USIKU HUU MASHAMBULIZI NI MAKALI YA VIKOSI VYA URUSI NA UKRAINE UKO KURSK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 58

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 2 місяці тому +14

    Shoga hawezi shinda vita kwa mtu mwenye haki. Urusi ata shinda kwakishindo dhizi ya magaribi mashetani waotaka kutuariabia dunia yetu tulopewa na M/Mungu

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 2 місяці тому +20

    MIMI NI RUSSIA.
    TEAM RUSSIA
    RUSSIA PEKEE NDIO ANA MAADIRI YA BINADAMU WA KWANZA.,, SEHEMU YA HAJA KUBWA NI NI MATUMIZI YA HAJA KUBWA. KWA MAKUSUDI YA MUNGU. SIUNGI MKONO UPUMBAVU

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 2 місяці тому +2

      @@pauldotto7868 sahihi 🙏

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma 2 місяці тому +2

      Mimi niko Marekani… ushoga unachagua wewe ukitaka kama vile unavyochagua kufanya madhambi mengine ambayo wote wanaofanya hayo mwisho wao ni katika ziwa la moto. Unaweza kufikiri hukumu ni kwa mashoga, wakati kumbe hata mlevi, mzinzi na fisadi hukumu yao ni moja tu yaani ziwa la moto.

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma 2 місяці тому +1

      Hukumu ya adhabu ni kwa kila nafsi itandayo maovu…sio tu mashoga….Lakini ashukuriwe Mungu kwa sababu Yesu alikuja kwa ajili ya waovu na mashoga wakiwemo. Kwa hiyo kumbe hata shoga akimwamini Yesu, anasamehewe dhambi zake na Kisha kuingizwa kundini. Badilisheni mitazamo yenu juu ya mashoga. Mnawaona kama watu wasiofaa kuwepo kwenye dunia hii, wakati Mungu anawavumilia akijua watafikilia toba. Maana hapendi hata mmoja apotee, balo wote watubu. Mtazamo wa Mungu na wa mwanadamu ni tofauti kabisa.

    • @feliciankabasa8995
      @feliciankabasa8995 2 місяці тому +1

      ​@@BarnabaBuhomahauko mbali na ufalme wa MUNGU,yaani watu wanapinga dhambi ya ushoga wakimtaja MUNGU wakidhani MUNGU anachukia dhambi pekee,unakuta anayepinga ushoga huku ni mzinzi,mlevi,fisadi,mwizi muuaji nk,yaani !!

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 2 місяці тому +1

      @@BarnabaBuhoma mtu shoga unamfananisha na mlevi.?

  • @tullolaurent7527
    @tullolaurent7527 2 місяці тому +4

    Natamani kwena maana Hawa mashoga wanakera

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 2 місяці тому +3

    YESU Ndiye njia ya kweli na Uzima ya kwenda mbinguni HEBU mwamini YESU na UOKOKE na Ulithi Uzima WA MILELE na unde Mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @MbanoMrage
    @MbanoMrage 2 місяці тому +4

    Bado hamjasema Ukren wamechezea kichapo mpaka wanarud nyuma.

  • @stevenmabungi3245
    @stevenmabungi3245 2 місяці тому +10

    Kiukweli Russia nitaifa lenye nguvu sana dunian yaan pamoja na kuungana kote huko NATO bado wanamuogopa.

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 2 місяці тому +4

      Hitler mwenyewe alikua anajua moto wa Russia 😂😂😂

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 2 місяці тому

    Safi sana urusi piga hao mashoga wa kimarekani na washilika waoo

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 2 місяці тому +3

    Urusi anapaswa kuharibu ukraine

  • @barakanyanchama4297
    @barakanyanchama4297 2 місяці тому +1

    Mashoga ya ukrain hayawezi kushinda vita yatashindwa tu

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 2 місяці тому

    URUSI NI LAZIMA WAACHE KUWACHEZEA HAWA UKRAINE NA WASHIRIKA WAKE IKIWEMO MAREKANI. NI LAZIMA WATOWE KIPIGO KITAKATIFU ILI KUWAZIMA HAWA MASHOGA ILI KULINDA HESHIMA.

  • @OmarOthman-w9k
    @OmarOthman-w9k 2 місяці тому

    Wameingia chakike zelensky shoga tu nawenzake nanyinyi mumepoteza mvuto coz habarizenu zinaegemea upande mmoja tu yaani nivibaraka wao😂😂😂😂😂

  • @paullucas3137
    @paullucas3137 2 місяці тому +1

    Mh! waisilam et wanafrahi sasa😂😂 hawajui hawawez shinda vita kamwe

    • @boazmosses8204
      @boazmosses8204 2 місяці тому +2

      Waislam wanahusikaje? Au hujui hata lengo la hii vita

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 2 місяці тому

      Acha upumbavu shoga wewe

    • @fatumajuma9413
      @fatumajuma9413 2 місяці тому

      Shoga hawezi nyamaza kinakupweta nshakuona

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 2 місяці тому

      @paullucas3137 Akili zako ziko matakoni kama hao mashoga wa Marekani tu😂

    • @ShaabanIddi-u8v
      @ShaabanIddi-u8v 2 місяці тому

      Bila shaka na ww ni shogaa maan naona unanzisha mambo ya kidini kwenye vita ya watu acha ushogaa kijana kina cho waharibu nyinyi kuji act kama wamarekan ndo maana munafata mpaka ushoga wao fuck

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 2 місяці тому

    Nyie mashoga mtaruka mkituwa Kwa urusi mumefikia..

  • @ABUBAKARSUNUS
    @ABUBAKARSUNUS 2 місяці тому

    Namkubar Putini mtu mmoja anapigana nawatu 60, Putini Chuma moto, ataakipigwa putin❤

  • @paullucas3137
    @paullucas3137 2 місяці тому +2

    Yaan urusi mbwa kwa marekani

    • @RamadhaniMohamedi-de2vc
      @RamadhaniMohamedi-de2vc 2 місяці тому +2

      Sio kweli urusi awezi kua mbwa kwa marecani atakidogo ww unavyo onekani bwana mdogo sana na aujui istory ya vita kwaiyo kaa nje ya box uwone metch, apo apigani marecani tu inapigana nchi zote za ulaya na bado awamwezi kama ikingia korea irani china cuba,nk uyo marecani atatoka shoga ata baki kuwa shoga 😂😂😂.

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 2 місяці тому

      Hamna kitu unajua kijana mdogo usiropoke😂

    • @davismuzahula907
      @davismuzahula907 2 місяці тому +1

      ​@@saleemsuleiman2220 watoto wa 2000 hao au wale wanaoangalia movie za akina kamanda John 😂😂😂

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 2 місяці тому

      @@davismuzahula907 jamaa Jau sana bado anaamini movie ni Kweli 😂😂😂😂😂

  • @kitosio
    @kitosio 2 місяці тому

    Ajabu zaidi ya mataifa 10 yanapigana na taifa moja Tu. Na wanachezea mkong'oto lakini mwisho watasema ukweli halisi Hali Yao kwa sasa

  • @Daidizz01chinga
    @Daidizz01chinga 2 місяці тому +1

    Viva 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Rússia uraaaa

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 місяці тому

    Hakuna kukaa mezani na mrusi akifanikiwa kurudisha miji basiwaingiye ukrein na kumkamata huyo kibaraka ili vita viishe

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 2 місяці тому

    Na ulikua ni mtego tu huo ili putini apate pa kumalizia vita vya ukraine. Mana sasa anakwenda kuimaliza ukraine ni vita mura sio tena oparesheni

  • @kitosio
    @kitosio 2 місяці тому

    Ukraine waongo. Wameenda kujiulisha Tu.

  • @amonezekiel4893
    @amonezekiel4893 2 місяці тому

    Yaaan hapo vyombo vya magharibi havisemi ukwer, ire kichapo kinaenderea

  • @boazmosses8204
    @boazmosses8204 2 місяці тому

    Wako wapi wale wanaosema Putin ameshindwa🤣🤣🤣🤣

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 2 місяці тому

    Uyu babu vipi Kanagawa aje uku

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 2 місяці тому

    Urusi kayavuria kavamia alafu Kawa mkimbizi kwenye nchi yake

  • @BarnabaBuhoma
    @BarnabaBuhoma 2 місяці тому

    Urusi hatimaye wamekuwa wakimbizi katika nchi yao wenyewe… watu wanakimbizwa kama ilivyokuwa kwa Ukrain mwanzoni mwa vita. Ubaya wowote unaomfanyia mtu utarudi juu ya kichwa chako mwenyewe.

    • @IshipalemyPasko
      @IshipalemyPasko 2 місяці тому

      Hujui kitu wewe kaa kimya mmeingia mtegoni mashoga nyie kitawaramba

  • @FilbertRobert-e4u
    @FilbertRobert-e4u 2 місяці тому

    Hapo kuna utata😮

  • @SalumMasengwa-b9s
    @SalumMasengwa-b9s 2 місяці тому

    Mimi nipo hapa nimekaa Wacha nione uraaàaaaaaaaaaaa

  • @nizarrama225
    @nizarrama225 2 місяці тому +1

    mbona hawasemi mpaka sasahivi wamechukua km ngapi kule kursk 😂

    • @JacksonLukumayi
      @JacksonLukumayi 2 місяці тому

      Gani hao

    • @RehaniKharidi-st4oe
      @RehaniKharidi-st4oe 2 місяці тому +2

      Wanamdanganya zele boy eti wamechukuwa vijiji 80 😂😂😂kumbe nusu yake hata hiyo inarudishwa

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 2 місяці тому +1

      @@RehaniKharidi-st4oe tatizo la watu wa magharibi uwongo umewajaa

  • @BillingsXaveryNshullo
    @BillingsXaveryNshullo 2 місяці тому

    Kama ni ushoga hata urusi upo semeni tu Putin kapatikana

  • @andremchinda3973
    @andremchinda3973 2 місяці тому

    Who can believe the Westerns???

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 2 місяці тому

    Tutaona urusi na NATO Nani mbabe

  • @miruhongin
    @miruhongin 2 місяці тому

    Tunata tuone nani baba