Kweli Yanga timamu wapo wawili kikwete na mzee manara. Sasa kufungwa Simba. Ndo chama ajui mpira zuwena wao. Simba imefungwa ndo matokeo, ya mpira, na uikiangalia mechi ya Simba na Prisoni., CHAMA Ndo kacheza kuliko wachezaji wote wa simba. Hata msemaje chama ni sayari nyingine, mlisha mfananisha saana na mataila yenu
I love yanga mwalimu uko sawa, john from Nairobi Kenya tunapenda yanga sanaa
Jaman naitaji namb ya mwalim ya sim
umeongea ukweli bana. replacement za wachezaji wa simba ni ovyo sana. unatoa mchezaji mzuri unaleta wabovu kabisa..
simba kwishaaaaaa
Msemaji wamadundukaiBunju mtupuuu😢😢
Yanga ni kiboko ya madunduka
😂😂😂😂
Kweli Yanga timamu wapo wawili kikwete na mzee manara. Sasa kufungwa Simba. Ndo chama ajui mpira zuwena wao. Simba imefungwa ndo matokeo, ya mpira, na uikiangalia mechi ya Simba na Prisoni., CHAMA Ndo kacheza kuliko wachezaji wote wa simba. Hata msemaje chama ni sayari nyingine, mlisha mfananisha saana na mataila yenu
Usisahau Rage alisema nyie mashabiki wote wa simba ni mazezeta.
😂😂😂😂😂😂@@andrewkitema9838
Labda Kwenye Kupiga Faulu
@@andrewkitema9838na bado MANGUNGU kawaita WAPUUZI Juzi Kati😂😂😂
Acha kupanic hakuna mchezaji hapo mavi matupu mamaeee
Mjinga mpe chao wakishinda mechi 1 wanajiona wanajua
Oyaa wewe mwalimu mbona unawashtua hao maboya wajinga wape sifa