Tunashkuru sana clam vevo kwa kutuletea tena movie nyingine ila tunaomba tu uwe unawahisha mwendelezo kama unakubali ushauri WANGU Kwa Clam naomba like yako hap jmn
Haaaa iyi inakuja vibaya Tena! Inaonekana itashinda snake Boy Wallah 😂😂munatuacha na hamu wajameni🇨🇩🇨🇩🇨🇩tunapenda movie zako sana courage vraimant Mon frère clam Vevo
Najua ni vyema kujaribu mambo mapya nyakati zingine,ila naomba tuwache iyo kizungu twendelee tu na kiswahili chetu...Series ni kali sana..production na storyline pia iko juu sana.Nimeikubali.Bravo Clam Vevo.
Aisee director kazi bora kabisa. Nimependa reactions na emotions aiseee. Very mucj interesting jamani. Kanumba is back niaminini maneno yangu. Clam Vevo is the real one.❤
@Cram Vevo Umekua Ukileta Kazi Bora sanaaa Sokonii Kazaa Brow Pia usikawie kulete mwendelezo coz tunapenda Sanaa pia tunamiss Sanaa kazii zako brow ❤🔥🔥🔥🔥🔥
Nimefurahi kumuona gumbo kwa clam kwa mara ya kwanza na bwana Amka....clam niliwaambia habahatishi akipika kitu amepiga hongera sana❤❤natumai nitamuona director gozi na shadow hapa ndani pia doko pia hii series yamfaaa...❤❤much love from kenya japo kuwa nimechelewa 😅😅pend sana hiii wale wangu wakenya 🇰🇪🇰🇪kilifi kikambala mtwapa majengo.vipingo tujuane kwanlikes❤
@@HassanNajma-c5f nakwambia single huku kwa majambazi..doko ninavyo mjua kwa ukali wake ...Atapiga vizuri sana...Gozi nae apewe yake duuuu aisee series tamu sana
Very good job,👏👏 Clam! Story kali sana, Series zako zote ni nzuri, huwa naenjoy sana, english is not our first language, wala isikusumbue, the main thing ujumbe umefika, nimefurahi kumuona mchawi mkuu na bastola this time 😂, good job nasubiri next episode, view ya daraja la Magufuli imetisha zaidi💥💥, Watching from 🇶🇦, Endelea kutuletea kazi back to back dogo💥💥💥💥
Kazi nzuri sana clam mimi nataza kutoka kenya ila kiupande wa kimombo niko na shaka bro tafuta watu wanaokijua vizuri at least kabla yakuwapa vipengele waigizaji wako
Tunashkuru sana clam vevo kwa kutuletea tena movie nyingine ila tunaomba tu uwe unawahisha mwendelezo kama unakubali ushauri WANGU Kwa Clam naomba like yako hap jmn
mwambie aache usenge na kujifanya wanaongea kingereza
@@mbagee😂😂😂😂 aweke na tafsir au sio
@@mbageeElewa neno MISTAKE😂😂😂😂😂
Wakibaki na uswahili mwingi hatofika kimataifa ndo mana anafanya ivo tuelewe kuwa saizi dunia inashikwa na english ila ata ivo situmelewa movie au sio
Mwakatobe this time kaja kivingine❤
Nyingine Kali sana Clam vevo wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mupo mumeikubali ngonga like tukisonga
Wa kwanza Mimi APA toka congo 🇨🇩 nipe like zangu 😂🎉🎉
Ya karia koo si et ee
Ujaangalia una koment tu
Ndugu yangu wewe🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Huna baya
Umejitahidi data ya congo 🇨🇩 sio raisi kuwa wa kwanza
Mwakatobe ndani ya nyumba😅😅😅
Waooooh Gumbo nmefurahi sana kukuona ntaenda kumwambia Recho kwamba umekimbilia huku kumbe 😂😂😅😅🤣🤣
wakwanza from kenya much love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥
Nipitie kwangu usubscribe na ubarikiwe Sana
@@francisnjorogewanjirugitao3575 🤛🤛
Mwakatobe jambazi this time so funny 😂😂kazi nzurii clam vevo
Clam vevo ni number one kwa sasa akuna mpinzani mimi ni mu congomani nikiwa south Africa i love u clam
Haaaa iyi inakuja vibaya Tena! Inaonekana itashinda snake Boy Wallah 😂😂munatuacha na hamu wajameni🇨🇩🇨🇩🇨🇩tunapenda movie zako sana courage vraimant Mon frère clam Vevo
Leo 23/05/2024 kama umerudi tena kutizama iyi movie MISTAKE gonga like 👊🇨🇩🇨🇩🎉
Kwa kweli mapokezi hii movie sio madogo na mm naipokea kwa mikono miwil nipeni like zangu
Kenya one .. one love from Kenya 🇰🇪
Hii nayo lazma tuende nayo adi kikomo 😂team strong hoyeeeeeeeeee mko wapi jmn😂km wapenda clam VEVO 🇸🇦🇰🇪 like apa please ♥️♥️♥️
Hoiyeee sisi ndo tuko au sio 🇰🇪🇸🇦
😅tuko hapa🇹🇿🇦🇪
Tupo tupo time furusi
Tupooo
🎉🎉🎉🎉
Kazi juu ya kazi kakangu. Big up kwa Director bora kwa sasa.
Kazi nzuri sana lakn naomb kingereza kinyóoke basi watu wamekosea sanaa humuu daah
SWADAKTA wasitumie kizungu etiiee
Welcome back clam vevo ❤like za Qatar 🇶🇦 siko wapi
bado tunasubiri BIB BOSS season2
kwanza ongeya kwa kazi kubwa ulifanya ya SNACK BOY
Movie 🍿 Kali sema kingereza Cha umu Cha mchongo kakoso na yule jambazi mpola pesa sijawaelewa acheni kubahatisha
Hawa ni comedy wameamua kufanya hivyo ili tucheke tu na tuitilie maanani
Clam unatisha sana excellent vraiment movie yako 🇨🇩 Congo tunaifata kwa hamu
One love kutoka Burundi 🇧🇮 tunayipenda hiyo🎉🎉
This guy is taking bongo movie to the next level 🔥🔥
Aisee..unastahili maua yko🎉🎉...i ki2 🔥🔥🔥
🎉🎉🎉🎉🎉🎉yes you are right 👍
This is not Bongo movie bro
That was for kanumbas generation
Bongo Movie will never come back either the return of the late STEVIN CHARLES KANUMBA
Clam ni next level mwakatobe hd nimempotea
Duuh nyie mbn mnaniwahi Kila ikitok naomben namm like zenu🎉🎉🎉
Hongereni team clamvevo ...ila mwakatobe na kipala wanna man wnazingua😂😂😂😂 🤣🤣🤣
From Kenya kuna mapokelezi si haba... Salute 🫡🫡 CLAM
Yooo😂😂 nilithani "si haba "nikusema chache
@@erickkiptoo5254 😂
AMISI
@@erickkiptoo5254😂😂
Pure talent ⭐⭐⭐⭐⭐,big fun💪🏼,..c!aim vevo going far for real,🇰🇪 Love
Clam vevo nakubali mwanang umenifanye niaze kuipenda bongo movie tena
Sawa lkn apo mwisho umetuongopea kwaiyo ata ku epa umeshindwa aahhhaa sio kweli
Clam katunukiwa na mtoto nzuri so mchezi😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Najua ni vyema kujaribu mambo mapya nyakati zingine,ila naomba tuwache iyo kizungu twendelee tu na kiswahili chetu...Series ni kali sana..production na storyline pia iko juu sana.Nimeikubali.Bravo Clam Vevo.
Twendeleee Na kishwahili chetu Kabisa
Usinichekeshe mie nacheka kma fala😂😂😂Ila movie ipo swa
Acheni lugha itumike ili movie zisonge mbele
😂😂😂😂😂
Kizungu kinafanya watu wengi watazame hii mov ata wazungu
FINALLY MWAKATOBE WITH ANOTHER CHARACTER
Kumbe umeona😂😂😂😂
😅😅😅😅
Zee na msuli wake
Ila urogi hajaacha😅😅😅
Big Boss parts 2 lini
Always ready to support our Neighbour Tz. Well done Clam.
Much love from Kenya 🇰🇪
Mwakatobe ajawai kuwa series kabisa na kipala chake😀😀😀😀😀
Hivi mmemuona sinaga tabia za umbea umbea😂😂😂😂🔥🔥💯
Uyu jamaa anajua kama unamkubali Clam vevo gonga like ata kumi tu🎉🎉🎉
Much love ❤️ from Kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉🎉🎉wakuu kazi iko fit
Jaman me ni wa mwisho so naomba mnipe like zang 🎉🎉🎉🎉
My favorite ❤️❤️❤️😍 much love Much love kutoka kwa little champ
wewe ninoma kaka clam cris mungu akupe uwezo na nguvu zakufanya kazi nzuri
I said on behalf of machakos county Kenya we were waiting for this and now we are here ❤much love to clam ❤❤❤
Goood job
Same here in Machakos ❤❤
@@zeinabathman5875 pin location
Kichupa kipya hiki na Mimi ni wakwanza naombeni like zenu Kama unamkubali Clam vevo❤🎉
Much love from Kenya ❤❤
Aisee director kazi bora kabisa. Nimependa reactions na emotions aiseee. Very mucj interesting jamani. Kanumba is back niaminini maneno yangu. Clam Vevo is the real one.❤
Movie kali sana ,congrats👏👏.. ila apo kwa kizungu msilazimishe ..mwaitoa ladha🚮
Kenya 🇰🇪 tuko ndani!! Mistake yenyewe❤❤
Clam never disappoint us 🎉
Exactly 😂😂😂
Jmnii nzuri sana ya pili msicheleweshe bsi
Jamani anayeona style ya kipara na mwakatobe aweke likes 🎉🎉❤apo
Kwaiyo mmeamua kuwa maninja 😂
Clam unajuwa sana tatizo dakika ni chache fanya hata 25 basi aaah ila mwamba unajuw sana you're looking like invisible man ❤
Big up Clam Yan bandika banduaaaa ulipo tupo endelea kukiwashaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
@Cram Vevo Umekua Ukileta Kazi Bora sanaaa Sokonii Kazaa Brow Pia usikawie kulete mwendelezo coz tunapenda Sanaa pia tunamiss Sanaa kazii zako brow ❤🔥🔥🔥🔥🔥
Bonge la movie hii ni zaidi ya snek boy❤🎉🎉
This Clevo type of a guy...napenda sana filamu zako❤💙💚💛
Asante san bro kwa mpya hii ulio tuletea tumeipokea❤❤ kutoka kenya apa❤❤❤😊
Kingereza ndo kitu nilikichukia toka shuleni ila kwasasa najuta sikukikariri nafikiri naeleweka. From DRC Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kwa dakka Nene nilizo Anza angalia hii ni best series ya mwaka huu🎉🎉🎉🎉
Kama umemuona Mwakatobe nipe like zangu apa🤣🤣🤣🤣
Yaani kipara na mwakatobe nyinyi ni magaidi kwa sasa😂😂😂😂😂😂😂
Mwakatobe tafadhali Rudi uchawini😂😂😂😂😂❤
😂😂 ujambazi uigize wewe
Nimefurahi kumuona gumbo kwa clam kwa mara ya kwanza na bwana Amka....clam niliwaambia habahatishi akipika kitu amepiga hongera sana❤❤natumai nitamuona director gozi na shadow hapa ndani pia doko pia hii series yamfaaa...❤❤much love from kenya japo kuwa nimechelewa 😅😅pend sana hiii wale wangu wakenya 🇰🇪🇰🇪kilifi kikambala mtwapa majengo.vipingo tujuane kwanlikes❤
😂😂doko😂nakipara chake😅
Gumbo mbona kweny big boss yupo amecheza sio Mara ya kwanza kuwa na clam
@@isayasilvester7276 aaaah kweli umenikumbusha ila hapa amekuwa main character ♥️ nampa maua yake
@@HassanNajma-c5f nakwambia single huku kwa majambazi..doko ninavyo mjua kwa ukali wake ...Atapiga vizuri sana...Gozi nae apewe yake duuuu aisee series tamu sana
@kamoste kaka yaani Kama ulikuwa mawazoni mwangu kwakile unacho kisema
Another banger 🔥from my brother naver disappointed for sure💯 ... for real this is big series of the year !!!!! ✌️✅
PENGO LA KANUMBA SASA TARATIBU TUNALIZIBA SAFI SANA CLAM V💪🏹
Pongezi my brother💪💪 much love from Mombasa Kenya
Jamani hata cjui niseme nn mm napenda sana moves zako clam ❤❤❤❤❤❤❤
Kama unamkubali CLAM VEVO kama mimi naomba like yako hapo jamani
Nakufatilia sana ndugiangu kama shabiki yaki hujawainiangusha so proud of you
Clam Vevo Noma 🔥🔥 mwakatobe ,kipara wananaman wezi marufu☝️😅😅🇲🇿
Mwamba karudi tena 🔥🔥🔥🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Huyu jamaa aliyempokeaa clam...anajua kuigiza sana 🙏🙌🙌🙌🙌👏👏
Binafsi nmependa mno tu hii movie wallah all the best wahusik wot pig up xan w
Mmh mnarauka sana nlidhani mm ndo nmewahi leo😂anyway much love from kenya❤
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mwambaaa Vevo
🔥🔥🔥🔥 nakubali mwamba, hivi unanikumbuka Mimi Jamaa Yako tulisoma wote kuanzia chekechea Boss
😂😂
😂😂😂😂bado haujasema 😅😅😅😅
😢😢😢😢
What a gem kikweli mwendelezo nakutaka araka sana
Klam ni mm hamisi nyalinga kutokeakigoma kagongo yamigazin kiufup mm apa nakukubalisanakaka unafanya mambo mazur mungu akubalikisana❤
Clam is taking Bongo movie to the world
Keep shining Clam Vevo we like your movies 🇧🇮
minauliza inatokaje hii mouve
Clam you are very creative mkuu many love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
kutoka kwenye uchawi/uganga
hadi ujambazi .
mwakatobe wamekuonea
😂😂😂😂😂
Vraimant courage clam bonne chance kutoka congo RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍
Mwakatobe...kasahau ..na uchawi 😃😃😃😃😃🥂🥂
😅😅😅😅
Very good job,👏👏 Clam! Story kali sana,
Series zako zote ni nzuri, huwa naenjoy sana, english is not our first language, wala isikusumbue, the main thing ujumbe umefika, nimefurahi kumuona mchawi mkuu na bastola this time 😂, good job nasubiri next episode, view ya daraja la Magufuli imetisha zaidi💥💥, Watching from 🇶🇦,
Endelea kutuletea kazi back to back dogo💥💥💥💥
Prepare for another one month of clam VEVO trending, actually the best ever❤❤❤❤
Mambo ni fire
Clam is 🔥🔥
Kiswahili kitukuzwe😂😂😂😂 love kwa sana kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mwakatobe kama mwakatobe awamu hii n mwiziiii😂😂
Kama UNAMKUBALI Clam VEVO na TIMu yake nzima 🎉🎉🎉🎉🎉
WANGAP TUTAPIGA STORY UKU KANDO TUKISUBIR MISTAKE 2❤❤❤❤❤❤ MWISHO WA KAZ NDO MWANZO WA KAZ SNAKE TUMEFIKA MWISHO ACHA TUENDELEE NA UTAM MPYA 🎉🎉🎉🎉🎉
Never disappoint us young bro
Nimemuona kipara kwenye ubora wake 😂😂
Hahahaha kipara ypo seriously kumbe anatak umbea wa tabia za hela
Weeeh mambo n moto clam unaweza bana❤❤I love you from Kenya can't wait episode 2
Beautiful boy got me rolling on the ground😂😂😂
Nakwambia wee from today😂😂😂😂😂😂
I haven't any time to waste😂😂😂
Why do u want to lost your time
😂😂😂shhiiiiii
Mumeanza😂😂jamani
Wakwanza miye from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wow nice sana hii movie inakuja na moto mkali sana🎉🎉🎉🎉 bravo bravo 👏👏
Jamaa kilam hatari hi hazn ya taifa
Umechukua namba ya kwanza bongo moves mm from kenya
Boa trabalho sucesso para sempre clam Vevo ❤
Mwakatobe kumbe handsome ivyo❤🎉🎉🎉nakupenda bureee ila majambazi mmeuwa saaaaaaana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wow kali sana hii mouvie napenda sana mouvie zako 👏👏👏👏👏👏👏👏👏♥️
🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana clam mimi nataza kutoka kenya ila kiupande wa kimombo niko na shaka bro tafuta watu wanaokijua vizuri at least kabla yakuwapa vipengele waigizaji wako
😂😂😂mzee wa ujue sinaga tabia ya umbea mbea kaja kijambazi round hii. Safi sana
Big respect 💪🏿