Hayo yote Mwajua lakini bado mnakaidi. Maneno ya hekima lakini ni ya namna ya kutuzuga. Itakuja fika mwisho jinsi mnavyowatendea wananchi mnaowatawala. Mungu amweke mahali pema peponi Mh. Ndugulile..
NAKUBALIANA NA WEWE DADA YANGU MWESHIMIWA TULIA AXSONI KILA MTU ATALIPWA AIJALISHI ATAISHI SIKU NYINGI CHINI YA JU MAANA MUNGU, MUUMBA MBIGU NA NCHI ATHIHAKIWI KWANI ANAWAJUA WALIO WAKE.
Aiseee.. We have a Bright and Geneus Honorable speaker,, maua yako mama🎉🎉🎉❤❤
Zamu ya kifo ipo ila ni nani anae fuata anajua Mungu ila waovu Wana uhakika Zaid wako karibu Zaid
Hayo yote Mwajua lakini bado mnakaidi. Maneno ya hekima lakini ni ya namna ya kutuzuga. Itakuja fika mwisho jinsi mnavyowatendea wananchi mnaowatawala. Mungu amweke mahali pema peponi Mh. Ndugulile..
Akusaidie kweli
Ndungelile was the best rip
Na kweli, mtavuna tu.
What goes around comes around
Daah Mh. Spika kwa jinsi mnavyo tufanyia dhuluma nchi hii hata upewe miaka 232 duniani hatokusaidia kifupi hautoboi labda utoboe masikio!
kumbe kufa kupo aya
SUALA LA BANDARI LITAKUFUATA MPAKA MBELE ZA MUNGU
Utaishi miaka 100 tuna kupenda na tunaipenda ccm
NAKUBALIANA NA WEWE DADA YANGU MWESHIMIWA TULIA AXSONI KILA MTU ATALIPWA AIJALISHI ATAISHI SIKU NYINGI CHINI YA JU MAANA MUNGU, MUUMBA MBIGU NA NCHI ATHIHAKIWI KWANI ANAWAJUA WALIO WAKE.
Kumbe mnajua kuna kufa,mbona mnauwa wengine kama mnajua hivyo?
Sasa kama unajua ambandachonmtu ndicho atavuna, mimi nilijua nyie hamjui kama kuna kifo kwa upande wenu.