Shilole alipomuuliza Young Killer anatumia mkorogoro?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Ni kutoka kwenye basi la Wasanii wa bongofleva wakiwa safarini kwenye show za FIESTA tamasha ambalo linafanyika kwenye mikoa mbalimbali Tanzania sasa hivi.

КОМЕНТАРІ • 245

  • @ringoaskali7625
    @ringoaskali7625 5 років тому +2

    Namkubali sana mchomvu kwa mashavu aliyowapa wana na ukizungumzia mziki wa tz hauwezi kuacha kumtaja mchomvu salut sana kaka nakubali voice yako pia watu wengi wamekopi sauti yako

  • @bensonfrank9578
    @bensonfrank9578 8 років тому +2

    Adam jamaa nomaa!

  • @deymondomari6461
    @deymondomari6461 8 років тому +2

    nc

  • @dinoboyarnold661
    @dinoboyarnold661 7 років тому +2

    Daah nimemic fiesta tena Adam bhna

  • @leonshayo5240
    @leonshayo5240 8 років тому +3

    Mchomvu nakuelewa sana presenter upo vizuri na unakipaji Jombaa big up sana aisee sema nini hzi clip ziwe continuously basi msi ishie hapo tu

  • @happyleonard8717
    @happyleonard8717 6 років тому +3

    "She is my young brother"😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @khadijaamour7654
    @khadijaamour7654 5 років тому +2

    Apo u team haujaanza shilole

  • @mariamjuma4589
    @mariamjuma4589 8 років тому +2

    shilole ongea tu kiswahili

    • @mariamjuma4589
      @mariamjuma4589 8 років тому

      +Roger Mwinyi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @jaffjeff2660
    @jaffjeff2660 8 років тому +2

    Mmetisha mazee

  • @rebimbere
    @rebimbere 8 років тому +3

    Mungu we! ni shida kwa kweli!

  • @shukurushukuru5680
    @shukurushukuru5680 8 років тому +3

    adam noumaaa sanaaa a .town 100

  • @juniorsonofgod5675
    @juniorsonofgod5675 8 років тому +2

    Adam nomaaaa saaana

  • @laurentmbakile9389
    @laurentmbakile9389 4 роки тому +1

    Au veep bhana

  • @abbymsa6858
    @abbymsa6858 8 років тому +25

    Shilole wala usijisikie vibaya iko siku utafika utaongea kingereza safi, waache waseme, iko siku watakuona unafanya interview BBC English.

  • @jocelinejohn7294
    @jocelinejohn7294 8 років тому +10

    adam anazingua khaaa😂😂😂

  • @nyash2542
    @nyash2542 7 років тому +15

    Nina swali ujue au vipi bhana?

  • @fatmat6883
    @fatmat6883 6 років тому

    Yaani wasanii watanzania mnanipa raha sana zaidi ya raha.

  • @musirtv8706
    @musirtv8706 8 років тому +8

    adam ni tatz aseeeeeeeeee

  • @jacksonlema9536
    @jacksonlema9536 8 років тому +2

    GOD BLESS YOU ADAM. YOU ALWAYS MAKE ME HAPPY MA NIGGA

  • @dianaantony9445
    @dianaantony9445 8 років тому +4

    shilole anapenda kingeleza jitaidi utaweza au jipendekeze kwa wema na Vanessa kwakweli

  • @xxlnairobitv9503
    @xxlnairobitv9503 8 років тому +15

    Tanzania kweli English balaa! Njooni kenya tuwafunze moja mbili.

    • @masterkratos2
      @masterkratos2 8 років тому +2

      shishi ata mwenyewe alishasema hajui English. usijaji watu wote kwa kumwona mtu mmoja watu wengi waliosoma Tanzania wanajua English tena vizuri kabisa.

    • @Frazztraveller
      @Frazztraveller 8 років тому +3

      Watanzania wengi wanajua English vizur Sema huyo hajenda shule # kumbuka education is free of charge in Tanzania

    • @bahatiibahati1127
      @bahatiibahati1127 7 років тому +2

      +Fetrishaz Kidai nice mamy umemjibu poa coz kenya kiswahili yao ni mbovu but hajaiona ameona english ya tz

    • @rukiaabdallah92
      @rukiaabdallah92 7 років тому +1

      Rusesa Wear ndomana mtawaliwa na wekundu wa msimbazi kama unaona kingereza kinamaana kwako mbona unazeekea kenya chupi wew

    • @caslidajosephat778
      @caslidajosephat778 7 років тому +4

      Rusesa Wear
      English yako imekusaidia nn ? kwani lugha ya Taifa ya Tanzania ni kingereza tuache, mbona maisha yako hovyo na hicho kingereza chako hakijakusaidia...cchogo kweli wewe

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 8 років тому +1

    adam uko vizuri

  • @kaniyahiouise1474
    @kaniyahiouise1474 5 років тому

    *Kama unamkubali young killer msodoki gonga like*

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 8 років тому +4

    Bro Adam funga kazi. Chekesha mbaya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂!!!

  • @aminakshamoona6900
    @aminakshamoona6900 7 років тому

    Shilole nakupenda sana she's ma young blaza hihihiiiii

  • @luvlypaulineshali5474
    @luvlypaulineshali5474 8 років тому +4

    blue amechekeka sana😂😂😂😂😂

  • @shirazikiwani5568
    @shirazikiwani5568 5 років тому

    Hivi shilole kuna ulazima uzungumze Kiingereza wakati hakipandi?

  • @wicheonetv1141
    @wicheonetv1141 8 років тому +2

    Ninja wangu blue kashapata mambo anacheeeka

  • @benjaminmgoji4240
    @benjaminmgoji4240 8 років тому +3

    dah Adam bana mecheka mpk machozi

  • @petermgosi2111
    @petermgosi2111 7 років тому +6

    da kingereza wito why don't we use kiswali as our nation language?

  • @tinaamos2626
    @tinaamos2626 8 років тому +5

    daaaah adamu ni tatizoooooooooo hahahahaaaaaa

  • @hafiztheobard142
    @hafiztheobard142 8 років тому +1

    adam katisha sana 😃😃😃

  • @saudahmedsaudahmed7074
    @saudahmedsaudahmed7074 8 років тому +1

    tok kiswahili ww shishi plzz

  • @kaleemohaa3043
    @kaleemohaa3043 7 років тому

    my braza👐👐👐

  • @mubadaud7638
    @mubadaud7638 4 роки тому

    nc my blood

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 7 років тому +5

    umenivunjaaa mbavuuuu kaka ww 😁😂😂😂😃😅😅

  • @leezarbennito4143
    @leezarbennito4143 7 років тому +1

    ila kweli, mbn kawa mweupe?

  • @adamnassoro9332
    @adamnassoro9332 8 років тому

    nimeipenda hiyo

  • @happymapunda1530
    @happymapunda1530 8 років тому +1

    we kaka noma unasifa mi nasubli swali nisikie we wafany ivyo khaaaaa nom san

  • @YouTuuuuuuube
    @YouTuuuuuuube 4 роки тому

    She is my young brother .. 2020#Corona . hahaha

  • @kilundilamwiga16
    @kilundilamwiga16 8 років тому +2

    Noumaaa sanaaa imooo

  • @barakachawe6241
    @barakachawe6241 8 років тому +4

    Mchomvu anavutia kaya chooni walahi tena, alafu mbichi 😁😁😁😁😁😂😂😂

  • @ngalyajames7114
    @ngalyajames7114 5 років тому +1

    Ata naw shi shi mbon unatumia mkorog pia🤨🤨🤨🤨🤨😐😐😐😐🤔🤔🤔🤔🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️?

  • @husseinadam4847
    @husseinadam4847 6 років тому

    Huyu Shilole kama hajui kingereza bora anyamaze ati she's my brother!! 😣😣

  • @jokervannytz2330
    @jokervannytz2330 5 років тому

    Gud

  • @sakinandoile9439
    @sakinandoile9439 7 років тому +2

    😂😂😂😂😂 mchomvu umenishinda tabia chaaaaaa!!

  • @fredsanga9461
    @fredsanga9461 8 років тому +1

    Ahsante ADAM! Hahahahahahahaaaaaaa

  • @moseslaurentlaurent9365
    @moseslaurentlaurent9365 7 років тому +1

    shilole anajitoaga ufahamu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @imamumponda276
    @imamumponda276 7 років тому +14

    ahahahahahahahha nimecheka sana msione tumekaa kimya mkaona kama vp mbona hatuulizi sasa ss tulikua tunamaswalai yetu tunauliza vp ahahahahahahahahahah dah nimecheka hatari

  • @neemahussein4957
    @neemahussein4957 7 років тому +1

    daah kweli kajikoboa

  • @Africanchild-x6n
    @Africanchild-x6n 5 місяців тому

    Rip Gardner 😢

  • @pascaly6007
    @pascaly6007 7 років тому

    Nomwa Sana

  • @360-t5s
    @360-t5s 8 років тому

    baba joniiiiiiiii tisha sana

  • @nyash2542
    @nyash2542 7 років тому +3

    Akikosekana teja we unafaa Sudii

  • @GabroTz
    @GabroTz 8 років тому

    shilole kweli rahaa

  • @peterchoga9624
    @peterchoga9624 7 років тому +5

    Au vp bhana duuuuuuuuuuuuuuuh mbav za ngap. 😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @gonzagagonza2968
    @gonzagagonza2968 8 років тому +3

    Ahahahahhh...Kila mtu ana maswali yake binafsi

  • @hassanihussein4479
    @hassanihussein4479 8 років тому +11

    Adaam si kulaumu tatizo kitu cha Arusha kina kusumbua kichwaa

  • @emmanuelhelen4529
    @emmanuelhelen4529 8 років тому

    Au vip bana..!

  • @cestjolie5574
    @cestjolie5574 6 років тому

    C uyo Killer, c uyo Shilo, wote nawaonen mmekua wapotevu 2 so bera start loving yoselves na muachen kuharib MILI yenu bure!!!!!

  • @asha_homedecorations
    @asha_homedecorations 8 років тому +5

    hahahhahh mchovu nomaaaaa

  • @katengololosteven8196
    @katengololosteven8196 6 років тому

    Kati ya shilole na young killer sijui nani kamuumbua mwenzake!

  • @artstjamdiijamdii2386
    @artstjamdiijamdii2386 5 років тому

    hata form form hajariza utasikia befor

  • @nancymrs359
    @nancymrs359 7 років тому +1

    Shilole anaboaaaaaa sana!!!

  • @japhetichilewa8182
    @japhetichilewa8182 8 років тому +1

    Japhet Steven

  • @janethsangalali4147
    @janethsangalali4147 5 років тому +2

    Hahahahaha uwiii au VP bwana mbavu zangu mie

  • @kizablack7667
    @kizablack7667 7 років тому

    Adam Adam nakuona nakuona

  • @seifmohamedseif9384
    @seifmohamedseif9384 7 років тому

    shule si zipo si usome elim haina mwisho usisikie aibu kusoma km hv ambavyo unaropoka tu she is my young brother

  • @antoniageorge5533
    @antoniageorge5533 5 років тому +1

    Nna enjoy Mr blue anavyochek apo... Mchomvu motoo

  • @sontop5979
    @sontop5979 7 років тому

    i like

  • @sylvestermatinde7527
    @sylvestermatinde7527 5 років тому

    Shilole nenda English corse

  • @zainabuzungo3138
    @zainabuzungo3138 8 років тому

    Mr bluu jaman mbona uko ivyo sijakujua kabisaa mwe kama unakwashakoo

  • @edwinernest2012
    @edwinernest2012 7 років тому

    Mi nafikiri Shilole kama hawezi kuongea Kiingereza aongee kiswahili tutamwelewa tuu. Kuongea kiswahili ni utambulisho na pia ni ufahari. Anaweza kuongea kiswahili tuu.

  • @trez-bchampionboy1696
    @trez-bchampionboy1696 5 років тому

    She's my young brother

  • @asiatanzania6380
    @asiatanzania6380 8 років тому +2

    hahhahah Adam kiboko kbs

  • @tuyisabemoses1057
    @tuyisabemoses1057 8 років тому +1

    wanaelekea wapi hao?

  • @aishababie3062
    @aishababie3062 8 років тому

    duh nami nimo

  • @bryanjonathan6312
    @bryanjonathan6312 8 років тому +4

    😂😂😂😂au vp bana....adam kivhwa chako ni kilobytes

  • @rickstyleboy9373
    @rickstyleboy9373 6 років тому +3

    d ommy alishashtuka mwanzoni kuwa atakachofanya #adam ni kichekesho alishaanza kucheka kabla

  • @ikoziboy4488
    @ikoziboy4488 4 роки тому

    Adam Adam jamani mbavu zanguuuuu duuuh

  • @jeremiahmujinja4451
    @jeremiahmujinja4451 8 років тому

    Mtu wa nguvu millard ungefanya kama kuwa unatupa vipande kama hivi ambavyo huwa vina happen fiesta mkiwa safarini kwenye basi mie nafikiri vingemake headline sana mtu wa nguvu... kwan mastory kama haya nna maswali yake mashabiki tunaenjoy.. think about it

  • @nemesmassawe7326
    @nemesmassawe7326 6 років тому

    nice

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 8 років тому

    Nyccc

  • @methodthabit1643
    @methodthabit1643 7 років тому

    Kweli kanajichubua Aka katoto kama Mabatin kwenye Mafuriko

  • @ernestaernesttairo9458
    @ernestaernesttairo9458 6 років тому

    acha ushamba shilole kingereza hujui

  • @eliaswaves3683
    @eliaswaves3683 8 років тому +3

    hahahhahahah kuna mwenye swali

  • @Bagi873
    @Bagi873 7 років тому

    nazani wasanii watanzania awasomi English.😂😂😂😂 Pole kwenyu

  • @tridybane
    @tridybane 7 років тому +2

    Mbavu zangu😂😂😂😂😂🙌

  • @goodhelpnolland9637
    @goodhelpnolland9637 5 років тому

    Shishi utani unaofanana na ukweli sio mzuri ukizingatia ni kweli killer anajichubua

  • @fridambwambo600
    @fridambwambo600 7 років тому

    umechekesha kaka safi

  • @aminajuma2981
    @aminajuma2981 4 роки тому

    Uyu kaka anamashauzi 😅😅😅swali aliulizwi

  • @kitatakitata8678
    @kitatakitata8678 6 років тому +3

    Young killer anaogopa demu

  • @hassanihussein2731
    @hassanihussein2731 3 місяці тому

    2024

  • @mashamninnaninna8743
    @mashamninnaninna8743 8 років тому

    😂😂😂😂ur very funny

  • @gosebertndyamkama.5626
    @gosebertndyamkama.5626 8 років тому +4

    mr blue aujui kucheka

  • @patrick02agakadangel4
    @patrick02agakadangel4 8 років тому +2

    baba la baba Adam teh teh

  • @pbye2974
    @pbye2974 6 років тому

    hahahaaaaaa nouma umeongeza cku zang broo

  • @janetmgweno2645
    @janetmgweno2645 8 років тому +1

    Adam ni noumaaa

  • @hamdunimgalapo2967
    @hamdunimgalapo2967 5 років тому

    wachache sana ndo tumemwelewa adam mchomvuuuuu😁😁😁

  • @jaykim3718
    @jaykim3718 6 років тому

    She ........