JIFUNZE KUPIKA CHAPATI ZA KUSUKUMA LAINI NA ROSTI LA MAINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • JE UNATAKA KUPIKA NASI WASILIANA NASI (0765-92 64 58)

КОМЕНТАРІ • 26

  • @Husnarajab-kz3ip
    @Husnarajab-kz3ip 4 місяці тому +3

    Masha Allah chapti pambe umejitahidi dada hongera chapati zina rangi nzri sna na zinavutia napia tamuuu❤😋

  • @user-dx6dm6lh1i
    @user-dx6dm6lh1i 4 місяці тому +1

    Chapat mashallah haki yako usifiwe mashallah mashallah.

  • @LaizaJuma
    @LaizaJuma 4 місяці тому +1

    Mashallah kipenz

  • @user-tp1od2cj5z
    @user-tp1od2cj5z 4 місяці тому

    Mbona hatukiskia kitu kuhusu chapati

  • @user-dx6dm6lh1i
    @user-dx6dm6lh1i 4 місяці тому +3

    Jamani maini na mdalasini wap na wap

    • @Aiisha901
      @Aiisha901 4 місяці тому

      ndo nimeshangaaa😂😂😂😂😂

    • @user-zl5mt6lk4n
      @user-zl5mt6lk4n 4 місяці тому +1

      usikariri kila ktu duniani kinaweza kubadilika isipokuwa Kitabu kitukufu cha Mwenyeezi Mungu

    • @zaituniallyjuma8845
      @zaituniallyjuma8845 4 місяці тому

      kweLi hajui kupika

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i 4 місяці тому

      @@user-zl5mt6lk4n si mdalasini kwa maini.

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i 4 місяці тому

      @@user-zl5mt6lk4n ss tunasema kupika kiukweli mdalasini hpna nimeshakaa na wapishi kila kabila ila maini mdalasini mh

  • @MariamLigoha
    @MariamLigoha 4 місяці тому

    Vipi sauti? Au ni kwangu tu

  • @leilabuisha9976
    @leilabuisha9976 4 місяці тому

    Maini umechanganya na figo😅

  • @zaituniallyjuma8845
    @zaituniallyjuma8845 4 місяці тому

    kodoa sehem gani kondo nikumbwa

  • @zaituniallyjuma8845
    @zaituniallyjuma8845 4 місяці тому

    hajui huyo mdada kupika chapati nitakuaLika mimi nijenikupikie chapati

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i 4 місяці тому +2

      Nzr mashallah chapat yke

    • @r9ayyansaid652
      @r9ayyansaid652 4 місяці тому +1

      Nzuri chapati tena anajua muhim chapati samli ikikolea hasa wakati wa kunganda kabla hujatia maji zinakuwa laini saana

    • @asilahassan9965
      @asilahassan9965 4 місяці тому +2

      Kumbe shukran kwa kutujiza

  • @zaituniallyjuma8845
    @zaituniallyjuma8845 4 місяці тому

    mie nipo nakuja kupika chapo

  • @ShamsaKitwana
    @ShamsaKitwana 4 місяці тому

    Kusema ukweli chapati umejitahid dada

  • @zaituniallyjuma8845
    @zaituniallyjuma8845 4 місяці тому

    mie kwetu soya wewe nje