DOCTOR MO ACHIZIKA NA USAJILI WA MAANGAMIZI SIMBA| SIWADAI TENA VIONGOZI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • KWA HABARI NA MATANGAZO
    TUPIGIE SASA
    0753393036 CALL
    0625466848 WHATSAPP

КОМЕНТАРІ • 26

  • @godfreybitakama9845
    @godfreybitakama9845 3 місяці тому +1

    Hakika upo sawia kabisa

  • @LucianaJoachim
    @LucianaJoachim 3 місяці тому

    Wachezaji wa ndani wengi wametosha harafu baadaye hawapangwi wanakaa pesa zinaenda baadaye mo anakuja kusema anatumia bilioni bila sababu, yeye ndiye kasajiri matokeo mabovu tunamng'oa yeye MO,

  • @PiusLaymond
    @PiusLaymond 2 місяці тому

    Huyu jamaa nikigeugeu hiiklp naifath nitamuonyesha hii ndio bongo tulia uspapalike

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 3 місяці тому

    Usiumie Jobe Atavunjiwa mkataba kwa Sasa anamalizana na Simba namna ya kulipana

  • @mohdseif2593
    @mohdseif2593 3 місяці тому

    KINACHO MUEEKA JOBE KWENYE SIMBA KWASASA NINI NAHAMNAKITU ANATIA ASARA TEAM TU

  • @Isakhiayusuph-jb3yx
    @Isakhiayusuph-jb3yx 3 місяці тому

    Wewe Dr mohamed taala hamna

  • @SalimAl-mahrooqi
    @SalimAl-mahrooqi 3 місяці тому

    Lakini haija eleweka usajili WA simba hata hawaeleweki tunaogopa kichapo kilicho pita

  • @dominickiungulia1016
    @dominickiungulia1016 3 місяці тому

    Usajili umefanyika vizuri, tunategemea mazuri msimu ujao

  • @KATEGILEMABADA
    @KATEGILEMABADA 3 місяці тому

    So kila mchezaji nzuri lazima aitwe timu ya Taifa maana wazuri ni wengi

  • @peterchande957
    @peterchande957 3 місяці тому +1

    Huyu jamaa bonge la mshamba analazimisha kuingia kwenye mpira lkn haumtaki

  • @xhiranation
    @xhiranation 3 місяці тому

    Binafc ninaham na shauku yakuona simba yetu ikirud kwenye makali yake naubora pia......hakika jina la chama linaenda kufutika kwenye fikra na masikio yawana simba.......NGUVU MOJA💪

    • @ekimnkande2873
      @ekimnkande2873 3 місяці тому

      Doctor asante ulipolalamika nilsema vipi huyu sasahivi Simba ipo safi Magoliiiii tunataka mambo kama haya hamaaa nenda kakahapo ma.bo safii❤❤❤

  • @franccoz94
    @franccoz94 3 місяці тому +1

    KWA HAMZA HAMNA BEKI HAPO MCHEZAJI HATA TEAM YA TAIFA HAITWI,HAMNA MCHEZAJI HAPO TUTALAUMIANA SANAA LIGI IKIANZAA

    • @AishshibnShibani
      @AishshibnShibani 3 місяці тому

      Mmh ww naye kwaiyo mchezaji mpaka aiwetwe timu ya taifa

    • @imanmasawe749
      @imanmasawe749 3 місяці тому

      hamza atawashangaza wengi tunajua wewe ni utopolo

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 3 місяці тому

    Hii timu wakizoeana mama weee hataRiii

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 місяці тому

    Alienda wapi?

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 місяці тому

    Hawa hawa, utasikia ohhh wachezaji wa ten percent😂😂 Simba wata struggle sana! Wachezaji huchukua mda mrefu ku gel! Hasa wakiwa WENGI! Kocha pia tatizo,atakua hawajui wachezaji! Ukiangalia YANGA,wanajazia tu kwenye kikosi palipo na uhitaji! Simba Timu nzima ina uhitaji🤣🤣🤣 football sio MANENO!

  • @mqsqymmh3866
    @mqsqymmh3866 3 місяці тому

    Kumbuka hata unaemuona chama hapo kuna mda uwa haitwi timu ya taifa wakat wabongo ndo mnamuona ni professional player

    • @Sebastianmangenyi
      @Sebastianmangenyi 3 місяці тому

      Yanga kazi yao kutupondea tu, wanaumia sana na MO

  • @MauaGabriel
    @MauaGabriel 3 місяці тому

    Mda utaongea bt viongoz wetu Jobe na Fred watupishe mcjaze wachezaj wasiokua na uwezo Wala sifa ya kuichezea simba cs tumewapatia mda wa kucheza na hawajaonesha chochote so tuwape thank u na tuongeze mbadala wa kapombe na shabalala pia tupate back mzr wa kutusaidia kimataifa,pia tupate sain nzuri ya kiungo mkabaj na strike mwenye asili ya straike

    • @LassonDominick
      @LassonDominick 3 місяці тому

      Daah oy!! Ila kusema kweri Fredi Coublan anajuwa mpila kiukweri! Ila wachezaji aliokuwa akicheza nao walikuwa wagumu mno! Naomba mungu sana abaki tuone kazi yake hata kwa nusu msimu jamani namkubari saana hy jamaa!!!!!!