Yani hii nchi imepigika, Raisi anafanya ziara za kikazi anachanganya na kampeni, wabunge bungeni badala yakuongelea maendeleo ya wananchi wao wanapiga siasa, Ma-DC, Ma-Rc, Mawaziri, Makatibu wakuu, wote ni siasa tu. Maendeleo nchi hii ni itabaki midomoni tu.
Hao wabunge hapo bungeni, wamefika kwa njia nyingi, wengine wamepogiwa kula wengine viti maalum, wengine wamelisi ubunge.
Safi Sana Mlinga
Hujui hata kujieleza na kufafanua hoja
Mlinga Ni mwehu na mjinga
Saf sana mlinga. Hao akina haonga mafala flan waunyihani uku. Wanataka kukuchezea wewe mtoto wamjini. Moro mji kasoro bahari?
Nimekukubali Sana Mh.
mlingaaaaaaaaaaaaaaaaaa,
Love in. Time
Keseri7
5mim. pontless
😀😀😁😂😂😁
mlinga uko vzuri sana asiye kuelewa anautindio wa ubongo
vuvuzela
vuvuzela mbapu
ujinga mtupu
Kwani huyu nae hamesoma au
Ukiongea kama mtu
Hivi na wewe ni mbunge hata sikuelewi unachoongea
wewe nani mpaka umuelewe?
Utaelewaje akati upend maendeleo ya kweli mnataka kila siku ushabiki
Anaongea nn hyo fala
Wewe unafanya ushabiki ushabiki ktk mambo ya msingi. Hujielewi
Yani hii nchi imepigika, Raisi anafanya ziara za kikazi anachanganya na kampeni, wabunge bungeni badala yakuongelea maendeleo ya wananchi wao wanapiga siasa, Ma-DC, Ma-Rc, Mawaziri, Makatibu wakuu, wote ni siasa tu. Maendeleo nchi hii ni itabaki midomoni tu.
Raisi si mwanasiasa uchwara,no kiongozi wako yupi hapa Tanzania utamlinganisha na magufuri?jitambue basi mkubwa sasa wewe
Kangu Joseph Kangungu nimeshajitambua ndio mana nikaongelea huo mtazamo wangu!
sawa kaka saidi tusiyumbe ss ndio tutaumia wananchi.nimekuelewa sana.
Hivi na wewe ni mbunge hata sikuelewi unachoongea
Veronica Mgoli
Kuelewa ni uwezo wa mtu na kichwa chake
Kanuni mlitunga wenyewe pambaneni na hali yenu