Story ni nzuri,Ila Msimuliaji anarudia sana story ya Polisi wakamataji na polisi wa intelijinsia au kuelezea Dongo zile steji kabla hujawa jambazi. Hapo anatuibia Muda wetu
Wachapwe Risasi tu huko gerezan ndo mkipelekwa mnatoroka kesho mko mtaani mnaendelea na uhalifu na mbona jambazi kumwaga damu hamuoni shida kisa pesa ambayo hujaitolea jasho ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga tu
Nzur sana hii simulizi👏👏
Duh niunyama sana kunjinja binadam mwenzio, congo n shda
Kweli kabsa hata sinya aliwahi kusema kunasiku walikamatwa wakapelekwa porini alipona yeye tu wenzye wote hakujuwa walienda wapii😢
Story ni nzuri,Ila Msimuliaji anarudia sana story ya Polisi wakamataji na polisi wa intelijinsia au kuelezea Dongo zile steji kabla hujawa jambazi. Hapo anatuibia Muda wetu
Ni ishara story imefika ukingoni ila anafanya kuirefusha tu
Davista njoo ban shabby 😢😢simtak hap hanapoozesha stroy
Sasa kama bado mnapelekwa magereza na bado mnatoroka ww unadhani watachukua hatua gani???? Mwenywe majibu 🙏
Naamini yule dada aliyepewa kazi ya upelelezi atakuwa alimwambia mke wa mfanyabiashara wa dhahabu pale mpanda na itakuwa ndiyo alimpa steve taarifa
Kweli yawezekana
Davista Mata 🎉🎉🎉
Alie uwa kwa upanga atakufa kwa upanga.
PIGMIS WOW
Sheby umeisha ilukia na hiii hat dada wa tarakea hujatumalizia😮😮😮
Du hays bhana naona watu mnakua mnawait kwa hamu
Niko sana
Duh atari sana, kaka ulikula nyama za watu bila wasi wasi 🤔 Je ilikua ina ladha gani iyo nyama? 🤔 🤔 🤔
Mimi naona police wako sawa kabisa coz mkipelekwa mahabusu mnafanya bidii mnatolewa sasa kupelekwa msituni iko sawa
Tunasubir mwendelezo mkuu
Wachapwe Risasi tu huko gerezan ndo mkipelekwa mnatoroka kesho mko mtaani mnaendelea na uhalifu na mbona jambazi kumwaga damu hamuoni shida kisa pesa ambayo hujaitolea jasho ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga tu
Tukio la shinyanga mmeluka
Shebby maswali yako bana ungepitia kwanza episode zilizopita mwache mwamba atupe stori bana😏
Kweli anafaa atumalizie dada wa tarakea aachane na story ya davistar
Huyo anamuhoji amezingua
Niko nafatilia sana
Wa 3 leo
Waki pelekwa mahakamani wata kimbia ulivio kimbia ww na vinyesi🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪.
Na mambo yenu nimayajuaa 😂😂
Davista post chap chap stori ya huyu jamaa maana anajua sana
Kula mbilikimo,😂😂😂😂
Bora davista uwepo unamrecord mwenywe huyu uliye mkabidhi camera anaboa kwa maswali yake ya kisamba
Police mkimkamata mhalifu pigalisasitu
JBOYS 1999
Zamani Jimbo la bandundu na Kasai mbilikimo walikuwa wanaliwa
Na mpaka sasa mbilikimo wote wameisha huko kongo
@@monicasimpilu6257 wapo halafu nilivyowaona sio mbilikimo bali ni wafupi na wanasura zao ya pekee, Rwanda na Burundi wanao wanawaita Batwa
Endelea kutusimulia