Shilole alivyowapeleka Wasanii nyumbani kwao Igunga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Shilole alivyowapeleka wasanii wenzake nyumbani kwao Igunga

КОМЕНТАРІ • 542

  • @barakamwamwaja9292
    @barakamwamwaja9292 8 років тому +74

    Dah! Nimempenda sana Shishi Baby kwa kuwa real na kuwapeleka wenzake mpaka home manake wasanii wetu wengi wanapenda maisha fake tofauti na alichoonyesha Shishi baby.
    Much respect kwake

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 8 років тому +124

    yaani ktk wasanii wasojali kbs ni shishi na wala hajali kbs mkataa kwao mtumwa mtu kwao mama

    • @sirbosco3645
      @sirbosco3645 8 років тому +3

      angekuwa mwingine wasingeenda

    • @mwanahella9650
      @mwanahella9650 8 років тому +4

      +SIR BOSCO. 😂😂😂 hawa ndo wanawake wa kuoa.sio Mwanamke akifika mjini anasahau ya nyuma

    • @sirbosco3645
      @sirbosco3645 8 років тому +8

      Binafsi nilivyokuwa namfikiria ni tofauti afu yupo na confidence kubwa ulimwona wakati anamchana Msanii .... kutumia mkorogo

    • @mwanahella9650
      @mwanahella9650 8 років тому +7

      +SIR BOSCO 😂😂😂 alimuuliza young killer akazingua kusema kweli.ikabidi amwambie unapaka nachokipaka mie😁
      kwakweli ukijiamini utaishi kwa amani sana kwenye hii dunia.maana hata alivyomchangamkia Nuh si km wengi tulivyodhani mwisho wa mapenzi si uadui

    • @davidnkwela5931
      @davidnkwela5931 7 років тому

      SIR BOSCO

  • @denniskiango6901
    @denniskiango6901 8 років тому +15

    Nimeipenda sanaaaa..... kwa dada zetu nivigumu sana kufanya hv wanajidai wapo juu mjini tu

  • @lightnessmori6485
    @lightnessmori6485 8 років тому +6

    nakupenda shilole .... Mungu akupe hatua zaidi ya mafanikio... respect

  • @aishaalhvvd2639
    @aishaalhvvd2639 8 років тому +16

    sijui nieleze vip jinsi ninavyo kupenda shilole wanadada wengi wanaficha masingila ya kwa lakini wee auko ivyo hongera my mswahi lakini una roho ya kizungu mungu akusimamie kwa kila ukifanyacho

  • @hamisally7523
    @hamisally7523 7 років тому +6

    vizuri sana sister shishi, nyumbani ni nyumbani ,big up.hachana na hao masharo na masista duu ambayo wanavunga,we kamanda.

  • @stanleymaganga503
    @stanleymaganga503 7 років тому +6

    She did a wonderful thing, yani hadi natamani kulia she bring a bongo flever home she made a history kwawana Igunga, Its so amaizing respect kwako SHILOLE

  • @sifacycy_bby8827
    @sifacycy_bby8827 8 років тому +5

    MashaAllah Shishi Bby Mungu akuzidishie tena na tena Amani na barka kwenye maisha yako maana wengi wasani sivirahisi kufanya kitu kama hicho mamy Wallah Allah akuzidishie huna majivuno😍😍😍😍😍😍😍🙏🙏🙏🙏🙏

  • @salmazena7388
    @salmazena7388 7 років тому +55

    nyumbani ni nyumbani hatakama kichakani Mkataa kwao mtumwaaa nakukubali shishi babby

  • @michaelgoldie3955
    @michaelgoldie3955 8 років тому +2

    shishi baby...... home is sweet, usisahau ulipo toka ila usiishi maisha uliyotoka,

  • @josephmasindi7348
    @josephmasindi7348 8 років тому +14

    its something very awesome i respect u shishi bby

  • @divaifrank4192
    @divaifrank4192 7 років тому +14

    Shilole mi nime kupenda saana huvungi mama kwenu ni kweni ni meipenda sana hiyo

  • @evansdesantos954
    @evansdesantos954 8 років тому +15

    mimi napenda pale Mr Blue amelala kwa lile godoro n chakula kakiweka godoroni... not only shishi but almost all of them wamekubali mazingiza

  • @sheilanafula768
    @sheilanafula768 6 років тому

    Kwenyu ni kwenyu hata kama kibandani huezi sikilia aibu hata wazazi wawe aje huezi waficha.Hongera sana shishi mabadiliko ni mwanadamu hufanya mutumainie mungu utabadili nyumbani😍😍😍

  • @thomaslandwhale
    @thomaslandwhale 8 років тому +3

    Shishi is so brave and strong coz most of our artists is so rare to see dem invite dem frens remote areas like dat

  • @ijmanzitv
    @ijmanzitv 6 років тому +1

    Huyu ndye msanii mkali mwenye utu wa udugu msahau kwao na mkataa kwao ni mtumwa,nadhan ni msanii wa kwanza kufanya hivi safi sana shishi bby kigoli

  • @yusufumiraji7778
    @yusufumiraji7778 8 років тому +87

    kwa mara ya kwanza naweka LIKE kwa hii video
    Shishy baby una upeo wa kufikir

  • @gmosha1
    @gmosha1 8 років тому +2

    i like it... it feels good to see how far u came from and the progress you have made in your life

  • @thabitmolly6957
    @thabitmolly6957 8 років тому +17

    Hongera Shishi kwa kuwa na courage lakini nakushauri ufikiri mara mbili huko nyumbani ukipeleka milioni 10 tu unabadilsha kila kitu maisha yanakuwa bora sana Duh... kweli maisha si kama tunavyo yaona jitahidi dada ake hiyo hali ya nyumbani inatisha.

    • @salum8831
      @salum8831 8 років тому +5

      nikweli kabisa 10 milioni inaweza kubadilisha vitu kibao hapo home kwao

    • @suhailalbastaki5531
      @suhailalbastaki5531 6 років тому

      Thabit Molly asha sema sikwao ni kwa dadake jamani

    • @hopechidera
      @hopechidera 6 років тому

      Suhail Al Bastaki kwani kwa dadake ndio hawezi kutuma hizo 10millioni!?huyo dadake saa iyi ndiye mamake,sababu ndiye kamlea,mama yawo mzazi alifariki Shishi bado mdogo akiwa na miaka misaba(she was 7years old ),hapo ndipo kwao tu.

    • @smidyjay2886
      @smidyjay2886 6 років тому

      Thabit Molly masidhi

    • @joycekaguo8476
      @joycekaguo8476 Рік тому

      😆😆

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 5 років тому +1

    2019 shishi aiseeee safi dear hongera sanaaa ndio maana unasonga mbele na hivi ndio maisha yanavyotaka

  • @hassandude5085
    @hassandude5085 8 років тому +1

    u have done something very good shilole,,God bless u abundantly..

  • @Cris-Kai
    @Cris-Kai 8 років тому +5

    she is very very real...kwa hili umescore sana Shishi!!!

  • @josephstephen2047
    @josephstephen2047 8 років тому +17

    Sema Blue msela sana yaani kaamua kujiachia kabisa kwenye kigodoro chembamba namna ile

  • @tatuhamiz4733
    @tatuhamiz4733 8 років тому +1

    kumbukeni shilole hana wazazi kwa dada yake ndio laifu yake bravo shishi baby

  • @254sexiest4
    @254sexiest4 8 років тому +4

    shish we mkali love u so much u nver forget where u come from and that is a good thing u av done God bless ya so much wengine wafuate mfano huo

  • @agogodadimwa3886
    @agogodadimwa3886 8 років тому +17

    NIMEKUWA AGAINST THIS GAL BUT KWA HILI NIMEKUMAHABA GHAFLA.BIG UP SHISHI.

    • @edsonandrew2844
      @edsonandrew2844 8 років тому +4

      Shilole huwa unani bowa sna ila kwa hili ss nakupenda sna tena wewe ni msanii unae paswa kuigwa kwa hicho ulicho kifanya ushauri wangu kwako ni kwamba fanya kazi kama sehemu ya maisha yako naimani utafika mbali sna ongera sanaaaaaaaaaaa

    • @tembasimba9462
      @tembasimba9462 8 років тому +4

      Mimi pia nimempenda sana. she is so open and real

  • @coolmom7329
    @coolmom7329 8 років тому

    this is so nice jaman Good job shishi nimemuona Amina tulisoma darasa moja wow nimelia

  • @hancymarin7081
    @hancymarin7081 8 років тому

    respect to shishi coz ame show real life ya watanzania n were they came frm. wasanii igeni mfano mzuri toka kwa shilole ka show upendo kuwachukua na kuwapeleka kwa aliko tokea respect kwa hilo. wangekua wengne cjui ingekuaje.. appreciate u shishi

  • @funsupadatestourists9256
    @funsupadatestourists9256 8 років тому

    Safi sn shishi ayo ndio maisha watu waige ukiwa star sio ndio ujiwekee juuusn big up kwako

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 7 років тому +19

    Safi sana angekuwa mwingine angeficha kwao nyumbani ni nyumbani

  • @lucaslucaswalogwa9524
    @lucaslucaswalogwa9524 5 років тому

    Katika vitu ambavyo nimeshangaa ni upendo wa ajabu sana alioufanya shilole na kudhihirisha nyumbani ni nyumbani hata kama pako vipi wengi sana hawawezagi hili jambo big up my ccter

  • @ibrahimlumbe402
    @ibrahimlumbe402 8 років тому +4

    Real life is good for you guys shishi is doing well.nuhu you have a few days to come up with shish coz u see if you want and you can get it if you like.look around life goes on.

  • @nyandamisana3630
    @nyandamisana3630 6 років тому +15

    Kuanzia Leo mimi shabiki yako

  • @irenebernard1331
    @irenebernard1331 7 років тому +3

    love u shishi hustler woman keep it ip na mungu yu pamoja nawe love u sana sanaaa

  • @jameshilya9468
    @jameshilya9468 8 років тому +1

    shilole we ni mtu wa kipekee kabisa katika wasanii wa bongo mungu akubariki sana

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 8 років тому

    big up saaaana shilole na mr mziwanda nuh amenona ama nimacho yangu love you kwamazuri nakusapot but kwamabaya siwezi kukusaport big up lov love

  • @dickeyjoseph9187
    @dickeyjoseph9187 8 років тому

    big up shishi nimeipenda sana very very nice east to west home is the best

  • @janepopular889
    @janepopular889 6 років тому

    Daaah Dada shishi mm comment zimeisha maaana zote Wamesha maliza waliokuwa Wakwanza but msisitizo aumkazo nikujenga home basi nimemaliza Nc Dada shishi 😍 love u mingimingi!!

  • @rehemaabdullah7606
    @rehemaabdullah7606 4 роки тому

    Nimekupenda Sana Dada wasanii weng wakitoka Kimaisha huwa wanaficha makwaoo hongera

  • @SAMCHOM
    @SAMCHOM 8 років тому

    I almost dropped tears in this ishhh, sijui kwanini hata...I love reality....I MISS HOME!

  • @mariamagoma6253
    @mariamagoma6253 8 років тому

    safi sana dada umekuwa na roho yakujiamini sana, nyumbani ni nyumbani mungu akubariki ktk kaz zako

  • @joarymagaga9082
    @joarymagaga9082 6 років тому +1

    Uwazi ndo kitu cha msingi katika maisha 😍 you shishi

  • @sophiasoud2197
    @sophiasoud2197 8 років тому

    Big up shilole u r one in a Million superstar who never forget where she came from

  • @sosanhi4109
    @sosanhi4109 7 років тому

    hongera Dada kuna wengine hawapendi kujionyesha katika hayo mazingira ila ww big up siz

  • @reymuddy9577
    @reymuddy9577 5 років тому

    Shilole we ni mwanamke wa tofauti saaana shuw we ni bonge la dem by the way love you so much

  • @abdallahjuma4881
    @abdallahjuma4881 6 років тому

    shishi...am proud of u siz ..no one like u..aki uko real c kama wengine...

  • @maishayetunibahari
    @maishayetunibahari 7 років тому +5

    nimependa sana shilole kuwa muwazi hadi home like you shshi bby

  • @zuhuramabrouk5184
    @zuhuramabrouk5184 8 років тому

    Nakukubali zaidi ya maelezo shishi kwa hili wallah Allah akujaalie mengi mema Zaidi ...Ameen yarabil alamin +254

  • @aishamussa7246
    @aishamussa7246 4 роки тому +1

    Mashallah mung akzdishie Dada shishi uko real xna

  • @zuenaomary9987
    @zuenaomary9987 8 років тому +4

    nampenda huyu dsada huwa hajivungi na nimkweli wengine wanajidai km hawajatoka vijijini

  • @mohammedrashid7735
    @mohammedrashid7735 8 років тому +33

    waoh ni gd thing ila ni vyema zile pesa unazozitumia kwa sherehe zisizona jina ukazitumia kujenga home

  • @engchrispianjohn9681
    @engchrispianjohn9681 8 років тому

    Real life not forget. God with u .shilole ..wa kwetu nyumban n nyumbani banaa

  • @happinessnyambita8139
    @happinessnyambita8139 6 років тому

    Vzr dada shishi cyo mtu wa kiki unaonyesha maisha halisi big up my.

  • @pascolemmanuel4839
    @pascolemmanuel4839 8 років тому +2

    Umetisha sana uko fresh .

  • @jumafuko9005
    @jumafuko9005 8 років тому

    kwa hilo shishi nakupa big up unajuwa wengi tuna fail kuwapeleka malafiki nyumbani hatuwezi nyumbani ni nyumbani tu hats kuweje hongera saana dadake

  • @nyotalaprincess3393
    @nyotalaprincess3393 8 років тому +1

    I never know you're this sweet shishi, but I love you for this

  • @iamjb44
    @iamjb44 8 років тому

    Gud she is proud of where she is from. East or West home is best,ametoka mbali. lakini si atleast ajaribu kufanya maendeleo kiasi pia nyumbani.

  • @wangwemrongoti3
    @wangwemrongoti3 5 років тому

    Ur among of da super women keep it up shishi👏👏

  • @tatuhaji6575
    @tatuhaji6575 5 років тому

    Shishi baby unajuwa mm nakukubali kinoma yaan unajiamini sana nafurahia sana uwepowako

  • @zaharasayyid5724
    @zaharasayyid5724 4 роки тому

    Shishi nakupenda saaaaanaaaaaa wasichana wengine wanaonaga aibu kupeleka wenzao majumban kwao hongera shishiiiiiii

  • @julytito3891
    @julytito3891 5 років тому

    Kwanza mm nampongeza kwa kusubutu kufanya hv maan angekuwa mwingn asingesubutu ,,naamn atapaweka sawa tu kwao,napenda maisha yake ya ujasiri jmn

  • @toshirohitsugaya6421
    @toshirohitsugaya6421 8 років тому +2

    wabheja sana mwanike kommaga mungu akuambilije

  • @fridawinnie1501
    @fridawinnie1501 8 років тому +9

    kweri shirole bado anampenda nuh
    basi atambue umuim wake maisha yaendereheee

  • @yvonovicacidic1972
    @yvonovicacidic1972 5 років тому

    uko vzr sana dada nakupenda kwa kutokuwa na majivuno japo vitu unavyo mwaaaaaa

  • @maryamalbahry1387
    @maryamalbahry1387 7 років тому

    Hongera shishi kuanza na wenzako watamaliza😊 mtu kwao😙

  • @irenebbygal3511
    @irenebbygal3511 8 років тому

    Umefanya jambo la maana sana shishi,,,much love 💙💙💙💙💋💋💋💋

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 8 років тому

    mkataa kwayo mtumwa nakependaje dda shishi mungu akutangulie kwa kila ufanyalo...mapenzi upofu shishi bby mrudue nuh jamani

  • @pillymsangi6093
    @pillymsangi6093 8 років тому

    Safii sana nyumban ni nyumban shilole nimekukubali mpka nashndwa kuelezea

  • @danielprosper654
    @danielprosper654 5 років тому

    Ila shishi ni mwanamke mpambanaji kinyama Mungu akubariki. Na hana makuu kabsaa yaani ni wachache sana wanaoweza kufanya hvyo

  • @noreenmillicient8101
    @noreenmillicient8101 4 роки тому

    Dah,,,for real don judge a book by its colour,,this is amazing men

  • @dianaketegwe8147
    @dianaketegwe8147 6 років тому

    Shishi the fighter very inspirational jaman am inspired

  • @elicegelard5026
    @elicegelard5026 5 років тому

    Fanya uwajengee kamjengo dada Shishi. We mtu mkubwa bhana

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 8 років тому

    hongera zako msema kweli mpenzi wa mungu, wengine hawawezi kupeleka mtu kwao

  • @anitajairos2664
    @anitajairos2664 7 років тому

    sina meng sana bt bigup my lovely Sister mana mkataa kwao ni mtumwa mbli nipata funzo juu yawew na nuhu

  • @basilhamis681
    @basilhamis681 Рік тому

    Sitaki nikufosi dada yangu mzuri ila ukipata hakiba wajengee nyumban nzuri ila nimependa uwazi wako

  • @imeldakadege2838
    @imeldakadege2838 5 років тому

    Yani shishi nakupenda bureeeee hujifichiii safi mrembo

  • @lulujames5193
    @lulujames5193 7 років тому +1

    shilole nimekupenda sana mkataa kwako huyo mtumwa

    • @liydiafaustine7852
      @liydiafaustine7852 6 років тому

      Da sality mama ndo maan mm nakupenda pig up my shishi beibye

  • @rahmangajime551
    @rahmangajime551 7 років тому +5

    Maua sama ilove u shishi nakupendaje

  • @shuuathuman9327
    @shuuathuman9327 6 років тому

    nimekupenda shishi. co huyu riamisa kupenda maisha mazuri wakati hana Elea. na ataishia kupangishiwa tu mama ake.

  • @linawitness1126
    @linawitness1126 5 років тому +5

    Shish nakupenda sana mama

  • @allymasta4866
    @allymasta4866 6 років тому

    safy sana shishi beby ikopouwa sana watapata tabu saanaaa

  • @coudramicharazo2485
    @coudramicharazo2485 5 років тому

    Shilole ongera sana naitwa coudra micharazo nimekipenda sana ilico kifanya Mkataa kwao mtumwa

  • @esthernyokabikimiti9984
    @esthernyokabikimiti9984 8 років тому

    Niiiiiiiice one shishi. umetisha

  • @happyleonard8717
    @happyleonard8717 6 років тому

    Safi sana Shishi kwa ulichokifanya... Umeonesha tofauti yako na wasanii wengine ambao wanapaonea aibu kwao na kupatelekeza.... In short nimependa saaaaana ulichokifanya;

  • @emmanuelmashauri6861
    @emmanuelmashauri6861 8 років тому

    nimeipenda hiyo.., umeonesha kitu tofauti

  • @geofreyk.fredrick3035
    @geofreyk.fredrick3035 5 років тому +1

    namshauri shilol Mungu akimjali ajenge kwao

  • @pigapesa1013
    @pigapesa1013 7 років тому +4

    Huu ni mfano wa kuigwa kwa wasanii na watu marufu wote mtuonyeshe makwenu mtokako ili tupate kujifunza

    • @monalisamalusyo4980
      @monalisamalusyo4980 5 років тому

      Safi sana shilole,nyumbani ni nyumbani hata kama ni kijijini

  • @jodeinjmj7843
    @jodeinjmj7843 7 років тому

    mmmmmmmmm mhu tunatoka mbali jamani du millard asante kwakutujuza mengi na mengi hakika tunajua vingi kupitia wew mungu akubariki

  • @rahmamavura406
    @rahmamavura406 7 років тому +1

    shishi hongera sana mkataa kwao mtumwa.wewe upo juu

  • @mhagamakonge9493
    @mhagamakonge9493 8 років тому

    shishi nimekupenda bure dadaangu,,uko very real safi sana nyumban ni nyumban

    • @saidr380
      @saidr380 8 років тому

      ni vizuri inatia moyo wenzie wanadai mjini ndiyo kwao mauti ya kuwakuta mhhh

  • @tumujailani4578
    @tumujailani4578 6 років тому

    Big up Dada shishi kwani niwatu wachache wenyekujionyesha makwao Kama hivyo du kweli mkataa kwao mtumwa

  • @jennifernduka720
    @jennifernduka720 6 років тому +7

    Good Shishi but fanya mpango uwajengee kamjengo

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 8 років тому

    muhimu daa shishii .....mtu nikwao sikuzoteeee ...nakupa hongeraaaaaaaaa xnaaa

  • @pierredeboy7472
    @pierredeboy7472 7 років тому +3

    Nkuombe kitu shishi et, wainue hom hat kidogo waufurahie uwepo wako pa1 nao na mungu atakubark au vp

  • @agnesmgomba3421
    @agnesmgomba3421 7 років тому

    uko vzur Ccter shishi huigz maisha, love you

  • @gracegodbless6935
    @gracegodbless6935 7 років тому

    This is much bebeee shihiii nakukunda bhanaaaa 😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @mwanaishasmai2111
    @mwanaishasmai2111 7 років тому +2

    Nuhu mziwanda acha zarau dogo ulkua umpe jp big up lkn ushamba umefanya

  • @zubedamwanjirani5597
    @zubedamwanjirani5597 8 років тому

    nakupenda kwa hili .well come to Canada shilole

  • @sirbosco3645
    @sirbosco3645 8 років тому +5

    hapa nisomo kubwa kwa namna tunavyoishi tusisahau tulikotokea.

  • @rahapaulina1451
    @rahapaulina1451 7 років тому

    nimekupenda sana na mungu akubariki kwa kuto jifanya