Kanisa Aminifu Lenye Dosari La Kushangaza | Ufunuo 2:1-7 | Mchungaji Abwao
Вставка
- Опубліковано 10 січ 2025
- 2 “Kwa malaika wa kanisa la Efeso andika hivi: ‘Haya ni maneno ya yule aliyeshika nyota saba katika mkono wake wa kulia, na ambaye hutembea katikati ya vinara saba vya taa vya dhahabu. 2 Najua matendo yako, bidii yako na uvumilivu wako. Najua kuwa huwezi kuvumilia watu waovu na kwamba umewapima wale wanaojiita mitume na kumbe sio, na umetambua ya kuwa wao ni waongo. 3 Najua umevumilia na kustahimili mateso kwa ajili ya jina langu, wala hujachoka .
4 Lakini nina neno hili juu yako: kwamba umeacha upendo wako wa kwanza. 5 Kumbuka pale ulipokuwa kabla ya kuanguka. Tubu, uache dhambi zako, ukafanye matendo ya mwanzo. Kama hukuacha dhambi zako, nitakuja kwako na kukiondoa kinara chako cha taa kutoka mahali pake. 6 Lakini una jambo moja zuri: unayachukia matendo ya Wanikolai kama ninavyoyachukia mimi.
7 Mwenye nia ya kusikia na ayasikie yale ambayo Roho anawaam bia makanisa . Atakayeshinda, nitampa haki ya kula matunda ya mti wa uzima ambao uko katika bustani ya Mungu.”’
Have you Subscribed to our UA-cam channel? You’ll receive notifications about future livestreams like these here / tbcnairobi .
For more details, literature, ministries about Trinity Baptist Church, Nairobi follow us on our website: www.trinity.or...
For Grace and Truth magazine resources, find them at: www.trinity.or...
For Grace Hymns App(Android), find it: play.google.co...
Follow us on:
Facebook: / tbcnairobi
UA-cam: / tbcnairobi
Instagram: / tbcnairobi
Twitter: / tbcnairobi