MSTAAFU KIKWETE ASHUKA KUCHEZA NGOMA YA KIBATI KWENYE UZINDUZI WA SGR DODOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 2 місяці тому

    taarifa ....jeje 100 million views new record after sukari

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 2 місяці тому

    Umuiweza ngoma

  • @KijaziMnkondo
    @KijaziMnkondo 2 місяці тому

    Tatzo vya bara havisifiii km vya zenjiiiiiiiii

  • @ElibarikiEliud
    @ElibarikiEliud 2 місяці тому +1

    Mbona Kila shughuli bara ni vikundi vya utamaduni Toka Zanzibar tu. bara hakuna vikundi vya utamaduni tu. gharama vya kuvileta na kuvirudisha zinalipwa Kwa fungi Gani. watanganyika hamuioni hiyo.

    • @mohdkhamis2914
      @mohdkhamis2914 2 місяці тому

      Kwani sherehe za Zanzibar hakuna vikundi vya utamaduni kutoka bara mawazo mgando ayo tafuta pesa uwache makasiriko

    • @husseinmzee1385
      @husseinmzee1385 2 місяці тому

      Udumu Muungano😂

    • @Abdul-jj6lq
      @Abdul-jj6lq 2 місяці тому

      tuondolee upuuz wako sisi kama huna shida ya muungano nenda gaza ukawe mkimbizi