"VURUGU, BUNDUKI ZAPIGWA JUU" NYUMBA ZAIDI YA 30 ZAVUNJWA, WANANCHI WAMWAMBIA RC CHALAMILA A-Z

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Mkuu wa Mkoa wa dar es salaam, Albert Chalamila ametembelea eneo la Majoe Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam na kujionea nyumba zilizo bomolewa na watu ambao hawafahamiki kwa kuwa uhalifu huo umekua ukifanyika nyakati za usiku
    Wakielezea kero zao wananchi hao mbele ya mkuu wa mkoa Albert Chalamila wamefunguka haya….

КОМЕНТАРІ • 605

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 9 місяців тому +35

    Hii nchi si ya amani bali ni kisiwa cha uvumilivu . Mm hushangaa sana kupoteza muda wa kusherehekea nchi kupata uhuru . Uhuru upi huku kunawakoloni weusi

  • @jennifersongani2734
    @jennifersongani2734 9 місяців тому +19

    Poleni sana ndugu zangu,machozi ya wenye haki hayapotei bure ,mwenyezi mungu atawafuta machozi wenu

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 9 місяців тому +11

    Polisi na kiongozi wao OCD wanajua MCHEZO WOTE....wamehongwa na anaejiita mwenye kiwanja.

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 9 місяців тому +10

    😂 selikali ya CCM nusu Yao ni waasi na majambazi ni vile watanzania hatutaki kuona damu zikimwagika siku kukichatuka mtakosa pa kujificha

    • @Spirtualperson
      @Spirtualperson 9 місяців тому

      Hakuna cha ccm wa chadema kila muafrica anajiwaxia nafsi yake ni vile hujapata mamlaka

  • @RajabuBojo-j2l
    @RajabuBojo-j2l 9 місяців тому +14

    Tanzania ni nchi yenye amani ila wananchi wake hatuna amani pumbavu

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma6051 9 місяців тому +21

    Kuna faida gan ya kuita mtu mheshimiwa .wakat hawana wanachofanya ..ndo maana nchi za kiarabu watu wanalipuana kwa upuuz kama huu

  • @salumissa2266
    @salumissa2266 9 місяців тому +14

    Hivi ipo seemu walivunjiwa nyumba wamepata haki yao ipo hiyo seemu kweli

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 9 місяців тому +13

    Watu wanavunjiwa nyumba usiku, usiku, usiku.......hapana, hapana, hapana....! Nani anabariki uhuni huu? Nani yuko nyuma ya unyama huu? Hivi nchi ya ni ya watanganyika au wakimbizi? 8:19

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 9 місяців тому +2

    Baada ya Magufuli kufa, ni shutuma kwa kwenda mbele

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 9 місяців тому +8

    Mmmmhhhhhhh dunia simama nishuke mungu watetee hawa ndugu zetu yaani hapo inaonesha waziii huyu MTU anahonga napesa kila upande kuwadhulum hao wanyonge wa mungu wallahi watu wamekosa hofu yamungu

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc 9 місяців тому +2

    Mnaangaaika bure2 apoyangiiliauku yanatokea kule hamna kitu apo haki ilikua enz za j,p,m. Poleni saaaana

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 9 місяців тому +23

    Kwa kweli watanzania tuna shida kubwa. Kesi, dhuluma, wizi, uonevu, ufisadi nk.vipo wazi hii leo, halafu inakuwepo serikali ya kuchukua muda mrefu kusikiliza wananchi, mara itafuata kauli toka serikalini: unda tume, unda kamati, tuko kwenye mchakato tunachunguza, tuunde kongamano la kuangalia haya mambo kwa busara! Ndo hayo MAGU alikuwa hayataki, na kwa kweli, enzi yake MAGU tukaiona amani! Leo serikali ikasema tugeuze msimamo, tuwe na mpya, yaani ya MAGU hayafai! Na sasa msimamo mpya unatuliza. Nchi nzima hii leo utasikia vilio! Tunalia nini sasa wakati sie wenyewe ndo mtindo mpya tulochagua kufuata? Aliyeweka msimamo huo kwa niaba yetu ni mkuu wa nchi. Yaani rais. Halafu wananchi walalamikaji unakuta mara nyingi wanajichanganya, eti rais hana habari na mateso ya wananchi ila watendaji wake ndo wanamharibia! Sivyo, rais anayajua vizuri kwani watendaji wake wakiungana na mafisadi, wanafuata msimamo aliouweka yeye! Kifupi wanatekeleza "wajibu" wao kwa rais! Sasa Chalamila ni nani wa kwenda kinyume na matakwa ya bosi wake? Nilitamani sana nisikie kauli kali na mara moja ya Chalamila dhidi ya unyanyasaji huu wa wanyonge, clipp haijaonyesha. Poleni sana ndgu zangu.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +2

      USITU SIFIE YULE MAITI ALIE VUNJA MAJUMBA YA MASKINI KIMARA NA KUWATUPA NJE KAMA MBWA.

    • @saidmabanga388
      @saidmabanga388 9 місяців тому

      ​@@salimmalaka256una unalo jua ss kimara tulilimwa mwaka 1996 na tukapewa viwanja mbwenii na salasala serikalii ikajq ikavunja nusu na kuondoka wazee wetu waliuza yqle maeneo na kukimbilia mbezii maramba magu alipo kuja kuvunja alikuwa saiii cuz cc tulisha lipws tangu 97

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +2

      @@saidmabanga388 LAKINI KAWAVUNJIA NA KUWATUPA NJEE MIMI NAONA SIO SAWA NI USHENZI KABISA.

    • @EliudMalipili-zc1kw
      @EliudMalipili-zc1kw 9 місяців тому

      😮

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 9 місяців тому

      ​Duniani tunaandika histolia Tu wrote ni malehem hakuna alieweka mkataba wa kuishi milele hapa punguzeni kibuli Kwa kuwakashfu waliotangulia lhimmalaka256

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 9 місяців тому +10

    Serkali ya wanyonge haya bomoa,bomoa,usiku au n Gaza au, Ukraine, mjipange,wa Tanganyika hatujielewi Tatizo shule,et unapigwa mwigi, mtajijeijei sana wa Tanganyika,

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 9 місяців тому +1

      Wananyanyaswa huku wanawasifia wanaobariki wanyanyasike ati bado wanasifia .Ni Tanzania tu ndio watu wanasifia kuonewa 😅.

    • @abdallakhamisi7488
      @abdallakhamisi7488 9 місяців тому

      Kaka usijizime data uongozi uliopita nyumba zilivunjwa na mzee Pombe akasema halipi na yeyote anaetaka kumfanya kitu chochote amfanye hii nchi haithamini mnyonge ila mnyonge anathaminiwa wakati wa kura tu😢😢

    • @MaliamMasudi-wd5cb
      @MaliamMasudi-wd5cb 9 місяців тому +1

      ​@@abdallakhamisi7488 kuwa na akili pombe alivunja bondeni

  • @nataemsuya
    @nataemsuya 9 місяців тому +1

    Masikini, Tanzania km huna network, huna pesa, hauna ndugu ambae yuko wizara ya mambo ya ndani, huna pesa. Basi jitahidi kuhama /ondoka kabebe boksi Ulaya na Marekani.Hamna haki duniani ukiwa hauna pesa. Haki iko mbinguni.

  • @WinnieBenard-x5c
    @WinnieBenard-x5c 9 місяців тому +8

    Hapa nakubali binafsi nilimshangaa sana mama kumchagua yule Amos Makala kazi hajui yul

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 9 місяців тому +18

    Chezeya apo Magufuli angekuwepo kama wangenyeya kwenye po ya kitoto.😢😢😢
    Yule Baba kwa kweli alijitahidi kupiganiya haki za watu wa chini

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 9 місяців тому +3

      Yani acha tu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +3

      HAKI GANI WAKATI YEYE NDIE ALIE WAVUNJIA WATU MAJUMBA KIMARA?? AU HUJUWI???

    • @kaliskaguzkalis4424
      @kaliskaguzkalis4424 9 місяців тому +1

      Haki gani aliyekuwa nayo

    • @nimrodsigulu6249
      @nimrodsigulu6249 9 місяців тому +1

      Sasa Magufuli angekuwpo angefanya nini?

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 9 місяців тому

      @@nimrodsigulu6249
      Tafuta kumbukumbu hata kwenye UA-cam utaona alivyokuwa anawafanya watu wa dhulma

  • @ngoshawaboma6180
    @ngoshawaboma6180 9 місяців тому +1

    iyo ndo sirikalii ya ccm sasa endeleen kuimba mapambiooo

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 9 місяців тому +7

    Haki gani inapatikana kwa bunduki,Kama sio ubabe

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 9 місяців тому +5

    CCM mbele kwa mbele iyooooo inawakomesha

  • @jennifersongani2734
    @jennifersongani2734 9 місяців тому +5

    Ifike wakati watanzania tuwe na umoja tukemee hayq mambo ya bomoabomoa kumbuka leo kwa mwenzio na kesho kwako

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 9 місяців тому +2

      Hili ndio tatizo hatuna umoja yaani mtu mmoja anaogopwa kwa vile ana bunduki

  • @josephwilliammnyune5464
    @josephwilliammnyune5464 9 місяців тому +30

    Poleni sana wananchi. Imefika wakati muelewe kuwa kuna wananchi na wenyenchi.
    Li nchi kubwa kama hili, kuna haja ya kuboleana majumba?
    Hao wenye eneo, kwa nini wanasubiri watu wajenge, ndipo wakabomoe?

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 9 місяців тому +5

      Walisema wakimaliza Mikoa mingine watafuta kwingine. Wamasai wamelia tukaona ni sawa kwao sasa tunalia Nchi nzima 😢

    • @marrypius576
      @marrypius576 9 місяців тому

      ​@@leokamil6284si bora hao wamasai wamejengewa nyumb kuliko hao

    • @EliaNdagamsu-n3d
      @EliaNdagamsu-n3d 9 місяців тому +4

      Umenifurahisha mwamba kumbe Kuna mwananchi na mwenye nchi daaaaaa ila ni kweli hivi mwana chato alienda wap

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 9 місяців тому +3

      Mwana Chato aliumaliza mwendo huko hakuna haya mambo

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 9 місяців тому +2

      nasikia hao jamaa eneo sio lao na walisbaoewa chao na notice ila wabishi

  • @Ambwene
    @Ambwene 9 місяців тому +4

    HII SERIKALI YA KIPUMBAVU SAAANA MAMAMAE YAANI WANANCHI TUMEZIDI UPOLE

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому

      WEWE SI UNASHANGILIA GAZA MAZIONIST KUWABOMOLEA NA KUWAUWA RAIA WASIOKUWA NA HATIA IMEKUWAJE TENA.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +1

      WEWE SI UNASHANGILIA GAZA MAZIONIST KUWABOMOLEA NA KUWAUWA RAIA WASIOKUWA NA HATIA IMEKUWAJE TENA.

    • @Ambwene
      @Ambwene 9 місяців тому

      ​@@salimmalaka256sasa wewe mbwa kwani hii Gaza 😅 acha Gaza wamanuliwe tuu mbwa wa kiarabu wale hawana faida ya kuishi 😅😅😅😅

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +1

      @@Ambwene KUMA LA MAMAKO WEWE KWANI UMEWAUMBA WEWE NYANI WEWE AU WAMEKUFIRA HAWAKUKUPA PESA UTAKUFA KWA CHUKI NA HUSDA KIBARAKA WA WAZUNGU WEWE.

    • @mandelamandela3150
      @mandelamandela3150 9 місяців тому

      ​@@salimmalaka256Halafu unamshabikia Samia wewe huna akiri kichwa chako kimejaa Matusi kumbe watu wa aina yako ndiyo wa Samia.

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 9 місяців тому +1

    Huyu mwenyekiti ni muhuni macho yake tu takibuli

  • @RamaSimbila
    @RamaSimbila 9 місяців тому +1

    Magufuri alisema tutamkumbuka kwa mazuri saiv pisto kawaida2 mtaani mtu saiv anakwambia unanijua mm ni nan kwakweli jaman mitaa ni yamoto sana

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 9 місяців тому +7

    Hali mbaya jamsni hii inaweza nje yakata hii wafanya cinema kwa kweli tanzania hafikia hapa mimi hawa wananchi wana subria kweli wangeanda keko wangetokea mauji kweli kila moja anaongea uchungu mno ukisikiliza jnalilia kwa kweli selikali wapatia viwanja wajengee hii laana unweza kufunji nyuma mtu bila uruma

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 9 місяців тому +3

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭tunaumizwa watanzania😭😭😭😭😭😭hii ndo serikali kwa ujumla 😭😭😭😭amakweli kazi ya mungu haina makosa. Magufuli alitia watu adabu. Yani watu wanaonyesha ni jinsigani wanaidharau serikali iliyopa madarakani. Mpaka maaskari wanatamka kabisa wazi kwamba mama afanyi chocho hatakama mkishitaki.😭😭😭😭😭kumbukeni kunakusimama mbele ya (الله ) mwenyezimungu, kumbukeni moto wa الله unazungumza kumwambia الله kama kunaziada niongezee mola wangu. Na ingekua tunaifikiria kesho na uzito wake tusingezulumu hata sindano ya mtu.😭😭😭😭😭

  • @MaliamMasudi-wd5cb
    @MaliamMasudi-wd5cb 9 місяців тому +2

    Magutu tunamkumbuka hakuna mwingine

  • @ototek8037
    @ototek8037 9 місяців тому +1

    Raisi anakazi nyingi hawezi kuona mateso ya watanzania, Hakika tutamkumbuka raisi wa wanyonge alifanya makapuku tuvimbe bila pesa.

    • @musasabuu2808
      @musasabuu2808 9 місяців тому

      Kwa hiyo mama samia ndo haakumbuki wanyonge mama anafanya kazi tena sana changamoto lazima ziwepo hakuna mtu anaeongoza bila kuwepo na changamoto

  • @sylvesterchisenga3707
    @sylvesterchisenga3707 9 місяців тому +1

    Tuko bize kuandaa chipukizi CCM hayo mtajua wenyewe

  • @AgnesNgunguru
    @AgnesNgunguru 9 місяців тому +3

    Duh Tanzania viongozi Mungu awape hekima katika dhamana waliyopewa.

  • @JumaShimende
    @JumaShimende 9 місяців тому +5

    Mama samia rais wetu tunakupenda na tunakukubali uchapa kazi wako.ila baadhi ya viongoz wanataka kukutengenezea chuki na wanaichi.nakuomba mama raisi wetu mpe basi meno umuomgezee nguvu waziri mkuu majaliwa majaliwa au huyu mkuu wa mkoa chalamila wawe wanawatumbua wale wote wanao fanya kazi kwa mazoea na bila kufata sheria na viongoz wote wale wazembe.vyuma hivyo wawe wanawatumbua hadharani haijalish anawadhfa gani huyo kiongozi atumbuliwe tuu.

  • @SukaDmGuy
    @SukaDmGuy 9 місяців тому +25

    RIP MAGUFULI

    • @marthageorge5043
      @marthageorge5043 9 місяців тому

      😢😢😢😢

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +1

      MAGU NDIE ALIE WAVUNJIA WATU MAJUMBA KIMARA AU HUJUWI???

    • @Ambwene
      @Ambwene 9 місяців тому +1

      ​@@salimmalaka256Huyu mama mpumbavu hajui kuongoza nchi

    • @saidmabanga388
      @saidmabanga388 9 місяців тому +1

      ​@@salimmalaka256magu qlikuwa saii cc tulilipwa tangu 1997

    • @mandelamandela3150
      @mandelamandela3150 9 місяців тому

      ​@@salimmalaka256Wewe ni Mshabiki wa Rais Samia huna ukweli wowote unalopoka hujuwi lolote, Magufuri alitenda haki hakumuonea mtu yoyote.

  • @Zainabkhamis-d2s
    @Zainabkhamis-d2s 9 місяців тому +3

    Kiukweli Tanzania kuhusu jeshi la polisi ni mtihani kwakweli wa wakukute barabarani wakutoe makosa uwape pesa bax ndo wanoliweza

  • @GladyMussa-mh6vf
    @GladyMussa-mh6vf 9 місяців тому +2

    Ao wasenge sana wanatishiaje wananchi kisenge wanachafua chama cha mapinduzi viongoxi wa mkoa na wilaya kama mmeshindwa tuambieee

  • @chemli23
    @chemli23 9 місяців тому +2

    Nyie mmekua wapole sana ilibidi serikali ije iseme wana nchi basi inatosha.

  • @coastermahenge8910
    @coastermahenge8910 9 місяців тому +2

    Magufuli tutakuenza maisha yawatanzania yanapotea

    • @romanamassawe814
      @romanamassawe814 9 місяців тому

      Na yeye yupo jehanamu kwa kutuvunjia nyumba zetu kimara

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 9 місяців тому +9

    Aa nanyie mmekuwa wapole mno mna ogopa pistol?Duu Mzee mkwawa alipambana na wajerumani kwa mikuki na mishale akashinda vita nyie mnaogopa pistol?Duu mnaniangusha mnashindwa kupambana na hayo majambazi duu! Mkuu wa mkoa kazi nzuri wasaidie hao wanyonge raia wa mama Samia mungu atakubariki sana sweka ndani Kila aliehusika kufanya unyama huo ndani ya Tanzania.

    • @matiankomola2391
      @matiankomola2391 9 місяців тому +2

      Hatukuelewi Baba,
      Unasema Mnaogopa Pistol,
      Kweli? Mtu asiye na silaha hapaswi kuogopa Piston!

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 9 місяців тому

      ​@@matiankomola2391ni lazima waogope pisto wao hawana siraha,ila wangeamuwa kufanya vurugu ingeleta madhara zaidi

    • @ibrahimuKidevu
      @ibrahimuKidevu 9 місяців тому +3

      Ujasiri sio kucomment UA-cam

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 9 місяців тому

      Jamaa yuko sahihi uoga ukizidi pia ni tatizo,nenda kwa wakurya tarime na pistol yako kama utawatisha watakuua na pistol yako​@@matiankomola2391

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 9 місяців тому +11

    Nyumba 30 kuvunjwa adi ziishe hivi serikali haina taarifa kwel😢

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 9 місяців тому +1

      Mpunga ndugu

    • @mariamdullazy8166
      @mariamdullazy8166 9 місяців тому +3

      Inauma jaman kujenga kulivyokuwa kugumu si japo wangepewa muda wa kujipanga basi inauma sana

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 9 місяців тому

      @@mariamdullazy8166
      Wala hakuna sababu ya kuwasumbua. Serikali ingempa mwenye eneo, eneo lingine. Kama angeng'ang'ania hapohapo, basi angepaswa awalipe majengo yao. Haiwezikani watu wanajenga mpaka wanamaliza mwenye eneo hana habari.

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 9 місяців тому +3

    Kumbe mlijua Sasa Nini mnalalama

  • @IbrahimSuleyman-j8n
    @IbrahimSuleyman-j8n 9 місяців тому +1

    Je mama Hana makali??

  • @nasrasalumu7005
    @nasrasalumu7005 9 місяців тому +5

    Hii nchi ndivyo ilivyo hivi vitendo vimejaa Morogoro ndio imeoza kabisa sijui tunakwenda wapi

    • @fatumastv
      @fatumastv 9 місяців тому

      Morogoro atuna matatizo kabisa usiseme imeoza imeoza kivip

    • @musasabuu2808
      @musasabuu2808 9 місяців тому

      Bado haijaoza iko vzr

  • @loveahmed7892
    @loveahmed7892 9 місяців тому +1

    Hawo wafutwe kazi mwenyekiti mapolis hata mkuu wa wilaa wasimamishwe kazi hawafai

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 8 місяців тому

    Huyo Nyambuya ni Mhusika anajua kila Kitu ni anatumika..hiki kilichotokea ni Kuidharilisha nchi na Kiongozi..mkuu..yaani utadhani wako HANANG..ok mtu wa Kawaida unamshikia vipi Bastola..?..Mtu anasema Rais hawezi kuwafanya lolote.? Khaaa

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 9 місяців тому +2

    Hawa wenye viti ndiyo shida kabisa wanapenda madaraka uwezo hawana. Niwaambie ndugu zangu uongozi ni karama siyo ovyo ovyo tuu.

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 9 місяців тому +3

    uongozi ni mgumu sana hao wote wanajua ukweli kuwa walishaondolewa kwa mjib wa sheria wanatafuta huruma 😂

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 9 місяців тому +1

      waliondolewa na nani na lini?na je mtu anaposhinda kesi ya ardhi ni nani anapaswa kuja kubomoa?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +1

      ​@@saloomidd1084USILETE UBISHI WABONGO WANA JEURI ZA KISHAMBA HIYO KESI NI YA ZAMANI NA WAMEKUBALI ARDHI SIO YAO SISEMI WALIVYO FANYIWA NIMEFURAHI LAKINI UBISHI NI HASARA.

  • @joackimtemba3173
    @joackimtemba3173 9 місяців тому +1

    Mpaka machozi yamenilenga lenga na laiti ndo ningekuwa mie ndo masihi hii kesi mngefurahi maamuzi yanguu

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws 9 місяців тому

    Baba wa Taifa Rais Mwalimu Julius Kambarage,aliwahi kumuweka jela Mgiriki aliyesema," Serekali iko Mfukoni mwangu!!! Baba wa Taifa akawazaaaa,akagundua maana ya Serekali kuwa mfukoni mwake Mgiriki,ni "Rushwa" akamuweka ndani. Je,likoje hili? 😭😭😭

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 9 місяців тому +2

    Samia...fukuza IGP, CP, DCP na RPC wote na uajiri wapya.Ukweli ni kuwa Polisi wanaiweka rehani CCM.

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 9 місяців тому +1

      Ni kweli aisee wamejaa makanjanja tupu

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 9 місяців тому +1

    Mama afanye mabaliko kwenye uongozi mavyeti ya wekwe pembeni wawekwe vijana Wazalendo wapo wakumaliza migogoro kiraisi kabisa bira ata kutumia nguvu kama izo

  • @HamisiGama-x6w
    @HamisiGama-x6w 9 місяців тому +1

    Poleni palestina duu

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 9 місяців тому

    Ktk sehem Mama etu ameshindwa Basi ni nidhamu ndani ya jeshi police...Yaan sa hiz police wanauwa, wana dhulumu,Wana bambikiza Watu kesi, Wanakula rushwa yaan tafran

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 9 місяців тому +1

    Mpaka nalia jamani hivi nyumba 30 mh chelamila hii unaweza babangu wasaidie hao watu

  • @nassercurtis9579
    @nassercurtis9579 9 місяців тому +9

    Hapa ndio wanyonge watakapomkumbuka Magufuli maana hao waliofanya huo unyama cha kwanza wangesikia kile kicheko chake cha ukali ihiiiiiii akiliza tu ungesikia watafutwe waote na wakamatwe, na ndio hao mpaka leo magufuli amefariki bado wanamchafua maana wanaona kama walicheleweshwa kwenye udhulumu wao.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +1

      NA WALE MAGU ALIOWAVUNJIA MAJUMBA YAO KIMARA SIO WANYONGE?? WACHA UJINGA WEWE.

  • @mwananganzi
    @mwananganzi 9 місяців тому +3

    Poleni san Mungu atawafanyia wepesi

  • @ayyamirubba5226
    @ayyamirubba5226 9 місяців тому

    Serekali ya mkoa hapa tunataka..isimamie jambo hili kwa uadilifu............

  • @robertdominic7298
    @robertdominic7298 8 місяців тому

    Polisi kwa kuwa imeshindwa kuwahami wananchi,wote wawajibishwe! Wafukuzwe kazi, kutia ndani Ocd.

  • @alfredfuteh573
    @alfredfuteh573 9 місяців тому

    WATUMISHI WOTE WA SERIKALI NDIO WANAOVUNJA SHERIA NA KUIOZESHA SERIKALI MBELE YA UMA TANGU MITAA/VIJIJI, KATA, WILAYA MPAKA MKOA. NI UOZO MTUPU NA DHULUMA TUPU.

  • @jackezekia6068
    @jackezekia6068 9 місяців тому

    Ndyo muache kuvamia viwanja vyawatu matokeo yake ndyo hapo kumlaumu raisi mara kumsumbua mungu wakat mungu mwenyewe yupo bize kupanga riziki za mwakani ,,

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 9 місяців тому +6

    Kuna Ile mwananchi anapelekewa summons ya kwenda mahakamani hataki kupokea hiyo summons akizani kwamba kesi haiwezi kusikilizwa bila uwepo wake, baadae anakutana maamuzi ya mahakama anaanza kulia kwamba hakupata nafasi ya kusikiliza na matokeo yake ndio hayo hapo

    • @tkashatz
      @tkashatz 9 місяців тому

      Ko we unaona ni sahii

    • @clarencesichila9497
      @clarencesichila9497 9 місяців тому

      Uelewa wako ni mdogo watu wameumja wew unaona sawa

    • @magembekisabo9632
      @magembekisabo9632 9 місяців тому

      Ushaona mahakama inaagiza nyumba ibomolewe usiku?

  • @membeomkaya6767
    @membeomkaya6767 8 місяців тому

    Mmempigia OCD hamja hamujapata msaada hamjiongez kua ilo niagizo toka juu wakat wanaumizwa wamasai mlikua mnachekelea tu ety Leo Ooo Mkuu wanachafua chama chetu ccm nasi twasemaa Acha waisomenambaee ccm mbele kwambelee

  • @musamwanji4389
    @musamwanji4389 9 місяців тому +1

    Daaaaa Magu uko wapi?

  • @gemmamwajombe3169
    @gemmamwajombe3169 9 місяців тому

    Mkataa pema pabaya panamwita mlimkataa Magufuli leo je? Sias a chafu nyingi mateso na bado pamoja nakuuzwa mafisadi wako peponi Lukuvi uko wapi?

  • @MartiniBahali-yi2ge
    @MartiniBahali-yi2ge 9 місяців тому +1

    Hakuna amani tanzania bali watanzania ni waoga ndo maana tunaonewa hata viongozi waona ni dili kwetu sisi kuwa waoga

  • @mbeguclassic3387
    @mbeguclassic3387 9 місяців тому +9

    I 😂😂😂 Hapa bado kama huna hela kwa sasa pita kule nchi imerudi kwenye mfumo wake wakawaida sasa 😂😂 tukae kwakutulia majibu yakija hapo utasikia hamieni burund😢😢

  • @denisjoel1592
    @denisjoel1592 9 місяців тому +4

    R I P ,ank MAGU

  • @jonakajigili6991
    @jonakajigili6991 9 місяців тому +2

    Hao watu wanaongea Kwa hekima sana.,.

  • @makongoronyerere1564
    @makongoronyerere1564 9 місяців тому

    Mbona jpm kwenye uwongoz wake, hy haykuwepo, sasaiv ujinga mwing sana

  • @chachamwita9987
    @chachamwita9987 9 місяців тому

    Hii nchi Hatutaki watukupigwa Tunaomba mkuu wamkoa uwachukulie hao wahalifu hatua .nchiyetu tumezoea Amani

  • @godfreymwendawila
    @godfreymwendawila 9 місяців тому +4

    Selikal ndo inajua kinacho endelea maana hakuna mkuu zaid ya selikal

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 9 місяців тому

      Alafu inasifiwa pamoja na hayo yote😅

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +1

      ​@@leokamil6284ULITAKA USIFIWE WEWE?? AU

  • @jumarajab2754
    @jumarajab2754 8 місяців тому

    Inasikitisja Nakuomba Mh Rais Samia tunakupenda kwa kazi unajifanya lakini viongo,I wako hao wanakupaka matope iki wanan hi waki julie tufanyie kazi iki lijulikane muhusika ya jambo hili katumwa na nani Ahsante Mii moenda Amani

  • @evelynmwabuki7589
    @evelynmwabuki7589 8 місяців тому

    Kumbe ndo maana chama cha Chadema wanataka kuwaendea Umoja wa mataifa kwakuwa Taifa la TZ limeshindika kujitatulia matatizo!!!

  • @nkengimasanja1899
    @nkengimasanja1899 9 місяців тому +2

    R.I.p magufuli 😭😭😭

  • @MrishoMzelela-xb9bb
    @MrishoMzelela-xb9bb 9 місяців тому

    Hili linchi lahovyooo mnooo binafsi limeisha nikifu,hebu silaha ziwe zinauzwa madukani alafu kila mtanzania apewe training ya kutumia nafikili tutaheshimiana saaana

  • @expeditormwalyu
    @expeditormwalyu 9 місяців тому +2

    mchagueni tena mwenyekiti.

  • @ernestsinje-ng8hm
    @ernestsinje-ng8hm 9 місяців тому

    Huyo Muddy ana Rushwaaa kiongozi maneno meeengi....

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 9 місяців тому

    Mm sitakuja kuchagua kiongozi yoyote tanzania hii labda magufuri arudi ila kwa kuonewa kunyanyaswa hapana yule baba alikua akitupenda nauli vyakula kupanda bei kwakua viongozi wanapesa sisi maskini tusile tuumie viongozi wote watanzania watakufa midomo wazi na hawatafika kwa mungu samua anawafuraisha wazanzibari tu

  • @LucyJoseph-pb4um
    @LucyJoseph-pb4um 9 місяців тому

    Poleni sisi Arusha wangekuwa chapa na pistol zao tuliwahishusha vioo vya catapila chuga

  • @gemmamwajombe3169
    @gemmamwajombe3169 9 місяців тому

    Kweli daima namkumbuka Maghufuli mbona ushenzi huu ulikuwa haupo leo vipi ?

  • @beatricefrancis9322
    @beatricefrancis9322 9 місяців тому

    Upatikanajinwa Ardhi kisheria unajulikana,nani kati ya alovunja na alovunjia alifuata sheria kuipata hiyo Ardhi?

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 9 місяців тому +1

    Ocd kala rushwa huyo

  • @abdallahseleman5390
    @abdallahseleman5390 9 місяців тому +19

    R.I.P MAGU

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +2

      KWANI ALIEWAVUNJIA MAJUMBA WATU KIMARA SI HUYO HYO MAGU?? AU HUJUWI??

    • @melxkb3840
      @melxkb3840 9 місяців тому

      Na ndio aliyeweka hawa viongozi vibaka wenyeviti n.k. kwa msuli jinsi alivyopenda. Haya yote aRIP nayo

    • @mandelamandela3150
      @mandelamandela3150 9 місяців тому

      ​@@melxkb3840Viongozi wote ni wa Mama Samia hayupo kionngozi hata mmoja wa Magufuri unajidanganya mwenyewe.

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 9 місяців тому

    Mkiambiwa mje kwenye maandamano kwa suala la katiba mpya mnajificha ktk nyumba zenu ambazo wenzenu wanawabomolea. Ndio muelewe maana ya maandamano sasa kudai katiba mpya.

  • @DaudiSaid-bj7dh
    @DaudiSaid-bj7dh 9 місяців тому +8

    Serikali hovyo sana . Haya mbambo hatukuyaona kipindi cha magufuli.

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 9 місяців тому +1

      Mmmm! Makufuri angekuwepo uwongozi wote ungekuwa Hawana kazi Tena wangepigwa na VIBAO na MATEKE juu, mlaze mahari pema peponi jembe letu lemeondoka

    • @DaudiSaid-bj7dh
      @DaudiSaid-bj7dh 9 місяців тому

      @@ziadasalimu1730 yes of course, aliwaambia mwenyewe nchi hii anaifahamu vizuri na alipokuwa akiyatumbua haya majambazi watu walilalamika na kumpa majina ya ajabu ajabu sasa tupambane tu na haya majambazi tuliowekewa. Enzi hizo misha yalikuwa magumu pia ila amani mtaani ilitawala na tuliheshimiana katika nyanja zote. Saa hii amani iko wapi panya road ndo hao hujageuka majambazi yakutishia watu na bastola ndo hayo. Maofisini heshima hakuna tena kazi zinafanywa kwa hiari. Mwiba wakijudunga huo.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +2

      MAGUFULI MSHENZI TU YEYE NDIE ALIE WAVUNJIA WATU MAJUMBA KIMARA HANA LOLOTE.

    • @DaudiSaid-bj7dh
      @DaudiSaid-bj7dh 9 місяців тому

      @@salimmalaka256 hakuwa fala unavyochukulia alibomoa kwa kufuata sheria na sio usiku wa manene na bastola. Uliskia nani anatishia watu na bastola au uliona panya road wapi?? Ni wewe unaongea au ndo wale wale tu. Ngoja sasa mbutuliwe vizuri na msiongee nyani nyie. Saa hii kila ukienda kwenye sekta za serikali mtu anakujibu anavyotaka na huna lakusema au wewe unaishi pori gani wewe tuelezee vizuri.

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 9 місяців тому +1

      ​@@salimmalaka256Aliwavunjia kwa kufuata sheria,je hapo sheria imefuatwa ndugu?mtu binafsi anavunja nyumba za watu na anajigamba serikali iko mfukoni mwake na hamuogopi hata huyo Raisi wenu,je enzi ya Magu angeweza kufanya huu ujinga?

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 8 місяців тому

    Poleni wenzetu mitihani hio ila msichoke kuomba mola ndo muamuzi na yeye pia yuaona haki iko wapi na pia waombeeni viongozi wenu wawe wenye kuwasikiliza poleni sana

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 9 місяців тому +10

    Na mtakoma si mlifurahi sn magu alivyo kufa na kuku kwa wingi mkazichinja!!😅😅

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 місяців тому +1

      ALIE WAVUNJIA MAJUMBA KULE KIMARA WALIFURAHI ZAIDI NA KUKU WALICHINJA NI HAKI YAO KUFURAHI KWA KUFA KWAKE.

  • @robertadolf562
    @robertadolf562 9 місяців тому +1

    duh...inakuwaje mtu mmoja (kwabu). anaadhir jumuiya ya watu wengi hivyo? kwabu kameza serikali za mtaa, mwenyekiti, police, hiv ni kweli. mbona ni ajabu.

  • @danfordkessy515
    @danfordkessy515 9 місяців тому +1

    Watanzania mnasemaje kuhusu hili lililowakuta watanzania wenzetu kwa hao watu ambao Ni wanyama kisa pesa zao za wizi? Hembu tuangalie mkuu wa mkoa chalamila atafikisha wapi haya malalamiko ya hawa wanyonge?Tuamkeni watanzania akili tunazo macho tumayo masikio tunayo na kutenda tunaweza amkeni amkeni Leo kwao kesho kwenu

  • @ondieckotoyo1143
    @ondieckotoyo1143 9 місяців тому

    Utekelezaji wa hukumu za mahakama zinatekelezwa na madalali wa mahakama na siyo aliyepewa tuzo na mahakama huu ni ualifu kama uhalifu mwengine pili aliwezi kutekelezwa kabla ya muda wa rufaa kupita

  • @HackoboGrervas
    @HackoboGrervas 9 місяців тому

    Waizilaeli wakibongo mama sisi palestin iposiku yiyipolis wakibongo mnaishi nassi mtaan sawa mangu alisema mnaishi nas

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx 9 місяців тому +3

    Mungu awatie nguvu ndugu zetu haki itapatikana ..

  • @LoshilaaMollel-qh5pb
    @LoshilaaMollel-qh5pb 9 місяців тому +1

    Hi serikali imekuwa ya manyanyazo Sana kwanini asitafutwe huyo aliyefanya hivyo hi serikali imekuja kuwaje

  • @evelynmwabuki7589
    @evelynmwabuki7589 8 місяців тому

    Hao wanaotakiwa kusafisha taka tarehe 24-1-2024 kwanini wasisimamie usalama wa rahia na haki zao!!

  • @yohanalikwawa1171
    @yohanalikwawa1171 9 місяців тому +2

    Nchi hii ya hovyo sana, viongozi wetu wa juu hawana uchungu na hii nchi wanajali matumbo yao na familia zao.

  • @VenanceMwaisanga
    @VenanceMwaisanga 9 місяців тому +3

    Ata kama ni bomoabomoa utaratibu haujafanyika.

  • @faidamasegenghe1253
    @faidamasegenghe1253 9 місяців тому +3

    Poleni sana watu wanatumia pesa zao kwa lana

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 9 місяців тому

    Huyo chalamila naye sizani kama atakua na ushirikiano wa aina yeyote, ndo haohao, ikiwa mahakama ndo serikali na ndo wanaruhusu kuna nn hapo?

  • @ondieckotoyo1143
    @ondieckotoyo1143 9 місяців тому

    Kwabu ni matapeli pandikizi michezo hizo zipo dar es salaam

  • @davidshabani7305
    @davidshabani7305 9 місяців тому

    Nchi nzima viongozi wa serikali ya mtaa ni CCM nabado

  • @SekaOnlineTV
    @SekaOnlineTV 9 місяців тому +4

    MAMA WA TAIFA ANAPASWA KUWA NA ROHO NGUMU KULIKO HATA MAGUFURI BILA HIVYO HAWA VIONGOZI WAKE WATAMFEDHEHESHA SANA KWA WANANCHI WAKE AMBAO WANA IMANI KUBWA KWEKE

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 9 місяців тому

      Shida sana

    • @rendiman2878
      @rendiman2878 9 місяців тому +2

      Safi saana, mnalalamika nini? si mmekua mkiichagua mafisi miaka 62 tangu uhuru halafu mnategemea matokeo tofauti?

    • @AndersonMakala-vm6im
      @AndersonMakala-vm6im 9 місяців тому +2

      Bado amjasema na mtasema mlipenda wenyewe c c m

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 9 місяців тому

      ​@@AndersonMakala-vm6imKwa wasivyojitambua bado wanaisifia wakati ndio hiyo hiyo inayowaliza .Wakisifia na kusema wanaimani nayo utadhani haihusiki .Wanaisifia na kujipendekeza wakidhani itawasaidia wakati ndio inawakandamiza😢

    • @HussenChega
      @HussenChega 9 місяців тому

      ​@@leokamil6284my hu

  • @MartinMorisDuyaDuya
    @MartinMorisDuyaDuya 9 місяців тому

    Ningekuwa kuwa raisi ningeteua viongozi wa dini wawaongoze wanainchi