VITUKO VYA MORRISON IKULU MBELE YA RAIS SAMIA VYAWAVUNJA MBAVU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 84

  • @albertlokoya7937
    @albertlokoya7937 Рік тому +21

    Eng. Hersi anajua kuongea kwenye halaiki ya watu na viongozi. He is a full package kama Raisi wa Young African.

  • @albertlokoya7937
    @albertlokoya7937 Рік тому +16

    Mimi Simba, and Lakini Young African are taking this game to another level, and this is a wake-up call for Wekundu wa Msimbazi, to focus and go toe to toe with this Giant of Tanzanian football, Young African)

  • @furahasaid5861
    @furahasaid5861 Рік тому +2

    aafu et huyu kaka wa watu na upole wote huu Feisal anamzuahia uongo.. jaman mwazhen aende ila atajutia aendako.. mungu akulinde kaka❤️❤️

  • @JanethZoma-gw9sq
    @JanethZoma-gw9sq Рік тому

    Amina , Asante mama

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 Рік тому +8

    Morison mpuuzi sana,,angefungwa kamba huyo😂😂😂😂

  • @TARICKENOCENT-bf9ft
    @TARICKENOCENT-bf9ft Рік тому

    Nice

  • @georgematovu1317
    @georgematovu1317 Рік тому +15

    Utani ukipitiliza inakuwa dharau. Mara ya kwanza ni utani ok, mara ya pili asingesimama....Hersi katumia akili akamtambulisha yeye akagoma kusimama mbele ya rais wa nchi ndani ya ikulu!! Huu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu.

    • @fahadmussa8879
      @fahadmussa8879 Рік тому +3

      Kawaid2

    • @mawazochanya2081
      @mawazochanya2081 Рік тому +7

      tafsiri yako iko kinyume na tulichoona.Morrison katoa burudani na watu wamecheka na kufurahi sana

  • @mbraziltz9126
    @mbraziltz9126 Рік тому

    Brother benard

  • @mustafahassan1837
    @mustafahassan1837 Рік тому +1

    Mm mwenyewe ukiniita toto tundu mbele ya mkuu wa nchi haijarishi ww ni nani sinyanyuki

  • @msakamaboga5712
    @msakamaboga5712 Рік тому

    Morrison nampenda mnooo aisee

  • @YusuphJoseph-f2f
    @YusuphJoseph-f2f Рік тому +5

    Naamini Tanzania tutafika mbali ila utekelezaji wa miundombinu ya michezo iboreshwa na vijana tupewe nafasi zaidi katika michezo

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 Рік тому

    Jamaa ana busara

  • @emmanuelmchome3071
    @emmanuelmchome3071 Рік тому +1

    Yanga imepata kiongozi aliye komaa... Otasongavmbele Sana ni suala muda tu. Morrison duuuuu...

  • @elishangulo423
    @elishangulo423 Рік тому

    Morrison msenge sanaa😅

  • @FaudhiKhamis-rx2pg
    @FaudhiKhamis-rx2pg Рік тому

    🤗🤗👌

  • @AmosSniper
    @AmosSniper Рік тому

    Huyo ndiye Mzinze

  • @StimaOfficial
    @StimaOfficial Рік тому +2

    😂😂😂😂 kha morrison

  • @kennedyedson9097
    @kennedyedson9097 Рік тому

    Morrison hajui kiswahili hana lawama father Bernard

  • @sarahmgalama3503
    @sarahmgalama3503 Рік тому +1

    😂😂😂
    Ila Morrison na mara ya pili kasimama ,lkn alivyotajwa yeye hakusimama daah,, kuna watu wanavituko

  • @JosephThobias-pb7gq
    @JosephThobias-pb7gq Рік тому

    💐

  • @ElastoBilali-dd9ok
    @ElastoBilali-dd9ok Рік тому

    Asnt yanga

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 Рік тому +3

    Watu kama hawa huwa wapo kwa ajili ya kufurahisha

  • @ashirafuhuruma6412
    @ashirafuhuruma6412 Рік тому +4

    Clement mzize bwn, sio mzinzi

  • @priscamsuya-xd4tu
    @priscamsuya-xd4tu Рік тому +1

    Huyu Morison 😅😅😅 jamani

  • @GeorgeMazimo-cr7vi
    @GeorgeMazimo-cr7vi Рік тому

    Nymbo mpy

  • @baturam94muandai-wc5lt
    @baturam94muandai-wc5lt Рік тому +2

    Morrison mbinguni hufiki🤣🤣

  • @safielkabonda295
    @safielkabonda295 Рік тому

    Morrison anapigaga kitu cha arusha, akiii😂😂😂😂

  • @samuelsadiki3146
    @samuelsadiki3146 Рік тому

    X POWER COFFEE
    Hii ni kahawa iliyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zaidi ya vinne yani;
    1. Fresh maca
    2. Ginseng powder
    3. Tongkat ali
    4. Epimedium
    Viambata hivi vimetoka nchi za
    KOREA,CHINA,USA,INDIA,PERU
    Kahawa hii haina CAFFEINE,imetolewa Kwa kutumia teknolojia bora ili kuwafaa watu Wa aina zote.
    Kazi muhimu za Hii Kahawa;
    1. Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu mara dufu wakati Wa tendo.
    2. Kuupa mwili Nguvu zaidi
    3. Kusaidia kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.
    5. Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata kama iliisha kabisa.
    6. Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.
    7. Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume
    8. Kuufanya uume usimame barabara kama msumari
    9. Kusafisha mishipa ya damu
    ,
    10. Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi
    11. Haina kemikali ni ya asili kabida 100%
    Tunapatikana Dar Es Salaam mbezi mwisho,Kinondoni,Mwanza,Arusha,Dodoma,Morogoro,Mbeya, pia mikoani tunatuma na nje ya nchi pia
    EPUKA AIBU YA KUFIKA HARAKA KILELENI.X POWER COFFEE
    Kwa mahitaji piga/njoo whatsup.
    0757882725.
    0656576771

  • @guccij6236
    @guccij6236 Рік тому

    Yanga lastborn wa nchi

  • @IsackSimon
    @IsackSimon Рік тому

    La nimecheka morison

  • @hamedhabsi2752
    @hamedhabsi2752 Рік тому

    Morrison achukuliwe tu Kama lugha ilimpita. Pasiwe na sababu yeyote ile.

  • @rahymaaa4357
    @rahymaaa4357 Рік тому

    😂😂😂😂bibi angu angechekea wapih sasa 😂😂😂

  • @giftmaro8893
    @giftmaro8893 Рік тому

    Morrison siku ukiondoka tz hadi kizaz cha nne kitakkumbuka

  • @NzeyimznaSauda
    @NzeyimznaSauda Рік тому +1

    Hajuwi kiswahili

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 Рік тому

    Morrison kibon Sana aisee hahahahaa

  • @mckingu4004
    @mckingu4004 Рік тому +1

    Morrison Hana akil kbs😂

  • @GeraldTMK-cg1qq
    @GeraldTMK-cg1qq Рік тому

    Bangi kwel kaka

  • @DeoDatus-xs7is
    @DeoDatus-xs7is Рік тому +1

    Mama nimekuelewa saaaaana

  • @sagboison6297
    @sagboison6297 Рік тому

    Morison morison

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Рік тому

    Huyu Morrison serekali wasimchukulie poa anaweza jasusi wamfuatilie nyendo zake,maana huyo ana confidence kubwa sna

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 Рік тому +4

      Hana ujasusi wowote acha kukuza mambo, Morison ni comedian tu hala lolote la kuhatarisha usalama wa nchi

    • @eddieeliakim6548
      @eddieeliakim6548 Рік тому +1

      Huyo ni Mwanasheria msomi sana huyo so Kila afanyalo analijua

    • @mawazochanya2081
      @mawazochanya2081 Рік тому

      ni utundu tu mcheshi na yuko vibrant

  • @angelaminde1247
    @angelaminde1247 Рік тому +1

    Sijaelewa kwamba hao ndio waliopigania Yanga mpaka kufika hapo?? Hao wengine hawajacheza??😢

    • @ashurahatibu5069
      @ashurahatibu5069 Рік тому +1

      Walishatambulishwa ila hao wameweka alama fulani

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 Рік тому

      Na bora Ucpoelewa, Maana ungeelewa Ungetutia baaabu😂

  • @rahelingumbi7728
    @rahelingumbi7728 Рік тому

    Jaman jaman mtatuua

    • @rahelingumbi7728
      @rahelingumbi7728 Рік тому

      Yan aman imetawala jangwan tunawapenda sana wananchi sema mayele na diara mna kiti chenu jangwan hata mkiondoka hakuna tunachowadai kula la kheri mwaaaaaa yangadaima

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 Рік тому

    Da morson du Ni atar anavituko

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 Рік тому

    Morrison 😁😁😁

  • @allyhamad3113
    @allyhamad3113 Рік тому

    ❤️❤️❤️

  • @hamedhabsi2752
    @hamedhabsi2752 Рік тому

    Hili tangazo la kahawa linahusiana na nini humu ndani?

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 Рік тому

    Hivi Morison kagoma au?

  • @mohamedbakhuwar4749
    @mohamedbakhuwar4749 Рік тому

    Sadio Mane alimpiga Sane Buyern Munich wakamsimamisha. Na sasa hawamtaki tena.
    Yanga wamchukulie hatua.
    Algeria alienda kuchukua zawadi ya Waziri wa michezo mkononi kwake.
    Morrison aadhibiwe kwa makosa ya kinidhamu.
    Yanga wakishindwa basi TFF waangalie kanuni zao kuhusu hili.

  • @ZuberiNyahenge-sr9np
    @ZuberiNyahenge-sr9np Рік тому

    A

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 Рік тому

    Huyu jamaa anafanya fujo ikulu kwani polisi hawapo? Alafu anasimama yeye

  • @ELIPHAZAMON-ex9zc
    @ELIPHAZAMON-ex9zc Рік тому

    Bangi isiruhusiwe jaman madhara yake ni makubwa

  • @samwelsimon7392
    @samwelsimon7392 Рік тому +1

    nani amekudanganya simba tunautaka sana ubingwa msimu ujao iwe mvua iwe jua kwa nguvu moja na kubwa tunautaka tena makombe mawili

  • @samwelsimon7392
    @samwelsimon7392 Рік тому

    morrison bangi nyingi

  • @severinaraymondanthony9523
    @severinaraymondanthony9523 Рік тому

    Morison kanivunja mbavu kwel mpuuz huyu

  • @michaelpeter7385
    @michaelpeter7385 Рік тому +1

    🤣🤣 ila morison

  • @ewaldambrose6136
    @ewaldambrose6136 Рік тому

    Bange mbaya