Nimerudia kuangalia tena baada ya kuona taarifa jioni hii kuwa huyu bi mkubwa ametangulia mbele ya haki leo. Joti umepoteza mtu haswa ambaye alikuwa anajua kazi yake barabara. Mungu amlaze mahali pema peponi...Ameen🙏
Like ndo inawapa famiky yako maitaj????? Like inakusaidia nn??? Au uk enda dukan unapewa nayo unga,? Ufara 2 nend tafutia family yako pesa na uhusstle sio umama
He jamani jamani mungu akitaka kukuletea mipango akuletei hata barua yaani gafla tu we si cha ubweche hichi au mimi ndio mgeni mwenyewe we 😅😅😅😅😅😅 huyu joti ni nouma
From Japan Kuma Moto I love you YANGA bingwa 😃😊
Nimerudia kuangalia tena baada ya kuona taarifa jioni hii kuwa huyu bi mkubwa ametangulia mbele ya haki leo. Joti umepoteza mtu haswa ambaye alikuwa anajua kazi yake barabara. Mungu amlaze mahali pema peponi...Ameen🙏
Mungu amrehemu mama yetu
Innalilah wainnalillahi rajiunna mbele yako nyuma yetu bi ubwa Allah amjaalie kauli thabiti huko ulipo 😢😢😭😭😭 tutakukumbuka daima
Jamani bi.ubwa Mungu akupokee uwiiii ghafla sana 😭😭😭😭😭
❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas jotii88iiiiii babaaaaaas
Dah R.I.P @mamakasikasi tutakumbuka sana hapa Joti TV😢😢dah
Amefariki lini jmn
@@FRANKKALANDAkashafali jmn kweli siamini kama amefaliki kweli mwenyezi mungu ampe pepo nzuri😭😭😭😭
Nyie uyu mama kafariki roho imeniumaa jamn khaaaa😢😢😢 bi ubwaa
Yaan
Wewe kafariki lini?
Lini hiyo
Mwamba na jot waki act inakuwa best
Sana . Mwamba anajua
Daah nimependa hicho kisamvu ❤❤
Ingekuwa unyama mwingi sana angekuwepo mlewa shewele apo kwa mambavu 🤛🤜🤛🤜🤛
Always your the best jot
dahhh, team imepiga kitu saf hongereni wazee...
kifuatacho😂😂😂
M wa 30 naombeni like zangu 🙌😆
Joti akiwa kama Nishai Huwa napenda 😂😂😂❤❤❤
Wonderful!! Love from Burundi 🇧🇮
"MUNGU AKITAKA KUKULETEA MIPANGO HAKULETEI HATA BARUA YAANI GHAFLA TUU'' 🤣🤣
Uyu Mama Jana tu ameigiza af Leo amefarikii 😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭 daah imeuma mnoooo
Mapemaaa tu! kazi nzuri bro.
Mungu wangu yaani joti Mungu anakuletea mipango bila barua❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Ah me wa40 naombeni like zenu😂😂😂
Ila Zitto anajua sanaaaaaa 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼😂😂😂
Hii ndo ile ukiwa huna Hela na njaa inakuuma Masikio huwa yanaziba akili inafunguka😂😂
Leo ni wakwanz kukoment kwa joti nipewe maua yangu aisee😂😂😂😂
😢😢 nimerudi kuangalia hii RIP mama yetu
Joti kazi nzuri Sanaa
Pole jot jaman'yaan hii ilikuwa ya mwisho dug.
''CHAKULA NA MATUNDA NI VITU AMBAVYO VINAENDANA NI VITU VYA FRUTI NA FUDI""🤣🤣🤣🤣🙂😂🤣
Kazi nzuri kk big ap
Ila joti daaaah haya naombeni likes jaman
Leo mmetisha sana safiiii
Mr joti ur so funny guy😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 wangekuweka kweli....maana wangesema kabla ya mke wangu kupika huwa ananipa nile kwanza ndio anaanza kupika😂😂😂😂
Mwamba na mkubali Sana , joti mchukue na malima anaweza Sana napendaga Sana combination zenu
Yaan nimecheka hadi basi pa kupaka wanja❤❤❤👍👍👍👍🙏🙏
❤❤❤jot na MAMA yako na akina Rajab ongera sana
MAMA WA WATU KAFARIKI 😢 ALLAH AMPE KAULI THABITI IN SHA ALLAH
Amefariki lini bi. Ubwa😂
Never disappoint jotiiii 😂😂😂
Nishaiii Ajawaiii kukosa majanga😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤joti forever 😂😂😂😂😂😂😂😂mwanamke deraaa Babu weeee❤❤❤😂😂😂😂😂
Okay ❤️ ❤️ ❤️ toka drc kalemie wa kwanza
Karibu Karema
Daaah! R.I.P mom mungu akupunguzie adhabu ya kaburi
Nishai mtomba ngwile kitwango mikazo miguno misuguano kila ijumaa 👍🏻😂😂😂😂🎉😊
😂😂
😂😂😂😂Shuwwain
Joti 😂😂😂 kazi nzuri ❤️❤️❤️
Wa21 jaman nataka like zangu😊
Like ndo inawapa famiky yako maitaj????? Like inakusaidia nn??? Au uk enda dukan unapewa nayo unga,? Ufara 2 nend tafutia family yako pesa na uhusstle sio umama
Hamna like hapo
Lazima?
Utakuja firwa shauri yako,like like like,we penda vitu vya dezo dezo tu
Ila hata wakimpiga kasha shiba na maji anaomba😂😂😂😂😂😂
RIP mama😢😢😢 unajua Sana,, tutakukumbuka
Nairobi mpo?🇰🇪
Who is this guy why between my food you come around😂😂😂😂
😂😂😂 nimeelewa hich kipigo aseee eeeeeeeh 🔥
Mabanzi personal 😂😂😂😂😂
Wakenya mpo, jirana ameshoboka!
Leo nimewahi nimekuwa wa 25😂😂😂😂 HAYA JAMANIII TAMAA MBAYA 😂😂😂😂😂
Hahahahah
nishai Kama nishai 😅😅😅😅😅
Jamaa wa kitambi ban 😅😅😅😅
Mungu amrehemu mama kasikasi😪
huyo mzee alovua shati katunisha misuli kama kangaroo😆😆
He jamani jamani mungu akitaka kukuletea mipango akuletei hata barua yaani gafla tu we si cha ubweche hichi au mimi ndio mgeni mwenyewe we 😅😅😅😅😅😅 huyu joti ni nouma
Mimi wa 40 like zangu
Inalilah waina ilahi rajoun 😭 mama yetu mpendwa dah
😂😂😂😂😂😂😂Joti umeogopa kuwekwa mzee Wewe nawe si unawaweka tuuu😂😂😂 ilike this man good job🎉🎉
Mtombangile mikazo miguano nishai kisamvu 😂😅
Hongera kazi nzuri
Matunda na chakula vinaendana ,kama unataka kunipiga nipeni KWanza Maji ninywe ,,,mimi napika fresh ,
Haya kumekucha wale wanaume waomba like mkanunue dawa ya nguvu za kiume maana nyie ndio mnaongoza kwa kuomba like😂😂😂
Wavishwe dera😂
@@bennylove6021 😁😁😁haswaa
Kha watu mlali nikajuha wa kwanza kuwai kote kumbe mm comment yangu ya 30
Namuangalia Zito et nae anajitunisha kifua 😂😂
Joti nianachekesha😂😂
😂😂😂😂😂😂😂mbio zimekusaidia hao mababa wangekueka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli joti kauwa hiyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Vitu vya fruit na food😅😅😅
Kazi zuri xana
Nakubali mwanaaa
Mimi wa 73 nipen like zangu
Hahaha awa wangekuweka
😂😂😂😂😂 noma sana Nishai
Ila sopa alijua kuigiza vizuri
😂😂😂@ Kenya 🇰🇪 fan
My best comedian
Siku Yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca 😆😅😊
Eti eeeeehy , hii shughuli inakuhusu😂😂😂
Zitto keep it Salut 💯
Waliosikia jot kasema mnataka kunipaka wanja mnipige mtungo,,tujuanee😅😅😅
Cha ubweche nomaaa sanaa ni kwere
R I P bi ubwa jaman sidi mashabiki wa joti tv tunakuombea upumzke salama😢
😊😊tunamkubali mwamba sana
ubeche is typing🤣😂
Mimi mmojawapo natizama kutoka Africa ya kati kasumbaresa
Hiiiiii kaliiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wa kwnza. Leo 😂😂😂😂
😂😂😂😂 mpeni maji kwanza anywe 😂❤
Joti unatisha sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mke wangu hapiki akiwa amevaa makofi😂😅😂
😢😢😢 chini kuna fukia watu jamani bi ubwa dah😢
Imekua ghafra sijuh kaumwa ni n mama huyu mweee r.i.p
Ndaga fijo
Nipo kwa kitanda nacheka😂😂😂
Jot 😂😂😂😂 eeeeh yn ww ni mtalam sana
RIP uyo mama mungu amlaze salama
Etsy “Si cha ubeche hichi” 😂😂😂
Hahaha umetishaa joti
Vitu vya fruit Na food🤣🥑🍌