MZEE MAGOMA AWALIPUA YANGA ,AHMED ALLY KULIPA BILLIONI 10 "UTANI WA JADI HUO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 92

  • @mahamudumkande1250
    @mahamudumkande1250 8 днів тому +5

    Mzee magoma Kwa mm namuelewa Sanaa anaongea vitu fact sanaa! 💯💯💯

  • @frankmakyao7657
    @frankmakyao7657 8 днів тому +3

    Nimempenda sana Mzee mwenzangu Magoma. VIJANA NI LAZIMA WAKAE NA WAZEE❤❤!

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 8 днів тому +7

    Acheni kumtukana huyu mzee siyo vizuri

    • @Samsonmalima-p1g
      @Samsonmalima-p1g 8 днів тому

      Vp ni babaaako au basi mshaur aache usenge usenge

    • @Kabuyuboy
      @Kabuyuboy 7 днів тому

      @@Samsonmalima-p1gmatusi yanini wewe kama ushawahi kuichangia timu hata cadi auna achachuki binafsi niushamba 👈🏻

  • @TaboraTalentCenterTTC
    @TaboraTalentCenterTTC 8 днів тому +3

    From Tabora talent center. Wawaache tu tugange yajayo

  • @MaulidyMadyo
    @MaulidyMadyo 8 днів тому +3

    Mzee unapenda kuhojiwa

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 8 днів тому +2

    Mzee wetu ana madini flani

  • @musarashid7873
    @musarashid7873 8 днів тому +1

    Sindano alimaanisha Ushirikina km hamchezi bila ya Nujum😅 sio sindano mnapotaftia kichaka

  • @driss4957
    @driss4957 6 днів тому

    Huyu kageuka adui wa Yanga,Njaaa mbaya sana...

  • @Userog254
    @Userog254 3 дні тому

    Ahmed Ally ni utani kawatania yanga pacome yupo ndani ya Yanga ila Ally Kamwe kaongelea Sandaland ni kampuni nyingine hausiani na Simba

  • @PakistanMwambene
    @PakistanMwambene 4 дні тому

    Fainali uzeen Mzee hunahayaa wewe Mzee umejaa unafiki tu.

  • @aminiyasini7271
    @aminiyasini7271 7 днів тому +1

    Field marshall 😅😅😅😅

  • @youngyayoo2805
    @youngyayoo2805 7 днів тому

    Mzee field marshall juma magoma

  • @zeyanakharoub
    @zeyanakharoub 8 днів тому

    Simba nao wampelekee barua Ali kamwe kwa kuwasingizia uongo kuhusu wao na sandaland kua walimgomea kuzindua jezzy

  • @OmaryAllykumba
    @OmaryAllykumba 8 днів тому

    Apo ahmed ally anaeza kuruka point mloikusudia kumshtaki lkn kwa ali kamwe ye hana ujanja kaongea kitu direct kabisa

  • @zeelamipango
    @zeelamipango 8 днів тому +2

    Mzee nawe akili yako kisoda kwani sindano lazima iwe ya kuongeza nguvu...? Kwa Ahmed mmechemka

    • @desolz3809
      @desolz3809 8 днів тому

      😂😂😂😂 Magoma kajifanya yupo neutral kubalance story 😅😅😅

  • @patrickymkoma3558
    @patrickymkoma3558 8 днів тому

    Umenena sana Magoma

  • @munongomeshili7612
    @munongomeshili7612 6 днів тому

    Sindano ililipatikana Azam!!

  • @mamboshepea8888
    @mamboshepea8888 8 днів тому +2

    Wazee aina yako hawapo tena yanga tafuta club nyingine😃😃

  • @ricchardyilika5761
    @ricchardyilika5761 8 днів тому

    Hapo Kwa mauridi wa kitenge na wasafi umepiga kwenye mshono😂😂😂😂

  • @omaryally5555
    @omaryally5555 6 днів тому

    Lakini Ali kamwe kasema NASIKIA VIONGOZI WAMEMJIA MJUU MZALISHAJI WA JEZI YA SANDA elewa NIMESIKIA

  • @AhmedAbdullah-v7b
    @AhmedAbdullah-v7b 6 днів тому

    Mwanya 😂😂😂

  • @DM_15
    @DM_15 8 днів тому

    Yanga hajawahi kushinda kesi yoyote. Nadhani yanga hawana mtu anaejua kupambanua mambo

  • @VeriuseMnyakiwele-g8b
    @VeriuseMnyakiwele-g8b 8 днів тому

    Na mnaomtukana huyu mzee wote mnakunywa nyuma 😂😂😂😂😂

  • @Naah-o2c
    @Naah-o2c 7 днів тому

    Alosema sindano ni shabiki wa pembeni Ahmed ndo kamalizia kaaah😂ila yanga

  • @RashidHamis-o6w
    @RashidHamis-o6w 8 днів тому

    Magoma huna Baya

  • @solomonmwakapenda1315
    @solomonmwakapenda1315 8 днів тому

    Huyo ni yanga magumash

  • @ibrahimkadibo810
    @ibrahimkadibo810 7 днів тому

    Vip azam nao wakija na madai ya bilion 40 kuukejer uwanja wao..

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 8 днів тому

    Tunataniana mpaka msibani

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 7 днів тому

    Wewe Babu Magoma usituharibie Timu wewe ni mtu mzima una busara.

  • @DhahiriHamisi
    @DhahiriHamisi 8 днів тому

    Kwa kitenge umepiga haswa Ana unazi san uyo

  • @Lungu-lx7yd
    @Lungu-lx7yd 8 днів тому +1

    MAGOMA WA YANGA

  • @SusanaMalimi
    @SusanaMalimi 7 днів тому

    Yanga kumbukeni na kuealip azam kwa sababu ya huyo semaji wenu kiuchafua azam kuwa wanazima taa na dube akifika golini anazimiwa taa azam wanadai bilion 20

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 8 днів тому

    Sio mtendaji mkuu wa club we dogo katibu mwenezi ni msemaji na muenezaji wa taarifa zote rasmi za club,kazi yake ni kuzieneza habari za club zienee kila mahala kuwafikia walengwa....ndio wanachokifanya hata wasemaji ni majina tu ukienda ccm mtu huyo huyo wao wamempa Jina lao tofauti wanamwita katibu wa itikadi na uenezi.
    Magoma kwenye Hilo kaishitaki FIFA sio tff hayo ni maelekezo ya wenye mpira FIFA kwamba club na vyama vyote vya mpira lazima viwe na wasemaji wa kuajiriwa

  • @mariammbwana9018
    @mariammbwana9018 8 днів тому

    Hiki ki tv njaa kisipomuhoji magoma watu hawatilii

  • @erickprotace9463
    @erickprotace9463 6 днів тому

    Niulize, nikweli viongozi wa Simba walimkalia sandaland?... Kama hawajamkalia kama anavyosema mbona hapo Kuna kuwachafua viongozi wa Simba katika kosa moja?..

  • @HarunaHalfani
    @HarunaHalfani 8 днів тому

    Huyu Mzee kumbe simba

  • @fadhiliitambu6210
    @fadhiliitambu6210 7 днів тому

    Anaongelea mapengo gani ye ana mwanya

  • @MegaHazry
    @MegaHazry 7 днів тому

    Mbona kama taa zinatizama polini?

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 8 днів тому

    Yanga wameona wanamadeni mno wanataka Simba Iwape hela ili wakalpe hayo madeni yao.

  • @frankmakyao7657
    @frankmakyao7657 8 днів тому

    Safi sana. Hii hali haipo tu kwenye Yanga vs Simba. Ni ugonjwa umeenea kila pahali. Sikiza ngoma nzuri za Singeli, Bongo feva, hususani mambo ya MAPENZI.
    ETI WANAONYESHA JINSI CHINI JUU INAVYOFANYOKA KIUKWELI

    • @frankmakyao7657
      @frankmakyao7657 8 днів тому

      Wekeni mafumbo, wanyama, binadamu anauejitambua ataelewa tu

  • @GodfreyMwendawila-ff7on
    @GodfreyMwendawila-ff7on 8 днів тому

    nzee mpumbavu huwezi mjenga mtu waka huna hoja za maana

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 7 днів тому

    Kuna kuchoma sindano legally na illegally.

  • @careymariahhhh
    @careymariahhhh 8 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂goma boy

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 7 днів тому

    Ahmed Ally Hana kosa la kujibu hata ukimpeleka mahakamani, kwa sababu mchezaji mpira mfano, kuumwa misuli ni kawaida, kutokana na kazi yake tiba yake ni sindano au vidonge au kuchua. Kwa hiyo Ahmed Ally kataja tiba moja. Hajasema sindano ya kufanyaje.

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 8 днів тому

    Hii kesi

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 8 днів тому +2

    Nyuma mwiko wanataka Hamed Aly awalipie pesa ya kumlipa okra majiki na wapate pesa ya kusajili wachezaji kwa sababu ya hawana pesa pesa zote wamalizoa kwenye supu

  • @RamazanJuma
    @RamazanJuma 8 днів тому

    😂😂😂😂 Mzee Magoma

  • @HamisiMustafa-hx2ft
    @HamisiMustafa-hx2ft 7 днів тому

    Bishwa lako

  • @FatumaIbrahim-u5k
    @FatumaIbrahim-u5k 8 днів тому

    Azam nao wamekuja na bl 10 walipwe na ally kamwe bado wazee wa Simba wanakuja n clip za kikao chao na kayoko.ally kamwe mwaka huu wake

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 8 днів тому

    Ahmed hajaongea pekeake kwenye jambo la sindano. Kuna clip zinaonesha hizo sindano kbs pale room ya Yanga. Ahmed anashinda kesi ila kamwe hachomoki

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 8 днів тому

      Wote wanamakosa hakuna double standard hapo.

  • @MuddyKassim-r8w
    @MuddyKassim-r8w 6 днів тому

    Magoma matako yako

  • @DaudMeck
    @DaudMeck 8 днів тому

    Ahmed ally atulipe b7 3 wakate uko yaishe

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 8 днів тому

    Huyu wanampididy

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 8 днів тому +9

    Ahamed Ali hajasema pakome anachoma sndano za kuongeza nguvu amesema pakome anachoma sndano,sndano inamaana nying Sana hata ulaya wachezaj wanachomwa sndano ili acheze mech muhimu,ndivyo kwa pakome yaan pakome toka aumie mech ya Azam hajakaa sawa,inabd achome sndano kwa msaada wa tmu

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 8 днів тому +1

      Amesema amechoka kuchoma sindano Kila siku kama anazuiya mimba sasa je ni Sawa,?? Mwanaume hua anashika mimba kama si zalau na matusi

    • @KigeNyamhanga
      @KigeNyamhanga 8 днів тому +1

      Acha umama kwahiyo wewe nimswahili sana kuliko tafsili iliyotamkwa

    • @JuliethLughuyu
      @JuliethLughuyu 8 днів тому +1

      umesema pakome amechoka kuchoma sindono kila cku kama anazuia mimba 😂😂😂😂😂

    • @WistoniMtewele
      @WistoniMtewele 8 днів тому

      Waambie watoto wenzako

    • @SamsonMwambope
      @SamsonMwambope 8 днів тому

      Ukiachia unazalizshwa tu

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 8 днів тому

    Nununua meno

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 8 днів тому

    WAMSHKATI KWANZA ALIYEBADIRI RANGI YA JEZI ZAO KWA SABABU KAWATOA KWENYE ASILI YAO

    • @EdsonDaud-rg5jk
      @EdsonDaud-rg5jk 8 днів тому

      We kweli ni kenge kuna kipengele Gani kinakataza kubadili yanga

    • @ikulunimahalipatakatifu7642
      @ikulunimahalipatakatifu7642 8 днів тому

      @@EdsonDaud-rg5jk 😀😀😀 , nini maana ya hati miliki, kwani yanga si kampuni au ?

  • @ZawadiMoris
    @ZawadiMoris 8 днів тому

    Hakamlenga sanderland bhana,kaitaja sanda,hamuoni kama kuna utofauti hapo!!

  • @songombingo108
    @songombingo108 7 днів тому

    Waandishi wa habari hivi huwa mnakosa Content za maana kwa ajili ya watazamaji wenu? Mmekosa kabisa habari za maana ??? Au ndio kuishiwa?

  • @DochiDochi-f9z
    @DochiDochi-f9z 8 днів тому

    Anarembuwa kama msenge mzee

  • @kibiritizuberi9361
    @kibiritizuberi9361 7 днів тому

    Wazee Huwa na busara lakini kwa huyu mmmmmmh

  • @abdulswamadmahmoud1163
    @abdulswamadmahmoud1163 8 днів тому

    Elewa neno amechoka kuchoma sindano sio kuchomwa sindandano

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 8 днів тому

    Sio mtendaji mkuu wa club we dogo katibu mwenezi ni msemaji na muenezaji wa taarifa zote rasmi za club,kazi yake ni kuzieneza habari za club zienee kila mahala kuwafikia walengwa....ndio wanachokifanya hata wasemaji ni majina tu ukienda ccm mtu huyo huyo wao wamempa Jina lao tofauti wanamwita katibu wa itikadi na uenezi.
    Magoma kwenye Hilo kaishitaki FIFA sio tff hayo ni maelekezo ya wenye mpira FIFA kwamba club na vyama vyote vya mpira lazima viwe na wasemaji wa kuajiriwa.

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 8 днів тому

    Sio mtendaji mkuu wa club we dogo katibu mwenezi ni msemaji na muenezaji wa taarifa zote rasmi za club,kazi yake ni kuzieneza habari za club zienee kila mahala kuwafikia walengwa....ndio wanachokifanya hata wasemaji ni majina tu ukienda ccm mtu huyo huyo wao wamempa Jina lao tofauti wanamwita katibu wa itikadi na uenezi.
    Magoma kwenye Hilo kaishitaki FIFA sio tff hayo ni maelekezo ya wenye mpira FIFA kwamba club na vyama vyote vya mpira lazima viwe na wasemaji wa kuajiriwa.

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 8 днів тому

    Sio mtendaji mkuu wa club we dogo katibu mwenezi ni msemaji na muenezaji wa taarifa zote rasmi za club,kazi yake ni kuzieneza habari za club zienee kila mahala kuwafikia walengwa....ndio wanachokifanya hata wasemaji ni majina tu ukienda ccm mtu huyo huyo wao wamempa Jina lao tofauti wanamwita katibu wa itikadi na uenezi.
    Magoma kwenye Hilo kaishitaki FIFA sio tff hayo ni maelekezo ya wenye mpira FIFA kwamba club na vyama vyote vya mpira lazima viwe na wasemaji wa kuajiriwa.