WAITARA ACHARUKA BUNGENI TUNA RAIS WA MASHOGA HAPA NCHINI, WATAJWE WAKAMATWE WAHOJIWE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • #waitara #bungeni

КОМЕНТАРІ • 15

  • @Ntambala-oy2us
    @Ntambala-oy2us 3 місяці тому +2

    Hongera sana waitara, umejitoa kuongelea ushoga. Mungu akubariki

  • @JoelSarwat
    @JoelSarwat 3 місяці тому +1

    Hongera mbunge wa tarime km hawasikii mungu anasikia atukusaidia

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 місяці тому

    SAF SANA MAMBO IMECHEMUKA😂😂😂❤❤❤

  • @EdwardKwiyanga
    @EdwardKwiyanga 3 місяці тому

    Kwenye bunge Tz wapo baadhi ya wabunge wamekuwa wa kweli waitara tunashukuru xn kwa ujasiri wk mungu akutangulie

  • @jeremiahmbena4644
    @jeremiahmbena4644 3 місяці тому +1

    Naibu spika mbona mambo muhimu unamkatisha mbunge tukuelewe vp unapenda Tz tuwemashoga, waitara anatufaa sana kutetea wa Tz kama mpina

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 3 місяці тому

    Hata uongee unavyoongea hayo unayoongea yataishia hapohapo hakuna wakutashughulikia
    Kama serikali ingekua inapinga ushoga bhasi tungeona waziwazi

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 3 місяці тому

    Waitara nimekupenda bure. Asante sana kwa kuzungumuza ukweli. Unalisaidia taifa na Rais. Achana na wabunge thahifu wanaosema tuwachcie Bashe wawo. Bashe ni waziri ameajiliwa na Watanzania, na analipwa na kodi za watanzania. Shida tuna wabunge wengi hawajuwi ni kwa nini wako bungeni. Wanakula mishahara ya bure na kulifanya bunge ni mali yawo. Bunge ni la watanzania na jambo hili tunalifuatilia. Kwa niaba ya watanzania Mpina Ana haki ya kumuhoji Bashe. Kątowa ushahidi na Watanzania sio wajinga. shida.

  • @MajiTakaMaji
    @MajiTakaMaji 3 місяці тому

    Mungu atusimamie. Tunatoa maji taka kwa being poa

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 3 місяці тому

    Sio wahojiwe wanyongwe kabisa mashoga

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 місяці тому

    Mbona Hujagusia kuhusu RIPOTI YA CAG

  • @ShabaniMukose
    @ShabaniMukose 3 місяці тому

    Kama Kuna viongozi wanachama wa free Masson Hilo haliwezi likachukuliwa hatua hata Maramoja kwa kuwa wametia saini ndani ya mkataba wao

  • @JoelSarwat
    @JoelSarwat 3 місяці тому

    Tumeumia mno michango ya Kila wakati nahakuna kinachoendelea

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 3 місяці тому

    Wabunge wengi tz hawanazo kichwani yaani hawana Cha maana zaidi ya kusifu, Rais hapeleki kitu chochote Bali sifia serikali yote likiwemo bunge maana Rais Hana biashara ya kutoa pesa tarime na kwingineko,poleni wapiga kura

  • @herrygeofreykilasi8658
    @herrygeofreykilasi8658 3 місяці тому

    p

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 3 місяці тому

    Watu wanapokuwa wanatoa point muwaache wamalizie