#live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @SuleimanJuma-dv8gt
    @SuleimanJuma-dv8gt 3 місяці тому +6

    😂😂eti chama ashakua mweupe.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 місяці тому +8

    Hamna kitu hapa, Gamond ni professional.

    • @brightmichael2846
      @brightmichael2846 3 місяці тому +2

      Mtawakata watyu siku moja

    • @minazsaid2470
      @minazsaid2470 3 місяці тому +1

      Kwani hawa wachambuzi huwa mnawatoa watu no professional yeyote

    • @johnnyambuya8671
      @johnnyambuya8671 3 місяці тому +1

      Kwani umemsikiliza kweli au umeangalia tu Title.

  • @EsterMbilo
    @EsterMbilo 3 місяці тому +3

    wao makolo wanaumia

  • @emanuelpetro9591
    @emanuelpetro9591 3 місяці тому +2

    Mnateseka hapa woooote ni Makolo, subirini ni suala la muda tu 10-1 mlivyosajili wanafunzi wa msingi mtaendelea kujitafuta sana

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 3 місяці тому +3

    Hata kizungu chake kibovu kinanuka!!accerate maana yake!

  • @Yangadamu
    @Yangadamu 3 місяці тому +3

    Muangalie watu wakuwahoji

  • @Jobiso
    @Jobiso 3 місяці тому +3

    Tena hyu ndio hovyo kabisa

  • @FadhilSuleiman-e8b
    @FadhilSuleiman-e8b 3 місяці тому +7

    Ujui mambo ya mpira wewe gamondi bonge la kocha alafu uliwaza na real Madrid ingeweza kuimprove na wale mastaa na Kila mtu alipaform kwa wakati wake uliwaza hayo tafuta Jambo la kufanya kaka

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 3 місяці тому +5

    David utakuja kujishusha wewe mwenyew kwasasa uko hovyo

    • @johnnyambuya8671
      @johnnyambuya8671 3 місяці тому +2

      Akishushe kwa lipi sasa wakati hujamsikiliza zaidi ya kuangalia tu Title.

    • @barakawabuge5285
      @barakawabuge5285 3 місяці тому +1

      Kosa lake lipi..kuisifia Yanga mabingwa wa muda wote wa tanzania??😂😂

  • @paulmwandambo7799
    @paulmwandambo7799 3 місяці тому +4

    Mi huyu kenge simuangaliagi ananimalizia mb TU msomali fala huyu

  • @carolinambalamwezi4216
    @carolinambalamwezi4216 3 місяці тому

    Leo friji bovu wape ukweli

  • @allysinde6208
    @allysinde6208 3 місяці тому

    Good

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 3 місяці тому +2

    Jinga ameulizwa nani hayo? Mara hii ameshaanza kuwa Gamondi?

  • @VLADDYNDANZI
    @VLADDYNDANZI 3 місяці тому +1

    Wewe unamuonaje Gamond au unamchukiliaje kwenye kikosi chake! subirini

  • @johndavid1593
    @johndavid1593 3 місяці тому +1

    Makolo acheni makasiriko

  • @MasanjaMasanja-mz3ll
    @MasanjaMasanja-mz3ll 3 місяці тому +1

    Kila siku kuiponda Yanga tu,,

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 3 місяці тому +1

    Nani analita hilo friji bovu?huyu jamaa anajivisha mambo ambayo ni usiku wa giza kwake! Akauze mbolea ya kinyesi!!! Hebu muulize alisema Azizi Ki habaki Yanga!!

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 3 місяці тому +2

    MICHAMBUZI YA MICHONGO KAMA HII AMBAYO HAINA ELIMU YYTE YA UKOCHA MBALI NA KUCHAMBUA MPIRA KWA KUANGALIA KWENYE TV....INAJIFANYA KUUJUA MPIRA

  • @JumaJuma-g5e
    @JumaJuma-g5e 3 місяці тому

    Wakati. Mkumu. Unao. Wewe. Mpuuuzi. Usiojuwa. Kitu. Tokazakoh

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 3 місяці тому +2

    Sooo stupid,kocha yoyote anapenda kuwa na DEEP SQUAD! Yanga ina mashindano kibao,ana choices!

  • @collectionline6055
    @collectionline6055 3 місяці тому

    Kwa kikosi hicho hawachomoki

  • @AthmanMtoro
    @AthmanMtoro 3 місяці тому

    Unampelekea Nani ww fala

  • @khmissalum3881
    @khmissalum3881 3 місяці тому +1

    Huna unalolijua wewe nenda kajambe