OLIVER KABWILIZA- BWANA UMWEMA (OFFICIAL VIDEO)
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Ahadi za Mungu ni kweli na amina, Neno lake halirudi bure lazima litimize kusudi lake haijaishi mazingira yanasema nini, Wewe Mwamini Mungu daima.
Zaburi 138:2
Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu, Nitalishukuru jina lako, Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako, Kwa maana umeikuza ahadi yako, Kuliko jina lako lote.
Song written by -Oliver Kabwiliza
Audio by - Mobby production
Video by - Director Fahim Rasham
Follow me at:
Instagram, tiktok & Facebook : oliverkabwiliza
Thanks to:
J records (Kigoma)
Mobby Production
Director Fahim Rasham
Devotha Isaya, Assumpta Mwingira
To all of you who have been supporting my ministry in many ways
God bless you abundantly
#trending #christiansongs #zanzibar #gospel