Hivi ni nani mwingine aliyegundua kuwa kutoka episode 1 mpaka hii ya 5 dakika ya 7 sekunde ya 51 ilikuwa ni ndoto😂. Clam katupiga chenga matata season ilivyoanza na inavyokwenda hakuna mtu anayeweza kupredict😂. Sasha alivyo kufa na mwamba alipolipa kisasi nilijua anapoenda jela itakuwa mwisho lakini kumbe ndiyo chuma linaanza. Clamvevo tumpe maua yake
Kaka clam big up 🥳yaan leo nmefatiliya kwa makini 😂hii ep no 5 nmetuliza akili na masikio na macho ,,,lkn kaka mwarabu ulipokosea kusema huyu sio tahira ni rafk yake na Sasha baada ya kusema sanura 🙈nipeni like zanguu🤭💃🏼💃🏼💃🏼
I stopped watching bongo movies because it was so easy to predict what will happen next , but this guy has finally made a very big difference and a unique way of bringing new staff. shout out to all participated and bring unpredictable . Watching u from Canada 🇨🇦🇨🇦
Sema kaka CLAM hii episode ya 5 umetuchinja dakika 10 , just fanya kama zilizopita angalau kuanzia dakika 20. Ila umeupiga mwingi sana kaka . Proudly much to you.
Hii ilikua series tamu sana nimeifuatilia na kuwa na shauku ya lini itatoka dah kumbe ilikua ndoto big up kwako clam vevo natokea los angeles naombeni like zenu watanzania wenzangu🇱🇷🇱🇷🇱🇷
Huyu mwamba alitumia akiri sana hapo mwanzo alianza kama commedian lengo lake kukamata kwanza masikio ya watu yaan wawe na intention na yeye ili afanye anachokifanya sashivi ,hongera sana na pole pia kwa ajari iliotokea i lv mor clam vevo
MOVIE sijaielewa kabisa yaani sijui inamaana gani maana nikajua itaendelea dah mmeipeleka kinyume mno au kwakuwa ulipata ajari juzi kaka dah SIJAPENDAAAAA
Habari zenu wana group hangera sana clam vevo kwa movie nzuri ya best friend pia tupoeeni kwa msiba wa ndugu yetu chammi tuseme innallilah wainna ilayhi rajuun 😭😭😭😭🇴🇲🇹🇿
Daaaaaaah jamani best friend imeisha vizuri sanaaa tuliokua tunafatilia hii series toka episode ya kwanza hadi ya mwisho tupite tukimpongeza clam🎉🎉🎉🎉❤❤❤ kwa kazi nzuri na kumuweka mbele za mungu azidi kuinuka zaidi
Eeeeeeeeeeeeeh bro for really wewe ni baharia idea ni nyingi kweli ata nyimbo inamaana yake katika episode sasa kweli wewe ni number moja, tume zani best friend inaelekeya kuisha kumbi ivi sasa njo mwanzo upya ongera kwa ndoto yako naku fanya promotion ya wa sani wote. Together we gonna do it clam vevo family 🎉🎉🎉🎉
clam ki ukueli kwenye iyoo movie ume nipa changa moto kidogo ya ku juwa mwisho uta kuwa aje wewe ni mu igizaji m top kbs watanzania wenzio wana staili kukupa heshima 👋👋👋👋👋
Jamaniii eeeeh, kama hujauelewa mwisho wa hii story tujuane kwa like.... la like zikiwa nyingi basi bwana clam aangalie namna ya mwendelezo wa story hii😢
Hahahahah kuna watu hawajaskia usikute, binti wanasema anaitwa sanura ila kaka mtu kajichanganya kamwambia mama " huyu so taira ni rafkiake na sasha" na sasha mwenyew kadakia siyo rafkiangu kumaanisha mmejichangany😂
Clam vevo you’re genius nimeweka nukta. Yaani sijawahi kuona creativity ya namna hii kwa kizazi hiki na hata kichopita. Yaani kuanzia epidode one hadi five ni ndoto apa sasa picha lina anza. Respect brother and all the directors 🙏🙏🙏🙏🙏
Vraiment si fahamu mwisho ya ile filamu Best friend kama ulikuwa ndoto unge onesha toka mwazo lakini si furaie mwisho kabisa apana parfois il faut arranger les choses Mr Clam vevo
Clam hii imekaa vizuri sana!! Natamani kuona namna story itavyoconnect na maana ya hii reincarnation ya Sasha. Yes ni ndoto but I wish nijue connection na maana yake
Uyu vevo mbona katuchanganya jameni tena vya ndoto, Eeeeeeeee kumbe ndoto umetupiga chenga yahaina yote, vevo kuwa mzee kashika fiti sana. Wakati niliona kashituliwa na baba ye mwakatobe nilishituka tena sana, tena byama ndoto kumbe, vevo weeeeeeehhhhhhh Chukuwa 🎉🎉mahuwa yako kk❤❤❤
C'est à dire que ce gars, dès le premier épisode, avant même d'aller à l'école, il rêvait...! Bon, on ça va je comprends maintenant.merc😂 pour tout. Je te kiffe mon frère ❤❤. Endeleya na kazi, very good man.
Ni series nzuri sanaaa ila jambo dogo 2 mulifanyie kaz Kuweni makini munapoigiza ona uyo blaza anasema tena Sasha wakat ni sanura 03:34 Ongezeni umakin clavo... nakutakia kaz njema kaka
Hivi ni nani mwingine aliyegundua kuwa kutoka episode 1 mpaka hii ya 5 dakika ya 7 sekunde ya 51 ilikuwa ni ndoto😂. Clam katupiga chenga matata season ilivyoanza na inavyokwenda hakuna mtu anayeweza kupredict😂. Sasha alivyo kufa na mwamba alipolipa kisasi nilijua anapoenda jela itakuwa mwisho lakini kumbe ndiyo chuma linaanza. Clamvevo tumpe maua yake
😅
😂
Aiseee na mm ndioo nikagungua
Hat mm najiuliz kulukuw kun wanafunz
😂
Wangapi tumeumia na kifo cha charming charlz. Mwenyez Mungu ampe makazi mema amen 🙏🏼🙏🏼
Aminiiiii ya rabby
Weee niache mimi bado nikiona post zake nalia wallah
Amen
😭😭😭😭
Sure
Clam ni mwamba Sana hapa amejua kuzishika akili zetu yan namkubali Sana God bless you broo clam vevo
Voce é um cara, tem talento enorme, criatividade magica. Acho voce é um novo Kanumba ❤❤❤❤
Nipeni like zangu mashabiki wa clam mimi wakwanza leo
😂😂😂😂
unastaili
ua-cam.com/video/YLwdhY3Tw2Q/v-deo.html
Nyoko usilie😂😂🖕
Like sa nyoko sa nini tuki hangishwa hapa kila kipindi inaishia mahali papaya
Kaka clam big up 🥳yaan leo nmefatiliya kwa makini 😂hii ep no 5 nmetuliza akili na masikio na macho ,,,lkn kaka mwarabu ulipokosea kusema huyu sio tahira ni rafk yake na Sasha baada ya kusema sanura 🙈nipeni like zanguu🤭💃🏼💃🏼💃🏼
Umeona kama mm😊😊😊😊
Bahat mbayaa buana 😂😂😂 ila Huwez Jua wanamaana Yao
Pia kaka alimuita Sasha mgen wako huyu😅😅😅
Kweli nimeligundua hili
Ndio maana ikawa nindoto
I stopped watching bongo movies because it was so easy to predict what will happen next , but this guy has finally made a very big difference and a unique way of bringing new staff. shout out to all participated and bring unpredictable . Watching u from Canada 🇨🇦🇨🇦
Ahahahhaha he is bravo
Very true, most bongo movies are easy to predict but this guy is just, wow
Daaah clam unatisha me mwenyew huwa sipendi kucheki movies za nyumbani lkn kwako🙌🏾🙌🏾
@@nazaeljohn7143😂😅
Sema kaka CLAM hii episode ya 5 umetuchinja dakika 10 , just fanya kama zilizopita angalau kuanzia dakika 20. Ila umeupiga mwingi sana kaka . Proudly much to you.
Wazi Clam series ya ngumu. Aminia .🇰🇪🇺🇬imepokelewa kwa uzuri na uzito. 💪
Oyah we nani umenitangulia mimi hapa kwa sababu huwa kila mara mimi ndo wa kwanza 😢😢😢❤❤❤... ila kilichobaki nataka like zenu hapa...😂😂😂
Hizo hapo jmn😅😅😅😅😅
Iyo like sasa😂
@@buritya6125 ndio mbwa mimi 🤣
😂😂😂😂
@@user-dw8eb4zf2e ndio mbwa mimi 🤣🤣🤣
The way clam is taking us just for granted .. can u imagine that we r just starting it we have been dreaming all those days
Clam mm naomba unipe jina la iyo nyimbo tafadhali🔥🔥
Kenyan tuned❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 was eagerly waiting for this wa Kwanzaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯
Pitia kwangu team Kenya
Kumbe kenyans tuko wengi huku👏👏
Respect 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯
Ila kamahuyo mama ndo sasha mwenyew
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤
Let me show love to this guy , amebarikiwa huyu na kipawa❤❤ much love from Kenya 🇰🇪+254
Afu clam unazingua😂😂😂😂😂😂😂 kumbe siku zote unaota,,,,,,,,,umetieha akili zako azifikii mtu yeyote kwa bongo yetu
@@YoungsHilary-xd2ml baana tunapambika huku Kenya 🇰🇪
Much support from Indonesia, I never expect this in the 5th episode, Congratulations Clam Vevo
Salute sana kwak clam unaweza chukua maua yak🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hii ilikua series tamu sana nimeifuatilia na kuwa na shauku ya lini itatoka dah kumbe ilikua ndoto big up kwako clam vevo natokea los angeles naombeni like zenu watanzania wenzangu🇱🇷🇱🇷🇱🇷
Hey
Clam vevo wewe ni next level kwenye comedy. Wangapi tunakubaliana na hii 👏🏼👏🏼🙌🏼
We bwege upewe like kwa lipi kwani umecheza sini gani hapo kwenda
@@Kabeya410 🤣🤣🤣🤣 Mxiiuuuuu 🤨😏
Liliana nani anakuchokoza tumshape😂😂😂👍👍👍👍👍👍👍👍
@@SophlaJackson-nt1nc 🤣🤣 si huyo Hussein ananiambia me bwege. Afu ukiangalia ni Mtoto wa kiume Tena wakiislamu🤗🙊
@@lilianalmas5911 wamezoea safii sista langu liliana kaipata hiyo🙏🥰🥰🥰🥰👍👍👍
Huyu mwamba alitumia akiri sana hapo mwanzo alianza kama commedian lengo lake kukamata kwanza masikio ya watu yaan wawe na intention na yeye ili afanye anachokifanya sashivi ,hongera sana na pole pia kwa ajari iliotokea i lv mor clam vevo
MOVIE sijaielewa kabisa yaani sijui inamaana gani maana nikajua itaendelea dah mmeipeleka kinyume mno au kwakuwa ulipata ajari juzi kaka dah SIJAPENDAAAAA
Habari zenu wana group hangera sana clam vevo kwa movie nzuri ya best friend pia tupoeeni kwa msiba wa ndugu yetu chammi tuseme innallilah wainna ilayhi rajuun 😭😭😭😭🇴🇲🇹🇿
Innalilah wainailah rajiun 😭
Hahaahhah dah wee riziki wa oman
Umetoka kwa mkojani umekuja na huku dah haya bana
@@salimaziz9858 jaman mm comedia wte wangu
Inallilah wainallilah rajiun
Daaaaaaah jamani best friend imeisha vizuri sanaaa tuliokua tunafatilia hii series toka episode ya kwanza hadi ya mwisho tupite tukimpongeza clam🎉🎉🎉🎉❤❤❤ kwa kazi nzuri na kumuweka mbele za mungu azidi kuinuka zaidi
Heeeh inaishaje kifupi hivyo
Yan kila mara wanangu wananiambia baba angalia kama amesharusha Mpyaaaaa...
Real nilianzia kmfuatilia na BIG BOSS
@@samwelngilangwa1227 hiyo imeenda my wangu
@@user-yw6rh6lt6c ni fire
Nilikuwa nasubiri kwaamu nakukubali sana clam vevo❤❤❤❤
😢namfuatilia huku Rwanda 🇷🇼😮😂😂😮😮 mwamba huyu ni mkali sana hongera kbs kuwa na motisha
Daaah..!!! umetisha mzeeh inamaana matukio yote yalikuwa ndoto
Jomba unatisha unatisha Sana mpaka unatisha Clamu ❤️❤️❤️❤️ unawakimbiza mbaya 2023
I wish this man could meet Kanumba😊 it would be a very huge and prosperous industry 🎉🎉🎉 big shout out man🎉🎉🎉❤
Clam unajua kaka nataman nimjue anekutungia story ni clever sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
GOD BLESS YOU YOUNG MONEY ! HUU MCHEZO SITAKI NIUKOSE HATA KIDOGO NORA TU NIGOMBANE NA WAARABU RAKINI SIYO KUKOSA HAKA KAMCHEZO
Bongo movie ya kwanza kwa huu mwaka 2023 nimeikubali Sana 💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥 msicheleweshe kutoa mwendelezo basi wakuu 🔥💯💯💯
Ushaambiwa mwisho mwendelezo gani tena unaoutaka😂
@@Johanah7721 😂😂😂 usimuumbue mwenzako sasa
Mwendelezo gani tena? 😂
Huckii imeisha😂😂
Ndo imeisha hyo,akuna ten cha mwendelezo
Clam mkari waooooooo big up sana Bro waua sana kijana tunakupenda zaidi ya saana tuko nyuma yako❤
From bungoma kenya ,, from episode one Hadi ya tano leta ya sita Sasa,,,,,,,, ❤❤❤❤❤more love from Bungoma kenya
Umeua Sana Mzee wangu VEVO🔥🔥👑👑 REVOLUTION OF BONGO MOVIE🙌
Kuna mafeelings flani vile,Pale mwamba kuonekana tahira,Baada ya yote haya....
Big love to you clam vevo
Unatisha kinoma.
Aaaaaaa jamani jamani hii haiwezi kuwa mwisho , CLAM tafadhali kabisa ongeza episode ya 6 plz. Much love from ZAMBIA 🇿🇲🇿🇲❤️❤️❤️
Hahahahahaaaaa we glori umezingua
Namuona Steven kanumba ndani ya clam bro big up san🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Eeeeeeeeeeeeeh bro for really wewe ni baharia idea ni nyingi kweli ata nyimbo inamaana yake katika episode sasa kweli wewe ni number moja, tume zani best friend inaelekeya kuisha kumbi ivi sasa njo mwanzo upya ongera kwa ndoto yako naku fanya promotion ya wa sani wote.
Together we gonna do it clam vevo family 🎉🎉🎉🎉
Kila safari huwa na mwisho na huu ndio mwisho wa BEST FRIEND It was ameizing work
Daah nmecheka kwa sauti..... Lakin huku c tulipita guys asee 🔥 🔥
clam unajua afu unajua Tena na Tena.....aaaah we jamaa ni jiniaziiii alafu jini... 🔥 okoa bongo muviessss
This is what we call extra ordinary talent you can't predict the end of movie, huge of congratulations to this Tanzanian talent
Clam mpùuzi sana...Yaani yote haya yamekuwa maoto tuu😂
Hahahaha tumepigwa kweli nakitu kizito pamoja sana 🇹🇿🇹🇿❤️
clam ki ukueli kwenye iyoo movie ume nipa changa moto kidogo ya ku juwa mwisho uta kuwa aje wewe ni mu igizaji m top kbs watanzania wenzio wana staili kukupa heshima 👋👋👋👋👋
Jamaniii eeeeh, kama hujauelewa mwisho wa hii story tujuane kwa like.... la like zikiwa nyingi basi bwana clam aangalie namna ya mwendelezo wa story hii😢
Kwa kweli hii imezidiwa uwezo na no 4
big up tu sana ila sijatarajia itaisha hivyo tempo kidogo imeshuka ila kazi nzuri
Wahi wahi bwana mdogo Clam vevo we kiboko moja moja vp ndg yng ongeza basi ziwe 3❤❤❤ unatuacha namautamu kinomaaaaaaaa😊😊😊😊
Clam hongera sana na si kwa huo uzee utafikiri mzee kweli
Hahahahah kuna watu hawajaskia usikute, binti wanasema anaitwa sanura ila kaka mtu kajichanganya kamwambia mama " huyu so taira ni rafkiake na sasha" na sasha mwenyew kadakia siyo rafkiangu kumaanisha mmejichangany😂
Kwel aiseeeeee😂
@@ahmadshaban8863 😅😅😅
The along awaited episode is finally out nipeni likes zangu Jameni kutok kenya🎉🎉
Nmeielewa sana hii
Yaani alivyo tuacha marehemu charming idea ya best friend imekosa muendelezo
Imeisha kimandazi sana.
Yaani mwanzo mzuri mwisho mmbaya
Mbona sijamuelew Huy jamaa yup kweny hatua gan
Kuwapenda tu ndiyo kitu ninachojua❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Much love❤❤ from +254🇰🇪 lakini sema Clam ume2cheza sana movie yote kumbe ndoto salute bro
Nilivyotarajia iishe na imevoisha vitu tofaut kabisaa kiufupi umetishaaaa💥💥💥💥
Kuna mchongo, kuna mtaa wa kaza moyo, kuna lolita zote zipo Azam tv afu kuna best-friend ipo UA-cam 🙌🙌🙌🙌
Yan umakini nilioweka kwnye movie hii ilikua Zaid ya chumba Cha Mtihan umetupatia kk Ila kazi nzuri sana Allah awatie nguvu kwenye Kazi zenu🙏🙏❤️
Mimi hiii sikosi clam vevo best friend to the moon wapi love ya Clam vevo wadau ♥️♥️♥️
Kazi hih Huna hiweza mbona hachatu hupewe🎉 yako tu nipo Cong 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kazi nzuri, sema kwenye ndoto tumepigwa hapa sema anyway ni comedy hamna shida
Wakwanza kabisa like za wakenya🇰🇪 nipeni😢😢😢
Uwiiii unajua mpak unajua tenaa nashukuruu ujatuacha njiani clam Bomba limeeleweka chukua maua yakoo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
dah mama eeee huyu jamaa ni noma alinivuruga kabisa hii kichwa 😂😂😂😂😂
Clam vevo you’re genius nimeweka nukta. Yaani sijawahi kuona creativity ya namna hii kwa kizazi hiki na hata kichopita. Yaani kuanzia epidode one hadi five ni ndoto apa sasa picha lina anza. Respect brother and all the directors 🙏🙏🙏🙏🙏
Sio yeye mwenyewe sema yeye na team yake hizi kazi zinaushirikiano pamoja na ideas wanatoa kwa pamoja, kwenye sanaa hakuna nguvu ya peke yako
Tumeigoja kwa siku mingi but imesaha fika😂😂
Vraiment si fahamu mwisho ya ile filamu Best friend kama ulikuwa ndoto unge onesha toka mwazo lakini si furaie mwisho kabisa apana parfois il faut arranger les choses Mr Clam vevo
Series Fupi, Lakini Tamu 😊😊😊
We need something like this 🫡🫡
Big up 🎉🎉🎉:CLAM VEVO 🎉🎉🎉
*Best friend ni on fire 🔥 kwa kweli Clam VEVO unajua sanaaa gonga like kwa team Clam VEVO na kwangu pia ❤*
Leo wa pili kama unamukabi mwamba❤❤❤
Hapana bwana iendeleee jmn imeishaje mzee mkubwa
Mbna umetuchanganya mwamba😮😮😮umeimaliza kiuni sana
Nmekubali weeh mwamba uko vzur kumbe yote ndoto yaani hapo umecheza fresh Sana script yako Iko vzur sana big up sio rahisi mtu kuandika script hivyo
No one can predict what follows in a continuation. Big up ClamVevo❤
Watching from Simiyu Tanzania🇹🇿
Oya simiyu pande zp I am from this region too
Khaaaa ndoto Tena 🤣🤣🤣🖖
Clam hii imekaa vizuri sana!! Natamani kuona namna story itavyoconnect na maana ya hii reincarnation ya Sasha. Yes ni ndoto but I wish nijue connection na maana yake
Movie imeixhaa
Uyu vevo mbona katuchanganya jameni tena vya ndoto, Eeeeeeeee kumbe ndoto umetupiga chenga yahaina yote, vevo kuwa mzee kashika fiti sana. Wakati niliona kashituliwa na baba ye mwakatobe nilishituka tena sana, tena byama ndoto kumbe, vevo weeeeeeehhhhhhh
Chukuwa 🎉🎉mahuwa yako kk❤❤❤
Dah hapo kwenye kusahau nimecheka sanaaa itabidi muendelezo wahii kitu,lakn pole sana kwa ajali mungu akusimamie zaid na wenzio
Mimi Leo nimekuwa wakwanza naomba like ata mbili tu 😅😅🔥🔥🔥🔥
Kweli kabisa
Wakwanza Nipeeni like mashabiki wa clam vevo from Kenya ❤❤❤❤
bongo bwana best friend ilivo anza na ilivo isha ni tofaut kwastaili ii bongo tutabaki ivi ivi mm apo xxxxxxx
C'est à dire que ce gars, dès le premier épisode, avant même d'aller à l'école, il rêvait...! Bon, on ça va je comprends maintenant.merc😂 pour tout. Je te kiffe mon frère ❤❤. Endeleya na kazi, very good man.
Oui brow c'est vraiment intéressant clam est tellement talentueux
Let's pull up
😄😄😄😄
Wakwanza kuangalia leo ❤❤❤ clam vzur sana kwa uwepo wako kaka. Nipeni likes leo❤❤
Kilamutu niwa kwanza apana kwajisi hiyi movie nikali na mimi nita kuwa wa kwanza atakama niwa mwisho 😊😊 ,naomba like za watu wa mwisho 😅😂😊❤
Vevo nakubali sana movie zako lakin best friend na big boss inafanya tz tujivunie king of movie vevo clam nakukubali
Ouaah we kwan apa ndo mwisho wa best friend ❤🙆
Wakwanza kutoka kenya..Naombeni Likes zenu jamani for the love of Marehem wa scene 4😭😭
Usijali tupo kwaajili yko
Waoh nilikuwa naisubili kwa ham nikiskia tuu ile nyimbo iiiii aaaaa kifungo huruu ❤❤
Mbona mbaya nzuri kidogo😢😢😂😂😊😊
Clam una ubunifu sana big up
Big up clam. Mola akupe afya na umri utafika mbali. Na usiache kumuomba mungu sana
Bro unaweaza kazi njema❤❤❤❤
Chris vevo umeweza❤🎉yaani raha mpka basi
Wallah all time kila episode nazidi kutokwa na machozi
Wa Kwanza naomba like zang team Clam Vevo
# M'y best Friend,iyi ni bomu, good job bro @Clam Vevo 🇨🇩
🤣🤣🤣 nimesahau
Uyu mwamba ni fundi wa filamu atapeperusha bendera ya tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Huyu jamaa ni mkali kiloma🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sote tuwe pole kwa kuondokewa na charm inahuzunisha Sana.😢
Ni series nzuri sanaaa ila jambo dogo 2 mulifanyie kaz
Kuweni makini munapoigiza ona uyo blaza anasema tena Sasha wakat ni sanura 03:34
Ongezeni umakin clavo... nakutakia kaz njema kaka
Niajeeee Clam Vevo!!!! Sema unafeli hutaki kunipa ile Nyimbo ya Singeli
Sijapenda hi aikuenda vizuri Hapa umearibu bro Fanya Kazi Nyengine ama rudia big boss new season❤
Me clam umenikoroga kabisa hta sijaelewa story kwa kweli
Mbona inaisha haraka ivi, i need more of this novel❤