Assalam aleikum sheikh kuna dua uliisoma yakutibu maradhi aina yoyote na kuwauwa wachawi, Niliweza kumsikizisha mzee wangu akiwa anaumwa Allahamdhulillah kichechevu kilichokua chamsubua kilimuacha papo hapo, shukrani kwa kutuelimisha n kutufunzia dua tofauti Allah akuongoze zaidi n atuongoze na sisu
Yaan naomba mungu kupitia hii Dua watoto wangu wapate uponyaji mm mwenyewe nipate mme sahihi nifunguliwe kiuchume kiimani familia yangu iwe na ulinzi wa Allah
Subhana Allah!!! APO Mimi naona wafanya biashara tu hamna lolote! Qur'an sio ya kufanyia biashara kaka,usikute umehifadhi hyo aya tu wala hujasoma!! Mtihani Mkubwa kwa waislamu huu!!
quruan yote dawa lakin kuna maneno yameekwa kwa ajili ya tiba na ukiamin Alah na mtume wake na quruan sio ajabu hii kazia zipo UA-cam kuna shekhe mmoja anawasomea watu na maradh sio kila maradhi yakawa maradh ya kutoka kwa Allah no sheitan majin wanakaktk kishipa ya binadamu
Msiba huu shekh hiyo miujiza ungefungua kituo ukainyeshe miujiza yako lakin msikitini unafungua mlango wa fitna na hili waisilam tulikemee na tusilikubali no vema tukashia pale alipoishia mtume wetu s.a.w pamoja swahaba zake
Assalamwalaykum akulipe kheri inshallah natamani na mimi nionane na ww japo njiani mana kuna kitu kinanisumbuwa sana na amini kwa uwezo wa allah kukuleta ww nitapona natamani sana
Asalam alykm ndungu. Huo ni kweli mtupu iyo daraja mjaa yoyote anaweza kuifikia unapokua na imani na kitabu kitukufu cha quran na mwenyezi mungu yoyote aliye karibu nae basi inapatikana miujiza ndani yake🤲
Hakuna kuigiza ila ni kweli mtupu anayesema sheikh ni muigizaji anakosea je huiamini Qur'an? Nichoweza kusema huyu sheikh ni mjasiri sababu kuna waislam wanaamini Qur'an kwa midomo lakini kimatendo hawaiamini wenyewe ukiwambia wafanye hivi wanaogopa eti watapemka ongera sheikh!!
Assalam aleikum MAALIM,mimi ni mkenya,na derlva natafuta kazi si pati kabisa,wenzangu Wana pata,na ata watu wasio dereva kamili,Wana pewa, Naomba unifanyie DUAA ili niweze kuonekana niweze kupata kazi,
Kunawatu wanacheza na dini na kutafuta umarufu iyo ni riya muokope Mungu ,afu kwanini Tanzania kunavituko SN kunawanao jina ma nabi wangine mitume subhanallah
Huyu shekh namfahamu: kuhusu kisa chake sijui ILA yeye kweli ni mfanya tiba na nilishawahi kumsindikiza mtu kwenda ofisini kwao: ALLAH AWALIPE KWA KAZI NZURI WANAYO IFANYA.
Assalam aleikum sheikh kuna dua uliisoma yakutibu maradhi aina yoyote na kuwauwa wachawi, Niliweza kumsikizisha mzee wangu akiwa anaumwa Allahamdhulillah kichechevu kilichokua chamsubua kilimuacha papo hapo, shukrani kwa kutuelimisha n kutufunzia dua tofauti Allah akuongoze zaidi n atuongoze na sisu
Unaweza kutusaidia hiyo Dua kama swadaq
mwanzo mwisho kurushiwa majini Hawa kibaka wa mhamad 😂😂😂😂
Mm niliibiwa ng'ombe wangu ambaye alikuwa amejifungua week moja tu...Niko Kenya unanisaidiaje
Unashida zako wewe@@ISAYAbongostarsearchgerald
Shehe mama yangu anaumwa sana MPAKA anataka kubadili dini ilehali ni muisilam utanisaidiaje shehe
Yaan naomba mungu kupitia hii Dua watoto wangu wapate uponyaji mm mwenyewe nipate mme sahihi nifunguliwe kiuchume kiimani familia yangu iwe na ulinzi wa Allah
Asalaam alaykum warahma tullahy wabarakatuh Allah akuzidishie insha Allah
Amiin Amiin
Allahu Akbar
Mwenyezi mungu akujaalie jannatul firdaus. Inshallah naakujaze kilalakheri na akuepushe namahasidi inshallah
Na Mimi kwa Imani nitapona tumbo langu inshallah nipate hedhi yangu
Kwa imani tu Mungu pekee anatosha
Allah ajaalie na mm pia nipate na maradhi yote yaniondoke
Allahumma Aameen 🙏
@zeyanamandal2911 samahan ww ni aunt zeyana wa bibi Azuu enh mama Lujaina
Wwaaaaàaaaaaaaaa@@salmaalrawahy3326
Aamin sheikh Mola akupe umri wa kheri na amali njema shukran.
Shkh uje mwanza kwa ajili ya Allah
Subhana Allah!!! APO Mimi naona wafanya biashara tu hamna lolote! Qur'an sio ya kufanyia biashara kaka,usikute umehifadhi hyo aya tu wala hujasoma!! Mtihani Mkubwa kwa waislamu huu!!
Amiin AMIIN AMIIN ALLAH AKUPE UMRI MREFU INSHA-ALLAH 🤲
THE GUY HAS TONSILLITIS AND PRESSING IT DOWN CREATE A BREATHING SPACE. ALLAH KNOWS BEST REALLY.
I don’t it can cure it,that miracle of Allah
Kuna mdada huko Mwanza anaumwa sana anitwa Hawa kafanyiwa oparesheni 17 nenda ukamtibu Allah atakulipa inshallah
Kabsa ndugu Allah atamlipa anaumwa san yana
Yaan mi nataman watu kama hawa, kwa nn wasiende mahospitalin kutibu wagonjwa wakapona?
Mashaallah mwenyezi mungu akuongezee ngumvu
Mungu akue maisha mrefu nitajutafuta niko mbali
Allah akuzidishie umri ,afya na furaha na akuzidishie elm.
Mashaallah,Mwenyeezimungu akujazie Kila lenye kheri Imshaallah.
Mashaallah baraka allah fiik allah akulipe kila la kher
Mungu, akujazie majazo mema inshaalla,,👍👍
Jazakallahu khairan maalim shaban
Allah akuzidishie elimu zaidi na zaidi
Maashallah maashallah Allah akulipe kheri dunian na aakhira
Utaponyaji watu namna hiyo umekua nabi wa Mungu subhanallah
quruan yote dawa lakin kuna maneno yameekwa kwa ajili ya tiba na ukiamin Alah na mtume wake na quruan sio ajabu hii kazia zipo UA-cam kuna shekhe mmoja anawasomea watu na maradh sio kila maradhi yakawa maradh ya kutoka kwa Allah no sheitan majin wanakaktk kishipa ya binadamu
Manabii ndo wamefundisha ayo
Maashallah mwenyezi mungu akuzidishie
Mashallah Allah akujaze na Imani hiyo hiyo shekh
Una MAPEPO shehe,DAMU ya YESU ikukomboe shehe sema Amina.
Mapepo yako kanisani iyo dam yayesu ikukomboe kwanza ww
Makafiri nawakubali wao hawaamini mpaka kwa damu
Shekh jitahidi upite muhimbili watu wanateseka sana shekh ukawasaidie kwa uwezo aliokujaalia allah
😂😂😂😂 Astaghfiru llah 😂😂😂😂
😮 subhanallah Mie nafaham hatta ikiwa ni Dua ni baada ya mda sio hapo hapo Astaghfiru llah ya Allah
Maashala maalim mambo Yana pamba moto
Subhanallah tutayaona mengi tu
Mashaallah ❤❤ kila la kher
Inshallah shekhe MUNGU akuzidishie miaka mingi
Kulwa
Mche Allah katika hili ndg yng
Asalamualaykum wahmatullah shekh mm nahitaji Nambayako nnamaongezi ishaallah
maashaa Allah 👮👮👮
mashallah uwislam nuru ❤❤❤
MashaAllah .. Allah akuhifadhi
MashaAllah mashaAllah,Amin 🤲 Amin
Mashaa Allah , Allah akujalie kheri inshaa Allah
Msiba huu shekh hiyo miujiza ungefungua kituo ukainyeshe miujiza yako lakin msikitini unafungua mlango wa fitna na hili waisilam tulikemee na tusilikubali no vema tukashia pale alipoishia mtume wetu s.a.w pamoja swahaba zake
Kwanza ameomba kwa jina lanani na amesoma kitabu gani??
wewe usitawaswal tawakul Kwa quran,ila wewe usizuie watu kumuomba Allah Kwa majina yake matukufu
wewe usitawaswal tawakul Kwa quran,ila wewe usizuie watu kumuomba Allah Kwa majina yake matukufu
Amin 🙌🏽
Mashaallah Allah akulipen kila la kher
Shehe shabani naweza kuwasiliana nawe,inshaallah nijulishe
Assalamwalaykum akulipe kheri inshallah natamani na mimi nionane na ww japo njiani mana kuna kitu kinanisumbuwa sana na amini kwa uwezo wa allah kukuleta ww nitapona natamani sana
Inshaallah.
Masha Allah, ni kweli waislam tunaamin Qur'an tukufuu,Allahu Akbar Allahu Akibar
Asalamu alaikum shekhe Mimi ninamitiani ya mwili mzima naomba dua hata kwa njia ya simu jina langu naitwa fatma y mninga naumwa sukali presha na moyo
@@SuhaylaMnyamani-uw4xtmwenyezi mungu akuponye akujaalie shifaa na kila Hitaji la moyo wako Ameena
Allah akuhifadhi inshallah. Njo na kuwetu 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Maashaalaa
Waislamu mabwege kweli kweli muongo uyooo
Wale wanao towa fungu la 10 kila mwezi ndio wajinga
Asalam Aleikum eti swallatu alaa nabii inasemwaje maana hapa nimeshindwa kusikia vizuri naomba mnisaidie wadau
Masha Allah
Mashalla Allah akuzidishi shekhe
Mungu akupe afya njema
Asalam alykm ndungu. Huo ni kweli mtupu iyo daraja mjaa yoyote anaweza kuifikia unapokua na imani na kitabu kitukufu cha quran na mwenyezi mungu yoyote aliye karibu nae basi inapatikana miujiza ndani yake🤲
Upo sahihi
Subhanallah!!
Jazakallah kheri
Naomba no zako sheikh ninashida na mwanangu
Ishaallah Allah Skype umri
Tunaomba namba nasi twaumwa wataka dua inshaallah. Allah akuhifadhi na akulinde pia
Allahu Skype umr mrefu
SHEIKH MOLA AKUZIDISHIE INSHA ALLAH ELMU YAKO.
Hakuna kuigiza ila ni kweli mtupu anayesema sheikh ni muigizaji anakosea je huiamini Qur'an? Nichoweza kusema huyu sheikh ni mjasiri sababu kuna waislam wanaamini Qur'an kwa midomo lakini kimatendo hawaiamini wenyewe ukiwambia wafanye hivi wanaogopa eti watapemka ongera sheikh!!
Allah akuhifadhi
Shekhe dua jicho linanisumbua nisaidie dua
Dining ni utaratibu wa maisha ya watu wanaomwamini mungu.Hakuna dini ya kuabudu shetani ,hivi ni vyama vya kishetani
Kwan ukisema chama cha kishetani umekusudia nini si ndo hio hio chama ya shetani yani uyo ndo mkuu
Wanalitaji sana mtihani sheikh Waislamu wanaenda kwa Wakristo mtihani wallahi mkubwa
Mashaallah nitakupatapi shekh mimi kwangu sieki pesa zinaibwa
Alhamdilah tunakushukuru
Subhana llah
Allah akufungulie zaidi mambo yako in shaa Allah
ManshaAllah BarakaAllah Ndugu🥰
Jazzak kher
Allahu Akbar👍🏽
Duh khtr san
Usifanye biashara masjd Allah atakuadhibu vby mnoo Na hutafanikiwa katika mambo yako,rudi kwa Allah muombe msamaha
Asalam alaykum warahmatullahi, kama ni kwelii tunaomba basi uende wodini ili uwasomee wagojwa .
Haswaa hili pia wazo zuury
🎉eti ikiwa nikweli 😅😅 mbona mashaka 😂😂
Allahumma aamiin
Shekh kupitia Dua hii naamin nitapon naumwa na moyo na presha Lakn hospital nimeend xn presha Wal ugonjw wwt
Ameeni nimeona shee
Dua ni dawa ukiwa na Imani .nainaweza kusoma kwakila shida ulolionayo ktk imani utaona majibu
Subhanallah
dunia imeisha watu watafta kula kupitia din ya allah
Huna akiil we nani anatafuta ela😢😢😢huna adabu we atakidg kwani apo kaomb ela...
@@bukheityomary-dh9ud we ndo Hun adabu aooo wapiga pesa t ndugu
Huo usanii tunaujuwa hao watu ni wenzako umekuja nao wacha uongo, hizo dua za rukya Mtume sala llahu alyhi wa salam, alikua akiwafundisha masahaba
Huo isanii ndugu yangu mana huo mfuko huyo kautoa wap
Ndo yalee anaja alisema Kiki za kiroho"
Hamna lolote, shekhe pambana watu wamtegemee Allah sio tunguli
Alla akuzidishie shekh
Amina
Muogope Mungu Wewe
Aache kusaidia
😂😂😂😂 Astaghfiru llah 😂
As alaykum sheh mbande sehemu gani namba tafadhali
Amyn yarabiaalamyn🤲
Acha mzaha
Assalam alaikum shekhe naomba Namba yako tafadhalli
Jamaa alikwenda na mfuko msikitini wa nini 😂 Michezo hiyo
Kwahiyo sehemu anayoumwa ndipo anashikwa😅😅😅ngoja niende naumwa k
Shekhe Asalaam alaykum ninashida yakupata mtoto naomba niombee duaa
Inshaallah nendeni mahospitalini 😊
Kabisa kabisa
Maashallah
Assalam aleikum MAALIM,mimi ni mkenya,na derlva natafuta kazi si pati kabisa,wenzangu Wana pata,na ata watu wasio dereva kamili,Wana pewa,
Naomba unifanyie DUAA ili niweze kuonekana niweze kupata kazi,
Ustadh A,Aleykum mm ninaumwa naweza kufanyiwa kisomo nikiwa mbali
Yesu tu ndio anaponya😂😂 mara Moja tu umwitapo Kwa iman
😂
Muogope Allah wewe upo kibiashara utaanza kusema viwete watatembea acha kuuchafua uislamu.
@@adiajuma9487 nimeuchafuaje 😁?
Kunawatu wanacheza na dini na kutafuta umarufu iyo ni riya muokope Mungu ,afu kwanini Tanzania kunavituko SN kunawanao jina ma nabi wangine mitume subhanallah
Umeona eee Subhanallah
Sport pesa inatangazwa ndani ya nyumba ya Allah
Waislaam tusomeni dini yetu hawa majahili yatawadanganya mpaka lini?
Mashallah
Huyu shekh namfahamu: kuhusu kisa chake sijui ILA yeye kweli ni mfanya tiba na nilishawahi kumsindikiza mtu kwenda ofisini kwao: ALLAH AWALIPE KWA KAZI NZURI WANAYO IFANYA.
masha.allah
masha allah
Mashaallah tabarika allah
Baarakallah