- 669
- 2 324 888
SHUHUDA ZA KWELI
Tanzania
Приєднався 26 тра 2014
Lengo letu ni kuleta mafundisho yenye uzima kwa makanisa ya Kikristo na nuru ya ukweli kwa wale wanaoishi gizani. Tutaufunua ulimwengu wa roho kupitia ushuhuda wa kila mtu ambaye amepata uzoefu wake. Katika kurasa hizi pia tutaangazia dhana zisizo za kawaida, kurejesha injili ya kanisa la kwanza kwa ajili ya wokovu wa wale waliopotea. Hatutetei madhehebu au sehemu maalum; tuko wazi kwa wapentekoste, wa jadi, walutheri na wengineo.
PASTOR HANANJA AZIDI KUTETEA MIZAHA NA KUMWAMBIA PASTOR OBED ANAMATATIZO YA AKILI
PASTOR HANANJA AZIDI KUTETEA MIZAHA NA KUMWAMBIA PASTOR OBED ANAMATATIZO YA AKILI
Переглядів: 2 781
Відео
PASTOR HANANJA AMJIA JUU PASTOR OBED KATUNZI NJOO UNIPELEKE KUZIMU
Переглядів 6 тис.День тому
PASTOR HANANJA AMJIA JUU PASTOR OBED KATUNZI NJOO UNIPELEKE KUZIMU
KABURI LILILO CHOMWA NA GOODLUCK GOZBERT MCH.OBED KATUNZI KUTIA NENO HAPO
Переглядів 30 тис.14 днів тому
KABURI LILILO CHOMWA NA GOODLUCK GOZBERT MCH.OBED KATUNZI KUTIA NENO HAPO
SERIKALI NA DINI NAN ALAUMIWE KATIKA ILI HAPAAA ?
Переглядів 1,7 тис.14 днів тому
SERIKALI NA DINI NAN ALAUMIWE KATIKA ILI HAPAAA ?
KILICHO MKUTA NABII KWENYE NYUMBA YA MTU AKIWA NA PEMBE
Переглядів 3,3 тис.21 день тому
KILICHO MKUTA NABII KWENYE NYUMBA YA MTU AKIWA NA PEMBE
WIZI MAKANISANI UNATISHA KWA SASA MPAKA MAWE YA UPAKO
Переглядів 1,9 тис.21 день тому
WIZI MAKANISANI UNATISHA KWA SASA MPAKA MAWE YA UPAKO
ROHO YA UKORA KWA WANAWAKE WACHUNGAJI
Переглядів 4,4 тис.Місяць тому
ROHO YA UKORA KWA WANAWAKE WACHUNGAJI
WATU WACHAPANA NGUMI KANISANI INASIKITISHA SANA MAMA MCHUNGAJI KUFUKUZWA KANISANI
Переглядів 11 тис.Місяць тому
WATU WACHAPANA NGUMI KANISANI INASIKITISHA SANA MAMA MCHUNGAJI KUFUKUZWA KANISANI
PASTOR MGOGO NA TONY NA WANAO FANYA KAMA NYIE MNAPELEKA WATU KUZIMU MTAJIBU SIKU MOJA
Переглядів 28 тис.Місяць тому
PASTOR MGOGO NA TONY NA WANAO FANYA KAMA NYIE MNAPELEKA WATU KUZIMU MTAJIBU SIKU MOJA
USIPOTEZE MDA NI HATARI MAMBO YAMEKUWA MABAYA KWA KANISA
Переглядів 3,8 тис.Місяць тому
USIPOTEZE MDA NI HATARI MAMBO YAMEKUWA MABAYA KWA KANISA
PART 2 UKATILI ONAOFANYWA NA VIONGOZI WA TAASISI ZA KIDINI KWENYE KANISA
Переглядів 4,8 тис.Місяць тому
PART 2 UKATILI ONAOFANYWA NA VIONGOZI WA TAASISI ZA KIDINI KWENYE KANISA
PART 1 MCH.OBED KATUNZI AMJIBU MCH MOSES MAGEMBE
Переглядів 69 тис.Місяць тому
PART 1 MCH.OBED KATUNZI AMJIBU MCH MOSES MAGEMBE
MAMBO MAWILI YA KUUPENDEZA MOYO WA MUNGU
Переглядів 8133 місяці тому
MAMBO MAWILI YA KUUPENDEZA MOYO WA MUNGU
INJILI YA UTAKATIFU YAPOKELEWA VYEMA NA WAKONGWE WA INJILI
Переглядів 4344 місяці тому
INJILI YA UTAKATIFU YAPOKELEWA VYEMA NA WAKONGWE WA INJILI
PART 3 HUKUMU KATIKA LANGO LA MBINGUNI USHUHUDA WA ASTON ADAMU MBAYA
Переглядів 1,4 тис.5 місяців тому
PART 3 HUKUMU KATIKA LANGO LA MBINGUNI USHUHUDA WA ASTON ADAMU MBAYA
PART 2 KINACHOTOKEA ROHONI WASHIRIKA WANAPO FUNDISHWA INJILI YA UONGO KANISANI USHUHUDA WA ASTON
Переглядів 2,5 тис.5 місяців тому
PART 2 KINACHOTOKEA ROHONI WASHIRIKA WANAPO FUNDISHWA INJILI YA UONGO KANISANI USHUHUDA WA ASTON
PART 1 WATOTO WA BRANHAM WANAVYO KWENDA KUZIMU USHUHUDA WA ASTON ADAMU MBAYA
Переглядів 6 тис.5 місяців тому
PART 1 WATOTO WA BRANHAM WANAVYO KWENDA KUZIMU USHUHUDA WA ASTON ADAMU MBAYA
PART 1 USHUHUDA WA ASTON ADAM MBAYA
Переглядів 1,9 тис.7 місяців тому
PART 1 USHUHUDA WA ASTON ADAM MBAYA
PART 1 KINACHOTOKEA UNAPOKWENDA SOKONI KUNUNUA CHAKULA USHUHUDA WA OSCAR
Переглядів 2,6 тис.8 місяців тому
PART 1 KINACHOTOKEA UNAPOKWENDA SOKONI KUNUNUA CHAKULA USHUHUDA WA OSCAR
UTENDAJI WA MALAIKA TUNAPO OMBA USHUHUDA WA ELIZABETH
Переглядів 4,6 тис.8 місяців тому
UTENDAJI WA MALAIKA TUNAPO OMBA USHUHUDA WA ELIZABETH
PART 2 MAWAZO YANAVYO WEZA KUKUPELEKA KUZIMU YA MOTO USHUHUDA WA JOHN
Переглядів 2,3 тис.8 місяців тому
PART 2 MAWAZO YANAVYO WEZA KUKUPELEKA KUZIMU YA MOTO USHUHUDA WA JOHN
PART 1 KINACHOTOKEA KATIKA VITA VYA MAOMBI USHUHUDA WA JOHN
Переглядів 4,4 тис.8 місяців тому
PART 1 KINACHOTOKEA KATIKA VITA VYA MAOMBI USHUHUDA WA JOHN
JE UNATAKA KUWA HATARI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO?
Переглядів 5108 місяців тому
JE UNATAKA KUWA HATARI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO?
AENDE HUKOO, AKAHUBIRI CONGO. TANZANIA INAWACHUNGAJI WA KUTOSHA. TUMECHOKA NAO . NENDA KAPIGANE VITA HUKO. KAOMBEE NCHI YAKO INAHARIBIKIWA . HUKO. YAANI UACHE NYUMBA YAKO INAUNGUWA , HALAFU UNAENDA KUZIMA MOTO KWA JIRANI?. HIVI INAWEZEKANA.😂😂😂😂😂
Kuna wakati hata askofu moses kulola katika mahubiri yake , alikuwa anawafurahisha watu na watu walikuwa wanacheka na kufurahi , neno la Mungu linasema "furahini katika Bwana siku zote tena nasema furahini" mfalme daudi anasema katika zaburi "nalifurahi waliponambia na twende nyumbani mwa Bwana , furaha hupatikana kwenye nyumba ya ibada acha watu wacheke wafurahi unajua kuhubiri ukiwa serious na kuwatisha watu siyo kwamba ndo njia ya kuwapeleka watu mbinguni , kuna siri kubwa sana kati ya mtu na Mungu , wewe mtumishi fanya kwa nafasi yako chunga kundi Mungu alilokupa kwa muongozo unaoona kwako upo sahihi mwa watu wako usiingilie huduma za watumishi wa Mungu wengine hujui wameitwaje na Mungu, kila mtumishi wa Mungu ana wito wake usitake afanane na wewe ,..
I agree 100%
13:53 🤲🙏
Mm natamani muniunge what appl
Amina mutumishi
Ubarikiwe zaidi Mchungaji
So Powerful
Amen amen
MUHINIRINI MUNGU. WAAMBIENI WATU TUTUBU ZAMBI NA KUOMBA. MAANA SIKU ZA MWISHO ZIMEKARIBIA.
Bwana Yesu atusaidie kanisa lake, hii NI hatari sana
Amina Amina Karibuni sana Dodoma.
Hiyo ya ndoto imenimaliza nguvu kabisa. Mungu komboa roho yangu kutokana na maagano ya shetani😢. Thanks Jak
Kila mtu ameitwa kwa wito wake sio wote mtakuwa wakali wengne wapole kila .mmja na style yake unahubiri vizuri lakin usimseme mtu hubiri injili yako sio uwataje watumishi wengn
Kwanini katunzi unapohubiri watu hawacheki si wanacheka kwahiy unapowasema wenzako wanamizaha waumini wanacheka hovyo mbona na na kwako wanacheka
Amen barikiwa sana
Amina
Ushuhuda mzuri,na una nguvu.
Injili ni mapambano,Mungu aliponipa maono ya matengenezo,wengi wamemitenga, ushuhuda huu umenitie nguvu,sitamtazama mwanadamu,namtazama aliyeniita.
Ushuhuda wenye nguvu.
Mungu akutunze mtumishi wa Bwana azidishe neema zake juu yako na huduma yako ya kweli
Amen shuhuda hizi zinajenga MUNGU azidi kuwatumia katika shuhuda hizi pia
Amen MUNGU azidi kuwafungua watu zaidi kupitia jumbe zake
Pasta hubiri neno la Mungu wacha kutia washirika wako hofu, huduma ya mgogo na yako sina tofautiana, Kristo alikuja kwa waofu, sasa wewe ukaanza kutoa magugu, na wakutoa hako. Bure kabisa
Hakika onya karipia kemea na asikudharau yeyote
Amen barikiwa San dada yangu kwa ujumbe huu😢
Ama kweli.. Biblia inatafsiriwa vibaya na inaharibu kanisa na kuumpa shetanii ushindi.. INASHANGAZA SANA MCHUNGAJI YUKO BIZE KUHUBIRI NA KUKOSOA WAKRISTO WENGINE.. tusome Biblia.. tumhubiri Yesu.. mbwe mbwe nyingine zinamfanya adui awe na nguvu. Hubiri nguvu na karama za Roho wa Mungu.. na sio kukaa kukosoa kosoa watumishi wengine
Ubalikiwe mtumishi
Sema Baba
Acha uongo danganya asiye jua neno lamungu yaani unadanganya laivu Bila chenga kwanza kuzimu hauwezi ukaona mwenzako kwanza simwili wanyama jamaa wewe tafuta ushuhuda mwingine siyo kupotosha watu
Hananja na Mgogo ni wachekeshaji siyo wachungaji
Kweli kabisa mch
Kitu ninachomshangaa mwanadamu alieumbwa kwa mfano na sura yake MUNGU.usijibu kabla hujafikiri ndio maana zimetokea Imani nyingi Dunia zimewapotsha yamkini hata nawalio wateule kwa sababu yakuaminu Kila kitu bila kutafakari MUNGU atusaidie sana
Ni kweli kabisa, sema baba.
Asante, ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Amen, ubarikiwe mchungaji, nafurahi sana Mungu kunikutanisha na wewe..Tunakupenda, songa mbele baba.
Ee MUNGU NIREHEMU NAKUOMBA
Eee MUNGU tupe mwisho mwema
Upo sahihi Baba Mchungaji
AMEN
Hiyo injili ya kweli haipatika hovyo mtumishi katunzi hongereni sana Kwa kusimamia misingi ya neno MUNGU awapiganie na watesi katika kazi ya MUNGU kusema kweli katunzi Mimi Niko hakuna kanisa linalosimamia misingi ya neno la MUNGU makanisani kumechafukwa hakuna kweli ya MUNGU kabisa
Ameen 🙏 Ameen man of God l need to talk to you please
Mungu nikumbuke
Mungu nikumbuke😢
Barikiwa mnoooo Mtumishi wa MUNGU
Amen 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nakupenda sana mama MUNGU akubariki sana endelea kutufundisha na thawabu yako ni kubwa kwa MUNGU wetu Wa mbinguni
Eee Bwana YESU tuhurumie sisi watoto wako.
I decide to follow Jesus
AMEN