Kama isingekua tumekatazwa kua na Iman zakishirikina basi ningesema mwana Kuna wahuni wamemchezea,maaana ni mzima Sana zaid ya tunao waona wazima,akir nyingi
nikiangalia macho yake inaonysha tu jamaa yuko vizur wala hana tatizo la madawa, sema alishajiwekea mfumo wake tu wakufany intervi, watu tuache kusema tusichokujua kbs, kisha hii ya matajiri kupenda toto ndogo , ndio kesi kwa sasa inawkabili viongozi na mastaa huko marekani
Nimependa chid benz saivi anapata hata raha ya kucheka ,, God is good 🙏🙏🙏 Ila chid bana yani Anatembea na ndala Tena Kagera Magomeni bila hata Bodi gadi 😅😅😅
Iyo yakula nyama za watu ni kweli kabisa mwaka Jana ime lushwa clip means dada wa congo Ali kamatwa na watoto walio chinjwa na nyama ya watoto ilio andaliwa na alikua na mgahawa
Chidi anaakili sana na anapenda kwenda na akili ya mtu alivyo Akimuona kichwa anaongea pointi Kama anayemfanyia intavyuu hujitambui utacheka na majibu yake
Kwenye suala la nyama za watoto wadogo kuliwa,nakubaliana na rashid,hiyo ni kweli kabisa hii dunia ni so wicked,kuna vitu ukiambiwa vinaendelea kwenye hii dunia HUTAAMINI HATA KIDOGO
Brother SKY kwa nini una interview watu wako high yaani wameshawaka hii imekaa vibaya jamaa kameshapata vitu vyake kawakaa sana. Ukimaliza show mpeleka jamaa hospitalini akili yake imeruka kidogo.
HIVI HUYU JAMAA ANA UBONGO WA KIASI GANI😮😮 DUHHHH ANA MEMORY SIJAWAHI PATA KUONA WALLAH, MASHA'ALLAH 😮😮
Sema hiyo glass ya maji hapo bwana sky ungeipiga brand yetu tu (SNS) ungetisha sana asee
CHIDI bro wangu kama wajua KUNA MUNGU jiandae na KESHO yakoo ,mrudi MUNGU.uanze KUFANYA IBADA kama aivyoamrisha MUNGU, MUNGU ni mkubwa WA KUSAMEHE
Kama umeelewa mafumbo alioongea chid✌️ weka like
😂😂😂
Kama una amini chid ana akili sana like apa
Hana hakili chid benz wwwe
Ache unga sasa.. akili bila mahalifa sawa sawa..
Sasa chidi yote wayajua kua kuna MUNGU kwanini isitubie ukaanza kufanya IBADA kama alivyoamrisha MUNGU???
Piga kelelee kwa chidbenziii❤❤❤❤❤❤
Noma sana nakubali child benz chuma
Two Legends meets together.....mwandishi n Legend na Chid naye wa kitambo interview inakaa poa sana
Wanaungana ungana vp simba mara yanga dah naenjoy sn interview ya legend chid
Kama isingekua tumekatazwa kua na Iman zakishirikina basi ningesema mwana Kuna wahuni wamemchezea,maaana ni mzima Sana zaid ya tunao waona wazima,akir nyingi
Acha tu mwamba ana IQ kubwa sana
Exactly! Chidy is a genius ndio maana watu hawamwelewi.. ni kama Kanye West vile ambavyo hatumwelew
Bro watu wanachezeana mambo ya nyota mzee so mchezo
I can I agree with Chid, Alikiba is the only guy I saw in Canada amejaza show na sehemu mbalimbali so far alafu atumii Nguvu.
Love you Chi B no mara waa❤❤❤❤❤
Jamaa anahitaji msaada
Brother sky nakusifu kwa kumsikiliza chidi😂
Dah mahikaji anaongea point
Daa hujama kuna mdaa haipo sawa
Nimekubali
Lil Wayne and chid Benz sauti Sawa Sawa 🤣🤣🤣🤣
Ila hapo kwa Ali alivyokuwa anauza vitumbua daah😅😅😅
CHID MIYEYUSHO SANA SOMETIMES😂😂😂
Bangi mby
Big up broo
Brother kwa ali kiba atamimi nakubal yupo vizur sana
nikiangalia macho yake inaonysha tu jamaa yuko vizur wala hana tatizo la madawa, sema alishajiwekea mfumo wake tu wakufany intervi, watu tuache kusema tusichokujua kbs, kisha hii ya matajiri kupenda toto ndogo , ndio kesi kwa sasa inawkabili viongozi na mastaa huko marekani
Unaongea sense sana👏
Nikiona chid anaongea nafurah sana😂😂😂😂😂
Kama unaamini wanawake ni wachache wa shukrani gonga like apa.
Ww unamuona huyo ako mzima
Best interview
Nimependa chid benz saivi anapata hata raha ya kucheka ,, God is good 🙏🙏🙏 Ila chid bana yani Anatembea na ndala Tena Kagera Magomeni bila hata Bodi gadi 😅😅😅
😂😂😂😂 nani atamgusa😂😂
Alikiba Congo 🇨🇩 tunampenda
Huyu brother anakipaji kikubwa sana ila kuna sintofaham nyuma ya maisha yake, allah atunusuru arejee kwa level yak
Aaache madawa
Yanii we mahala umuombee dua arejee kwa Allah we unatabaki alikuwa muombee nusra ndugu yetu katika iiman
Iyo yakula nyama za watu ni kweli kabisa mwaka Jana ime lushwa clip means dada wa congo Ali kamatwa na watoto walio chinjwa na nyama ya watoto ilio andaliwa na alikua na mgahawa
The Alikiba part 😅 🔥 Ali ni mnoma
Duuh kweli sky una uvumilivu. Mimi nisingeweza kumsikiliza kabisa
Dada ile mbami😂😂😂
Pamoja na Yote Chid ana uwezo mkubwa sana wa kukumbuka kila kitu mpaka small details
Ila haya maisha nyieee daaah
Brother sky unauvumilivu sana aisee maana daah mwamb anaungruma2 mar anasinzia duuh sali liko hvi majib vile
😂😂😂
Dah Sky we ni mvumilivu sana kaka 🤣✊🏾
Kweli matajir wanapenda watot
mwanangu chidi amepiga vitu kabla kuja interview naona ako vizuri
Sky unamskiliza Kweli
Hahaha brother Sky anavyo mwangalia Chid kwa huruma.
He is paying attention
𝐂𝐡𝐞𝐝𝐲 𝐧𝐚𝐦𝐩𝐚𝐭𝐚𝐠𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚𝐧𝐢...
😂😂😂😂😂😂 fry Alikiba
Alikiba noum
Chidi anaakili sana na anapenda kwenda na akili ya mtu alivyo
Akimuona kichwa anaongea pointi
Kama anayemfanyia intavyuu hujitambui utacheka na majibu yake
Raha ya kumfanyia chid interview wew mpe swali moja alafu yeye anatiririka interview yote 😅
🔥🔥
Chidy anajua uwepo wa MUNGU na anajua mpaka hapo alipo ni MUNGU sasa kwanini msimuelewe mpaka mseme bangi
That's true Alikiba mzee wa kusex anga
God #benzino
Hii muhimu sana. God!
😅😅😅 Dah
Hii issue ya nyama za watoto nimemsikia Mfalme Chidy Benz zaidi mara sita. Naanza kuamini Itakuwa na ukweli ndani yake
Et we kidevu sio chin beez😂😂😂😂
Anaongea kama anatafuna karanga😂😂😂😂
Inamana lady jide kaliwa kwa sisi tulio soma ulusi tushaelewa
Kwa mfano chidi anataka kuwa MSEJI wa timu hapa Tanzania anafaa kuajiliwa na Timu gani?
😂😂😂😂nikikumbuka iyo kama alien😅
Katoka mtu Malini mno Ni chid Benz Ni mtu anaeigiza kua hajielewi Ila Ni mtu Makin mnoo chid benzi
hatuna budi kukubali kua tushampoza mwamba for this time kweny swala zima la utimamu
Mwamba huyu hapa
Wa kwanz leo
Chidi kichaaa 😂😂😂
Fatilia hao matajiri bro kuhusu kula watoto
MBAMIII ANATOTOAAAA🤣🤣
Ila akivua miwani mbn km macho yke km kashakula vitu ivu mbn macho ypo ivo
Kama Watu Wa Sayari ya Mars
Kwenye suala la nyama za watoto wadogo kuliwa,nakubaliana na rashid,hiyo ni kweli kabisa hii dunia ni so wicked,kuna vitu ukiambiwa vinaendelea kwenye hii dunia HUTAAMINI HATA KIDOGO
This guy be looking high 24/7 haha 😂, can’t even tell if he’s high or not 😂.
Ushafeli mzee chid kuwasema madogo ovyo ovyo ni makasiliko
Mbn anaongea kama Oni Sigala?? 😂😂
Chidi haongopagi
Ukiona akitaja jua kweli
Ila bangi bado anavuta
mhhh
Sauti 😂😂😂
😂😂😂😂Mbami
Jaama ni genius
Mimi hupenda mschizii wote wakutoka magetoni 😂😂😂😂 yani hua hawafake maisha yani wanakupa makavuu au sio
katt williams wa tanzania
gegius CHEEEEEEEDBENZ
Gegius??????
Chumaaa chidbenz
Chid ana machokumchuzi Wala sio bangi
Sikay mpaka anachoka kumsikia Chd😂
Chidi anatakiwa kupata ucmamiz wa kazizake vizur atacmama vyema kabisa amini hvyo
Huyu kashakula vitu huyu si bure kw hali hiyo 😳
Ila bora huyuu! Kuliko d.I.d
❤❤❤❤❤ 😅😅😅
better chid than H baba
Kwa hiyo chidi ni kama alimla Jide maana kafichaficha
Chumaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kwani amelewa now?
Kwenye bongo flevar Ali kibaNi flai k.😅😅
Brother SKY kwa nini una interview watu wako high yaani wameshawaka hii imekaa vibaya jamaa kameshapata vitu vyake kawakaa sana. Ukimaliza show mpeleka jamaa hospitalini akili yake imeruka kidogo.
Subutu ampeleke hospital akakate maraha!
U will never understand just shkuruu Mungu
Huelewi kitu dogo, tulia
Chid kumbe katomba Jide
Media zinapromot bifu wadai
tangu namjua ajawah kukosea mtoto wa ilala
Brother Sky hapo umezingua😂.. Jay Dee hakumlenga Chidy bhana, acha kuchanganya madesa
Ni Kweli kabisa
Chid ww umekuja umeshapa ugali
CHIDI AITAJI MSAADA FOR REAL HAEZI KUWA AMESAIDIA KILA MSANI WA BONGO THIS GUY IS USELESS
Kwa enzi zile, wengi sana walipita mikononi mwake na kiuchumi alikuwa yuko vizuri nadhani familia ilikua inambeba financially
Naona bwana sns umeogopa kumsikia matajir wanakula wototo
Apelekwe rihab huyu
Ngada