Rais Samia aipongeza Yanga, aongeza dau 'goli la mama', atoa ndege kwa mashabiki

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameipongeza Yanga kwa kutinga fainali ya #CAFCC na kutangaza rasmi kuongeza dau la motisha ambapo sasa kila goli itakuwa ni shilingi milioni 20 kwa matokeo ya ushindi.
    Rais Samia ametangaza dau hilo muda huu katika hafla ya uzinduzi wa minara ya DTT inayofanyika ndani ya viwanja vya Azam Media, Tabata Dar es Salaam na kuongeza kuwa serikali itatoa ndege kwa ajili ya mashabiki watakaokwenda nchini Algeria kwa ajili ya mchezo huo wa fainali.
    Je, imekaaje hiyo?

КОМЕНТАРІ • 6