Amen Amen mimi nitaendelea kutii sauti ya BWANA vile ananena na watumishi wake hadi siku za mwisho nisiwe mbishi MUNGU NISAIDIE niwe wa kusikia kila yenye watumishi wako wananena tamaa mbaya kweli huruma sana
Amina unanibariki sanaaa hyo Ipo clear siyo mwanaume alianza kudanganywa na shetan pia inasema Bible kichwa Cha mwanamke ni mwaume.Hichi kizazi Cha nyoka kimelaaniwa hawawez kuelewa sababu hao sio wa zizi letu kondoo wa Bwana waiskia sauti yake
Ila mmhh Turudi msalabani mi naogopa sana kweli kabisa, Mimi naona kama Sisi wanawake tuna mambo mengi sana mara PERIOD,KISIRANI NK ,hivyo kwa mtazamo wangu tuwaachie wanaume hiyo kazi ya kusimamia makanisa
Hakika mama.rose mhando. Bora tuwaachiee maana imeandikwa kabisa wanawake na wakae kimya. Sasa hatusikiiii tupo tupo tu hatusikiii. Kuna.moto wa jehanam
Jamani! Sasa tuamini vipi!! Wanawake wachungaji Wanawake ,tupo nao huku, tukiwauliza mbona mmekua wachungaji! Na hairuhusiwi Mwanamke Kua Mchungaji? Wanasema MUNGU amewapa kibali! Na Anakupa na Mistari kwenye biblia
Hiyo ndio sababu lkn pia shetani anawatumia ninyi Sana Unajua kitabu cha dini akishikwi mwanamke akiwa Kwa siku. Lakini naona wanawake wa kiislam hawaingii Bahraini wakiwa Kwa siku zako. Viumbe wa giza wengi wanaishi humo
Usiwe mbishi ..nyakati hizi kuwa makini kila kweli itapingwa usiwe mmojawapo wa kuipinga kweli..hapo pia anahubiri...mwanamke akiwa muinjilisti kumbuka hachungi kanisa anahubiri kila mahali lakini Mwanamke kuwa mchungaji haitakiwii kabisa USIUPINGE UKWELI
Hakuna mchungaji wa kike(mwanamke) Katika maandiko matakatifu biblia imemuweka mwanamke sehemu yake mapema kabisa kwahiyo ukiona mchungaji mwanamke jua sio wa Mungu!
Kwa kasi hii ya makanisa ya wanawake kufikia 2030 kila mtaa utakuwa na kanisa linaloongozwa na mwanamke 'mbaya zaidi wanavunja ndoa zao sasa sijui wanawafundisha nini wanawake wanaowafata kwenye makanisa hayo mi naona zaidi ni upigaji hela tu.
Mmmh, Mungu tusaidie kwakweli Biblia ni msitu kwahy mamboya agano la kale yanaletwa ktk agano jipya Mtazamo wa Paulo kwa wanawake unachukuliwa Mungu amekataza basi Mungu awafanye kuwa bubu km anaweza kuwajaza Roho Mtakatifu naamini anaweza kuruhusu wasiweze kunena pia, Namsubiri Bwana wa mavuno aniambie.but all in all Godbless you
Mtumishi hawa wanamfuata Baba yao wa Kiroho Nabii Aston anapotosha, Yesu aliwajaza Roho Mtakatifu wote hakubagua, ingekuwa sivyo wangejazwa Roho Mtakatifu wanaume tu.
Baba ahsante Kwa mafundisho yako, mm nina swali nini maana ya kuhutubu? Katika 1korintho :4_5 unasema,"kila mwanaume asalipo au anapohutubu naye amefunikwa kichwa yu aibisha kichwa chake. Bali kila mwanamke asalipo au anapohutubu bila kufunika kichwa yu aibisha kichwa chake, Point yangu biblia inamaanisha nini kusema neno hutubu? kama inamaanisha kuhubiri inamaanisha mwanamke anaruhusiwa kuhubiri, vipi pia kuhusu yule mwanamke msamaria alivyokutana na Yesu akaambiwa mambo yake yote na Yesu akatoka kwenda kuwajulisha watu namna Yesu alivyomwambia habari zake je hapo si sawa na kuhubiri? Kwa kweli mambo haya yananichanganya sana
Ikiwa wanawake wameumbwa na MUNGU basi ana mamlaka ya kuwatumia vile apendavyo ikiwa atataka atumike.kikubwa MUNGU wetu hafichi bas ukiona mchungaji au askofu mwanamke muulize MUNGU ni wewe umeruhusu au lah jaman tusimpangie MUNGU mtu wa kumtumia wala kumkalili kwamba huwatumia wanaume tu MUNGU akili zake sio kama zako
Amen Amen mimi nitaendelea kutii sauti ya BWANA vile ananena na watumishi wake hadi siku za mwisho nisiwe mbishi MUNGU NISAIDIE niwe wa kusikia kila yenye watumishi wako wananena tamaa mbaya kweli huruma sana
Ukweli mtupu bila chenga. Yaani injili ya kweli inachoma. Ubarikiwe mtumishi
Amen Amen barikiwa sana mtumishi Mungu akuzidichie neema yake
Asante sana Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Ndiyo iyo nikweli , ubarikiwe san Mutumishi wa Mungu
Amen mtumishi wa BWANA zidi kutufungua macho Kwa uwezo wa Roho mtakatifu
AMINA,Barikiwa sana Mchungaji katika Jina La Yesu Kristo AMINA.
Amina unanibariki sanaaa hyo Ipo clear siyo mwanaume alianza kudanganywa na shetan pia inasema Bible kichwa Cha mwanamke ni mwaume.Hichi kizazi Cha nyoka kimelaaniwa hawawez kuelewa sababu hao sio wa zizi letu kondoo wa Bwana waiskia sauti yake
Kabisaaaaa mtumishi wa Mungu uko sahihi watu Wana force mambo
Ameereeeeen!!!!! Mtumishi wa BWANA, nawa kabisa kikombe hicho .
Barikiwa sana.
Mi nakushukuru sana umenisaidia sana kwa MAFUNDISHO yako na kukemea Mungu akubariki Baba
Amen ndio Rozi mwenyewe ?
Amina mtumishi Mungu akubariki
Amina Mtumishi wa Bwana
Ukweli mtupu, barikiwa sana mtumishi.
Ubarikiwe sana mtumishi kwa kutukumbusha🙏🙏🙏🙏
Amina amina amina amina
Ila mmhh Turudi msalabani mi naogopa sana kweli kabisa, Mimi naona kama Sisi wanawake tuna mambo mengi sana mara PERIOD,KISIRANI NK ,hivyo kwa mtazamo wangu tuwaachie wanaume hiyo kazi ya kusimamia makanisa
Hakika mama.rose mhando. Bora tuwaachiee maana imeandikwa kabisa wanawake na wakae kimya. Sasa hatusikiiii tupo tupo tu hatusikiii. Kuna.moto wa jehanam
Jamani! Sasa tuamini vipi!! Wanawake wachungaji Wanawake ,tupo nao huku, tukiwauliza mbona mmekua wachungaji! Na hairuhusiwi Mwanamke Kua Mchungaji? Wanasema MUNGU amewapa kibali! Na Anakupa na Mistari kwenye biblia
Hiyo ndio sababu lkn pia shetani anawatumia ninyi Sana
Unajua kitabu cha dini akishikwi mwanamke akiwa Kwa siku.
Lakini naona wanawake wa kiislam hawaingii Bahraini wakiwa Kwa siku zako.
Viumbe wa giza wengi wanaishi humo
Ni kweli mwanamke akiwa nakipawa cha kumtumikia Mungu anatakiwa amsaidie mume wake ila sio yeye awe kiongozi sis tunamambo mengi sana
Ameen,.Asante Mtumishi wa MUNGUU.
Amen
❤
kwa kweli wanawake ni lahisi kudanganywa na mifano tunaiona kwa kweli wanawwake tujifunze kwa utulivu tuache mbilinga mbilinge
Haya yote lazima yatokee maana wanatimiza unabii wa kuja kwake Yesu hivyo ukengeufu lazima utokee
Amiina ssnaaa. Ubarikiwe.
Ameni Mchungaji
barikiwa sana mimi nayipenda injili hiyo sijuiwi nitaonana ninyi vp?
Karibu kanisa lipo Tegeta Kibo complex
Pole sana, hubria wenye dhambi a chana na kazi ya kupinga kazi 68 :11
Usiwe mbishi ..nyakati hizi kuwa makini kila kweli itapingwa usiwe mmojawapo wa kuipinga kweli..hapo pia anahubiri...mwanamke akiwa muinjilisti kumbuka hachungi kanisa anahubiri kila mahali lakini Mwanamke kuwa mchungaji haitakiwii kabisa USIUPINGE UKWELI
Mungu akupe ufahamu WA kuelewa
Mungu akusaidie . Kuzimu isikuhusu. Mana sio kwa majibu hayo kwa mtumishi wa Mungu.
@@osanamgallah4297 kuchunga ni nini? Si kulisha kondoo? kwani si neno la Mungu na kuwaombea huo ni wivu wa kiroho
@@MarthaZabron-v9b utajua mwenyewe bhana usituchoshe
Hakuna mchungaji wa kike(mwanamke) Katika maandiko matakatifu biblia imemuweka mwanamke sehemu yake mapema kabisa kwahiyo ukiona mchungaji mwanamke jua sio wa Mungu!
Lazma wanawake wachungaji wanaovaa suruali na mawigi na kujichubua sio wapo tu kuzimu Bali wao ni Kuni kuzimu😂😂😂😢
Sema Baba
Mtumishi wanawake ni jinsia na mwanaume ni jinsia haiokoi mtu bali ni kazi ya Roho mtakatifu
Mungu akufungue macho mpendwa..wanawakehawatakiwi kuchunga kanisa,kama unabisha endelea
Pole mama
Asante kwa ujumbe mzuri mtumishi wa Mungu . Ubarikiwe sana. Mana ata kkkt wameweka wachungaji wanawake. Sijui awajui neno linasemaje???
Kkkt walianza kuwabariki wanawake kuwa wachungaji mwaka 1990. Inamaana muanzilishii hakuweka hivyo. Ndio.maana mm nimetoka kkkt.
Aminaa
Semaaa ukweli semaa baba angu hakikaa umenenaa mtumishi tulikuwa hatuyashukii ila.kwa maneno haya nimesikiaa
Mmmmm achani kuchanganya watu
Kweli kabisahao wanawake wametumwa na shetani
Kwa kasi hii ya makanisa ya wanawake kufikia 2030 kila mtaa utakuwa na kanisa linaloongozwa na mwanamke 'mbaya zaidi wanavunja ndoa zao sasa sijui wanawafundisha nini wanawake wanaowafata kwenye makanisa hayo mi naona zaidi ni upigaji hela tu.
Mmmh, Mungu tusaidie kwakweli Biblia ni msitu kwahy mamboya agano la kale yanaletwa ktk agano jipya Mtazamo wa Paulo kwa wanawake unachukuliwa Mungu amekataza basi Mungu awafanye kuwa bubu km anaweza kuwajaza Roho Mtakatifu naamini anaweza kuruhusu wasiweze kunena pia, Namsubiri Bwana wa mavuno aniambie.but all in all Godbless you
Mtumishi hawa wanamfuata Baba yao wa Kiroho Nabii Aston anapotosha, Yesu aliwajaza Roho Mtakatifu wote hakubagua, ingekuwa sivyo wangejazwa Roho Mtakatifu wanaume tu.
Tubu sikiliza neno upone..aacha kubishana na neno
na nikifundisha kwa mtandao
AMEN
Wote wanaosali makanisa ya wanawake wachungaji wote kuzimu
Ndioo
Hiyo ndiyo injili ya mitume na manabii wa MUNGU
Nakuunga mkono 300%
Yaani kama kutiana nguvu Kwa Imani na kuinjirisha na hata kushuhudia mitandaoni je ni makosa kama mwanamke?
Haina shida hata kuhubiri ila asiwe kiongozi Yani mchungaji anaye ongoza kanisa
Kanisa limeingiliwa na wanawake wachungaji linawapeleka watu kuzimu hata leo jumapili walikua wanaendelea kuwapoteza watu
Kanisa ni roho mtakatifu God can use anybody,unaelezea torati tuko enzi za Roho mtakatifu
Pokea neema upone..acha kujidanganya
Watumishi wañawake wanaruhusiwa kuhubiri ila kwA masharti.wakate nywele.au.wafunike vichwa vyao I'li wajikinge na malaika.waovu.mchungaji usisome kifungu kimoja tu wanaruhusiwa.ila wasome.waweje.sasa.wamenia.hela.hawasomi.maandiko.unakuta mwanamke.anahubiri amevaa wigi.jamani.jamani Mungu atutakase wanadamu
Leta andiko acha kupotisha uma...mwanamke haruhusiwi kuwa mchungaji
@Baraka-b7u so.msomaji maandiko wewe soma saba jifunzen na mfundishe.wengine so kulaumulaumu wanawake.mmejazana kwenye mipira wanaume makanisani.misuluali mikopo.ya liba imejaa.makanisan mafreemasoni yamejaa tuacheni wakina Debora tufanye.yetu I'li.tupone.na kizazi.cha nyoka.
Baba ahsante Kwa mafundisho yako, mm nina swali nini maana ya kuhutubu? Katika 1korintho :4_5 unasema,"kila mwanaume asalipo au anapohutubu naye amefunikwa kichwa yu aibisha kichwa chake. Bali kila mwanamke asalipo au anapohutubu bila kufunika kichwa yu aibisha kichwa chake, Point yangu biblia inamaanisha nini kusema neno hutubu? kama inamaanisha kuhubiri inamaanisha mwanamke anaruhusiwa kuhubiri, vipi pia kuhusu yule mwanamke msamaria alivyokutana na Yesu akaambiwa mambo yake yote na Yesu akatoka kwenda kuwajulisha watu namna Yesu alivyomwambia habari zake je hapo si sawa na kuhubiri? Kwa kweli mambo haya yananichanganya sana
Kwahiyo wanavyosema rahisi ivi sasa anahutubia taifa ni kwamba anahubiria taifa? Someni tafsiri tofauti wacheni kudanganyika
Sorry raisi wa nchi
Kama mchungaji yupo na amekupa nafasi yakuhubiri hiyo ni sawa ama ni makosa
Utafuata neno la mchungaji ama neno la Mungu? Nani mkubwa kwako,?, Mungu au mchungaji wako?
Ikiwa wanawake wameumbwa na MUNGU basi ana mamlaka ya kuwatumia vile apendavyo ikiwa atataka atumike.kikubwa MUNGU wetu hafichi bas ukiona mchungaji au askofu mwanamke muulize MUNGU ni wewe umeruhusu au lah jaman tusimpangie MUNGU mtu wa kumtumia wala kumkalili kwamba huwatumia wanaume tu MUNGU akili zake sio kama zako
Soma neno tii neno acha kujifurahisha nje ya neno
Yeremia 1-12 Mungu analiangalia neno lake
Kanisa limeingiliwa na wanawake wachungaji linawapeleka watu kuzimu hata leo jumapili walikua wanaendelea kuwapoteza watu