sema nnn uyu mshkaji wa kuitwa butua ni anajua sana itoshe kusema jamaa ni mtaalamu sana nimekua namfatilia sana mungu akuongeze kwenye kipaji chako (PURE TALENT )
Hii ishu inaumiza sana, tuliowaacha tunaowapenda kwa dhati na kwenda kuishi na wanaotupenda tupo wengi mno. Mungu awabariki sana nyie watu hakika mmenikumbusha jambo ambalo angalau nimefanikiwa kulisahau, ingawa kuna kovu kubwa ila angalau nina amani sasa. Sijajua hiyo nyingine mtaitoa lini ila hata hichi mlichituletea mmenifanya ninywe maji na kutulia na kuiambia nafsi yangu kuwa kumbe sikuwahi kuwa pekee yangu katika maumivu yale🙏🙏🙏
Namin sengo hakua na nia yakumtongoza bali alimfundisha adabu sheme yake ili ajielewe kuwa mwanaume yoyote anaweza kumtongoza mwanamke hivo bas atulie na ndowa yake nasio vijitama tamaa vyakijinga
hii movie imwtulia saana, inafaa kwa mafumdisho ya jamiii, lakini ili iwezekane kuangaliwa kumbini yaani family yote, chambua maneno na vitendo, mi. binafsi kipande Cha sengo kimeharbu maadiri, hongeleni sana miamba
MY BROTHER FROM TZ UR SHEIKH SAY EVERYTHING IS TRUE UR WIFE SAY BAD WORDS TO U FRONT OF EVERYONE U SHOULD GIVE HER TALAKA SORRY I DONT NO SWAHILI BUT I TRY IS DIVORCE IN ENGLISH UR WIFE SAY BAD WORDS TO U BUT WE LEARN LEASON FROM THIS COMEDY FROM BOTTOM OF MY HEART FROM TZ ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ningejua huwa inakuja badala ya kama kwer wewe ni mwanamke unaheshimu ndoa yako gonga like❤❤❤❤
Kali umenikumbusha mzee wamisemo Madebe lidai❤❤❤. Wewe mwalimu kweli
Vizuri sana tumejifunza,mwanamke mpumbavu uvunja ndoa yk kwa mikono yk mwenyewe
sema nnn uyu mshkaji wa kuitwa butua ni anajua sana itoshe kusema jamaa ni mtaalamu sana nimekua namfatilia sana mungu akuongeze kwenye kipaji chako (PURE TALENT )
@@kingproduction9173 kweli kabisa 💥
Dah Butua nikama unajua hadithi ya maisha yangu maana unayo igiza mimi nimeyapitia live aisee mapenzi yanatesa sana hasa ukitendwa na unaye mpenda 😭😭
Duuu jaman
😢😢😢😢😢pole sana
Pole sana ndg
Pole mpendwa, M.mungu akufanyie wepesi.
Ndio Mpe Ushauri Ulioupitiya Mpka Ukauvuka
Waaah kwakweli nimejifunza kitu hapa ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Dah hii hapa najifunza mengi sana Butua," bom trabalho meu amigo" (good job my friend)
Exactly good work guyz
Sengo Eti Shemeji Nami Nipe Mara Moja😂😂😂🤣🤣🤣
Jmn nyii sengo😂😂😂
Bora ndege mmoja ndani kuliko ndege wawili angani
Mwalimu na Butua ....Noma sana
Big up guys kazi nzuri sana inayofaa kwa jamii nayenye mafunzo❤❤❤🎉🎉🎉
nimepend ❤❤❤
❤hii story ipo sawa100kwa100ongeza dozi hii move iendelee inatupa funzo, from oman
@@MasnamussaPp karibu sana kwenye familia tunawapenda sana tutaileta joto sehemu ya pili hivi kalibuni
Nimeipenda 🎉,mafunzo mazuri kwa wana ndoa.
Akika tutayaona mengi kwenye hill Kandi mungu awazidishie❤
Nimeipenda nzuri sana
Hongereni sana wote kwa pamoja, mafunzo mazuri sana kwa jamii yetu.
Wanawake tunadanganwa kwa vitu vidogo tu mpaka tunavunja heshima tulionayo .tunatakiwa kujifunza katika hii,na tugeuke.asanteni sana
Hii ishu inaumiza sana, tuliowaacha tunaowapenda kwa dhati na kwenda kuishi na wanaotupenda tupo wengi mno. Mungu awabariki sana nyie watu hakika mmenikumbusha jambo ambalo angalau nimefanikiwa kulisahau, ingawa kuna kovu kubwa ila angalau nina amani sasa. Sijajua hiyo nyingine mtaitoa lini ila hata hichi mlichituletea mmenifanya ninywe maji na kutulia na kuiambia nafsi yangu kuwa kumbe sikuwahi kuwa pekee yangu katika maumivu yale🙏🙏🙏
@@samuelmweipongwe140 tupo pamoja kaka tunaileta siku sinyungi kuanzia leo
@@A7films255 🙏🙏
Mdada amepigwa tukio😂😂😂dadekii
Da hii stor ni kam ina ina fanana na yangu kabisa
Pole sana 😢 karibu kwenye familia ya hadhizetu zinazo zunguka maisha yetu
Sengoo 😂😂kweli wewe washawasha😂😂😂
Namin sengo hakua na nia yakumtongoza bali alimfundisha adabu sheme yake ili ajielewe kuwa mwanaume yoyote anaweza kumtongoza mwanamke hivo bas atulie na ndowa yake nasio vijitama tamaa vyakijinga
hii movie imwtulia saana, inafaa kwa mafumdisho ya jamiii, lakini ili iwezekane kuangaliwa kumbini yaani family yote, chambua maneno na vitendo, mi. binafsi kipande Cha sengo kimeharbu maadiri, hongeleni sana miamba
Kumfichia sili mumeo pia niupendo
@@marryhancy1632 😀😀ndio ni upendo piq
Butua na tanu nawakubali sana hakika munaifundisha jamii yetu
Butua unajua saana mwamba,sema jitahidi utupatie video Kwa wakati
Kazi nzuri saana na nafatilia movie zenu nko Riyadh
Asante sana salma
Good work❤❤❤
Zuri sana
Munatumia busara kabisa sana mwalimu
Alisema baada
Tunawapenda sana
Mungu awabariki wote mlioshiriki
Fantastic
Sengo nae anataka ashebelue 😂😂
Ni fundisho kubwa sana, Mungu awabariki kwa hili somo. Wanawake turidhuke na waume zetu.
@@rehemaseif1785 kweli.kabisa
Movie mzuri sana
Jamani nipeni jina la wimbo
Kazi nzurii sana
Jmn mmetukawizaaa muendelezooo tunaombaaaaaa khaaaa!!!
❤❤ nmeipenda na nadubiri iendelee
Timu yenu imekamilika mnajua sana ila jogoo hapandi😂😂😂😂
Baada ya kuitazama natowa big up vijana 🎉
Leo nipo kumi Bora jmn kazi nzul
Nashangaa waigizaji wazuri hawa ila hawajachaguliwa kwenda korea wameenda wauza sura tu😢
Hahahaaa hawa wa vijijin😂
Namkubali butua
Ukikosa hela ni matatizo na ukikosa nguvu za kiume pia ni balaa😂😂😂😂😂Haya wanaume tutafuteni hela na nguvu za kiume tuwe nazo pia..
Hatari sana
Kweli hili JOTO ila najfunza baadhi ya mambo 🤔
Kazi nzuri mmmwwh
Asante zumba kwa maneno mazuri na matam kwa uliyomwambiya butuwa
Sengo we hukomi kweli mana tu nakukumbuka kwenye washawasha😂😂😂😂😂
Hiiii mnafanya kazi kweli kweli tuna wapenda sana
Asante sana tunakupenda 🙏
Kwl mungu awasaidie mukaz zenu tunawapend san🎉❤❤❤
Kweli ni hadithi but unadhaliloka sana kaka
Mwalimu upovizurii
Kama Kuna mtu yalimkuta haya ya butua 😂😂😂
Nice movie
Nzuri sana
Wah mama na mwanae wana maneno yakukata na shoka wah😂😂😂😮
Mzee wa noma bwela nc
butua kila mara nguvu za kiume😂😂😂😂
Butua butua unazingua mara ya pili snake boy umezingua na uku tena
Sengo hajawahi kuwa na akili😂
MY BROTHER FROM TZ UR SHEIKH SAY EVERYTHING IS TRUE UR WIFE SAY BAD WORDS TO U FRONT OF EVERYONE U SHOULD GIVE HER TALAKA SORRY I DONT NO SWAHILI BUT I TRY IS DIVORCE IN ENGLISH UR WIFE SAY BAD WORDS TO U BUT WE LEARN LEASON FROM THIS COMEDY FROM BOTTOM OF MY HEART FROM TZ ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana...
Nmemuona Zatiti wa busati TV 😊😊🌹
Ooh my goodness kama ingekuwa mimi aaah huyu angejuwa hajui kama mbaya mbaya 🤫🤫🤫🤫🤫🤫
Mmetisha
Nimependa sana
Good work
Na hivo ndo kimekurambaa dada😂😂😂💔
Umeacha m.bachao kwa msala upitao tamaa mbele mauti nyuma maji yamemwagika dada.tujifunze sote wadada na wakaka
Haha tujifunze kitu hp wanawake thamin ulichonacho kikikutok ndio utaelew
Butua jiongeze basi na we eh 😅😅😅😅
Jamani nimmemisi mtu mmoja humu kipara wanaman😅😅😅😅
Zamoyoni ni mrembo sana
Ila mwalimu nae alimjbu neno huyu msichana ety akalale n butua ndio apate jibu😂😂
Nampenda bi migomba jinc anavozungumza😂
Unajua Sana butua❤❤❤❤
Butwaa kazaa
mnajitahd sana
Shuuu 😂😂😂😂na ukome😂😂❤❤
@@BothainaBothaina-k6c kakomaaa
Mwanamke malaya anafaa ivo tu😂😂😂😂😂
😅😅😅😅sengo uchizi mwingi
Half ww butua unapenda ku act km huna nguvu ee😂😂hay mn kweny snake umekuf vibaya wewee😂😂
Mwenzako nilikuwa natazama hapo penye Butua analia, then 💥💥, "Butua umekufa vibaya kwenye snake boy", 😂😂😂😂😂😂, 😂😂😂😂😂, like yangu kwako toka 🇰🇪,
Kawimbo hako vp nakahitajì xan kazr xan aise
Narudia tena....#malipodunia kula chuma Shuu
@@nelsonandanyi 😅kweli kabisa
@@A7films255 waiting for season 2
Zamoyoni hayo ndio malipo yako unayostahili hata usilie kubali tu matokeo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hakuna anaeonge kuhusu zumba kuongea kiroho mbaya😂
Mwalimu na Butwaa wanafanya vyema saaana
🎉🎉🎉❤❤❤
Mimi kama MTU ninae Zalau maigizo ila hii nime ipenda
Butua mbona wanipenda kukuweka kwenye idara yakukosa nguvu za kiume😂😂
Je, tunaweza kupata kiungo cha wimbo? Au jina? 😂 mama yangu alitazama sinema hii jana usiku na wimbo haukuingia kichwani wangu.
ua-cam.com/video/y7JD8Z9z6pA/v-deo.htmlsi=RRPzlL-csaeFU8Bl
Nimejifunza kitu hapa😢😢😢😢
@@ksaskaka asante kwa kujifunza na karibu kwenye familia yetu
Majuto n mjukuu kimekuramba sasa😢
Ila sengo wewe😂😂😂
Duh bonge la aibu
Kwa mwanaume lazima uumie