Matola ndio aliesababisha Lipuli kufungwa maana alisema kachoshwa na suluhu. Kumbe hakujua kuwa suluhu ndio ushindi wake kwa Simba. This is simbaaaaaaaaaaaaaaaaa
13:10/31:18 .. wakati mpira unapigwa .. hakukuwa na mchezaji wa Simba aliyekuwa offside.. hata Bocco alirudi ndani.. huyu linesman 1 ni matako kama alivyo na matako makubwa.. hawa waamuzi wa Tanzania ni bogus ndio maana hawaendi kwenye mashindano makubwa .. hilo ilikuwa ni goli halali kama lile ambalo Bocco alimpa Kagere pasi ya kichwa kam ile ya Al halal... kama waamuzi wangukwa wanfuata uhalali.. hiyo mechi Simba ameshinda 5-1
Matola ndio aliesababisha Lipuli kufungwa maana alisema kachoshwa na suluhu. Kumbe hakujua kuwa suluhu ndio ushindi wake kwa Simba. This is simbaaaaaaaaaaaaaaaaa
*Shusha Shinyanga Stendi*
*Alisikika Konda Mmoja 🤣🤣🤣*
This is Simba My Opponent
*Like Apa Kam Simba Damu 🦁🦁🦁*
I
alis
Simba jembe laooooo
Usisiki eyakuambiwa
Emanuel Okwi ni mtu hatari sana , maana magoli mengi ya simba yanaanzia kwake .
Simba ya Kagereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na Okwiiiiiiiiiiiiii
Zana bhana Salut kwako unajua pia unafurahisha
Hy ndo simba
Oscar Marwa Nakubali
Careen charles from oman naitakia simba ushindi wa bao 5💪💪💪
13:10/31:18 .. wakati mpira unapigwa .. hakukuwa na mchezaji wa Simba aliyekuwa offside.. hata Bocco alirudi ndani.. huyu linesman 1 ni matako kama alivyo na matako makubwa.. hawa waamuzi wa Tanzania ni bogus ndio maana hawaendi kwenye mashindano makubwa .. hilo ilikuwa ni goli halali kama lile ambalo Bocco alimpa Kagere pasi ya kichwa kam ile ya Al halal... kama waamuzi wangukwa wanfuata uhalali.. hiyo mechi Simba ameshinda 5-1
Vyema sana hii
Alijisemea Matola kuwa wamechoka kutoa sare, ni kweli yametimia!!
Nomaaaa
kuna mlevi mmoja alisikika akisema simba wananunua mechi kama ulimsikia ww pia gonga like waendelee kuteseka sisi tukichanja mbuga
yawa arabupia tumenunua?
Rajabu Ngwema sindoo vyura wanavyodai kuwa twanunua mechi
WA BUMBULI We fala kwan uongo hamnunui??
Hassan Rashidi fala ni wew kwan hata nyie mlituuzia ee
@@hassanrashidi1267 kwahyo hata nyie mliiuza yenu?
duuh simba jaman
Km umemuona mchezaj wa lipuli akiwasukuma wachezaj wa simba baada ya kufungwa goli la tatu like hapa
Mwaka huu wataisoma tunataka njia mtupishe
Hahaha
Kweli hawataki suluhu
pamoja sana
Simba noma bhana hakuna Kama simba
lnterigent is better than age
@@charlesjoseph4 saf
Yes we can simba nguv moja
Kagere ni mfungaji sio forward....forward kina Tambwe wanaosimama mbele.....Kagere ni striker ...aliyecheza mpira ananielewa.
big up
Nguv moja 🦁🦁🦁
Haya yanga walinunuliwa na simba.... Changia vyura fc
THIS IS SIMBA from NAIROBI KENYA
Simba ni simba me kuiona tu raha hata kama nikiwa na njaa nashiba
Goal lenyewe la kupewa mchezaji alishika mpira wameshangilia sana mweshowe kichapo
Yes we can
Kwel matola umechoka xale yametimia Leo
Simba dam dam
Hakuna kama simba
Kama umemsikia mpenja akisema "hatari Sana hi" gonga like
Ntachezea Simba siku moja
jamani kwani BARAKA MPENJA yuko wapi tumec matangazo yake ya mbwembwe
Neverson Daud kabisa
ama kweli nimeamini seleman matola amechoka droo sasa amechezea thalatha
chamaaaaaaaaaaaa
Itakuaje cku zana akishinda goool cpati picha itakuaje+974🇶🇦🇶🇦🇶🇦
NA MKISEMA SIMBA TUMENUNUA MECHI YENU BASI NYINYI SIO TIMU NI MAKAHABA FC..MNAUZAJE YANI??
Kama unaipenda simba komet hap
Don't know if you can make it
I like SSC.
haya ni maajabu chama kapiga faulo gani hv macho yake yanaona km mm malahabaaa triple c mwamba wa lusaka wooo yemwe yemwe
Simba hatarrrriii
Simba ninoma anaeikuba laiki hapo
This is simba atuogopi mende wala dudu nikichapo tu akuna namna
mimi namuomba koch asifanye mchezo hata gem moja zote atiye mimi tumize mtu
Noma simba
Jaman comment fup fup maama hii SIMBA raha jaman
ss na sisi tuliyokuja tazama hizo off-side 10+ inakuaje???
kageleeeeeeee
Kageree
*tumechoka kutoa droo na simba
Kama unaipenda simba komet hap
Wweeeeee umechoka sale Kaka
Umeonaaa simba hii sijui
Mbona bado mko nyuma kuhakikisha usafi wa video mnayochukua
nyie endeleeeni kuesabu mazee tumeshamaliza iringa ngoja tufike shinyanga sasa
shekhe khan de reizer pamoja Sana
Paulo Derick hongera sana kaka Simba poa poa kaka nguvu moja
Hivi simba bado wanae Salim mbonde?
Wanae
Mwambba
Justinu
caasssss
Simb raht
Vula mnaesabu ngapi izo
Sasa nimeelewa kazi ya boko
Kweli hawataki suluhu