Ahsante mungu na Mashabiki wetu wote Kwa sapoti yenu nawapenda Sana na shukuran zangu za zadhati ziende Kwa kaka yangu chili kwakuniona kwenye maiti ya Baba nimefurahi kuwa mshiliki pia♥️♥️♥️♥️🙏
Na mambo hayo majumbani yanatokea baba,kaka,wakwe,mashemegi,zetu ni vishawishi sana wamambo yazinaa yanatokea sana ktk familia,ndio maana unaskia wanaume wote ni mbwa sababu wengi wenu munatumia akili za kichwa cha chini nasio kichwa cha juu ndio maana mnakosa aibu sababu zakar haina akil wala haishibi ndio unakuta mtu analala na shemeg yake,au mtoto wa mke wake,mda mwengine hata mtoto alomzaa,jaman tuacheni zinaa sio kitu kizur,heshima nikitu chabure hakiuzwi dukan kwanini ushindwe kujizuia hisia zako ktk familia?maoni yangu ni hayo ❤naarabbuk.
Innalillah wainnailah rajiun pole sana jordan 😢ila talaka hakustahik aisha,kwanza nikosa la bamkwe wake,napia alikuambia muhame nyumbani ukamkatalia hakutaka kukwambia ukweli ili kugombana na baba ako,na pia baada ya ww kumuowa aisha hakukubali tena kulala na bamkwe wake ndio maana zakar ilikasirika amekufa nakumtaman aisha,ila aisha anamakosa hakuongea ukweli na hayo ni makosa ya movi mungempe nafas nahisi angejitetea nakuendelea kuwa na mume wake km kawaida sababu mungu anatusamehe iweje sisi kwa sisi tusisameheane?
Mr kawaida umenibamba sana anayemkubali uyu mjamaa....agonge like
Nzuri sana Jordan hayo ndio maamuzi ya mwanaume kwani huyo hupaswi kuwa nae mtu ambae mmeshea na baba yako
Kweli kabisa
Sasa Aisha ulitaka kwa yote yaliyotekea Jordan akusamehe xo kweli Jamanii 😢Ingemuagalia vp
Safi sanaa stor Nzurii sanaa 🎉🎉
hii move chill umeweza mashallah imeeleweka ipo straight
🙏🙏🙏
Waaah!! Asante sana, nimefatilia mwanzo hadi mwisho mumejesa kikubwa
Aisha anajua sana kuigiza tena kipengele cha kulia nampa 10/10
Uyu bwana mista kawayida namupenda sana😂😂😂🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mwanzo mzuri na mwisho mzuri na mafunzo mazuri sijutii kuangalia hii filamu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana 🙏🙏
Mm pia🎉🎉🎉🎉
@@CHILLYMWINYIMKUU mmmmmmm waaaaaaaacha😂
Mr kawaida Mimi nakushobokea balaaa😂😂😂😂
Huu msiba sasa hivi watu wanaalika kama sherehe😂😂😂ila huyo dada eti imesinyaa kabisaa 😂😂😂
😂😂😂😂imexinyaaa
Hongera sana washiriki wote na mtunzi wa hii hadithi
Kaz nzuri mzee msisili nakukibali sana baba angu kazi zako zote unazofanya nazikubali❤❤❤❤
Imeyisha vizuri saana Jordan nakukubali unajuwa saana.
Hii ndio i like 👍 ❤
Kaz nzur Mungu akujaalie inayofuata iwe Kal zaid tuendelee kuburdika
Tiisha sana boc wang
Mr Kawaida me mwenyewe nakushobokea kwakweli umekuwa mr handsome 🔥🤪🤣🤣🤣🤣😊
Mr kawaida usiombe yakukute😂😂😂😂
Kazi nzuri sana ila kwanini mkoba wa Bibi autowi 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Kazi nzuri sana na pia funzo nimeipata 🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉 god job naaraaa buku
Kazi mzuri yenye mafunzo thabiti kwa mwenye maono makali,. Nje ya hapo unaweza ona kama faraja/burudani kam burudani zingine.. 💯💯💯🙏🙏
❤❤❤🎉🎉🎉kazi nzuri sana ila tunaomba mkoba wa bibi jamani ije
SAWA
Safi kabisa kazi nzuri
Wapili kutoka pwani 🤝🤝 MUNGU awabariki wote
mm ningetoa talaka 10 kabisa
Safi sana mmetisha aishaa umetisha sanaaa ❤❤🎉🎉🎉
Niko ndani ya mda na Mimi 😊😊 tuzike sasaa
❤❤❤❤❤😂 kazi zuri
Kazi nzuri sana ila jodani umeamua vizuri sana kama mwanaum3
Safi sana mmetisha aishaa umetisha sanaaa ❤❤
Safi Sana Kaka,uamuzi mzuri
Nice zakia kaza buti unaweza
Ahsante mungu na Mashabiki wetu wote Kwa sapoti yenu nawapenda Sana na shukuran zangu za zadhati ziende Kwa kaka yangu chili kwakuniona kwenye maiti ya Baba nimefurahi kuwa mshiliki pia♥️♥️♥️♥️🙏
Yaan umejuwa naumejuwa tena👌 upewe mauwa yako🌹🌹🌹
Hongera sana Jordan kwa maamuzi yako ya kishujaa
pull up kazi bora ya kufungia mwaka
Mr kawaida ana unafiki mwingi 😂😂
Shaulilakeee😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana nimeipenda kwa ustadi na ubunifu wako
Kazi nzur mwinyimkuuu🙌
Wakwnza leo kutoka kenya 🇰🇪 to 🇸🇦
saa saba kasoro nimewahi mazishi bila shaka.......
😂😂😂
❤❤❤❤❤nimeenda kwa kweri mpo vizuri saaaaaa
Ila narabuk kwl😂😂😂 mzinzi azikwe😊 🙌
Kazi nzuri na mmenda na muda congratulations 🎉🎉
Final 😢😢😢😢
Kazi zuri sana🎉🎉🎉
Mashallah🎉❤❤
Ila mr kawaida ww mwenzako ameacwa ww wacheka😂😂😂😂😂😂
Shaulilakee😂😂😂🎉🎉🎉
Msumbiji 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
ndoa iendelee kw7bu mwenye makosa ni mzee na ameshafariki km ndoa itakufa basi hamjamsamehe marehemu..
Hongereni ssna❤
Na mambo hayo majumbani yanatokea baba,kaka,wakwe,mashemegi,zetu ni vishawishi sana wamambo yazinaa yanatokea sana ktk familia,ndio maana unaskia wanaume wote ni mbwa sababu wengi wenu munatumia akili za kichwa cha chini nasio kichwa cha juu ndio maana mnakosa aibu sababu zakar haina akil wala haishibi ndio unakuta mtu analala na shemeg yake,au mtoto wa mke wake,mda mwengine hata mtoto alomzaa,jaman tuacheni zinaa sio kitu kizur,heshima nikitu chabure hakiuzwi dukan kwanini ushindwe kujizuia hisia zako ktk familia?maoni yangu ni hayo ❤naarabbuk.
Nice KAZI zur
Mr kawaida sijapenda mnafki sna😂😂
Kazi nzuri
Innalillah wainnailah rajiun pole sana jordan 😢ila talaka hakustahik aisha,kwanza nikosa la bamkwe wake,napia alikuambia muhame nyumbani ukamkatalia hakutaka kukwambia ukweli ili kugombana na baba ako,na pia baada ya ww kumuowa aisha hakukubali tena kulala na bamkwe wake ndio maana zakar ilikasirika amekufa nakumtaman aisha,ila aisha anamakosa hakuongea ukweli na hayo ni makosa ya movi mungempe nafas nahisi angejitetea nakuendelea kuwa na mume wake km kawaida sababu mungu anatusamehe iweje sisi kwa sisi tusisameheane?
Kazi nzuri sana
Like tafathari kutoka Mozambique
Bon travail 🇨🇩👍🇨🇩
Kazi nzuli sana mtoe kaz kama izi zakufundisha
Nzuri Sana halafu Jordan uko sahihi kabisa huwezi kukaa na mwanamke ambae uloshea na baba yako 😢😢😢😢
Mchezo mzuri sana
Kuna kipindi nilikuwa najiuliza kwamba, i ni igizo au naangalia matukio live. Kazi njema
Kweli inakaa live
😂😂mr kawaida anatowa tarifa tu dah😂😂
Kanzi mzuri
Yan jordan ameivaa uhusika sijutii kua kuangalia hii move jordan umeweza baba
Hii ilinoga sana
Nalabuku hatali zuri sana
Mr kawaida 😂 unatuma naparia na chakula😂😂eti naarabuku naijua iyo.hhhh❤❤😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮nikitoka apa naenda kukucheki kwenye sandra maana nimukucheki balaaa
Kazi nzuri hongereni sana
🎉🎉🎉
Msisiri pia amecheza larata yake vizur umetisha baba
Nipe Mimi uyo mke nmpnd sana
Jaman mr kawaida usiomb yakukute
Nilikuwa bze na Dunia kumbe huku tuko final 😅khaa
😢😢😢nawasaidiya kuliya🎉🎉🎉
Nmependa sana❤❤
Mr kawaida namkubali xn ananifurahisha 😅😅😅
UMEJITAHIDI KWA KIASI CHAKO JAPO KUNA BAADHI YA MAKOSA MADOGOMADOGO ILA NAAMINI UTAJIREKEBISHA KWENYE TAMTHIRIA ZINAZOFUATAA
Makosa hayo ungeyasema Ili ajue ni wapi amekosea yeye ni binaAdamu pia mwambie ajue ukweli
@@NasrahMsiagi safi Sana dada makavu live hatutaki unafki
@@mchawisakala ndio sio Kuna makosa Kisha hayasemi mbona Mimi nimesema kamera imewatoa wekundu Ina maana watajua tatizo
❤I love you
🎉🎉🎉🎉
Safi🔥
Mashallh❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mr kawaida sema iyo kitu ikutoke😅😅😅
Pongez kwa chili jaman
chili unajua saaan
❤
Mm nlikua nasubiri maamuzi ya mume wa Aisha , amechukua maamuzi mazuri hafai kuishi na huyo mwanamke tena
Safi nimejifuza kitu
Tume ikubari sana Ila tuna subiri umalizie mkoba wa bibi
Wa 1327 leo 😂😂😂
Final🎉😂
Like zangu za Nairobi
❤❤ongera sana wahusika nimejifunza kitu 😢
❤❤❤
Hivi hayo machozi mnatoaga wapi,,,mbona mm nikijaribu kujiliza siwezi???
Jitie viksi karibu na macho badae niambie matokeo 😂😂😂
Mr kawaida nimeon kafurah
Kabisa hilifundisho kwa kila mtu ambaye ameolewa au ambaye aliyeoa
Sasa mwinyimukuu Mkoba wa bibi mbona hautuyioni umeacha ama tusubili mpaka lini?
Umeweza jordan jaman jordan katisha mpeni mauwa yake
E , O , U...... chizi weweee....