa vibaya leo wala jana... Ni maraisi wote na jambo la kawaida tu.... Unaweza kuona ni jambo jema kumbe ndio kuanzisha tatizo

  • @jeremiaholesingooi3940
    @jeremiaholesingooi3940 3 місяці тому +2

    Kama hataki kutukanwa angekaa nyumbani na bwana yake juu ako kazi yetu na sisi ndo mabosi wake Tanzania wananchi mjue haki yenu kaa raia

    • @Sahlomon-jp4jr
      @Sahlomon-jp4jr 2 місяці тому

      @@jeremiaholesingooi3940 hebu lisikilizeni na hili punga!!🥱🥱🥱🥱

  • @Nestoemanuel
    @Nestoemanuel 3 місяці тому +2

    Msengeee www

  • @abdulmagido5444
    @abdulmagido5444 3 місяці тому +2

    Nyinyi viongozi mnakuwa na jazba sana akili fupi tu wewe ndio kama unataka kutengeneza hili jambo lisambae na kutengeneza mada hakuna utalatibu mwingine wa busara wa kuchukuwa hii hali ya ukhanisi inazidi kiasi watu wanaogopa kupeleka watoto wao kwenye boarding school ww mwanambeya umechukuwa hatua gani ww unataka kutia kuni kwenye moto

  • @khamisibro2106
    @khamisibro2106 3 місяці тому +2

    Musitariju kufanya kitu kama icho tena...tanzania sio 🇰🇪

  • @DicksonKobe
    @DicksonKobe 3 місяці тому +6

    Mambo ayo yamepitwa na wakati,

  • @Dizzolee-tz
    @Dizzolee-tz 2 місяці тому

    Nyinyi wote mnamtetea mama samia nyie ni masenge tu

  • @NtugwaGaleshi-w1p
    @NtugwaGaleshi-w1p 2 місяці тому

    Hapa Atuna kiongoz , unashindwa kulaani mauaji ya kikatili na marehem kukatwa viungo unalaani picha ya samia kuchomwa Moto kilaza kweli kweli

  • @fxmeddy9567
    @fxmeddy9567 3 місяці тому +4

    Huyo samia ndo mungu wenu???

    • @StevenSanga-n3n
      @StevenSanga-n3n 3 місяці тому

      Uyo samia ivi ni nan mbna simjui

    • @Sahlomon-jp4jr
      @Sahlomon-jp4jr 2 місяці тому

      @@StevenSanga-n3n na hata Hana haja ya kujulikana na sungusungu kama wewe, Ili iweje kwanza?!!!

  • @jumagora3462
    @jumagora3462 3 місяці тому

    Mm kama mwana jamii mwenye haki za nchi niraiya wa nchi narejea hata kama agekuwa sio rais apewe haki yake ya kuzalilisha tu kisheria kisheria

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 3 місяці тому +2

    R.i.p JPM
    Mwamba kweli kweli

  • @thefinalstand2022
    @thefinalstand2022 3 місяці тому

    Kumtia hatiani ni ngumu sana sana maana hajavunja sheria...! Hiyo picha ya samia, ni picha ya kawaida tu na siyo nembo ya taifa. Lakini, anapokuwanayo,, anakuwa anaimiliki kama personal property yake, so anaweza kuichana tu au kuichoma... lakini, kamkosoa Mama... tu, hajamtukana matusi ya nguoni.... HUYO JAMAA, LABDA SHERIA ISITENDE HAKI...IKITENDA HAKI, HAWEZI FUNGWA KABISA.

  • @GloryDeo-m7x
    @GloryDeo-m7x 3 місяці тому +4

    Na ww ni msenge

  • @stevenialbert5033
    @stevenialbert5033 3 місяці тому +5

    Huyu raisi mpendwa rushwa atumtak kauza nchi ytu na ndugu zake wakin kikwete cmpendi huyu mama bc tu

    • @Sahlomon-jp4jr
      @Sahlomon-jp4jr 3 місяці тому

      Mjinga km wewe usipompenda unampunguzia nini'?!!! Bado yupo sana minduku wakubwa nyie na udini wenu huo!

    • @Dizzolee-tz
      @Dizzolee-tz 2 місяці тому

      @@Sahlomon-jp4jrwe ni msenge sana huyo mama ako kaupata urais kwa kumzima mwenzao nasio kumpa kura kwa utayali wetu we komwe lako matako yako wewe

    • @Sahlomon-jp4jr
      @Sahlomon-jp4jr 2 місяці тому

      @@Dizzolee-tz na mkizidi kuleta ushoga wenu atawatia vidole kabisa.....bwabwa mkubwa wewe. Mna chuki mpaka hamjui hata mnaloongea?!! Hebu nendeni mkafirimbwe kwa nabii Tito huko.

  • @DanielMwasi-cq2rg
    @DanielMwasi-cq2rg 3 місяці тому

    Hakuna aliyeongea ukweli akabaki salama

  • @JeremiahNyunza-ov9ll
    @JeremiahNyunza-ov9ll 3 місяці тому

    Kwanza hapo ulipo ni Mbeya naona upo mwanjelwa hapo..

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 3 місяці тому

    KIJANA HUYO INAONYESHWA NIMFUASI WA CHADEMA UCHOCHEZI WA MBOE NA LISU UMEMUINGIA NAHUKU MIKOANI WAPO WAMESIMIA KATIKA ITKADI YA UDINI NA UTANGANYIKA

  • @isamony58
    @isamony58 3 місяці тому +8

    Bado siku chache mtakuja vijijini kutuomba kura tutakutana ukoo tumewachoka sana itakuwa kama Kenya sasa

    • @hassanmuhidin871
      @hassanmuhidin871 3 місяці тому

      Kura yako haisaidii kitu raisi anakua tayari amechaguliwa😂😂😂😂

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 2 місяці тому

      ​@@hassanmuhidin871utashangaa atavyochekechwa na kura! Kuiba hatowezekana

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 3 місяці тому

    Sio kumkashif😂 watu wanatoa ya moyoni yanayowatesa

  • @PaschalGerad-xq4lw
    @PaschalGerad-xq4lw 3 місяці тому

    Kazigan wanafanya kupandisha bei tuu

  • @obsonjulius312
    @obsonjulius312 3 місяці тому +2

    Boss yuko China au naona vibaya? Sijapenda kitendo cha vijana kufikia hatua ya kuchukia hadi picha za viongozi.

  • @alindaalinda4897
    @alindaalinda4897 2 місяці тому

    😢😢

  • @SaidKipe-zm8wt
    @SaidKipe-zm8wt 3 місяці тому +2

    Toka zako ww ukweli. Usisemwe

  • @StevenSanga-n3n
    @StevenSanga-n3n 3 місяці тому

    Achen miyeyusho mbona jamaa amefanya good baada apewe pongez mnamkamata

  • @GodsonAyo
    @GodsonAyo 3 місяці тому

    Hii nguvu polisi wanayoitumia wangetumia kutafuta jambazi Lilo muua dreva bajaji ar

  • @Bendouble
    @Bendouble 3 місяці тому

    Huyu mkuu wa mkoa ye yuko china amepoa ,mama anadhalilishwa huku

  • @ChandeTalu
    @ChandeTalu 3 місяці тому +2

    Licha ya Wana mbeya sote tunamlani kuchana handi picha ya mama yetu ???? Tatizo malezi ya family Yao si mazuri

    • @malikeyndotopopote
      @malikeyndotopopote 3 місяці тому

      Acha kujifanya umerudhika na maisha. Raia wa kawaida maisha ni ya kipumbav sana. I'm outside

    • @georgesteven5185
      @georgesteven5185 3 місяці тому

      Acha kujipendekeza kiande ww wapi alipo tukana ??

  • @makongoronyerere1564
    @makongoronyerere1564 15 днів тому

    Wanuka Mav

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 3 місяці тому +1

    Huyu anyongwe kafiri anamtuka Rais wetu

  • @sethstiven3393
    @sethstiven3393 3 місяці тому

    Uongozi wenu mubovu tunalilia moyoni IPO siku tutakiwasha msituchagulie watu wa ovyo

  • @ipepeetube449
    @ipepeetube449 3 місяці тому +2

    HakiaMungu ngoja ninyamaze tu

    • @Sahlomon-jp4jr
      @Sahlomon-jp4jr 2 місяці тому

      @@ipepeetube449 lazima unyamaze, usiyemtaka Yuko mjengoni akiwa na afya tele......utafanyaje zaidi ya kutuliza kitenesi hiko.

  • @harithrashid5314
    @harithrashid5314 3 місяці тому

    Akamatwe kwani kavunja sheria gani?

  • @Dizzolee-tz
    @Dizzolee-tz 2 місяці тому

    Hatuna uhuru wala amani nimateso tu

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 3 місяці тому +4

    ...kumukamata si busara itachochea mengi....

  • @AniziaKamanzi
    @AniziaKamanzi 3 місяці тому

    Kivp Sasa

  • @xfamefatetv
    @xfamefatetv 3 місяці тому

    Itakuwa Amekua divorced na empowered women😭 MSAMEHEE #Mama #Raisi #Samia #ccm

  • @zaharamustafa-t1l
    @zaharamustafa-t1l 3 місяці тому

    Huyo kijana maisha yanemshida mtaani alitaka kila vya bure

  • @yanawezekana9429
    @yanawezekana9429 3 місяці тому

    KIJIJI ULICHOKISEMA MKUU WA MKOA SIO ALICHOKITAMKA KUWA YUPO. MIHEMUKO HIYO

  • @MohamediKalanje
    @MohamediKalanje 3 місяці тому +2

    No comments

  • @charackally8846
    @charackally8846 3 місяці тому +2

    Vijana wa Tanzania asilimia kubwa ni wajinga sn, Na hawajuwi wanachokifanya, yaani kuna mtu anatetea ujinga wa huyu kijana, eti ni sw, hebu jaalia kwamba rais samia ni km mama yako mzazi alafu anafanyiwa ivyo, ungepokeaje Na ungejihisije?, Hakuna alokatazwa kutoa maoni yake ila kwa utaratibu Na uungwana Na sio kwa kuvunjiana heshima, huyu kijana sijuwi anatoka familia gani ila hichi anachokifanya ni matokeo ya malezi ya wazazi wake ambayo wamempatia, Na sijuwi dini gani, maana dini zote zinakataza kumvunjia mtu heshima yake.

    • @AbubakaryOmary-qw5dk
      @AbubakaryOmary-qw5dk 3 місяці тому +2

      Watu wamechoka hakuna Cha heshima

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 3 місяці тому

      ​@AbubakaryOmry-qw5dk umechoka wewe Fala usiyetaka kufanya kazi unasubiri serikali ikupe vya bure nyau wewe

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 3 місяці тому

      @@walidmgonja3644Najua wewe ni shoga unapata pesa kirahisi,sasa acha wanaume wa kazi walalamike maama wanafanya ngumu,we umeshaolewa tayari 👙

    • @Dizzolee-tz
      @Dizzolee-tz 2 місяці тому

      Hauna akili wewe

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 3 місяці тому

    Mkuu fanya kazi yako kwani asiefunza na mamae hufunzwa na ulimwengu lakini huenda ni mwenda wazimu mumchunguze

  • @hallin9561
    @hallin9561 3 місяці тому

    Rais akifanya ushenz asifiwe, uyu mpuuz ajiuzuru tu hatumtaki

  • @SundiEliasi
    @SundiEliasi 18 днів тому

    Ww mkuu wa mkoa ni mjinga sana huna akiri

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 3 місяці тому

    Huyo nae anavuta bangi

  • @vibes6446
    @vibes6446 3 місяці тому

    Mkuu wa mkoa unaongea ukiwa wapi

  • @agustinoezekiel
    @agustinoezekiel 3 місяці тому

    Aiseeee

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 Місяць тому

    We unaongea kama nani

  • @hassanmuhidin871
    @hassanmuhidin871 3 місяці тому

    Akamatwe haraka asituletee ujinga wa kikenya hapa tz

    • @MariamKhalid-ub9jj
      @MariamKhalid-ub9jj 3 місяці тому

      Ujinga wa kikenya ni upi??? Wananchi kupigania haki zao?? Skia mjinga ni ww tena mjinga wa kutupwa... useless 😏😏

  • @ashamkesa979
    @ashamkesa979 3 місяці тому

    Nikweli asakwe na nahatua zichukuliwe dhidi yake asijifanye Genz

  • @MbossoMbosso-rw4ox
    @MbossoMbosso-rw4ox 3 місяці тому

    Na badooo Gen Zzzzzzzzzzzz

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 місяці тому

    hakuna maoni ya kumtukana raisi,tusisababishe vurugu na ukosefu wa heshima kwa kisingizio cha kutoa maoni!!
    kwanza kuchoma picha ya raisi ni kosa kisheria!!

  • @JansanMokiwa
    @JansanMokiwa 3 місяці тому +2

    Akiripoti kutoka China huyu ni Juma Homera

  • @davideditz2049
    @davideditz2049 3 місяці тому

    Fanyeni kazi za maana kutukanwa kupo

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 3 місяці тому

    Kutusaidia kutuibia

  • @SundiEliasi
    @SundiEliasi 18 днів тому

    Mbona wanao mtukana Mungu hamuwachukulii hatua hila leo huyo mshenzi mnajiongeresha upuuzi msije ukerewe hatuawataki umbwa nyie

  • @JacksCarlos-zy2ci
    @JacksCarlos-zy2ci 3 місяці тому

    😂😂😂 hapa Kenya wamezoea hata iwe rais Sisi hapana tambua

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 місяці тому

    Mnafiki ww ulisake kwanza domo la jeiz lililokua linatoa Siri za ikulu maana Hilo ndilo kubwa ubabe ni WA muda Mungu wa milele

  • @LeilaSadik-o1w
    @LeilaSadik-o1w 3 місяці тому

    Wanashindwa kuwakata wanao iba mabillioni ya hela serikalini wana kazi wa kuwanyanyasa wanannchi kwanza hapo alipo sio tanzania' fanya maendeleo ya mbeya kazi uliyopewa sio kazi yako hiyo ni ya polisi

  • @kilelechaimani.8956
    @kilelechaimani.8956 3 місяці тому

    Viongoz wanatusaidia,je kama hawatusaidia tuendelee kuwasifia?huyu nae mkuu wa mkoa zwazwa tu kaweka tambi lake mbele analinda ugali.

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 3 місяці тому

    Huyo rais wako kakupa ajira ndo maana unamtetea cc hatumtaki hata kumuona tukutane 2025

    • @Sahlomon-jp4jr
      @Sahlomon-jp4jr 2 місяці тому

      @@ponsianomnyaru9140 hama nchi nungu nungu we!!

  • @africanatvshow4521
    @africanatvshow4521 3 місяці тому

    Mkuu wa Mkoa hana akili kabisa huyu .Kila mtu ako na Freedom of expression..Shida ya sisi watanzania tunajipendekeza sana na hawa politicians wengi ni slaves kwa watu wa nje ..

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 3 місяці тому

    Wakimalizana na huyo sheria itayotumika kumshtaki naomba itiliwe mkazo sana manake matusi mtaani imekuwa jambo la kawaida aswa kwa makonda wa dala dala na vijana wengi muda mwingine utumia tusikama sehemu ya kusifia lakini si tabia njema..

  • @NikiMaliki
    @NikiMaliki 3 місяці тому

    Ukiongea kutoka china 😂 au wap

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 3 місяці тому

    Nackia Kuna jamaa amenunua leo umeme wa Elfu tatu akapata uniti moja😅😅😅
    Kwani makato saiz ya umeme mwisho wa mwezi ni shingapi au wamepandisha kimya kimya

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 3 місяці тому

    Jipendekeza

  • @johnshayo9635
    @johnshayo9635 3 місяці тому

    Duh haya bhana ndo kazi ya polisi hiyo

  • @PriskusMhaka
    @PriskusMhaka 3 місяці тому

    Akamatwe

  • @BashirMatola
    @BashirMatola 3 місяці тому

    Kumtukana kiongozi wa nchi ni kosa kubwa kuna njia nyingi za kufikisha malalamiko achukuliwe atua kali sana huyo ni muovu akamatwe

  • @classicdenzmorlke
    @classicdenzmorlke 3 місяці тому

    😂😅 Kenya hatuna. nidhamu kwel

  • @nhztmemery4030
    @nhztmemery4030 3 місяці тому

    Story ya kumtukana Rais watuachie wa Kenya 😅

  • @rebeccaselemani9597
    @rebeccaselemani9597 3 місяці тому

    Mkuu wa mkoa mjinga kabisa

  • @jamesnyamila2165
    @jamesnyamila2165 3 місяці тому

    Ukweli unaongelewa Tanzania, maelekezo ya kumtafuta muongea ukweli yanakoka China

  • @jumaamohamed2815
    @jumaamohamed2815 3 місяці тому

    Mkuu wa Mko mwenyewe anatoa maelekezo huku ayuko eneo lake la kazi, Anatoa maelekezo yuko China, Hii nchi bhana

  • @LeonGregory-nz6ob
    @LeonGregory-nz6ob 3 місяці тому

    Tanzania hao viongoz sisi tumepiga kura wengine wameingia bila sera tuliyemchagua alikuwa na sera tofaut kwan rais ni mfamle au malikia mbona viongoz wengi wamesemwa

  • @MethoKabaitilaki
    @MethoKabaitilaki 3 місяці тому

    Ipo siku yenu TU. Tukichoka.

  • @hendricaoduba6028
    @hendricaoduba6028 3 місяці тому

    Waah, kwani wabongo hawana uhuru wa kuongea?

  • @allybakari5791
    @allybakari5791 3 місяці тому

    Sasa kama hawatusaidii Sisi tufanyeje

  • @KetonyMbedule
    @KetonyMbedule 3 місяці тому

    Tanzania bhn ukisema ukwer tu ujue maisha yako yapo hatarini asa sijui uhuru wetu niwaviongoz tu au maana wananchi hawana uhuru wakuseme ukwer🤔🤔🤔

    • @RashidiHassani-b6z
      @RashidiHassani-b6z 3 місяці тому

      Tatizo wabongo kumsifia mama ndio wanaona dili mama kizimkazi mm wananiboa kumsimfu mtu ambae Hana msaada wowote zaidi yakutuzingua tu na uongozi wake wa urith ,,mpaka mtu afe

  • @modestcomred9500
    @modestcomred9500 3 місяці тому

    Hinyi sio kabisa oo akamatwemara moja yani mamboyamsingi mnashindwa kuyafuatilia mnafatilia upuuzi inatakiwa ujiulize kwa nini Kadanya hivi tafuta sababu ila kauliyake nikwamba yupo upande wa 👹👹👹

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 3 місяці тому

    Uko china unakula kodi

  • @kingtiger4829
    @kingtiger4829 3 місяці тому

    Uhu ndo udicteta Sasa

  • @SalimSalimu-z5c
    @SalimSalimu-z5c 3 місяці тому

    Nani Kama mama😂

  • @MrGoatAi
    @MrGoatAi 3 місяці тому

    Nikiriport kutoka china nimimi mkuu 😅😅😅