DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 18...NDOA TUNAYO HATUNA!!!???

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 342

  • @darzone1020
    @darzone1020  2 місяці тому +79

    JAMANI POLENI HAPO KIDOGO AMBAPO HAKUNA SAUTI NI HIVI...MAMA SHADYA "Kwahiyo baba Shadya umeamua kuoa kweli" BABA SHADYA "Ndio mama Shadya hata wewe si nilikwambia na ulifurahia" MAMA SHADYA "Hapana Baba Shadya nakuomba sana usioe" BABA SHADYA "Mimi siwezi kukaa bila kuoa sitaki uzinzi tena" MAMA SHADYA "Kwahiyo baba Shadya huwezi tena kurudiana na Mimi" BABA SHADYA "Unamaanisha nikuoe tena wewe?" MAMA SHADYA "Ndio!" BABA SHADYA "Siwezi kurudiana na wewe kwasababu bado sina nguvu za kiume hivyo siwezi kukuridhisha, nikutakie usiku mwema" MAMA SHADYA "Baba Shadya huwez kumuoa Mage nitafanya kila kitu ndoa isiwepo"....Hayo ni maongezi ya hicho kisehemu ambacho hakina sauti. Naomba radhi kwa hili wapendwa wangu.

    • @aishaallyaishaally3220
      @aishaallyaishaally3220 2 місяці тому +1

      ❤❤❤❤

    • @Meterinenanjala
      @Meterinenanjala 2 місяці тому +3

      @@darzone1020 ❤️❤️❤️❤️😴from kenya tumeelewa

    • @gloryjimson9831
      @gloryjimson9831 2 місяці тому +1

      Sasa kwanini lisimkute jambo huyo mama Shadya jamani mimi nawachukia wanawake wa hivi sipendi mtu amdharau mumewe jamani sipendi hata kidogo

    • @MwanatumuOmar-y7r
      @MwanatumuOmar-y7r 2 місяці тому

      Mponjii santhaa hiyo nyimboo mwaona donge ilooò dongee😂😂😂❤ilooo🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 2 місяці тому +1

      ❤❤❤🎉❤❤

  • @Anitajoseph792
    @Anitajoseph792 2 місяці тому +19

    Dada Mage safi sana msimamo wako umelipa mwili wako sio wa kuchezewa tu. NDOA TUNAYO

  • @Farthun
    @Farthun 2 місяці тому +3

    Mashaallah shady mtoto mzuri sana atafika mabali kwa uwezo wamungu inshaallah

  • @MaArrr-mh2so
    @MaArrr-mh2so 2 місяці тому +6

    ❤❤ wao mashallah ❤️ mage unaupendo mzulisana Kwa watoto jmn 😂 Allah akuzidishie kazi mzulisana hongereni

  • @AishaJafari-sh4pe
    @AishaJafari-sh4pe 2 місяці тому +28

    Wakwanza like kwangu jamaniiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉LOVE YOU TEAM STRONG

  • @MariaWiliam-u3j
    @MariaWiliam-u3j 24 дні тому +1

    Mponji umetisha Kaka

  • @EagerBlueLake-fv7yp
    @EagerBlueLake-fv7yp Місяць тому +2

    Jamn mage mzuri kumbe yaan mweupee waoooooo jamn

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 2 місяці тому +7

    Shadya wewe zawatu wanzima bwana hila kanaujasiri maua ya shadya jamani🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 місяці тому +21

    Jamani nauliza. Mponji Shadya ni mtt wako kweli? Hayu mtt atakuja kua msanii mkubwa saaana. MA SHA ALLAH.❤

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому +6

      Ndio ni mtoto wangu kweli.

    • @Cutte-l3f
      @Cutte-l3f 2 місяці тому +1

      Hongera

    • @annayambayamba8614
      @annayambayamba8614 2 місяці тому +1

      ​@@darzone1020ongera saaaan mtoto amchukuw urisi kutoka kwa baba🎉🎉❤❤❤

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому +1

      @@Cutte-l3f ahsante my dear

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому

      @@annayambayamba8614 ahsante sana my dear 😘😘😘

  • @ElianeNininahazwe
    @ElianeNininahazwe 2 місяці тому +3

    Nimepapenda huyo mtoto Shadia kwakweri.mtoto mudogo akajuwa kutuigizia❤❤❤❤kutoka Burundi . respect sana.nawapebda 💋💋💋🥰🥰🥰😊

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому +1

      Ahsante sana tunakupenda pia.

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 2 місяці тому +4

    Dada Mage usijali huyo mtoto si wake.Amefanya kutumwa aseme hivyo na huyo mama Shadia.So relax my love Mage uolewe na Mponji.Alafu mwapendezana kweli, Mashaallah.

  • @PetronilaYaa
    @PetronilaYaa 2 місяці тому +4

    Mage uctishwe funga ndoa roho safi uyo katumwa atamambo ya kovu amin kwamba kaambiwa na mama shadhy mana hatak uishi na mpoji Ntafurai sana ukfunga ndoa❤❤❤

  • @ShukuruIssa-qx6tl
    @ShukuruIssa-qx6tl 2 місяці тому +3

    hongelen sana mage na nponji.pamoja na shadya

  • @Winjoy-y2p
    @Winjoy-y2p 2 місяці тому +4

    Nzuri sana ❤❤

    • @Winjoy-y2p
      @Winjoy-y2p 2 місяці тому +1

      Nafurahia sana mama shandia akiumia walae

  • @ZubedaSeif-o6m
    @ZubedaSeif-o6m 2 місяці тому +3

    Umemkomsha mama shadya mage nakupenda

  • @Judithopondo-fn9dr
    @Judithopondo-fn9dr Місяць тому +3

    Jamani kunawenye wanatamani ndoa wanakosa nafurahia BBke

  • @Fibi-og9ce
    @Fibi-og9ce 2 місяці тому +2

    Imependeza ❤❤❤

  • @nadiaMamba-wj6qg
    @nadiaMamba-wj6qg 2 місяці тому +15

    Mage kaza ivyo ivy had akuoe mama shadia azidi kuumia nawapenda sanaaa❤❤

  • @yohanakijeru5987
    @yohanakijeru5987 2 місяці тому +1

    dada mage upo vizuri sana

  • @judithogaya9730
    @judithogaya9730 2 місяці тому +8

    Naombeni like ata kumi sijachelewa vile, I'm interested with this movie from Kenya 🇰🇪 currently Qatar muponji na team yako muchukuwe mauwa 🌹💐💐💐🍀🏃🏃

  • @MunyirunguHonest
    @MunyirunguHonest 2 місяці тому +2

    Kazi nzuri magie ❤

  • @LuciajeremiaEnock
    @LuciajeremiaEnock 2 місяці тому +3

    Aaaaah jaman huyo wa mtoto nae anaharbu daah, sio mchongo wa mama shadya kwel huo mmmh ngoja tusubr tuone😂😂

  • @puritydavid9003
    @puritydavid9003 14 днів тому +1

    Alie toka bali nae ni mamaketu

  • @SabinaEustine
    @SabinaEustine 13 днів тому

    Hongereni

  • @موكاء-ظ9ج
    @موكاء-ظ9ج 2 місяці тому +1

    Nawapenda sana ❤❤❤❤

  • @dautonmdodwe5700
    @dautonmdodwe5700 2 місяці тому +2

    Game la Mama shadya

  • @janetnasimiyu8646
    @janetnasimiyu8646 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri sana h❤

  • @darzone1020
    @darzone1020  2 місяці тому +9

    Your views, likes, comments, share and subscriptions mean the world to me. Thank you so much for your support. God bless you. Love y'all ❤❤❤.

    • @UmiMazari
      @UmiMazari 2 місяці тому

      Thanks yu 2

    • @MwanatumuOmar-y7r
      @MwanatumuOmar-y7r 2 місяці тому

      😂😂😂😂maskini ela ndoa itakua jamani😢😮yuaona donge heee huyo 😂

    • @selinacharo9350
      @selinacharo9350 2 місяці тому +1

      Ngoje nmalze ndo ni like😂

  • @HafsaAbubakary
    @HafsaAbubakary 2 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤kwajili ya mage

  • @ZawadiMasha-r9b
    @ZawadiMasha-r9b 2 місяці тому

    Woooo nice mage 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @EverlineMbinya
    @EverlineMbinya 2 місяці тому

    Dada mage congratulations nakupenda sana

  • @LeticiaCalderon-nr6hh
    @LeticiaCalderon-nr6hh 2 місяці тому

    Ujumbe ni mzuri sana kwamba maisha ni vita Mponji na Mage wamepanga mipango yao ya ndoa vita inaanza kuibuka hivyo ni wao kuwa kitu kimoja kulishinda hili jambo. Nakupenda sana Mponji kila nikikuangalia unavyoigiza unavyoongea nafika mbali sana.

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s 2 місяці тому

    Safi sana mage kazi kabisa dada

  • @challemartin
    @challemartin 2 місяці тому +3

    Good job

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 2 місяці тому +2

    Mama Shadia anach

  • @AminaAlli-n1c
    @AminaAlli-n1c 2 місяці тому +1

    Waooh iyo ndo kaz baba

  • @jolamb8469
    @jolamb8469 2 місяці тому

    Kanzi zuri sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Burundi tunapenda film nzenu

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 2 місяці тому

    Jaman baba shadya na dadaa magi nawapenda sana kwa kazi yenu hainaga stress aky nawapenda 2 ❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @HassanSeif-mh6oh
    @HassanSeif-mh6oh 2 місяці тому

    Mama shAdya unaarbu movies ungetupisha😂😂😂😂

  • @DevianDiveo
    @DevianDiveo 2 місяці тому +2

    Nakupenda mponji k wa kuoa

  • @hamzarobert2372
    @hamzarobert2372 2 місяці тому +2

    Nanyie m azingua sana hamleti mwendelezo

  • @aminandurya
    @aminandurya 2 місяці тому +1

    Haaaaa
    Yamekushinda mama shadhia 😂😂😂

  • @ZainabuDamson
    @ZainabuDamson 2 місяці тому

    Jamani mage kiukweli mpo vizuri, hamtucheleweshei mzingo mpya, pia kazi ni nzuri sana inatupa raha❤

  • @Hawa-y8x
    @Hawa-y8x 2 місяці тому

    Safi sana mager kwa musimamo mzr, hvo ndo mwanamke anavotakiwa awe na msimamo my mager jmn

  • @Alicebahati-h6f
    @Alicebahati-h6f 2 місяці тому

    Kazi nzuri next 🎉🎉❤❤❤

  • @Annemumbe-r2z
    @Annemumbe-r2z 2 місяці тому +1

    Haki shadya ana akili ndefu sana ❤❤❤

  • @JohnThomas-mq5fw
    @JohnThomas-mq5fw 2 місяці тому

    Shadya msanii Bora sana

  • @JenifaPatrick
    @JenifaPatrick 2 місяці тому

    Nmpenda Sana mage jaman be strong one day yes

  • @mariamcrispo8296
    @mariamcrispo8296 2 місяці тому +2

    Mpango wa mama shadya hadi kero huyu mwanamke katafutiza mtu wa kukatisha ndoa ya Mponji.
    Nimechukia sana

  • @anthoniaanthony4573
    @anthoniaanthony4573 2 місяці тому +1

    Mage bwana😂😂😂❤❤❤

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 місяці тому

    Shadya mashaallah mungu akulindeee ❤❤❤❤❤

  • @JudyOkere
    @JudyOkere Місяць тому +1

    Mponji bwana watu wanataka kuharibu ndoa yako na mage peleka mtoto DNA.mama shandaya anamtafuta mbinu zote Bora usimuoe mage

  • @selinacharo9350
    @selinacharo9350 2 місяці тому +1

    Mage chukua mtoto sini malaika na niwa bwanaoko hzo ni njama za mama shadya tu avuruge be strong mage leo mtoto ndoa iendelee

  • @Deboramsambwa
    @Deboramsambwa 2 місяці тому +1

    Jaman❤❤❤❤❤❤❤❤lahasana

  • @FaudhiaFareed
    @FaudhiaFareed 2 місяці тому +1

    Nzur sana

  • @jonmgonja3153
    @jonmgonja3153 2 місяці тому

    Kazi nzuri mpo vizuri waisheni 19 twende alaka

  • @ErickaMatonya
    @ErickaMatonya Місяць тому

    Ndoa tunayo ❤❤❤❤❤

  • @AminaNdugai
    @AminaNdugai 2 місяці тому +4

    😂😂😂ila mama Shadya ni kiboko

  • @hadijahusseni3274
    @hadijahusseni3274 2 місяці тому

    Jamn mnachelewesha sana yaan kipande kimoja tunasubir mpaka bass

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому

      Pole kipenzi changu EP YA 19 na ya 20 zitatoka kwa kifuatana Leo ya 19 na kesho 20

  • @Linetmokogoti
    @Linetmokogoti 2 місяці тому

    Mama shadya wewe ndio ulijitakia 😂😂

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 2 місяці тому +1

    Mama Shadia anacho kitafuta anajua mwenyee mushenzi sana huo

  • @Maryam-yt8lw
    @Maryam-yt8lw 2 місяці тому

    Mambo.mazurii...

  • @HijaSalimu
    @HijaSalimu 2 місяці тому +2

    Haipendezi Aondoke

  • @silviailenji7745
    @silviailenji7745 2 місяці тому +1

    Weeeuh 😅 mlete yenye inafwata mponji kumbe mhanyaji 😂

  • @AlineEster-w6c
    @AlineEster-w6c 2 місяці тому

    ❤❤❤ seemuya yakumi naketa

  • @ShamiraBakari-w9r
    @ShamiraBakari-w9r 2 місяці тому

    Kazi nziri sana 19 isichelewe

  • @ajesterkalulu7927
    @ajesterkalulu7927 2 місяці тому

    😂😂😂 mpango wa mama shadia

  • @Annemumbe-r2z
    @Annemumbe-r2z 2 місяці тому +2

    Mama shadya n shetani kwel,, na hutawezana hapa mitego yote twapita tu

  • @EugenieNziavake
    @EugenieNziavake 2 місяці тому

    Naona ndoa,inaenda kuwa na changa moto sasa. huyu mtoto kwa kweli ni mponji ndiye baba yake? pole sana mage, majaribu ni mengi Kabisa

  • @mwanaisha1703
    @mwanaisha1703 2 місяці тому +2

    Huyo mwanamke ametumwa na mamake Shadya na mamake Shadya akamueleza kuhusu mwiliwako ulivyo uko na sehemu flani Ina salama ili tu awaharibie.Mage adui yako ni huyo huyo mamake Shadya

  • @NaomiKemunt
    @NaomiKemunt 2 місяці тому

    Ila usirudie tena mponji😂😂😂 mtoto mzuri nampenda❤❤❤ apokee maua yakee🎉🎉

  • @CarolineImbwaga
    @CarolineImbwaga 2 місяці тому +1

    😮❤❤❤

  • @basimisemusafiri4856
    @basimisemusafiri4856 2 місяці тому +1

    Tunawapeda sana 🎉🎉🎉🎉

  • @MaiaM-cj7uc
    @MaiaM-cj7uc 2 місяці тому

    Made pole sana

  • @EcasaIsaya
    @EcasaIsaya 2 місяці тому +1

    Mage wewe utapasuwa mwenzako moyo😊😊

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 2 місяці тому +2

    Na mimi nafulahi sana mama shadia akiumia

  • @MaiaM-cj7uc
    @MaiaM-cj7uc 2 місяці тому

    Sasa niaj mbona apo mumekata sauti nikwanini lkn tajili mpochi lkn nawapenda sana kazi nzuri sana❤❤❤❤

    • @darzone1020
      @darzone1020  2 місяці тому

      Nimewaandikia hapo juu kabisa kwenye comment walichokuwa wanaongea hapo.

  • @veronicaonchuru
    @veronicaonchuru 2 місяці тому

    Asante sana mage kwa msimamo wako 🎉🎉🎉🎉

  • @floribertndikumana3088
    @floribertndikumana3088 2 місяці тому +2

    Mucezo wa mama shadia

  • @SaniyaOthman
    @SaniyaOthman Місяць тому

    Hajra jmn ananifurahisha sn humu😂😂😂

  • @ShababiHalidi
    @ShababiHalidi 2 місяці тому

    Mage ndoa tunayo hatuna😂😂😂😂😂😂😂😂ila hajra

  • @mejubagu6825
    @mejubagu6825 2 місяці тому

    Mponji ni mwanaume mzuri sana❤❤❤

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 2 місяці тому +2

    Mwisho wa ubaya ni aibu mponji 😂 😮😮da pole mage😢mimi nipo na wazo mponji na huyo mtoto aende akapimwe damu mwaiyonaje iyo❤🎉😊

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 2 місяці тому

    Jaman mm naomb nafas ya kuj msinga bwan harusi hhhhhhh nitanda liwa karafuu mambo mot mot hatun mbambamba wapemba hhhhhh

  • @evesilayo740
    @evesilayo740 2 місяці тому

    Niite ushuzi mama hagra bwana

  • @anthoniaanthony4573
    @anthoniaanthony4573 2 місяці тому +1

    Mama shadya ni mjinga

  • @AaronKabwa
    @AaronKabwa Місяць тому +1

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @saumuchai9620
    @saumuchai9620 2 місяці тому +1

    ❤❤🎉

  • @Ruthjohn-j3j
    @Ruthjohn-j3j 2 місяці тому +1

    Mbona sehem ya 19 mbona amuonyeshi na watu tuna weka bando atuoni kitu au baada ya siku ngapi inatoka

  • @Zakiya-f3i
    @Zakiya-f3i 2 місяці тому +1

    Tuletee.19

  • @VallerianPendo
    @VallerianPendo 2 місяці тому +2

    Musame baba atoludia tena

  • @HidayaIbrahim-b4h
    @HidayaIbrahim-b4h 2 місяці тому

    Kwamba ukiolewa na mponji niite ushuxiii haloooooooo😂

  • @VoiceMelody-r8k
    @VoiceMelody-r8k 2 місяці тому +1

  • @bintimohammedchitunguu
    @bintimohammedchitunguu 2 місяці тому

    Ukiolewa na Mponji niite ushuzi😂😂😂😂

  • @Lucy-v3y
    @Lucy-v3y 2 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 2 місяці тому

    Tunaisubiri harusi 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @chrotildamathias9610
    @chrotildamathias9610 2 місяці тому

    Duuu hii vita kweli jamani😊

  • @TheodoraChaki
    @TheodoraChaki 2 місяці тому +2

    Hizo njama za hajira mage kuwa na msimamo

  • @AmnaAmna-l3u
    @AmnaAmna-l3u 2 місяці тому

    Harusi tunao

  • @WekesaSylvia
    @WekesaSylvia 2 місяці тому

    Nawapenda sana