Wakili Pater Madeleka aliamsha tena matukio ya watu kutekwa, kuuawa na kupotezwa.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @Hkilave
    @Hkilave 43 секунди тому

    Hiyo serikali ndiyo mtuhumiwa namba moja

  • @Hkilave
    @Hkilave 3 хвилини тому

    Hao ndiyo wahusika wakuu Mungu atawalaani na hivi vilio vyetu vitageuka kwenye familia zao

  • @ezekielezekiely8476
    @ezekielezekiely8476 5 годин тому +1

    Hiyo mihimili,ni wahusika wa huo utekaji.na siyo siri.hili liko wazi kabisa.

  • @Hkilave
    @Hkilave Хвилина тому

    Hizo mahakama ndiyo hawo hao

  • @daudisalum9574
    @daudisalum9574 14 годин тому

    Wakili msomi peter madeleka safiii sanaaa

  • @StephanoGwelino
    @StephanoGwelino 12 годин тому +1

    Kaka pambana sisi tuko nyuma yako Kaka mimi niko teyari kwa jambo lolote nimesha choka na kuonewa bora nikafie mbele