Wewe muislam sawa ila unafany upumbavu kama kuvaa herini, cheni NK Allah akujaalie ukae mbali na upumbavu halafu wewe ni muislam powa # Allah atusaidie xana na kuburuzwa buruzwa waislam wa zama hizi powa powa sana sie
Nawashangaa waislam kumtukana hemedy eti achunge sana mara hajui dini hivi ninyi hamjui kuwa dini siyo kitu mbele za Mungu kinachomfanya mtu apendwe na Mungu ni Imani na matendo.
"nilipelekwa skuli ya secondary yenye kutoa mafunzo ya dini ya kiislamu. nimekua na huyu mwanamke from darasa la kwanza mpaka high school" Broo usidanganye watu wazima. Say the truth.
Kumbe mwamposa Kwa kupendwa na mademu hemedi simama katika dini yako usimkosee Allah Kwa kufurahisha nafsi yako uache unafiki katika dini wasanii hamuna dini munayumba yumba tu mara huku mara kule ungesoma dini kwelii usingesema huo upuuzi
Chunga sana usije ukamkosea Allah kwasababu ya kutafuta ugali na kuwalidhisha watu apa duniani , Ndio Mungu ni mmoja lakini wenzetu wanakwambia Isa bin Mariam ndo Mungu, nawakati sio kweli so Be careful my friend 🤷🏼♀️🤷🏼♀️
MWAMPOSA The PHD
VERY FREE MINDSET.
WE NEED SUCH KIND OF PEOPLE TO MAKE THE WORLD PEACEFUL PLACE🔥🔥🔥🔥
Hemed ni mnyamwezi Sana, namkubali kinoma noma ase.
Kwny ku_inspire apo mm mwnyw n mmojawapo, I respect you my brother
Wewe muislam sawa ila unafany upumbavu kama kuvaa herini, cheni NK Allah akujaalie ukae mbali na upumbavu halafu wewe ni muislam powa # Allah atusaidie xana na kuburuzwa buruzwa waislam wa zama hizi powa powa sana sie
Huyu ndugu Mungu anampenda na ipo siku atamwamini Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi wake.
Kivipi?
King wamekutana wote nawakubali Sana na ndio ilikuwa Ndoto yangu siku Moja wakutane
Lilommy the King unauliza kwa umakini 💥💥💥
THE BEST OF INTER VIEW👊👊
Wajina unyama sanaaa umetisha sheikh said 🔥🔥🔥😂😂😂
MVP upo vizuri you are the real king of interview
Namkubali sana hemed
I was missing you big bro MVP half man amazing kizazi xna
King 👑 of enter view nakutambua Sana bro
Pamoja sana 👍
@@LilOmmyTV bless bro
ua-cam.com/video/udeyiZEBMvY/v-deo.html
Si uandike hiyo interview vizuri basi
@@mmary70 😂😂 saw
Ina lilahi wa ina ilahi rajicun....uislam gani huu. Ogopa Allah. Dini haichanganywi
never mis this Show
MVP King of interview.
Wa kwanz hap
I like you bro Ommari even Hemedy Allah bless you all 🤝
Kbs nakubali
King MWAMPOSA 🦅🦅🔥🔥
Blessed San hemed
The dude is Handsome Diamond asome number michain tuu jamaa Yuko simple lkn muahhh
Unajua bei ya cheni zile ww
Diamond mshamba tu Kwa huyo jamaa namfahamu Toka tanga alnoor secondary school
Mamboo
My lovely interview
Hemed kama Harmonize kidini,upuuzi 2,kufa faraja,kuishi suna
Mafundisho haya ya kuishi ni sunna umeyapata wapi...
@@deathrow8004 kama unajua maana ya suna(sunnah) utaelewa,kuishi sio lazma,unaweza ukajinyonga or ukajipiga risasi ila kufa ni Lazma,umenielewa
Nice interview
The first to comment 🙌🏾 love from 🇧🇮💯🔥
Dah nimekubali sana mwamba
you are great man i follow u every day
Let’s gooo ☄️☄️
Nakubali sn
Nice ommy
Hatar sana bro
Amazing comeback 🔥🔥🔥🔥🔥🔥,The king of interview halfman half machine,,, tunakukubali sana aise 254🇰🇪 KENYA.
😊
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
😊
😊😊😊
My rolly model @lily ommy and for real i will become like you
Kizazi sn
kanas la wassabato hilo🙊🙊🙊🙊
Rudisha soundtrack interview kavu sana
Kabisa
ND nzr
Ndio nzuri sound ya nini ,
@@neemamasimba2981 inaleta radha
l like this guy
Victory belongs to God
Mikazo zaidi, kunyoosha akili nyingi na kujibu kwa ufasaha kila swali!!
My lolmodel ,,bro nakubari
MVP
Half man.
Half Genius 👍🏼
PhD over MVP, kudos
Anajua kujieleza sana vuyu mwamposa mdogo
Papii carsto moriente delavida massero vuzito pumbunyo Hernandez mwamposa A .k.a Aiiiiii
Muogope muumba wko wa mbingu na ardhi kw kuropoka ropoka mambo ya dini hasa ykiislamu ucioijua kwa kutafta maslah yko yakidunia !!
Mwenda wazimu huyo ametoboa masikio anavaa Helen shoga hilo haliufaham uisilam
Mwamposa for everibadeee😃😃😃
Nawashangaa waislam kumtukana hemedy eti achunge sana mara hajui dini hivi ninyi hamjui kuwa dini siyo kitu mbele za Mungu kinachomfanya mtu apendwe na Mungu ni Imani na matendo.
Misingi yetu ya dini hauijui kwa hiyo tuache na dini yetu
Kabisa Kuna watu wanajifanya Wana dini sana lkn tabia yao Sasa Mungu anawaona jaman kwa Mungu dini so chochote
Amezidisha wanja aisee
Mwamposa 🌟
🎉
Ww una alilipa sana
Honesty 👍👍👍
Star wangu PHD
Big 5 mvp
Ndy useme kwamba mwamposa kapumbu😂😂😂😂
wanamwita saidii😄😁😆😅😅
Huyu sio shekh shekhe maana yake nimtu mzima
🔥🔥🔥
💥🔥🔥
Interview haina soundtrack kaka
Sound track zinazinguaga
@@ericksangajr7173 Zinazinguaga sio utani
"nilipelekwa skuli ya secondary yenye kutoa mafunzo ya dini ya kiislamu. nimekua na huyu mwanamke from darasa la kwanza mpaka high school"
Broo usidanganye watu wazima. Say the truth.
Kama nakuelewa vile
Amesoma seminary ni true nimesoma nae shule moja
Kwan hamna likizo inamaana o -level ndio kasoma seminary but high school ndio kasoma na huyo dada
Aiii
#mwampooooosaa
PhD 🔥
Mtoto wamama said aiii
Brother ukorofi kitambo kumbe 🤣
Nataman kutoboa kweny mzki kaka
Dogo soma dini huo ni msibaa 😂 yaonesha hauja usoma uislam
Kumbe mwamposa Kwa kupendwa na mademu hemedi simama katika dini yako usimkosee Allah Kwa kufurahisha nafsi yako uache unafiki katika dini wasanii hamuna dini munayumba yumba tu mara huku mara kule ungesoma dini kwelii usingesema huo upuuzi
Hujui ktu wew mbususu Kaa kimya
kabisaaa HEMED jitu
ambalo lililo potea sanaaaa
@@zaburi2386 mi nahisi kama wewe ndio hujui kitu hivi...
True dat
wearing earring is religious education????
Mwamposa , cardacheni , Fernando,Harmando,kapumbu,Ebeneza, Marcelo papushi papy carlito , jamani the real name ni nini bayame 🤦♀️🙄🤣🤣🤣🤣🔥
😂😂😂
🇧🇮🇧🇮
Saidiiiii Aaaiiiiiiii
Hemedi bwana eti mwamposa mhmm
Mbna kama unaogoma kusimamia uislam wako .vip
😂😂😂😂😂😂😂
Stop sheikh alafu unataka kuwa na mwamposa, acha hizo uislam haukufundishi respect ya hivyo. Be a true believer my brother.
Physically uko poa, lakini spiritually you are thirsty
😂😂🤭
PHD we chizi so mzima
Angalia Nasheed Nzuri 👇❤
ua-cam.com/video/keekDotg4uM/v-deo.html
Hemed vip ushaacha hu uni baba tabia mbaya aiendani n'a wewe
Mambo
Si muislam weweeeeeee
Mwamposaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Video ya hemedy akiwa na ua-cam.com/video/T8ss1wOaBAQ/v-deo.html
Phd aka mwa mposa nawa posa
Chunga sana usije ukamkosea Allah kwasababu ya kutafuta ugali na kuwalidhisha watu apa duniani , Ndio Mungu ni mmoja lakini wenzetu wanakwambia Isa bin Mariam ndo Mungu, nawakati sio kweli so Be careful my friend 🤷🏼♀️🤷🏼♀️
Umekua ata maneno yako yanaongea
Naomba interview ua-cam.com/video/Yd37BQ0FDbI/v-deo.html
Mvp
bro english unajua stuff like that huh it’s annoying my guy tf.
Mwamposa
Bure kabisa. Unaliabisha Jina la Muhammad. Be careful. Usilinganishe ukristo na usilamu
Shut the fuck up what are you trying to teach people u don't know anything about islam .kweli awa ni vyoo vya jamii na si vioo vya jamii washenzi Sana
Of course he is know northing
Povu lanini sasa?? 😄🤣
Acha mtu awe huru kifikra
Acha makasiriko kila mtu na maisha yake unaweza usione pepo lkn huyu unaemdharau akaona mbingu...so tulia
Kwani uislam ni upi bro hemu tueleweshe mana unaonekana unaujua zaidi
🔥🔥🔥
Mvp