Mimi.ninachoona ni tofauti baba Mtumishi.....Kuna walioacha pombe na na kuokoka kwa nyimbo hizo na neno la Mungu halina mipaka .......Watu wanapokea popote......Hizo ni sifa za Mungu ....Aliyekosea arekebishwe .......Mungu alisaidie kanisa.....
Mtumishi unasimama na kweli, Mungu azidi kukutia nguvu kuhubiri neno lake bila kulichuja kama wengine..ninakufananisha na yule mchungaji wa kule nigeria..Kesiena Esiri. Hakika Mungu anataka tubadili njia zetu..turudi katika kweli yake
Yes yes yes. Hii ndiyo injili ya kweli. Mtumishi sikufahamu Ila hii ndiyo habari njema iletayo wokovu. Aaminiye ataokoka na asiyeamini amekwisha hukumiwa.
Hakuna kanisa lililooza, ila nachokiona ni fahamu za wale tulioamini kuwa ni viongozi wetu wameharibika ufahamu na kufikiri waliitwa kuwaongoza malaika. Kama tunataka kuongoza malaika wasio na dhambi basi tuhamishe kituo tukawaongoza malaika mbinguni. Nasikitika kwamba injili ya Yesu watumishi wa namna hii mlishaiacha na kudhani kwamba ninyi mnaweza kuwabadilisha watu kuwa mnavyotaka, kama Yesu mwenyewe aliwafia hawa wenye shida hizi zinazosemwa na anawajua kuliko ninyi. Kazi ya Mchungaji ni kuifundisha kweli na kaxi ya kweli ni kuwaweka watu huru. Hukumu hizi za kwenye mitandao ni kuendelea kuichafua image ya kanisa na watumishi wengine. Hakuna kufika na hukumu zilizowahi kuwarejesha watu wabaya kuwa wazuri ila neema ya Kristo. Tito 2:11-12...Tuifundiahe neema na hiyo neema ikiingia kwa watu, ubaya utaondoka..... Kama tunawatakia wengine mema basi tusitumia anguko lao kujiweka kwenye nafasi ya utakatifu...kila mtu kuna mahali anahitaji.msaada wa Mungu....Injili si sheria ila neema ambayo yenyewe inatifundika kama lisemavyo andiko..... .......................... TUHIBIRI INJILI Yoh 12:32
Amina mtumishi wa Mungu kiukweli unaongea yaliyo sahihi Ebu endelea kutulumbusha sisi wadhambi. Ni heri kumtukuza MUNGU ktk Roho na kweli...sema ili Tupone mtumishi wa Mungu. Naitwa Egidius kutoka kilungule mbagala
Amina Sana Mtumishi. Waimbaji wa muziki wa Injili kwa nyakati hizi hawafuati maandiko wala mafindisho. Wanaimba mipasho zaidi na kujipodoa na kujichua.
Kunahitajika kuunda kambi za maombi za mnyororo, ambao kila saa itakuwa na mtu au watu ambao wako magotini, kupokezana kwa Muda wa miaka hata ishirini ili kuukaribisha ufalme wa Mungu upya duniani, laasivyo giza linazidi kuifunika dunia na watu wanaona ni sawa na kawaida.
So true.Gospel ya kitambo ilikua us nourishment!Now it is purely entertainment. I love Christina Shusho na Rose Muhando sana sana but nowadays their songs sio kama za zamani. Kuna wakati instead ya kusikiliza wimbo wa Christina nilijipata I am admiring her beautiful outfit.
Acha zako umezalilisha wenzako!watafute uwashauri kuliko kusema vibaya wenzio bila hekima!!ivi kweli kabisa uko mutakatifu bila kutenda zambi? Apa chini yajua?MAOMBOLEZO 3:31,32
Nikweli mtumishi sikuzi mambo yamebadilika niwachache anaotowa ujumbe kama huhu ubarikiwe mtumishi sema kweli uwaelimishe watu Wana angamiya kwaku lose Mali fa mtumishi umendingusa moyo to wangu amina
Mungu atusaidie sana tufike mbinguni mahana kwa mwenendo huhu sizani kama kunakwenda mbinguni Mungu atusaidie sana sana kilammoja kwa upungufu weke Mungu amtiye nguvu sana
Ninacho mshukuru Mungu ni mwena wapo watumishi ninyi mnaohubiri injili ya kweli na ya wokovu na kanisa za mfano ni vielelezo kwa wakristo. Makanisa ya wokovu ya kipentekoste ya zamani yamekengeuka kabisa hakuna maadili kabisa yapo kidunia na wanaookoka Sasa hivi wanaamini kuwa huu ndiyo wokovu kumbe wanapotoshwa.
Sipendi unavo ongeleya watu wengine,ni vile tu unafatiliya watu wengine. Shikiliya pindo la yesu ni injili kamili,tufundishe injili yako acha ongeleya wengine
Inabidi waonywe sana sana sana Kwa sababu hata wakati wa Lazaro na yule tajiri,Ibrahimu aliambia yule tajiri kwamba huko chini wako na manabii na waalimu wasipo wasikiliza hao watakuja mahali ulipo. Mchungaji Asante sana utuonye tena bila kujali. Sababu hawa waimbaji ni pesa ndio imewalemeza wakijiita ustaa.
Wachungaji wanavaa vizuri ila wanatenda mabaya mojawapo ikiwa ni kuwaibia maskini. Huyu, kabla ya kuwalaumu wabangaizaji wenzake, anapaswa ajichunguze. Kwani Biblia haijaonya kuwa hawa wanaojipachika uchungji ni wachunaji. Yesu hajafa kwa ajili ya yeyote. Kwani Mungu hakuwa na njia ya 'kuwakomboa wanae' hadi ajitolee mwanae? Ili iweje? Hapa ni kama ng'ombe anamchamba ngamia kwa kuwa na nundu.
Wao wanajiona wakamilika hawajuwi wao ndiyo wameoza,maneno haya anayo yasema inastahili kwa mukristo kweli ? Ndugu yako akikoseya murejeshe kwa upendo sio hivi anavyo fanya
Kweli kabisa Yani sasaiv Kanisa limekua maigizo yn watu tumeligeuza Kanisa kua nyumba za uzinzi mabinti wengi wanabeba mimba wakiwa ndani ya Kanisa na wanao wabebesha mimba ni vijana wakiume walio apo apo kanisani,
Ee mwenyezi mungu naomba uturehem bwana kwani ss tusio na imani tulio hama dini zetu za wazazi tukaona tuingie kanisani tu mtafute yesu ila sasa unajiuliza hv kweli nilipokuja ni sahii kweli mbona kama nimepotea kutokana na matendo ya waumini unao waona emungu nitetee bwana
Tunawaona waimbaji tu lakini ni kweli pia madhabahu zetu miaka hii zimezingirwa na mambo ya kutisha kuanzia viongozi wake na sisi waumini wenu. Ni udhaifu kulaumu waimbaji wetu au viongozi wetu kwa tabia zao mbaya kwa sababu hao ndio binadamu na shetani anafanya kazi ndani yao na kinachotakiwa ni kuwaikwepa na kuxitupilia mbali tabia hizo mbaya kwa matendo na sio kwa maneno na kila mmoja wetu awe ni mfano bora kwa wenzako ktk. maisha ya imani zetu. Viongozi wa dini wameacha kuhubiri NENO la Bwana na nguvu na muda mwingi vinatumika kuhubiri na kutafuta vipato kwa michango, zaka na sadaka na wengi wamekuwa ni matajiri wa kutisha kupitia sadaka, zaka na malipo mbalimbali yanayotoka na tozo za ibada mbalimbali za uponyaji na hata ibada binafsi zinazoombwa na waumini kwa ajili ya changamoto zinazo wakabili. Kifupi ni kuwa siku hizi Ibada zinauzwa.
Kwer kabsa baba yani umesema kwerii kabsa na mbadilike waimbaji8 MUNGU sio wa mizaa zaaaa tumuitaji MUNGU wa kwer mnapofanya huduma mazabauni badilikeni ninyi kwanza mbn mnamzaaa na MUNGU waimbaji
Mimi.ninachoona ni tofauti baba Mtumishi.....Kuna walioacha pombe na na kuokoka kwa nyimbo hizo na neno la Mungu halina mipaka .......Watu wanapokea popote......Hizo ni sifa za Mungu ....Aliyekosea arekebishwe .......Mungu alisaidie kanisa.....
Mungu akubariki sn Mtumishi wa Mungu hii ndy inijli ya Yesu Kristo Bwana
Mtumishi unasimama na kweli, Mungu azidi kukutia nguvu kuhubiri neno lake bila kulichuja kama wengine..ninakufananisha na yule mchungaji wa kule nigeria..Kesiena Esiri. Hakika Mungu anataka tubadili njia zetu..turudi katika kweli yake
Sijawai kusikia wimbo wowote wa marehem Fanuel Sedekia unapigwa bar au disco
Kweli kabisa
Nilipata Neema yakufunuliwa nyimbo zake zinautukufu kweli
Ila nyimbo kupigwa club sio kosa
Vzr sana ndugu kumbe umeelewa neno kama mm
Jiulize kwann hujapewa like hata1?
Yes yes yes.
Hii ndiyo injili ya kweli. Mtumishi sikufahamu Ila hii ndiyo habari njema iletayo wokovu.
Aaminiye ataokoka na asiyeamini amekwisha hukumiwa.
Amen amen
Hakuna kanisa lililooza, ila nachokiona ni fahamu za wale tulioamini kuwa ni viongozi wetu wameharibika ufahamu na kufikiri waliitwa kuwaongoza malaika. Kama tunataka kuongoza malaika wasio na dhambi basi tuhamishe kituo tukawaongoza malaika mbinguni. Nasikitika kwamba injili ya Yesu watumishi wa namna hii mlishaiacha na kudhani kwamba ninyi mnaweza kuwabadilisha watu kuwa mnavyotaka, kama Yesu mwenyewe aliwafia hawa wenye shida hizi zinazosemwa na anawajua kuliko ninyi. Kazi ya Mchungaji ni kuifundisha kweli na kaxi ya kweli ni kuwaweka watu huru. Hukumu hizi za kwenye mitandao ni kuendelea kuichafua image ya kanisa na watumishi wengine. Hakuna kufika na hukumu zilizowahi kuwarejesha watu wabaya kuwa wazuri ila neema ya Kristo. Tito 2:11-12...Tuifundiahe neema na hiyo neema ikiingia kwa watu, ubaya utaondoka.....
Kama tunawatakia wengine mema basi tusitumia anguko lao kujiweka kwenye nafasi ya utakatifu...kila mtu kuna mahali anahitaji.msaada wa Mungu....Injili si sheria ila neema ambayo yenyewe inatifundika kama lisemavyo andiko.....
..........................
TUHIBIRI INJILI
Yoh 12:32
Amina mtumishi wa Mungu kiukweli unaongea yaliyo sahihi Ebu endelea kutulumbusha sisi wadhambi. Ni heri kumtukuza MUNGU ktk Roho na kweli...sema ili Tupone mtumishi wa Mungu. Naitwa Egidius kutoka kilungule mbagala
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu .Mungu akubariki sana
Amina Sana Mtumishi. Waimbaji wa muziki wa Injili kwa nyakati hizi hawafuati maandiko wala mafindisho. Wanaimba mipasho zaidi na kujipodoa na kujichua.
Wanajichua???😂
Injili ya kweli.keep it up.
Ubarikiwe mch, waimbaji wabadilike wamtafute Yesu kristo
Hallelujah hallelujah 🙏 Sema tupone🙌
Nakuelewa Mchungaji, nasikia kuumia sana Kwa Hali hii mtumishi wa Mungu. BWANA YESU KRISTO AKUTIE NGUVU.
Mungu akubariki mchungaji . Sema kweli tupone. Hii ni injili yakweli .
Amenn
Asante mtumishi tuna kiu na Yesu kristo lakini tunavunjika moyo hubiri tupone yesu yu karibu
Mungu akuweke utusaidie zaidi tuliopotea.Napokea hii injili.😢From 🇰🇪
Wakristo wakijua kile Yesu Kristo alipitia kutukomboa,alipigwa Yesu Hadi akaharibika sura, jameni tuache mzaha Kwa wokovu.
Kwakweli naumia sana MUNGU atuhulumie tu😭😭
😭😭😭😭
Hakika ni kwel kabisa YESU aloingia gharama kubwa mno
Ubalikwe sana kwa ujumbe mzuli sana
Mungu akubariki sana😭😭😭😭
Amen ubarikiwe mutumishi nikija Tanzania nitaritafuta hilo kanisa,
@@BiraronderwaAlbatros karibu sana
Yesu atuhurumie sana...ni nyakati za mwisho...Mteule uwe macho....
Mungu akubariki mtu Misha kwa kuachilia injili ya kweli ameeeen
Chombo cha sifa cha kumfaa Bwana. Mungu akulinde na kukutunza kwa ajili ya utukufu wake.
Amen
Amin
mungu akupe maisha malefu uendelee kuitangaza injili ya kweli
Amen amen
Amen
Tumtazame yesu tu.Ukitazama pembeni umekwisha.Mungu atusaidie sana ,waimbaji hawa wote walianza vizuri sana lakini wanakoelekea Mungu atusaidie.
Sema tena mchungaji anaenda Jim kutengeneza misuli Mungu tusaidie
Amen mtumishi wa MUNGU barikiwa sana
😅😅😅😅😅 ni kweli tumehalibika sana twavaa vibaya tupo na.mishetani tu nyimbo za ajabu
Ubalikiwe mtumishi wa mungu kwa ujumbe huu
Ameni tunamtaka yesu ubalikiwe mtumishi wa kweli inayotuweka hulu
Amina ubarikiwe sanaa mchungaji
Amina umesema ukweli...Barikiwa sana mtumishi wa mungu
Asante BWANA YESU kwa haya mafudisho nazidi kufununguliwa,BWANA YESU zaidi kukufunulia zaidi na kukulinda
Kunahitajika kuunda kambi za maombi za mnyororo, ambao kila saa itakuwa na mtu au watu ambao wako magotini, kupokezana kwa Muda wa miaka hata ishirini ili kuukaribisha ufalme wa Mungu upya duniani, laasivyo giza linazidi kuifunika dunia na watu wanaona ni sawa na kawaida.
Msikilize mtumishi wa Mungu Moses Magembe kuna kambi la maombi litaanza soon.
Amena Amena sema baba yetu tupone wengi tulikua tumepotea kwa kukosa maarifa ashukuriwe BWANA MUNGU wako kwa kuleta haya shalom
Aminaaa mtumishi wa Mungu, Mungu akubariki sana
Duh! Aiseee!🏃🏃mimi namkimbilia MUNGU hizi ni nyakati za hatari sana, si kitu cha mchezo, mtumishi Naomba usibadilike kama wengine😭
So true.Gospel ya kitambo ilikua us nourishment!Now it is purely entertainment.
I love Christina Shusho na Rose Muhando sana sana but nowadays their songs sio kama za zamani.
Kuna wakati instead ya kusikiliza wimbo wa Christina nilijipata I am admiring her beautiful outfit.
Amina mtumishi nakufatilia niko zanzibar
MSG nzuri,Mungu akubariki mtumishi
Kweli kabisa mm pia sijawai skia nyimbo ya Marehemu Angela chibalonza zikipigwa bar,her songs was very powerfulu 🙏🙏🙏
Unahubili kweli mtumishi wamungu,mungu akutie nguvu,
Acha zako umezalilisha wenzako!watafute uwashauri kuliko kusema vibaya wenzio bila hekima!!ivi kweli kabisa uko mutakatifu bila kutenda zambi? Apa chini yajua?MAOMBOLEZO 3:31,32
Sema Baba
Nilikuelewa,nakuelewa na nitaendelea kukuelewa ningali niko duniani Mtumishi wa Mungu
@@rhodamwakatundu5226 amen
Ubarkiwe kwa neno zur. Mwenye masikio na asikie
Ukweri kbs ubarikiwe sana
Aminaaa
Tanzania inahitaji.watumishi vichaa wa injili Mungu awainue wengi.wengi.wajae kila mtaa.Tanzania ipone
Nikweli mtumishi sikuzi mambo yamebadilika niwachache anaotowa ujumbe kama huhu ubarikiwe mtumishi sema kweli uwaelimishe watu Wana angamiya kwaku lose Mali fa mtumishi umendingusa moyo to wangu amina
Huzuni Sana .Bwana lisaidie Manisa lako
Ukweli usemwe keep it up mtu wa Mungu
Umemweza Rose live kabisa
Sikufahamu but injili hii nimeipenda jamn Mungu atusaidie
Wowoo you well enough sir.obed🎉
Mungu atusaidie sana tufike mbinguni mahana kwa mwenendo huhu sizani kama kunakwenda mbinguni Mungu atusaidie sana sana kilammoja kwa upungufu weke Mungu amtiye nguvu sana
MUNGU atuhulumie ndugu zangu tupo katika nyakati mbaya sana niwakati wakutengeneza wapendwa😭😭😭😭
❤❤❤❤sema pastor
Ninacho mshukuru Mungu ni mwena wapo watumishi ninyi mnaohubiri injili ya kweli na ya wokovu na kanisa za mfano ni vielelezo kwa wakristo. Makanisa ya wokovu ya kipentekoste ya zamani yamekengeuka kabisa hakuna maadili kabisa yapo kidunia na wanaookoka Sasa hivi wanaamini kuwa huu ndiyo wokovu kumbe wanapotoshwa.
Amina mtumishi sema tupone baba
Kweli kabisa mtumishi wa MUNGU
Ubalikiwe sana mwana wa Mungu
Sipendi unavo ongeleya watu wengine,ni vile tu unafatiliya watu wengine.
Shikiliya pindo la yesu ni injili kamili,tufundishe injili yako acha ongeleya wengine
Mungu atusaidie wote tumuelewe mtumishi wake maana injili yake inachoma mno na iko very clear
@@austorb.nyondo2708 akufunze kwanza wewe kuto kushabikiya usengenyaji
Ujui husemalo. Tafuta Roho mtakatifu. Anahubiri ukweli.
Inabidi waonywe sana sana sana Kwa sababu hata wakati wa Lazaro na yule tajiri,Ibrahimu aliambia yule tajiri kwamba huko chini wako na manabii na waalimu wasipo wasikiliza hao watakuja mahali ulipo. Mchungaji Asante sana utuonye tena bila kujali. Sababu hawa waimbaji ni pesa ndio imewalemeza wakijiita ustaa.
Umesema kweli tupu ,atakayeelewa atapona.Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Sema tupone.
Amen chungaji ihubiri ukweli siku Zina kuja za hatari sana
Amen I received
Wachungaji wanavaa vizuri ila wanatenda mabaya mojawapo ikiwa ni kuwaibia maskini. Huyu, kabla ya kuwalaumu wabangaizaji wenzake, anapaswa ajichunguze. Kwani Biblia haijaonya kuwa hawa wanaojipachika uchungji ni wachunaji. Yesu hajafa kwa ajili ya yeyote. Kwani Mungu hakuwa na njia ya 'kuwakomboa wanae' hadi ajitolee mwanae? Ili iweje? Hapa ni kama ng'ombe anamchamba ngamia kwa kuwa na nundu.
Amina Amina Mtumishi wa kweli.....hali ni mbaya wachungaji kama hawafiki hata 5 nchi nzima
Baba mungu akubariki sana
Amina mtumishi wa MUNGU. Ubarikiwe.
UBARIKIWE Sana Mtumwa
This is very serious,,, it essentially rebukes sin in the church,,, the truth has to be told from Kenya
Amen amen amen unanifariji baba
Jamani hili kanisa la Bwana lipo wapi nataka kuwa mshirika hii ndio injili 🎉🎉🎉🎉
Wachungaji ndo mmepotea mara mia moja plus sio waimbaji tu
Kabisa. Yaani mchungaji anaongea majungu madhabahuni.
Wao wanajiona wakamilika hawajuwi wao ndiyo wameoza,maneno haya anayo yasema inastahili kwa mukristo kweli ?
Ndugu yako akikoseya murejeshe kwa upendo sio hivi anavyo fanya
@@raymondbahati7626wewe huwezi muelewa but kama uko na uzoefu wa kusoma bibilia na kujua kuitafsiri utamuelewa
Mahubili mengine ni hukumu tu ila hata nyie wahubili mngechunguzwa mngekuta ni hatali sana
Truth huruma sana 😢😢😢Hukumu inakuja soon inaanzia huku makanisani 1petro 4:17
Kaza mwendo mtumishi
Sasa kwenye Bar wanapeleka waimbaji au ma Dj,,wanaolewa ndio wanahitaji kukombolewa,,km mmeokoka si mwende mbinguni fasta,,mnasubiria nn
Utavuna Kwa maneno yako
Hongera Kusema kweli.
Amen
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe🎉
Yesu atusaidie
Mungu atusaidie ubarikiwe Mtumishi
Kweli kabisa Yani sasaiv Kanisa limekua maigizo yn watu tumeligeuza Kanisa kua nyumba za uzinzi mabinti wengi wanabeba mimba wakiwa ndani ya Kanisa na wanao wabebesha mimba ni vijana wakiume walio apo apo kanisani,
Mungu tusamehe kabisa
Ee mwenyezi mungu naomba uturehem bwana kwani ss tusio na imani tulio hama dini zetu za wazazi tukaona tuingie kanisani tu mtafute yesu ila sasa unajiuliza hv kweli nilipokuja ni sahii kweli mbona kama nimepotea kutokana na matendo ya waumini unao waona emungu nitetee bwana
Jaman hili kanisa lenu lipo wap, hii ndo injili moyo wangu unataka
Tegeta
Kumbuka mchungaji mazoezi siyo Dhambi Acha injili ya zamani Acha ushamba wa Kiroho wa Shirika wako wa takukimbiya kwa injili yako iyo
Kabisa.
Nyimbo za fanueli sedekia kweli sijawahi kuzisikia siku hizi watu tubadilike tumweshimu mungu
Injili adim sana
Kwa kweli Mungu atuponye ni aibu sana
Amen barikiwa sana
Is true pastor
Mungu akubariki sana
Mungu anisaidie mimi kubadilika kabisa
Ubafikiwe sana baba
Eee MUNGU tuhurumie sana Baba , watu wanaikimbia kweli yako na dunia imechanganyikiwa tupe utayari wakuisafisha roho zetu kipitia damu yako ya thamani
❤❤❤❤umeongea ukweli mtupu alafu magembe sijui kwanini wamemtoa kanisani nawakati anahubiri injili iliyo hai
Hawajamtoa kaongozwa na Mungu kutoka ili akatimize kusudi la Yesu
Tunawaona waimbaji tu lakini ni kweli pia madhabahu zetu miaka hii zimezingirwa na mambo ya kutisha kuanzia viongozi wake na sisi waumini wenu. Ni udhaifu kulaumu waimbaji wetu au viongozi wetu kwa tabia zao mbaya kwa sababu hao ndio binadamu na shetani anafanya kazi ndani yao na kinachotakiwa ni kuwaikwepa na kuxitupilia mbali tabia hizo mbaya kwa matendo na sio kwa maneno na kila mmoja wetu awe ni mfano bora kwa wenzako ktk. maisha ya imani zetu. Viongozi wa dini wameacha kuhubiri NENO la Bwana na nguvu na muda mwingi vinatumika kuhubiri na kutafuta vipato kwa michango, zaka na sadaka na wengi wamekuwa ni matajiri wa kutisha kupitia sadaka, zaka na malipo mbalimbali yanayotoka na tozo za ibada mbalimbali za uponyaji na hata ibada binafsi zinazoombwa na waumini kwa ajili ya changamoto zinazo wakabili. Kifupi ni kuwa siku hizi Ibada zinauzwa.
Kama hatutasikia hatusikii tena kama hatukomi hatukomi tena.
Mungu tusaidie
Amen Amen huruma sana
Kwer kabsa baba yani umesema kwerii kabsa na mbadilike waimbaji8 MUNGU sio wa mizaa zaaaa tumuitaji MUNGU wa kwer mnapofanya huduma mazabauni badilikeni ninyi kwanza mbn mnamzaaa na MUNGU waimbaji
Kabisa mtumish sema tubadilike
Aminaaa baba