KOMBE SIO SHIRKI //SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Kombe ni Qur an halina hitilafu wa Shirki

КОМЕНТАРІ • 19

  • @alifaki4651
    @alifaki4651 5 місяців тому

    Mashallah

  • @AbdulSalim-wu8wo
    @AbdulSalim-wu8wo Рік тому

    Mungu akupe maisha marefu baba🙏🙏🙏🙏

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv Рік тому

    MASHA ALLAH

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 Рік тому

    Mashaallah

  • @hassanbilali1697
    @hassanbilali1697 Рік тому

    Sauti iko chini sana

  • @HadijaSalim-qx8fw
    @HadijaSalim-qx8fw Рік тому

    Assalam alykum shekh..niko naswali personal vp naeza pata number yako

  • @abdallahbrek1698
    @abdallahbrek1698 Рік тому

    E bwana neno ash-shirk billahi halina maana kumshirikisha mungu na kitu au mtu mwengine, hiyo inakuwa ash-shirk ma'allah. Ama ash-shirk billah ambayo mungu ameikemea kwa kuwa hatomsamehe yeyote yule anaetenda hivyo ina maana kumsingizia mungu kwa jambo ambalo hakuliteremsha yaani kumsingizia au kumzushia. Sasa wasema kombe sio shirki. Kwanza hakuna kombe katika Qur'an. Pili iwapo utakunywa hilo kombe unajua madhara ya wino uliotumika katika mwili wako? Acheni mambo yenu ya kutafuta kula kwa yanadhuru au kitowafaa watu. Tafuteni kazi mufanye wala sio kutegemea kulaghai watu ili kupata rizki zenu. Hamuna tofauti na wanasiasa

    • @katokimera4463
      @katokimera4463 Рік тому

      Zinakutosha vizuri au unatypia chooni ww umesomea chuo gani elimu gani ulio.somea iliyo kuwa haina.mtaala arafu unajiita msomi.wakati.ulikuwa unapanda clasa kwa mudi ya ustadhi soma dini usitomboke tomboke tu

    • @tamemahmad9902
      @tamemahmad9902 Рік тому

      Kwanza kinachotumika kuiandika Qur-an sio wino inaitwa Dhafaran. Je unaijuwa Dhafaran? Yenyewe tu ni dawa. Na haitumiki kwa kazi hiyo tu hata vyakula twatumia dhafaran. Kama Biriani wengi hutumia rangi ya dhafaran. Kwa ajili ya kunogesha chakula kwa rangi, ladha na harufu nzuri. Ukichanganya na mai wardi (Rose water) inakuwa kitu. 👌👌. So dhafaran sio kitu kibaya na hakina madhara kama hivo usemavo wewe.

    • @mohamedrashid7864
      @mohamedrashid7864 Рік тому

      Unajua nn wewe mpuuzi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@tamemahmad9902 wehu hao, waache wakae na maradhi yao kwa upumbavu wao😂. Mie napiga kombe sio mchezo, uandike kwa taratibu nzuri tu

    • @sullaymanchande632
      @sullaymanchande632 Рік тому

      Kaa usome usikurupuke. Tafta vitab vya kisunna kama منةالرحمن cha Nadeem qablaniy salafi wenzio wote wamekikubali. Utaona ndanimwe makombe yalivyoelezewa. We unasema wino nan kakwmbia kombe wino. Tafta elim kwanza kabla ya kusema